Wakazi wa eneo ya Mandera wapokea matibabu bila malipo kutoka shirika la kutoa udhamini wa kiafya

  Рет қаралды 288

NTV Kenya

NTV Kenya

Күн бұрын

Kutokana na makali ya jua na upepo wa kisulisuli na vumbi, wafugaji wengi katika kaunti ya mandera huathirika na maradhi ya macho ambayo huathiri pakubwa shughuli zao za kila siku huku matibabu yakizingatiwa kuwa ya Gharama ya juu.
Wakazi wa eneo bunge la Lafey kaunti ya Mandera wamepokea matibabu bila malipo kutoka kwa wahisani wa shirika la kutoa udhamini wa kiafya na mafunzo ya bure... Watu zaidi ya mia saba wamefaidika katika mpango huo ulioandaliwa kwa ushirikiano na Mbunge wa Lafey Mohammed Abdikheir. Wafugaji wengi hukumbwa na changamoto ya kupokea matibabu vile vile kutokana na umbali wa makaazi yao na miji palipo na hospitali na matibabu ya dharura.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Пікірлер: 1
@johngitau6995
@johngitau6995 3 ай бұрын
Interesting to see this.we have a government with money alocated to serve peoples problems like this.where is the money when people surfer with problems in their area.
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Show Me the World
Рет қаралды 7 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,2 МЛН
Language Review: Arabic
21:44
Language Simp
Рет қаралды 316 М.
Hofu imetanda Mandera baada ya nzige kuingia Rhamu
2:19
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 13 М.
One of the Greatest Speeches Ever | Steve Jobs
10:31
Motivation Ark
Рет қаралды 35 МЛН
Wakaazi wa Mandera wapewa misaada na mashirika tofauti
2:08
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 1,2 М.
Tamaduni za kisomali zaenziwa Mandera
6:45
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 15 М.
Rais Kenyatta azuru Mandera, Wajir na Garissa
2:53
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 49 М.
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12