Wali Wangu - Part 4 - Madebe Lidai (Official Bongo Series)

  Рет қаралды 279,372

Madebe Lidai Movies

Madebe Lidai Movies

4 жыл бұрын

#NabiiMswahili #WaliWangu #BongoSeries Wali Wangu |Ukurasa wa 4| - Madebe Lidai (Official Bongo Series) Madebe Lidai
Watch Part 1 Here: • Wali Wangu (Episode 1)...
Watch Part 2 Here: • Wali Wangu (Episode 2)...
Watch Part 3 Here: • Wali Wangu (Episode 3)...
CAST: Madebe Lidai, Ochu Kiota, Isiaka Ngokwe, Jumbe Safi, Rehema Chambuso, Pendo Ismail,
STORY/SCRIPT: Madebe Lidai
EDITOR: Master Lee
PRODUCER: LP Media, Madebe Lidai
DIRECTOR: Kayto Kae
Subscribe to Madebe Lidai Movie Channel Here: bit.ly/2MVPITK
Madebe, Madebe Lidai, Nabii, Nabii Mswahili, LP Media, Bongo Movies, Tanzania Movies, African Movies, Swahili Movies, New Bongo Movie 2021, Nabii Mswahili Series, Bongo Movie 2021

Пікірлер: 159
@alikhamis1836
@alikhamis1836 4 жыл бұрын
Dah nilikuwa naisubir kwa hamu sna hongra kaka madebe nakupnda bure wallah .....wanaomkubli madebe gonga hapa🤗
@isayamsendekwa8914
@isayamsendekwa8914 4 жыл бұрын
Ali Khamis 😂
@bentybenty2343
@bentybenty2343 4 жыл бұрын
💯
@FaudhiAhmad
@FaudhiAhmad 4 ай бұрын
​@@bentybenty2343😅😅😅😢😢😂mambo
@ngayabosha
@ngayabosha 4 жыл бұрын
Balaa madebe anaee.mkubali alikee hapa👍👍👍
@azeezaabdalla4673
@azeezaabdalla4673 4 жыл бұрын
Walio fulaikama Mimi like zenu apa Ila kaka madebe unachelewa Sana jitaidi kuifanya iwe inatoka alaka kaka
@abuumo9637
@abuumo9637 4 жыл бұрын
Daaah jmn madebe nikupe asilimia ngp 100 100 tupe 5 bba
@salmarashid3492
@salmarashid3492 4 жыл бұрын
Mm napenda to iyo nyimbo ya iyo movie,,, kma ww pia umependa nipe like bc twende mbele
@bigstonemichanoclassibaby7989
@bigstonemichanoclassibaby7989 4 жыл бұрын
Eu também
@salmaramadhani3707
@salmaramadhani3707 4 жыл бұрын
Salma Rashid Naipenda pia Wajina
@salmarashid3492
@salmarashid3492 4 жыл бұрын
@@salmaramadhani3707 haha
@jumamakolokocho3002
@jumamakolokocho3002 4 жыл бұрын
San
@shafihmomedimbulu5490
@shafihmomedimbulu5490 3 жыл бұрын
Saf san madebe nakukubal hakika
@azeezaabdalla4673
@azeezaabdalla4673 4 жыл бұрын
Jamani Mimi wakwanza leo like zenu nilikuwa naisubili kwa amusana yani
@jumaali1300
@jumaali1300 4 жыл бұрын
Hahaha safi sana madebe weka mzigo mwengine
@muniramsati5345
@muniramsati5345 4 жыл бұрын
Huu wimbo wa wali wangu mzuriiii naupatajee msaada jamanii
@dicksonkomba9853
@dicksonkomba9853 3 жыл бұрын
7
@masanjadonatuscharles8037
@masanjadonatuscharles8037 4 жыл бұрын
Pow madebe super hero gonga like wazee
@khamisyusuph7088
@khamisyusuph7088 4 жыл бұрын
safisana madebe
@zakariaali376
@zakariaali376 4 жыл бұрын
Kwn jamaa munamchkuliaje
@aishasalimaishasalim1323
@aishasalimaishasalim1323 4 жыл бұрын
Ivi niwaulize ilasokwaubaya Nyie mnaomba like Mnaelekeazinawaingizia Faida tupeni siriya mafanikio Sonyie tu Nass tujuzane ✍️✍️🙄🙄
@isackobadiah484
@isackobadiah484 4 жыл бұрын
Like zinaonyesha kwamba mnaenda sawa juu ya Jambo flani
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 4 жыл бұрын
Mfano ukipost picha fb ukapata like unajisikiaje,? Like znashow love unajisikia happy kuwa umepata wa kusuport hoj ako
@isackobadiah484
@isackobadiah484 4 жыл бұрын
@@priscamlyuka5531 Hapo bila shaka Aisha atakuwa keshakuelewa vzr kabsaa!...
