Thanks God....nimekuja kusikiliza tena this song 2023... Unanirudish kundini kwa mara nyingine.
@patanishatv57825 жыл бұрын
Wimbo ulionifanya nikaingia kwenye mziki wa gospel jamani duu respect
@pilikasimu15935 жыл бұрын
Vocal jamni mashallah ,km naww unaisikia vocal ya walter gonga like,umefanya jambo jema kumtumikia mungu
@peterpangani40225 жыл бұрын
Mushukuru Mungu kwa Yale alio kutendea ktk maisha yako, coz yeye hutuwazia mema daima. Like ikiwa ishara ya kumshukuru Mungu.
@nnadipromise5464 жыл бұрын
Music is a universal language I'm from Nigeria I don't understand his language but his songs got me dancing
@pceodhc7 күн бұрын
I always come back to this song whenever naskia kumshukuru Mungu! Asante! 🙏🏾
@kristianbiseco10812 жыл бұрын
Whenever I feel tested ...I feel bad..I feel left alone...I listen to this song and cry to God ... He then assures me everything is alright Hongera kaka nyimbo nzuri sana hii
@SophyNight-st1qo Жыл бұрын
"Najua vita sio ndogo, lakini kwa YESU hiyo vita ni ndogo" I love I love this song❤❤❤ Kudoz & more blessings Mr. Chilambo👏👏❤🎉
@godfreystarford68426 жыл бұрын
Hata sasa Yeye ni Ebenezer... Tusiache kuziimba sifa za mwokozi wetu Yesu Kristo.
@edwardmlonganile26197 жыл бұрын
ubarikiwe sana hakika Mungu atakufanikisha meng nimependa ulivoamua kumtumikia Mungu.
@ulafim27198 жыл бұрын
Daaaaaaaaaah Kaka Yani Kichupa Ni Hatar Balaaa N Mungu Azid Kukuinua Juu Zaidiiiiiiii Amen!!!!!!!!
@WalterChilambo8 жыл бұрын
ameen
@ilvgod11883 жыл бұрын
Oh Thank you Jesus ,nimeamua nikufuate, nimeamua kuyaacha yote ili nikufuate, asante kwa kunipenda Mungu ungu wangu ,milele nitaimba sifa zako ,Ameen
@kelvinmpanda90917 жыл бұрын
Nimeacha vyote nimeamua nikufate asante kwa kunipenda asante Yesu
@kalobeflix8 жыл бұрын
Utafika mbali, kwani mwamtegemeo Bwana ni kama mlima sayuni. trust me
@abeer42015 жыл бұрын
Barikiw kaka kwakuwa nyimbo zako zinatufunguwa mwoyo nakutugeuza🙏🙏
@WalterChilambo5 жыл бұрын
Ameeeen. Wow wow Asanteee Pia karibu kutazama video ya wimbo wangu mpya God of Mercy kzbin.info/aero/PLoKu8zBaJXIVVTFnK6hJXEF4yQOUY3bXZ
@zawadi91123 жыл бұрын
Ahsante sana ...mungu, u are really talented ,and spirit filled!
@gardnerhans36084 жыл бұрын
Hakika Wolter Chilambo Mungu akubariki Sana.....Nyimbo yako hi imenifungulia mengi Sana kaka.Mungu awe nawe
@eunicekombe69165 жыл бұрын
Hakika Mungu anakutumia vema San nyimbo zako zote zinani Bariki pia zina ujumbe mzuri
@matridahmartin47775 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu.ya kusonga mbele zaidi.wimbo Aksante kwangu mi ni baraka saana.i like it
@WalterChilambo5 жыл бұрын
Ameen .😊Nimefrai sana kusoma comment yako Matridah. Umeskiza GOd Of Mercy na NAJIVUNIA?...
@frolafrank87426 жыл бұрын
Hujawahi kukosea kila nyimbo ni nzuri. Mungu akubariki zaidi na zaidi
@azizadjuma45626 жыл бұрын
The thing is that this guy is one of those who are taking gospel music to another level!!!beautiful sound,beautiful video!!!heaven and earth are the works of God’s hands and everything in them...let us use everything on earth for his glory!!!! May Jesus Christ protect you 🙏🏻
@kenmugiira6786 Жыл бұрын
God bless you it's Swahili language
@ImeldaMyinga5 ай бұрын
Kijana wa yesu wimbo huu unanibariki mnooo🙏🙏
@jackmukundwa9125 жыл бұрын
Hakika bwana anaokowa, chilambo ubarikiwe uzidi kusonga mbele kwa kazi yako ya kumtumikia bwana Mungu wako
@nanakessia23183 жыл бұрын
Asante Mungu wewe ni Mwema 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@obreymakundi80036 жыл бұрын
Chilambo the best of Me Mungu akakubariki kwa nyimbo nzuri unanifarijii sana Babu
@abdulkareemcelestine52345 жыл бұрын
Asante mungu mungu wangu ww ndy kiumbe chaajabu ambocho ikiwezi tafitiwa na mtu yeyote unaweza kaka🙏🙏🙏🙏
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki kaka you are such a blessing to this generation its 2023 and bado huu wimbo ni ibada kwangu
@djkelvkenyaOfficial7 жыл бұрын
Wow! Who else is watching from Kenya & receiving the anointing through Walter Chilambo
@doministarkaji54373 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭😭 this song🔥🔥🔥🔥🔥
@prayers-q2v Жыл бұрын
i have cried with this pretty song , i have screamed with this pretty song , i have yelled with this pretty song. i have stomach problems , this eats me. this cuts me. this swallows me. i am young but still growing. 😭
@alexlingwendu67807 жыл бұрын
Huku utapata pesa na pia utampendeza MUNGU zaidi na zaidi. Hongera saana usirudi nyuma huyu ndie unepaswa kumuimbia .God bless you.
@nabiikelvins72138 жыл бұрын
unajua mwanangu mpaka unamuudhi SHETANI vizuri Barikiwa kwa hatua nzuriiii na uhamuzi sahihi.
@michaelbalton78665 жыл бұрын
Twendelee kumtumainia Mungu na kumshukuru kwa kusema Asante kwa kila jambo,ANATUWAZIA MEMA.Nakukubali sana kaka.
@WalterChilambo5 жыл бұрын
Asanteee sana Mike. Barikiwa sana Pia karibu kutazama wimbo wangu mpya kzbin.info/aero/PLoKu8zBaJXIVVTFnK6hJXEF4yQOUY3bXZ
@loveeventz32345 жыл бұрын
Kwa Mungu ni salama..Thanks for good song
@walterchilambo1195 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaaa
@faineskyando73137 жыл бұрын
nimeupenda sana huu wimbo,kweli kwa yesu ni salama,hongera sana chilambo wakaka wazuri wako kwa yesu umechagua fungu jema
@abeer42015 жыл бұрын
Mungu azidi kuku PA Imani mAni uendereye kumutumikiya usitokeye kuanguka🙏🙏
@noviceandrey8138 жыл бұрын
jambo jema kushukuru kwa mungu wetu mana ndie anayetushindia mambo yote.....umeimba vzur had umeboa....
@elizabethkitema12723 жыл бұрын
Asante Mungu kwa kunipenda kwani kuna wengine walitamani kuwa na upendo ulionipatia lakn hawana mm ni nan nixhindwe kuxhukuru,,, big up bro walter kwa wimbo mzuri God bless u
@dr_deo8 жыл бұрын
Umechagua fungu jema na hakika ni mwanzo mzuri, nataraji kukuona Mungu akikunyanyua viwango hadi viwango. Barikiwa sana
@kilianamapunda51055 жыл бұрын
Nice brother chunga sana imani yako isije kuyumbishwa na shetan mama shetan anatizama imani yako
@bonphaceraphael57715 жыл бұрын
nyimbo nzuri san kiukweli nimefarijika nayo san ubarikiwe san mtumishi
@bernadethamussa92896 жыл бұрын
Ahsante kwa kunipenda yesu wimbo huu unanifny nione Ukuu wa baba ndani yngu
@EmissaryMartin4 жыл бұрын
Asante kwa huu wimbo.... So fine.
@isaacchepkutto91563 жыл бұрын
Best vocalist. Such a blessing. Kindly let's subscribe, watch and let's not skip the Ad it's money for him. Be blessed all
@StellamosKimweri7 ай бұрын
Namkubali Sana huyu nimtumishi wamungu jaman❤ utafika mbali mno unamafuta mno mungu awe pamoja naww asikuache kwakweli
@veromummy68916 жыл бұрын
wimbo mzuriiii xan Mungu akubariki huendelee kufany vizur
@elizabethelia12207 жыл бұрын
YESU akushike kwa mkono wake wa kuume.....usife moyo
@godfreyanderson61538 жыл бұрын
Asante Mdogo wng Walter kwa wimbo mzuri na mungu azidi kukubariki juu wimbo wako na uwe fuzo Kwa jamii tujifunze kushukuru
@jeff_nails16 жыл бұрын
Kila nikisikiza wimbo huuu unanipa nguvu ya kumwimba mungu barikiwe sanaa chilambo
@charlesgodwin39126 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki na kukuinua uko mahala sahihi kumtumikia Mungu akiyekupa karama nzuri ya sauti na uimbaji
@sophietabz47146 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU Walter Chilambo na Hongera sana kwa kazi njema YESU KRISTO azidi kukuinua kwa ajili ya Utukufu wa Jina lake.
@mcrithachuwalo75017 жыл бұрын
Naiangalia hii video kila saa nairudia nairudia nairudia. Sikukosea kukupigia kura yangu BSS. Tukibarikiwa hivi Walter,basi Mungu na amkumbuke Madame Rita Paulsen kwa sadaka yake aliyoitoa. I'm blessed Walter. This is the best, you are Gifted.Hehee nakuahidi katika kila sherehe nitakayoiongoza nitaucheza huu Wimbo. Cheers.
@WalterChilambo7 жыл бұрын
Ritha Chuwalo ooh hallelujah ubarikiwe sana ndugu yangu asante
@jackyluns82244 жыл бұрын
@@WalterChilambo bro habari napenda unisaidie studio wanayorekod nyimbo za gospel nisaidie mtumishi maana hatukukosea kukupigia kura BSS kipnd kile kaka yangu upo unastahili sifa maana natafuta watu wanisaidie vinginevyo nitatapeliwa tu kaka
@edinasawala59175 жыл бұрын
Unilinde na mabaya yoote nisiangamie!.. Asante Asante Asante nabarikiwa mno
@lindershirima37113 жыл бұрын
Asubuhi yenye baraka tele....Asante Mungu wng kwa kunipenda
@fikirinitausi7993 жыл бұрын
Asante Mungu, wewe Ni mwema
@attubulenge5308 жыл бұрын
ubarikiwe kwa kuwa umechagua fungu jema nyimbo nzuri
@WalterChilambo8 жыл бұрын
attu Bulenge Ameen
@fidebaraka44516 жыл бұрын
nausikiliza naona nguv inapita ktk mwili wangu God bless youu
@WalterChilambo5 жыл бұрын
Ameeeen.barikiwa saaana
@youngestmedia13236 жыл бұрын
shalom mtumishi huku ndipo ulipotakiwa kuwepo endelea kutu injilisha kwa mziki bwana Yesu asifiwe sana
@catherinemsofe80207 жыл бұрын
nausikiliza muda mwingi sana wimbo mzuri sauti nzuri neno zuri ubarikiwe
@elizaaloyce89478 жыл бұрын
Mungu akuongezee baraka zake, nimeipenda na ujumbe ni mzito
@WalterChilambo8 жыл бұрын
amen
@peterjames29986 жыл бұрын
niende wapi nijifiche uso wako ooh wimbo huu una nguvu sana Mungu akubariki sana my young brother Water Chilambo
@gabrielsixtus17188 жыл бұрын
kwel umejijua kuwa unauwezo w kila aina kwenye mzk kaz nzur sana
@WalterChilambo8 жыл бұрын
Gaby six asante sana
@sophiaamimo77304 жыл бұрын
Here diamond kwisha ....hip sauti bro yamaliza itumikie MUNGU milele ugifted bro ASANTE MUNGU
@sarahbeautytz60888 жыл бұрын
Go go go.... walter, Wimbo mzuri na ni wakati sahihi wa ujumbe wako na maamuzi uliyoyafanya.... uimbe sifa zake milele kama wimbo wako unavyosema... nimeupenda mno huu wimbo hadi nimejisikia kuliaa...
