#Wakati#WaMungu#MusicVideo.Channel Administered by Huru Digital Instagram: hurudigital
Пікірлер: 107
@gracewanjiku25342 жыл бұрын
I heard this song on radio waumini, mpaka nikaja kuutafuta kumbe wakati wa mungu kweli ni wakati sahihi Sana mubarikiweni Sana waimbaji.
@familyhour351 Жыл бұрын
Same to me thanks to Billy
@mukundisusan79359 ай бұрын
Me too I heard it first time on radio waumini and from then, it became one of my favorite. Thanks to Billy.
@stellanjoroge4726Ай бұрын
I don’t know what to say exactly why I am here thanks to Radio waumini
@valentineajepkoech5879Ай бұрын
Same here. I heard it today
@beatrisikimario8233 Жыл бұрын
Hakika wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, Ee Mungu naendelea kusubiri wakati wako ulio sahihi kwa Yale nikuombayo maishani mwangu🙏
@tiberiusmogendi48272 жыл бұрын
Long waited to be employed finally I secured a job. This song blesses me always. God's time is always the best
@kimmeyload94352 жыл бұрын
Nice 1 we are on 🔥🔥🔥🔥☄
@GEORGEUSRWEIKIZA-zd4fg Жыл бұрын
Mungu ni mwema tutasonga mbele
@KMMM-KNDEGEDODOMA2 жыл бұрын
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana...🙏🏿 Tunapokea ujumbe mzuri tokea Kanisa la mwenyeheri Beatha Maria Theresa Ledochowska Jimbo Kuu Katoliki Dodoma Cc Kwaya Ya Maria Mama Wa Mungu
@ephraimkashusha39872 жыл бұрын
Kazi nzuri sana.. #Nyimbo Tamu sana
@telesiaidani27782 жыл бұрын
Sana mbaeukiwemnatusapot
@richardmakuthu4868510 ай бұрын
another wonderful song mimi mkatoliki daima
@LiquiMolyTanzania-iq3ni2 ай бұрын
Proudly RC ❤️❤️🙏🏻❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥
@jovenarikagemlo45272 жыл бұрын
Wakati wa Mungu ni sahihi sana kwakweli
@telesiaidani27782 жыл бұрын
Kweli kbsa
@simanjiroanold6382 Жыл бұрын
Hii ndio maana ya mziki mtakatifu na usio wa kitoto. Mmenifanya niurudie rudie kila siku na yamenifika kooni imenibidi leo nirudi nami nitoe hata comment. Aisee mmeupiga mwingi ngoma imetulia Nawaombea mkue zaidi mkayatende maajabu ktk kumuimbia Mungu. Namuomba Mungu nikiwa mkubwa nije tandale nikaungane na hawa watu 😂😂😂😂😂. Nawapenda sana. WAKATI WA MUNGU NI WAKATI SAHIHI SANA.
@DaudiMatandula18 күн бұрын
Hii ngoma aijawahi kuchuja inatisha inaogopesha ni tamu mpaka inakera yaan ongereni sana
@kaigamutongore87912 жыл бұрын
What a wonderful song. Mbarikiwe sana aiseee. Wakati wa Mungu ni sahihi sana.
@barnabasmajige54132 жыл бұрын
Kazi nzuri hongereni sana carol lwanga
@telesiaidani27782 жыл бұрын
Asnte majige
@lovenessebehat63272 жыл бұрын
Wimbo niupendao kazi nzuri sana mbarikiwe sana
@telesiaidani27782 жыл бұрын
Asante sanazid kutusambazia rinck na mungu akubarik zaid
@mutigamcanthony17552 жыл бұрын
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana. Thanks for the wonderful message. It is home
@jacksonvalence736510 ай бұрын
Wakati wa MUNGU ni Wakati sahihi sana. Makuu yake ni mengi kwa nyakati alizotuandalia kila mmoja. Asante St karoli choir ❤🙏 barqka za 2023 ziwe kwenu
@donatusmlelwa57402 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awabariki nyoote kwa kaz nzuri
@telesiaidani27782 жыл бұрын
Amina akubariki na we unayetusapot
@naelymbata3052 жыл бұрын
Nice song, nimebarikiwa mnoo, Kongole Mtunzi ,Organist umeutendea Haki, pia waimbaji Wote Mungu azidi kuwainua kwa Viwango Vya Juu .WAKATI WA MUNGU NI WAKATI SAHIHI SANA.
@kiriaregula84752 жыл бұрын
Nice 🎵
@user-ig4rz4nx9g Жыл бұрын
Wimbo mzuri sanaaa❤🎉🙏
@martinmhando83512 жыл бұрын
Hongereni sana kwaya ya Mt Karoli Lwanga kwa uimbaji mzuri, na hongera sana Baraka Mashibe kwa utunzi mzuri na umeutendea haki wimbo katika kinanda kama kawaida hujawahi kukosea.
@vijinny1012 жыл бұрын
Kazi nzuri kabisa
@VeronicaMwangomo3 ай бұрын
Mnajua tena mnajua
@RobertKipilimba-so8cp Жыл бұрын
Mashibe mdogowangu Mungu anakuona
@thomasringia919Ай бұрын
We mc u guys may the LORD GOD connect you again and come back again with strong energy and good work more than your 1'st album..