@Darvio
@Darvio 4 жыл бұрын
Always najifunza kutoka kwa madebe na team nzima good job
@yusufudogoli915
@yusufudogoli915 4 жыл бұрын
Nimefurai sana hila naomba kushiliki kwenye sin yeyote zijazo
@gharibabdalla7134
@gharibabdalla7134 4 жыл бұрын
Jitahid Mkuu Madebe usicheleweshe ndo tunapojifunza humu100
@febroniasamwel2822
@febroniasamwel2822 3 жыл бұрын
Inafundisha kwl
@yussufsalim7306
@yussufsalim7306 3 жыл бұрын
Wabongo mnakiharibu kiswahili Wali ni chakula semeni wari na sio wali
@mamafatuma138
@mamafatuma138 4 жыл бұрын
Ma sha Allah bro madebe akuna siku uliyo tumbwanga
@hawahawa6915
@hawahawa6915 4 жыл бұрын
Jaman mm nataka uwo wembo wa wali wangu sijui nitaipataje
@buluush9741
@buluush9741 4 жыл бұрын
Hawa ujmb?
@hawahawa6915
@hawahawa6915 4 жыл бұрын
@@buluush9741 sijambo vp ww
@mudyhamza8571
@mudyhamza8571 4 жыл бұрын
Me ninayo
@hawahawa6915
@hawahawa6915 4 жыл бұрын
@@mudyhamza8571 naitaka jaman
@nassirmbarak8032
@nassirmbarak8032 4 жыл бұрын
Siri kubwa ya kuzeeka haraka ni kusikiliza maneno ya watu na kuyaweka moyoni💪💪💪MADEBE
@eddympagike2544
@eddympagike2544 4 жыл бұрын
Mi wa 60 asante madebe kwakutuletea vipande vipande tinatupa furusa ya kufanya kazi na kukaa chini kuangalia tena na ten ilituepuke mikusayiko isiyo yalazima asante asant grup lote la madebe
@abdullahiguyo252
@abdullahiguyo252 4 жыл бұрын
Wow!nimekubali sana imenivutia kikweli...somo Kwa jamii dondoo zote za Madebe...Kazi nzuri madebe .