@WalterChilambo8 жыл бұрын
Sarah Aaron asante sana
@japhethmasonga36598 жыл бұрын
ubarikiwe sana kwa kuona kwa bwana ndiyo njia sahihi zaid katika maisha yetu
@marymbuya33068 жыл бұрын
mungu aonekane kwako akupe nguvu na afya uendelee kumtukuza kaka nakuombea uongezewe miaka kama ezekia maan umechagua fungu lililo Jema! MUNGU akivushe kwenye mabaya kama alivyowavusha wana Wa Israel
@graceandrew67182 жыл бұрын
Asante Asante Asante Asante Asante Mungu wangu, Be blessed such a powerful song.
@mwingafredympoli33598 жыл бұрын
niende wapi nijiepushe na roho yako..... unilinde na mabaya yote yasinipitie, unioshe bwana kwa damu yako nisiangamie. ... ahsante!!! umetisha
@heavenlypatric48225 жыл бұрын
"Nimeamua nikufuate maana Wew ni Msaada " Good Song 🎶
@anitab1803 жыл бұрын
Ndio, every morning new: Asante MUNGU wangu, without YOU nothing would be, BUT because of YOU.... Asante sana - we can not give HIM enough thanks. You are blessed with a voice to worship GOD!!! I thank GOD for you 🙏🏻
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Amen
@sharifusudy64053 жыл бұрын
Asante mungu asante pia kaka yangu kwautuzi mzili kabisa
@agnesmasaki50696 жыл бұрын
ubarikiwe sana kaka kwa wimbo wenye ujumbe mzuri! only you kwangu km dose naona sasa itapumzika kidogo nianze hii
@mariadagobert2406 Жыл бұрын
Waoh this is amaizing song. Blessed one. I used to listen to it while am driving. I see the groly of Lord in this song
@malimbaprince98697 жыл бұрын
Walter chilambo nyimbo yako inanibariki Sana tena sana mungu akuzidishie Kaka ,.Mimi naitwa malimba prince Niko ni mumarekani ila cimbuko kwetu ni Congo.kaziyako ni nzuri sanaaaa endelea kutuimbia songs za gospel
@irakozewinny77535 жыл бұрын
Kbs na mm pia ivo
@benjaminrogasian45625 жыл бұрын
iko safi napenda sana nyimbo zako
@Jastus1005 жыл бұрын
Tazama God of mercy by walter chilambo MUNGU akubariki
@WalterChilambo5 жыл бұрын
Asante saaaana James... Barikiwa sana. Nimepata furaha kubwa Sana. Wewe ni baraka Kubwaa kwangu
@rebeccahosea36344 жыл бұрын
Najisikia uweponi mwa bwana Walter chilambo huwa unanibariki mnoooo
@frankstarstz4705 жыл бұрын
Mungu azid kukumiminia neema nabalaka uzidi kumuimbia daima
@verohmchihiyo50298 жыл бұрын
wow wow.... he surprised me... an it nice song....we jus thanx God for everything an everyday.... my Lord bless you today an everyday in you're life
@furahamkunda70753 жыл бұрын
Nimeguswaaa mno na huu wimbo
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Amen
@marryhaule90128 жыл бұрын
Hongera Walter Kwa kazi nzuri nimeipenda siku haipiti Bila kusikiliza i love this song
@WalterChilambo8 жыл бұрын
Marry Haule asante sana
@janethmtinda71536 жыл бұрын
naupenda sana huu wimbo huwa unanibariki sana songa mbele zaidi
@elizabetjmillel33516 жыл бұрын
yaan me nafurahi sana kuona mkaka mzuri kama huyu anamtumikia Mungu,Mungu akuinue kwa viwango vingine vya juu
@catherinemwakalebela28317 жыл бұрын
wimbo mzuri ,,hujakosea hii ni njia nzuri,baki kwenye injili
@wynejanuary34837 жыл бұрын
Mungu akubariki na kukuongoza kwa kila utakalolifanya. Mefarijika na nyimbo hii
@nesseniftyjoseph56866 жыл бұрын
Huu wimbo umenibarikiii🙏🏿Mungu akuongezeee karamaaa ya kuendeleaaa kugusaa maishaa ya watuu🙏🏿🙌🏿
@WalterChilambo5 жыл бұрын
Ameeeen. Asante sana. Pia nawe Barikiwa sana Pia karibu kutazama wimbo wangu mpya kzbin.info/aero/PLoKu8zBaJXIVVTFnK6hJXEF4yQOUY3bXZ
@shangtonkabwogi86998 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka Walter............ kazi nzuri sana!
