Wakazi ameeleza sababu za kifo cha Nipsey Hussle

  Рет қаралды 25,575

Dozen Selection

Dozen Selection

Күн бұрын

Пікірлер: 66
@elizachota6361
@elizachota6361 5 жыл бұрын
Nipsey huslle alikua na akili sana natamani kunyaka angalau mazuri yake machache inshaallAh 💙💙❤🙏
@gidionseleman7318
@gidionseleman7318 5 жыл бұрын
One of the incredible show I ever watched before in Tanzania media....
@CHARLESBUNELA
@CHARLESBUNELA 5 жыл бұрын
Kwa sisi tunaofatilia hiphop na makundi ya mtaani tunajua jinsi gani wakazi alivyo deep, nashauri jamaa atafute kipindi atufungue zaidi kuhusu changamoto za kuishi ststes
@afhd7079
@afhd7079 5 жыл бұрын
Uyu kaka duuhh
@balozibalozi5257
@balozibalozi5257 5 жыл бұрын
Nimependa kaka umejielezaa vizuri kweli wewe mnyamwez
@40kstore
@40kstore 5 жыл бұрын
Uko vizuri wakazi
@lewiskombole2917
@lewiskombole2917 5 жыл бұрын
Well said bro, UK stakishari we represent
@titusmkingule6648
@titusmkingule6648 5 жыл бұрын
You're Very right Wakazi
@nyotamy3678
@nyotamy3678 5 жыл бұрын
Asante Wakazi.
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 5 жыл бұрын
Jamaa yupo very eloquent yuko vizuri kinoma.
@sonti2821
@sonti2821 5 жыл бұрын
Nakubari Wakazi
@andrewwoiso5559
@andrewwoiso5559 5 жыл бұрын
Og mzee baba nimekupata vema sana
@shakeuabuu8851
@shakeuabuu8851 5 жыл бұрын
Nimekubali kweli ww wakazi unajua kujieleza
@hakeembandiahakeembandia1959
@hakeembandiahakeembandia1959 5 жыл бұрын
Wakazimusic #washkajizangu mueleweni vizuri
@rantrixchanger1308
@rantrixchanger1308 5 жыл бұрын
Wakazi noma naqubali sana
@bryanjonathan6312
@bryanjonathan6312 5 жыл бұрын
Nice insight...wakazi we hear u....nyie mnaodisi fuatilieni mziki ulipotoka watu walipotoka mazingira na utamaduni na chimbuko hasa kwa mziki wa hiphop mtaelewa..... blacks got hate for one another despite the fact that there is racism in the us.... still they need to change emselves before changing their communities coz change starts within oneself ndo maana damu ya mtu mweusi itaendelea kumwagika kila kukicha kwasababu.... wahusika wenyewe wamegoma kubadilika and this can be traced as far as history of blacks is concerned....respect for Humanity, love and God fearing is the only solution PERIOD....niggaz got none of these..!!
@mugadimon3563
@mugadimon3563 5 жыл бұрын
Sure hatuwezi kuwabadilisha watu mizamo yao kuhusu sisi kama sisi tunawekeana vinyongo
@kassimliwola7248
@kassimliwola7248 5 жыл бұрын
Daah hatar xna yaan@ wakaz
@nestorymsacky6838
@nestorymsacky6838 5 жыл бұрын
Wakazi mnjanja sana msela
@cletusprotas261
@cletusprotas261 5 жыл бұрын
too real wakaziii
@hajiharuna786
@hajiharuna786 5 жыл бұрын
Jamaa anajua
@ItsFrankKAPANDE
@ItsFrankKAPANDE 2 жыл бұрын
Ile post ya "having strong enemies is a blessing " ilipostiwa april 1 baada ya kifo chake (march31)
@gaguole
@gaguole 5 жыл бұрын
wakazi umemaliza kila kitu, unaongea point
@semanasitv8303
@semanasitv8303 5 жыл бұрын
beberu we mnyama sana amini
@barakajulius7147
@barakajulius7147 5 жыл бұрын
Zurii xna,
@danielmfaume3152
@danielmfaume3152 5 жыл бұрын
Atareee san
@simontv5012
@simontv5012 5 жыл бұрын
fa show my bro@wakazi
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 5 жыл бұрын
Nendeni law Mandela hapo watu wanauana kila siku mambo tuuu ya dunia hayo kama watu hawafi wengine hawawezi kuzaliwa muhimu ibada tuuu
@africatanzaniatours
@africatanzaniatours 5 жыл бұрын
Kwaiyo unafurahia watu kuuuwana
@hundamaniamania872
@hundamaniamania872 5 жыл бұрын
Rip Nipsy Husle mutu ya ukweli,fuck all those who killed u hommie
@dominikakabogo2665
@dominikakabogo2665 5 жыл бұрын
kujiskia sanaaa
@pascleshayo2817
@pascleshayo2817 5 жыл бұрын
mbna yupo simpo tu jaman mtu akijua anajiskia .tena ww ndiomnao zungumziwa
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Laana tu hiyo
@mwinyimwimbe8842
@mwinyimwimbe8842 5 жыл бұрын
Nimekuelewa sn niggaz
@erickbakamaza8114
@erickbakamaza8114 5 жыл бұрын
WAKAZI anajua Kujieleza,
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Isn't obvious""exposure+ a politician SON what do you expect???
@gandygandi2740
@gandygandi2740 5 жыл бұрын
🤔🤔🤔
@babubabz4507