@nyukuriokuna9166
@nyukuriokuna9166 4 жыл бұрын
Tupeeee 5 jameniiiiii
@munnababygal8460
@munnababygal8460 4 жыл бұрын
Yaani hadi nimesahau ilipoishia jitahidi madebe
@stewardngala3700
@stewardngala3700 3 жыл бұрын
Katambuga kiboko madebe kabaki anamuangalia tu eti Kinachoeleweka kuhusu mimi ni kwamba sieleweki
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g 4 жыл бұрын
Tamu sana
@nyukuriokuna9166
@nyukuriokuna9166 4 жыл бұрын
Nzuri sana nlikiwa naingojea kwa mpigoooo
@iranangole7007
@iranangole7007 4 жыл бұрын
Madebe unachelewesha an paka unasahau jn la MOve
@qudramvuoni2616
@qudramvuoni2616 4 жыл бұрын
Nakubali sana ila madebe unachelewa sana kutoa vipande jitahidi sana
@barakawerema4850
@barakawerema4850 4 жыл бұрын
Respect bro
@bentybenty2343
@bentybenty2343 4 жыл бұрын
Madebe na tim nzima muko juu Masha Allah
@bonifacefrancis2854
@bonifacefrancis2854 4 жыл бұрын
Waliwangu
@neemamichael6898
@neemamichael6898 3 жыл бұрын
#madebe unajua hadi unakeraaa an
@frankamos3155
@frankamos3155 3 жыл бұрын
Atausponipenda utanisaidia kwasabu mimwenyew sijipend😆😆
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
Asantee Kaka Kaz nzuri Sanaaa 🙏
@mohamedswaleh9616
@mohamedswaleh9616 Жыл бұрын
Bravo ya madebe bro
@jumakasomelo3901
@jumakasomelo3901 2 жыл бұрын
I like your movies madebe. Keep doing better
@tibamwalimu8206
@tibamwalimu8206 4 жыл бұрын
Hahaaaa madebe umelonga Goya miyangu agwee nyiewanu kiboko mnachora kwahi wayetu khaa jmn madebe umeongea lugha ytu cc wazalamo ukopowa sana
@alfanm.8221
@alfanm.8221 3 жыл бұрын
Lugha ipi hii unayoongea hebu nijuze
@tobiasjumaouko3510
@tobiasjumaouko3510 2 жыл бұрын
May Almighty God bless LP Media for the work they are doing.I like your movies. Am from kenya
@nuuhsavage1591
@nuuhsavage1591 4 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@omarykamendu4674
@omarykamendu4674 2 жыл бұрын
Ahsante sana kwa kutuelimisha nakubali sana kazi zako umekula mwalimu bora kabisa kwa vizazi endelevu
@johnsiapetro3885
@johnsiapetro3885 4 жыл бұрын
Madebe wali wangu namba 5
@michaelmwanakatwe2884
@michaelmwanakatwe2884 4 жыл бұрын
Movie kali Kama kawaida ya madebe lidai hajawahi kuniangusha. Keep it up
@petersichula1383
@petersichula1383 3 жыл бұрын
You have inspired me all the movies and story of your words .....
@azizaasya8776
@azizaasya8776 4 жыл бұрын
Yaan mnachosha mnapotuacha njiani na movie zenu
@daudikapila5453
@daudikapila5453 4 жыл бұрын
Kweli kbisa. Mfano shupa na shupaza sijui imeishaje madebe vp
@azizaasya8776
@azizaasya8776 4 жыл бұрын
@@daudikapila5453 yaan ametuacha kabisa shupa na shupaza ni movie nzur sana
@noelmhako6153
@noelmhako6153 2 жыл бұрын
Jamaa anajua
@ngatarngata9583
@ngatarngata9583 2 жыл бұрын
Nzuri sana
@fishhamza1648
@fishhamza1648 4 жыл бұрын
Uko mwalimu kweli kaka Madebe
@stewardngala3700
@stewardngala3700 3 жыл бұрын
Safi sana kwa kazi zuri
@alphaksadefter6062
@alphaksadefter6062 3 жыл бұрын
Respect sana kaka naomba nataka kujua mwalimu alokufundsha kiswahili maana dah!!!
@mymussept3662
@mymussept3662 4 жыл бұрын
Humu wasanii weng wamekunja sura na wanaigiza kimaigizo yaan wengi hawajatendea hali uhusikaa Mtu anaigiza anaonekana kabisa anaigiza. Endeeleenii kurekebisha Nawajua wabongo hapa mtaniuliza mm naweza sio lazima niweze najaribu kufananisha na tamthilia zinginii
@hawamlewa7067
@hawamlewa7067 4 жыл бұрын
Mungu alishakusamehe zamani tu 😂😂
@lenaldmsafi8517
@lenaldmsafi8517 4 жыл бұрын
Hawa Mlewa . .