@nyaenya19 ай бұрын
God's timing👌💯💯
@CYIZABANZIZIKI-cq7sy11 ай бұрын
Aksanti kwa wimbo huu
@jenipherdonald41692 ай бұрын
Nyimbo nzuri Isaya 60:22
@wilfrednyamosi3354 Жыл бұрын
just when I thought I have listened to the best melody voices of Tz then boom, here comes Wakati wa mungu by St. Karoli. Another big thing cooking here. I just love the vocals, content, the message aarrrggggg you guys are just gooood. Kenyans tulilala in music.
@andrewmasika54792 жыл бұрын
Wakati wa Mungu
@user-fr6ml5pu3h10 ай бұрын
Safi sana mazingira, ujumbe wenu ktk wimbo safi,mavazi safi,vyote safiii hongereni sana
@julianajacob5418 Жыл бұрын
Hakika wakati wa mungu ndio sahihi
@jersonmpeka49849 ай бұрын
Ujumbe mzuri Sana mbarikiewe Sana wote muliousika kwenye huu wimbo
@elizabethsalila2262 Жыл бұрын
Amen Hallelujah,nimebarikiwa sana na wimbo huu hakika wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana. Hongereni Kwa kazi nzuri ROHO MT.azidi kuwafunulia karma zake.mbarikiwe sana St. Karoli Lwanga,Tandale
@MarthaMsaki-yg3qh9 ай бұрын
Can't stop listening this song... Well arranged vocals and voices... God's time is a perfect time. Hongereni sana waimbaji....
@atanasmarko42332 жыл бұрын
Nawafatilia sana. Na nina nyimbo zenu zote 🙏 mko vizuri
@wolfgangduncan7279 Жыл бұрын
Mbarikiwe Sana always I am listening to this song I m blessed Asante sana 🙏🙏🙏💓💓💓
@aroisiomuna1557 Жыл бұрын
Very timely. This song is so good, it revives hope
@anastasiawambui1557 Жыл бұрын
Wow nice song and comforting words
@gracekapisha8382 жыл бұрын
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana, kweli kabisa hongereni.
@euphemiakimani33552 жыл бұрын
Wow this song is good. Beautiful message
@marcelinachanga7423 Жыл бұрын
Hakika wakati wa Mungu ni sahihi. Nasubiri 🙏
@maryhendry68242 жыл бұрын
Wonderful song...wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana...nimebarikiwa sana na huu wimbo
@telesiaidani27782 жыл бұрын
Amina
@jenipherkyando48222 жыл бұрын
Ujumbe mzito
@peterjohn550911 ай бұрын
Naomba flash ya hii Albamu aisee nyimbo zote za moto,
@adamemmanuel21032 жыл бұрын
Baraka hongera kwa utunzi wa nyimbo hii na kwaya ya klc kwa uinjirishaji mzr sn kazi nzr kbsa ya 2022
@remimaloba72062 жыл бұрын
Wakati wa Mungu ni sahihi Sana.
@berthatarimo71812 жыл бұрын
Wakati wa Mungu si wakupingwa kabisa. Ujumbe mzuri sana
@mgonasipapune13832 жыл бұрын
Hongereni Sana wanakwaya hakika wakati wa Mungu ni wakati sahihi Sana.
@johndeogratias23682 жыл бұрын
Best of the best song💪
@laurenciafeya42832 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana nimebarikiwa...hongereni sana 😊
@telesiaidani27782 жыл бұрын
Asante
@suzanakamala4394 Жыл бұрын
Mmeimba vizuri sana kwa uturivu, Mungu awabariki zaidi mtunzi
@monicahmutuku33052 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana. Sauti safi sana. Hongereni
@jacintamwania6548 Жыл бұрын
God's Time is sure the best! Almighty keep protecting us from the strong tides of this world..Blessed and angelic vocals nice message
@dennisbaraka8892 жыл бұрын
God's timing is the only best time.
@user-kr1en8lm5l5 ай бұрын
Hello Wana Lwanga am a Kenyan want to be singing your songs with my choir .there very good and well composed with very good message.
@familyhour351 Жыл бұрын
Indeed Gods time is the best!
@jamesnyamwaya1841 Жыл бұрын
Pongezi Kwa nyimbo nzuri mubarikiwe
@NeemaMgaya-ez9un4 ай бұрын
When it my time it's my time
@lestyodu58792 жыл бұрын
Well composed,, Mungu awabariki kazi safiii sanaaa
@brysonqambaita2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana. Mbarikiwe na Mungu
@thomasackley7332 жыл бұрын
Ndio ni wakati wa Mungu, na ni sahihi🙏🙏
@dwangui7 Жыл бұрын
I keep repeating this song, feeling Soo blessed, asante sana
@fredbasil3612 жыл бұрын
Kazi nzuri sana ndugu zangu. U made it guys.
@fredymotiba423 Жыл бұрын
Mungu awabariki kwa wakati sahihi
@ivonobedy67322 жыл бұрын
Huu wimbo unanifariji sanaaaa
@bernadetteikandi44382 жыл бұрын
Wakati wa Mungu ni sahihi
@davidnchoji2 жыл бұрын
My favorite song❤️❤️❤️
@jonasmwaisabula4152 жыл бұрын
Kaz nzuri mno, sauti nzuri wapiga vyombo wazuri na mwisho tabasam iliyoshiba