@shabanbane17968 жыл бұрын
mungu hakungez kipaji. habaliki
@officialkswarttizmnyama22506 жыл бұрын
Dah good bless u kak natamani siku moja nije kuwa kama ww kak nakubali kazi zako mungu azidi kukuinua utusaidie nasisi kama wadog zako bless you brooo Walter chilambo
@lunasimon92767 жыл бұрын
Wow asant yesu kwa kunipend milele ntaimb sifa zako
@braghtonbrayan64465 жыл бұрын
kijana anapomtumikia mungu kwa kumaanisha mungu anakuheshmisha na kukung'arisha,ongeza unyenyekevu kwa mungu hautachuja kabsa bro
@paulharuna50534 жыл бұрын
Nimeamua nikufate wewe mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@costlily45267 жыл бұрын
Tuwekee lyrics za huu wimbo.... Barikiwa na mungu aendelee kuchochea karama yauimbaji juu yako
@valentinamussa42125 жыл бұрын
Asante nyimbo,nzuri,mungu akubariki
@WalterChilambo5 жыл бұрын
Ameeen. Asante kwa kutazama na kucomment Valentina. Mungu akubariki
@haapyjohn94195 жыл бұрын
asante MUNGU wewe ni mwema umenipa uzima na kunipenda moyoni mwangu nina amani tena nimeacha yote niliyoyatenda nimeamua nikufate kwamaana we ni salama nimeamua nikufate kwamaana we ni salama nakung'ang'ania nisikwache ee MUNGU wangu jaman nimebarikiwa sana na huu wimbo msishangae ubarikiwe sana kaka woter, thanks Jesus I love.
@ericasamwangwa1927 жыл бұрын
aiseh ubarikiwe sana.... nimekuta mpaka machozi yamenitokaaa kabisaaaa
@rafikigospelsingersgroup10467 жыл бұрын
Ni vema kumshukuru Mungu wetu kila siku ya uwahi wetu. Mungu anatupenda ....kwa nini tusiseme asante kwake. Hongera kaka kwa wimbo Mzuri
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Nawapenda sana ndugu zangu🙏 Mungu awabariki mno
@papafranco75068 жыл бұрын
Waaaaaaoh. ....nice song....wish kama ungekutana na Ambwene na mkatengenezaa wimbo wa pamoja....ubarikiwee chilambo....
@veronicascottmollel78977 жыл бұрын
Umebarikiwa Walter Chilambo Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi.
@nicksonamiani Жыл бұрын
Woltar hi wimbo inanisaidia Kwa kuomba.
@albywamandalinho6 жыл бұрын
Asante kwa mziki mzuri kaka ubarikiwe
@grademwenga16906 жыл бұрын
Kumushukulu mungu so jambo gumu 2siwe wagumu wakutoa shukran kama dagaa
@joshuasimon52427 жыл бұрын
Kweli Mungu ni mwema kwe2 2napaswa kumshukuru shine kk
@maryfreddy92756 жыл бұрын
Nitaimba sifa za Mungu milele.
@irenezephania99686 жыл бұрын
God bless you walter nyimbo nzuri sana nafarijika sana na hii nyimbo