@gershomisoka6793
@gershomisoka6793 4 жыл бұрын
kakambuga you made my night na misemo zko izo
@wishmastetsocrates8327
@wishmastetsocrates8327 Жыл бұрын
NC kaka
@araphanassa1561
@araphanassa1561 2 жыл бұрын
Nzuri😍🥰
@kakamama5104
@kakamama5104 2 жыл бұрын
Nice 👍
@kakamama5104
@kakamama5104 2 жыл бұрын
Mashallah
@user-xy3lk5fh4u
@user-xy3lk5fh4u 4 жыл бұрын
Asante sanaa
@hamzakiria5322
@hamzakiria5322 4 жыл бұрын
Mama kibonge yupo vizuri kwenye kuigiza
@nibigiramwajuma7925
@nibigiramwajuma7925 4 жыл бұрын
Asante sana madebe na theam nzima
@eriarebejo390
@eriarebejo390 4 жыл бұрын
Eeh madebe wewe ni m2 hatari sana hongera broo kazi nzuri
@godfreymassawe6506
@godfreymassawe6506 4 жыл бұрын
Respect Kk nakukubali sana
@rehemabakali494
@rehemabakali494 4 жыл бұрын
Inachelewa sn adi tunasahau
@maryamsultan81
@maryamsultan81 4 жыл бұрын
Santeee madebeee
@muniramsati5345
@muniramsati5345 4 жыл бұрын
Asantee konde boy kwa mafunzo mzuriiiiii hakika tumejifunza vitu vingi sana kupitia movie zako
@ashuramrisho8299
@ashuramrisho8299 4 жыл бұрын
Nilikua naingoja kwa hamu
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 4 жыл бұрын
Tatizo madebe huwek namba za simu na hatujui tutakupataje kama tunahitaji movie zako
@ashleymwanyiro2207
@ashleymwanyiro2207 2 жыл бұрын
Hivi huyu mtangazaji ni mlevi kweli
@yakoubwachafu4694
@yakoubwachafu4694 2 жыл бұрын
Katika kila Baya linalo mkuta mwanamme nyuma yake kuna mwanamke ni Neno Moja lenye ihutaji umakini
@kahabisayi6982
@kahabisayi6982 4 жыл бұрын
Nakukubali nabiii
@danielmwau321
@danielmwau321 3 жыл бұрын
Madebe uko sawa.
@ramadhanabasi6369
@ramadhanabasi6369 2 жыл бұрын
Nice move
@hamidabaliyanga2584
@hamidabaliyanga2584 4 жыл бұрын
Asante sana
@davidmayele994
@davidmayele994 4 жыл бұрын
💕💕💕
@josesahanya1033
@josesahanya1033 3 жыл бұрын
Nimekukubali madebe kwamisamiati enderea madebe
@lladhinamohammed2353
@lladhinamohammed2353 4 жыл бұрын
fundi
@shenunakassim8514
@shenunakassim8514 2 жыл бұрын
Wali wangu 4
@farrynimmo4150
@farrynimmo4150 3 жыл бұрын
I love your films so much you teaches wonderful ❤️❤️❤️
@yusuphkidoto9353
@yusuphkidoto9353 4 жыл бұрын
Tatizo unachelewesha muendelezo mpaka tunasahau ilishia wap
@lameckyherry6133
@lameckyherry6133 4 жыл бұрын
Aise madebe ni zaidi ya wahenga
@kenmwenda5899
@kenmwenda5899 3 жыл бұрын
Big respect sir I salute you.
