Watuambao tunapenda mziki wa mungu tujuwane kwa like hapa ndugu zangu naamini kk Walter chilambo hanjawahikoseya kwahilo hawezikutu angusha tunasubirikwahamusana
@KanyereSolange9 күн бұрын
Wewe mtoto naona unapenda nyimbo zaechili Sana kola wimbo unawekakometi kwa obby uliweka nahapa pia❤ good blessé you bro
@MutchamubiJames9 күн бұрын
Kazi njema baba na mungu azidi kukukumbuka kwakazi ya mziki
@MutchamubiJames9 күн бұрын
Lakini naomba mail yako baba kwa mawasiliano zaidi
@CarlosAmergo5 күн бұрын
Tunao penda kazi za brother Walter mzée wa (only you )watuwe makopa hapa❤❤❤💥💥💥
@laxmajor5 күн бұрын
Mwaka huu mwendo mtumishi wamungu 😍🇹🇿
@OFFICIALSEMAH8 күн бұрын
Hello guys juuu kama unapenda chillambo weka like hapa zote Tanzania 🇹🇿 from Kenya 🇰🇪🇰🇪 napenda sana chillambo mwaka❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎥🎥🎥🎵🎵🎵🎼
@mbagatv6 күн бұрын
Walibana kushoto Mungu kafungua kulia kweli Mungu siyo Selemani ngoma moto sana
@BrightoneAyubu6 күн бұрын
Goma la Kuruka nalo mwisho wa mwaka ,God Bless You🙏🙏🔥🔥🔥🔥
@Elieslogger5 күн бұрын
Tulio malizi nakuanza mwaka tujuwane kutoka 🇧🇮 Burundi❤❤🎉
@MESHACKDAMIANO-w7u5 күн бұрын
Mauwa Yako Walter chilambo 🌹🌹🌹🌹💐💐💐💐 namariza mwaka
@ibrahimmjumbe99346 күн бұрын
Ahee ! aheee !❤❤❤❤ Nice sana🙏
@mbagatv5 күн бұрын
Jamanii mm nimeusikiliza wimbo zaidi ya mara Kumi Lakini Bado sichoki Wacha tumalize mwaka na tuanze mwaka Kwa Jina la Yesu ❤❤❤ gonga like hapa kama unabarikiwa na wimbo huu
@disdamian5 күн бұрын
Hujawahi kosea my Brother, 💪💪💪💪💪
@trestar_tz6 күн бұрын
MWENDO WA MWAKA 🔥🔥🔥Sema Walter Ni FUNDI Wa hizi Kazi🎧🎹🎻Since BONGO 🌟 Generation
@GodfreyMsangawale11 күн бұрын
Barikiwa sana we wait it , MWAKA,Nahisi ni goma Kali sana❤❤❤❤❤
@WalterShujaa10 күн бұрын
Brother me niko macho sana nita kua wa kwanza kuipata 😂😂❤❤❤❤
@esthernkirote79954 күн бұрын
Ahsante Mungu namaliza mwaka hivyo tu
@Yahos_Design18 сағат бұрын
Good vibes ✊
@hurumamushi22174 күн бұрын
Big up brother, kubwa sana hii.Mungu akubariki.,🔥🔥🔥
@Chrissiecharles4 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉 na mimi namaliza kwa kishindo❤❤❤❤❤
@marywachira1925 күн бұрын
Love the music Walter Chilambo. Maua tupu🌹🌹🌹. Nyimbo zako ni baraka kwangu, shukran
@mluhyawabungoma15 күн бұрын
Unifanyie moja ya birthday mzito
@chesangfaith31323 күн бұрын
🎉🎉🎉tutashare ukifanyiwa
@ZaklazuliOfficial2 күн бұрын
0:27 ❤🎉❤
@bamatv6515 күн бұрын
Sema Ahsante kama MZIMA.
@AliceAzzy6 күн бұрын
Waoooh god bless you
@AliceAzzy5 күн бұрын
🙏🙏
@KabulaYusuphКүн бұрын
Mungu.mwema sana kwenye maisha yetu
@rayahaji88425 күн бұрын
Nimeisikuliza zaidi ya mara 10 nimeka na wasap profile ahsante mtumish ❤❤❤ tumshukuru M/ Mungu kama ni wazima
@RaulentJackson5 күн бұрын
Walter noma san🎉🎉🎉🎉😅
@SharleneRachilo4 күн бұрын
I'm in love with this song ❤❤
@LynderMatiko5 күн бұрын
Walter chilambo has done it agaiiiii ❤❤❤
@DianaClement-e8b5 күн бұрын
Wow good song unyama san br ❤❤
@AltralayTheupliftedwayne6 күн бұрын
Kazi safi Kaka Walter😊
@Josephkilango-b2g5 күн бұрын
Brooooooo imetufikiaaaaaaas
@erickhaule86802 күн бұрын
Water chilambo mzee wa BSS kibwa kuliko
@MoosaMd-h6b6 күн бұрын
Ngoja niendelee na ukimaliza mwaka na Mungu.
@erickhaule86802 күн бұрын
Mungu atatufungua zaidi ya haya
@domeshow5 күн бұрын
🔥🔥🔥 very nice song
@marionkassaila995 күн бұрын
Huu mwaka nabarikiwa na Wimbo huu🙏🙏
@RaulentJackson5 күн бұрын
Bro lete kichupa ngoma kari san
@damianiyuda6655 күн бұрын
Dahh hiki chumaaa❤❤
@godwingodwin25648 күн бұрын
Funga mwaka👍👋
@florenceajikon3855 күн бұрын
Blessings after blessings
@waukweliadolph6 күн бұрын
Mungu ni mwema Mimi Bado mzima
@lukundolucas1993 күн бұрын
mimi huyu Walter jamani ningekuwa na uwezo ningemtumia nauli aje kigoma nimpikie mgebuka mkubwa ale
@SelemanKaunda-oo9zt6 күн бұрын
mungu akubalik kwawmbo mzuli
@lumenradio34906 күн бұрын
Mungu siyo Selemani
@samweliwisdomtz8 күн бұрын
Sawa kaka tunasubili
@nabiijeremiah14756 күн бұрын
Kwel mungu unanipenda
@mbagatv6 күн бұрын
Nimeusubiria hatimaye umetoka
@ToshaNeema-i1n5 күн бұрын
God bless you ❤❤❤
@benjaminifwema53855 күн бұрын
I am blessed with this Song
@ruthchomba72552 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥Big up kaka
@WalterShujaa6 күн бұрын
Waaaooohhh ❤️
@ToshaNeema-i1n5 күн бұрын
Amen ❤❤❤❤❤❤
@blacksamaritan51675 күн бұрын
Nomaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@raymondpm573020 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@WalterShujaa6 күн бұрын
Waacchhhiiiii 🎉🎉
@MoureenOmollo-x4b5 күн бұрын
Nice🎉🎉
@michaellutonjagospelsinger66116 күн бұрын
wimbo ukiupiga tu ,kila mtu anajisitukia kumbe ni mbaya wako😂😂
@esthergabriel36514 күн бұрын
😂😂😂
@GodfreyMsangawale5 күн бұрын
MWAKA HUO, MWAKA HUO, MWAKA HUO, MUNGU MKUU, WALTER, MUNGU AKULINDE 🎉❤,KAMA UNAAMINI HII NI NYIMBO YA KUFUNGA MWAKA NA KUANZA MWAKA MPYA WEKA LIKE HAPA🎧🎻