WAKILI KIBATALA AFUNGUKA SABABU YA 'BONI YAI' KUKOSA DHAMANA MAHAKAMANI/" NI KICHEKESHO"

  Рет қаралды 9,094

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob ameendelea kusota kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, mara baada ya kukosa dhamana na kesi hiyo kuahirishwa hadi tarehe 1 Oktoba 2024.
Awali kesi hiyo ilikua kwa ajili ya kutolewa uamuzi mdogo kuhusu dhamana, lakini uamuzi huo ulishindwa kutolewa kufuatia upande wa mashtaka kuomba mahakama kuwasilisha kiapo cha ziada katika shauri hilo.
Kiapo hiko kilipingwa vikali na wakili Peter Kibatala anayemuwakilisha Boniface katika shauri hilo, kwa kueleza Mahakama kuwa kiapo hiko kimeletwa nje ya muda, kwani shauri hilo lipo hapo mbele kwa ajili ya uamuzi mdogo wa dhamama.
Hakimu mkazi Mfawidhi Franco Kiswagwa, mara baada ya kusikiliza pande zote mbili aliahirisha kesi hiyo, hadi Tarehe 1 Oktoba 2024, kwa ajili ya kuja kutoa maamuzi yote mawili.
Ikumbukwe Boniface anashtakiwa na makosa mawili Kosa la kwanza linalomkabili Boniface Jacob linahusu kuchapisha taarifa za uongo mnamo tarehe 12 Septemba 2024, ambapo alidai kuwa Mafwele anatuhumiwa na familia nyingi kwa kupotea kwa wanafamilia wa hizo familia.
Kosa la pili, ambalo lilitokea tarehe 14 Septemba 2024, linahusiana na kuchapisha taarifa nyingine za uongo zinazosomeka ‘Polisi wanatesa watu na kuua ndio kazi wanaweza’. Boniface amekana mashtaka yote hayo.
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Пікірлер: 25
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo 6 сағат бұрын
Hao mawakili wa serilkali hawakujuwi nn kibatala? Au wanajizima data, pelekea moto hao wajinga wajinga
@harshkirit6780
@harshkirit6780 8 сағат бұрын
Mahakimu na wanasheria wote sifuri.
@gililwise
@gililwise 9 сағат бұрын
Kwani hao mawakili wa.serikali hawajui sheria au ni dv 0? Naomba mnifafanulie maana mi naona kama hawana elemu ya sheria
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 8 сағат бұрын
Mahakimu na majaji kuipata pepo sijui
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 3 сағат бұрын
ni jaji wa mchongo kosa linaruhusu dhamana kilichozuia dhamana isitolewe leo ni kitu gani? leo ilikuwa siku ya hukumu ya dhamana ni sbb gani leo hii jaji ameshindwa kutoa dhamana!!
@eliasmedutieki7578
@eliasmedutieki7578 10 сағат бұрын
Mwisho wa ubaya ni aibu kwao na haki itapatikana tu
@PedadMiyombo-pc8gc
@PedadMiyombo-pc8gc 5 сағат бұрын
Kibatala ww nimwamba Kama Pidid😅😅😅
@muzneali4747
@muzneali4747 7 сағат бұрын
Nia ilikuwa APATE ADABU kidogo wote mnalala kwenye VITANDA vyenu yeye analala CHINI BASI SIKU alizokaa MPAKA HIYO tarehe zinatosha
@cyprianpetetmbonde6374
@cyprianpetetmbonde6374 6 сағат бұрын
Watesi wanaumbuliwa safari hii,, yaani kila kitu cha hujuma juu ya BONY YAI kinamanuliwa
@kamalabuberwa2001
@kamalabuberwa2001 10 сағат бұрын
Huyu Kiswaga siyo yule alikuwaga CCM? Au nawachanganya Mawakiri wa serikali wanathamini thamani na muda wa mahakama? Free Born yai
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 7 сағат бұрын
wameshaanza kujichanganya, kama kwenye kasi ya Akina Mbowe, na mbado kesi ya lisu wao na Tg
@ayububrantaya6624
@ayububrantaya6624 16 минут бұрын
Wanataka nn sasa afungwe watapata nn mbona wana fanya tufikilie mengi
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 8 сағат бұрын
Hao wameona ameshinda Sasa wanataka abaki kwako watamuteka hao sasaivi tunawàogopa niwatekaji
@IssaKaminyoge
@IssaKaminyoge 8 сағат бұрын
🎉inaniuma sana waongo na waa buduo sanamu ni njehanamu
@hollymore4904
@hollymore4904 3 сағат бұрын
sajawahi kumuamini kibatala
@henryndosi2002
@henryndosi2002 6 сағат бұрын
Kibatari😂😂
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 10 сағат бұрын
👍👊✌️.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 10 сағат бұрын
Sarakasi za kimahakama zina uvumilivu kwa wanaopambania haki !!
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 11 минут бұрын
Hivi uongo unaruhusiwa mahakamani?
@RamadhanMohamedi-j3d
@RamadhanMohamedi-j3d 8 сағат бұрын
Bonifas ni meya wawapi?
@pendongowi3508
@pendongowi3508 8 сағат бұрын
Meya mstaafu wa ubungo... ni kama ukiuliza kikwete ni rais wa wapi, jibu litakuwa clear pia, ni rais mstaafu wa tz
@RamadhanMohamedi-j3d
@RamadhanMohamedi-j3d 7 сағат бұрын
@@pendongowi3508 angesema meya mustafu tena mheshimiwa
@husseinmtima6106
@husseinmtima6106 7 сағат бұрын
​@@pendongowi3508umemaliza kiswali Cha kipuuzi Kwa robo sekunde 💯🤝👍💪🙌
@henryndosi2002
@henryndosi2002 6 сағат бұрын
​@@pendongowi3508senge flani hivi😂😂
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 69 МЛН
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 15 МЛН
BlackRock: The Conspiracies You Don’t Know
15:13
More Perfect Union
Рет қаралды 1,7 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН