Рет қаралды 1,184
Walimu wa Sekondari msingi kutoka kaunti ya Uasin Gishu wanaandamana hii leo mjini Eldoret, kulalamikia malipo duni ya mishahara na kuandikwa kazi ya kudumu na serikali kuu . John Wanyama yupo Eldoret na tunaungana naye kwa maelezo zaidi.