@babubabz4507 5 жыл бұрын
Mbona ulikimbia Chicago na ulikua wapata show wakati kila leo wa Africa wanatamani kuja kufanya show American iweje ww urudi TZ kufanya show huko ww mrongo tuu,ni stry tu unazo ongea
@emmanuelmollel7977
@emmanuelmollel7977 5 жыл бұрын
Babu Babz envy
@musakiswaga2835
@musakiswaga2835 5 жыл бұрын
Ujui unaongea nini
@africatanzaniatours
@africatanzaniatours 5 жыл бұрын
Acha chuki zako ndizo chuki zinazongelewa apa kwann Aupendi maaendeleo ya mth
@africanoqueen9340
@africanoqueen9340 5 жыл бұрын
Yaani wewe ni limbukeni kweli 🤔🤔🤔🤔heti marecan nyooo Kwani marecan paradise 🙄🙄🙄🙄Acha ushamba bro 😂 marecan kwao na kunguni 😂😂😂kadanganye hao hao wasio faam USA lol acha ushamba 😳😳😳asiwadanganye usa kama bongo tu... Mtu ukisikia New York Texas sijuwi Washington ...hile miji ya wenye money kama bongo tu ukiwa na hela ndo ivo tena
@sabMswahili.nia3144
@sabMswahili.nia3144 5 жыл бұрын
NH.I.P🙏🏾😔
@IshiKistaa
@IshiKistaa 5 жыл бұрын
TEMBELEA UKURASA WETU KUJUA NYOTA YAKO KILA SIKU kzbin.info/door/xBrgr6eSdKzbt1PUSZ9dWQvideos?view_as=subscriber
@rehemaabudararehemaabudara4897
@rehemaabudararehemaabudara4897 5 жыл бұрын
Wakaz
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 жыл бұрын
First of all, he was in the GANG group, promoting violence and all that. “What goes around comes around “
@moussabmohamedsaid6066
@moussabmohamedsaid6066 5 жыл бұрын
Ramsey you don’t know what you talking about
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 жыл бұрын
Moussab Mohamed Said Knock some sense in me pls...🤷‍♂️🤷‍♂️
@bryanjonathan6312
@bryanjonathan6312 5 жыл бұрын
Ramsey ....wtf enlighten us brah
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 жыл бұрын
Bryan Jonathan Read about his background bro, he even made up a song about it. Let me find that song I will post it here...😳😳🤦🏻‍♂️
@danielmwita2136
@danielmwita2136 5 жыл бұрын
Ni kweli,lakini cheki mwishoni alikuwa analenga nini na alikuwa anajaribu kuyaunganisha magenge yale.
@abuubakrachani1943
@abuubakrachani1943 5 жыл бұрын
Interview nyngin ukiskikiza unapat kujifunza......hata namna ya mt anajieleza tu....sio lazm ety atoe aya kweny Qur_an or Bible ........
@ommysimple5981
@ommysimple5981 5 жыл бұрын
*صدقة* *SWADAQTA* 👊
@danielmfaume3152
@danielmfaume3152 5 жыл бұрын
Uyuu jamaa ni shidahh wakazii
@marwawilliam3648
@marwawilliam3648 5 жыл бұрын
Yupo shallow, hii ni vita imeundwa na weupe.. hawauwani kwa kupenda:- Ujinga,wametengwa waishi peke yao nk. Hata wazungu wanawauwa pia
@frankanold9803
@frankanold9803 5 жыл бұрын
Wazungu wanawaua kivipi???
@muddyville
@muddyville 5 жыл бұрын
Nigga, you don't know shit 'bout gangs. So kiss your ass!... Gtfoh!!!!!
@leopoldmwesa6968
@leopoldmwesa6968 5 жыл бұрын
Hyo umejua ww baada ya kufa ila siwengine tumemjua kitambo
@lewiskombole2917
@lewiskombole2917 5 жыл бұрын
So what
@babubabz4507
@babubabz4507 5 жыл бұрын
Hata sijaelewa hini interview sababu nyote mwaongea vitu tuu bila uhakika namaneno hayo munaingia
@s.ndikumana8484
@s.ndikumana8484 5 жыл бұрын
The great nipsey hussle death has nun to do with gang related. You lying😏
@shadracktito6293
@shadracktito6293 5 жыл бұрын
Msenge tu
@breymbasa3451
@breymbasa3451 5 жыл бұрын
We ni sikio la kufa watu Kama.nyinyi.mnatakiwa.muwepo ili kumtia hasira mtu afanikiwe mapema
@hamzambasha8577
@hamzambasha8577 5 жыл бұрын
Sasa yeye na wew Nani msenge choko wew
@shadracktito6293
@shadracktito6293 5 жыл бұрын
@@hamzambasha8577 anakupakua mavi nini mbona umemaindi kama nimemtia kidole babaako mzee mbasha unamavi mkunduni wewe
@shadracktito6293
@shadracktito6293 5 жыл бұрын
@@breymbasa3451 peace bro
Nipsey Hussle - Crenshaw and Slauson (True Story)
11:25
Nipsey Hussle
Рет қаралды 2,9 МЛН
DUNIA (Ep 41)
22:18
ASMA FILMS
Рет қаралды 32 М.
Mkasi | S11E04 With Wakazi - Extended Version
55:50
MkasiTV
Рет қаралды 14 М.
Nipsey Hussle - Victory Lap feat. Stacy Barthe [Official Video]
4:52
Nipsey Hussle
Рет қаралды 66 МЛН
Tupac's Speech Will Leave You SPEECHLESS - Best Life Advice
12:44
Evan Carmichael
Рет қаралды 1,8 МЛН
UFC 311: Пресс-конференция
25:45
UFC Eurasia
Рет қаралды 569 М.