@princekimweri7532
@princekimweri7532 4 жыл бұрын
Ulikuwa hujui Kama wali wako waliwa 😄 😄😃 😃😄😄😃 😃
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 2 жыл бұрын
Asante
@user-mq6re2ji9y
@user-mq6re2ji9y 10 ай бұрын
Nicely
@kimuratv255
@kimuratv255 4 жыл бұрын
Madebe nakubal san kaz mnazo fanya
@calvinomukuba4442
@calvinomukuba4442 3 жыл бұрын
Mambo vipi kaka una kazi miruwa kabisa
@fatumamakungu2942
@fatumamakungu2942 4 жыл бұрын
Iyo rugha nimekumbuka cha nyumbani
@alfanm.8221
@alfanm.8221 3 жыл бұрын
Ni lugha ipi iyo walotumia hapo
@sophiacharles6268
@sophiacharles6268 2 жыл бұрын
🥰🥰
@ezekielevarest9215
@ezekielevarest9215 4 жыл бұрын
Wanawake siyo wa2 pouwa kbsa yaaani alivyompita kma hakuwai kuwa nae ktka uhusiano
@chrischleopa7738
@chrischleopa7738 4 жыл бұрын
Beat Kali Sana iliyotumika aisee
@bihizaclement9868
@bihizaclement9868 4 жыл бұрын
Asante madebe
@aliykibabe9033
@aliykibabe9033 4 жыл бұрын
Lp media kituo cha burudani za uhalisia
@calvinomukuba4442
@calvinomukuba4442 3 жыл бұрын
Nakupongeza kwa kazi muzuri
@agesaagesa2483
@agesaagesa2483 4 жыл бұрын
💥💥hatali sana
@neemambulinyingi3351
@neemambulinyingi3351 4 жыл бұрын
Madebe uko vizur kaka
@thadeyashery9212
@thadeyashery9212 2 жыл бұрын
Uko vizuli kaka
@bintihassan6534
@bintihassan6534 4 жыл бұрын
Safii madebe
@prosperkonokono5716
@prosperkonokono5716 4 жыл бұрын
Epsod 4 tumeisubili kwa miez 2 sasa. Ole wenu epsod 5 iishe wiki. Kama bajet haitoshi c mseme tuchangie? Madebe juuuuuuuuuuuu
@iddisaidi3328
@iddisaidi3328 4 жыл бұрын
vizuri sana
@accountsreutech3580
@accountsreutech3580 4 жыл бұрын
madebe mimi nyuma yako kabisa
@samiaarimkonekonko5096
@samiaarimkonekonko5096 4 жыл бұрын
Nakukubari madebe
@kassimomar7589
@kassimomar7589 4 жыл бұрын
Nili isubir kwa hamu
@ndaukafaifo217
@ndaukafaifo217 4 жыл бұрын
Ongl bb bos
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Wanaume wa siku hizi hatutafuti wanawake Bikra tunatafuta wasiokuwa na watoto
@matridaemmanuel8498
@matridaemmanuel8498 4 жыл бұрын
Chriss joel saf sana madebe
@joshuagemma9670
@joshuagemma9670 4 жыл бұрын
Sana watanzania wenzang
Wali Wangu |Ukurasa wa 6 | Full Movie - Madebe Lidai (Official Movie)
29:27
Madebe Lidai Movies
Рет қаралды 305 М.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 11 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 4,2 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 52 МЛН
Wali Wangu LATEST |Ukurasa wa 8| - Madebe Lidai  (Official Bongo Series)
27:18
SINGO MAZA
8:29
Joti TV
Рет қаралды 297 М.
MISEMO YA MADEBE NDANI YA MATUSI
2:56
itv thebase
Рет қаралды 19 М.
MJEDA"Movie Episode1 Starling Tinwhite  Mwelesi Silva Queen
16:21
WHITE FILMS
Рет қаралды 848 М.
NABII MSWAHILI SE1 Episode 10 - Madebe Lidai  (New Bongo Movie)
22:16
Madebe Lidai Movies
Рет қаралды 928 М.
MBILINI Sehemu ya Kwanza (1)
13:20
Madebe Lidai
Рет қаралды 288 М.
Wali Wangu Part 5 - Madebe Lidai (Official Bongo Series 2020)
27:21
Africha Entertainment
Рет қаралды 7 М.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 11 МЛН