Рет қаралды 5,185
Wakulima wa Miraa kutoka kaunti ya Meru wanalilia Serikali kuwasaidia kukabiliana na mawakala wanaosema wanawahangaisha katika biashara zao. Wakulima hawa wakisema kuwa wanalazimika kupoteza faida zao kutokana na muingilio huu ulioathiri mapato yao na hata soko.