Walter Chilambo - SHWARI (Official Video)

  Рет қаралды 353,217

Walter Chilambo

Walter Chilambo

Күн бұрын

Пікірлер: 380
@OFFICIALSEMAH
@OFFICIALSEMAH Жыл бұрын
Mimi wa kwanza toka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 nipeni like zangu hapa za chilambo ❤❤❤❤ beautiful song shwari
@WalterChilambo
@WalterChilambo Жыл бұрын
Baraka
@williammadumba872
@williammadumba872 Жыл бұрын
​@@WalterChilambo❤❤
@OFFICIALSEMAH
@OFFICIALSEMAH Жыл бұрын
Chillambo
@DaEliza-j6z
@DaEliza-j6z Жыл бұрын
❤❤
@Kachende
@Kachende 8 ай бұрын
Mm​@@WalterChilambo
@justdoit8256
@justdoit8256 Жыл бұрын
“Najuwa vita sindogo, vita sindogo, ila kwa Mungu, iyo vita ni ndogo….” To all of us facing one difficulty after another, Mwenyezi Mungu bado yupo nawe na ana kusudi nzuri with your life. Our tomorrows will be better in Jesus name! DO NOT LOOSE HOPE
@sarasanga6651
@sarasanga6651 Жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏
@selinamzungu9681
@selinamzungu9681 5 ай бұрын
Thankyou ❤I think I needed this on this particular moment
@biana8998
@biana8998 Жыл бұрын
you're very talented bro! huu ni zaid ya wimbo, huu ni waraka wa maisha yetu ya kila siku😭😭
@shalomblessings5414
@shalomblessings5414 Жыл бұрын
Natokea Kenya na uu wimbo umenibariki sana..nakunitoa machozi kw maana najua Mambo yatakua shwari
@em_vee_josh
@em_vee_josh Жыл бұрын
Idk what you might be going through as you read this comment but here is a word of encouragement that yote yatakua SHWARI. Usife moyo zidi kumwamini mwenyezi Mungu.
@AdelaNgandu
@AdelaNgandu Жыл бұрын
My favorite song ever yani uyu wimbo awunipe uvivu kuusikiliza kila Marab asantekaka chilambo ubariwe iyi music una make sense kama Unaona uyu wimbo unakufuraisha na unauwangaliya zahidi ya Mara 10000 Kama mimi ❤🎉😢😊😮❤❤❤❤ubarikiwe sana naombeni like Zenu Kama umeukubali uyu wimbo wakanza mimi
@elijahap7871
@elijahap7871 Жыл бұрын
Hakika kama unaamini mambo yatakua shwari andoka na like hapa Amen🙏🤝💯🙌
@GladnessMassawe-zd5yf
@GladnessMassawe-zd5yf Жыл бұрын
This song is so good it real catches real life experiences, we hustle everyday may the Lord keep us safe🙏🏼🙏🏼❤
@janethsylvester1704
@janethsylvester1704 Жыл бұрын
This song jmn 🙌🙌🙌❤️❤️ inarudisha matumaini yaliyopotea 🙌🙏
@astediaalistides1701
@astediaalistides1701 Жыл бұрын
Mambo yatakuwà shwari sichoki kutazama huu wimbo umenipa nguvu mpya, barikiwa sana man of God
@laxmajor
@laxmajor Жыл бұрын
Honger Sana mtumishi wamungu 😍🦻🌍
@HancyB.O.B26life
@HancyB.O.B26life Жыл бұрын
Hii nyimbo yangu ya miaka yote sitochoka kuisikiliza I'm proud to Walter chilambo my brother ❤
@PendoAlex-oe4sv
@PendoAlex-oe4sv Жыл бұрын
Kaka nabarikiwa Na hii nyimbo Katika Mapito yangu Mungu hakubariki Sana Kwa ujumbe wa kutia moyo
@bettybarongo
@bettybarongo Жыл бұрын
Mambo yangu yote MUNGU anayaweka shwariii,,, ubarikiwe sana kaka yangu,,huu wimbo Hadi usingizini unaimba
@christershine5082
@christershine5082 Жыл бұрын
Vita si ndogo,ila kwa Mungu ni ndogo❤🙏.Barikiwa sana
@HelenaKipeta
@HelenaKipeta Жыл бұрын
Wimbo poa Sana unawezaa brother munguu azidii kukupa mashairii mazurii zaidii
@EmanuelTemba-fr6xc
@EmanuelTemba-fr6xc Жыл бұрын
Nyimbo inayokufariji unapopita kwenye changamoto za kimaisha naipenda sana kwel kesho yangu ikajawe furaha na mambo yote yatakua shwari
@Directoraic
@Directoraic Жыл бұрын
Shwari 😮❤️🔥 These melodies are amazing and the lyrics too 🇺🇸
@WalterChilambo
@WalterChilambo Жыл бұрын
Asante sana kaka kwa video nzuri
@Arafaissa-d7s
@Arafaissa-d7s Жыл бұрын
Broo nakukubal Sana maan hii nyimbo imebeba mambo yangu mazito San god bless you nakupenda Sana❤😭😭😭😭😭
@gladnesskawanga1127
@gladnesskawanga1127 Жыл бұрын
Kukosa bundle uku 😂😂😂ona mpka nimechelewa 🥲🥲Leo yangu isiwe kama Jana naamin mambo yangu yatakuwa shwari eeh Mungu unitazame bwana 🙏🙏🙏 blessed up Broo chilambo
@leahfanuel254
@leahfanuel254 Жыл бұрын
Awweh my besttt songggg naww unajua❤❤
@MaryamBenson
@MaryamBenson Жыл бұрын
Chilambo hongera kwako nyimbo ya aina yake😍😍🤲🤲🙏🏻🙏🏻🙏🏻🇰🇪🇰🇪
@HopeMmbando-wb8ci
@HopeMmbando-wb8ci Жыл бұрын
Hii nyimbo it's on emotional kwakweli Kila mara napenda kunisikiliza my brooo u did it and u kill it walah umenfanya wengine tupate moyo wa maombii
@boasfred8175
@boasfred8175 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana inaujumbe ongera sana
@Luciahmoddest
@Luciahmoddest Жыл бұрын
Jamani nyie huu wimmbo eeeh Mungu wangu....nna mengi ya kusema ila kwa sasa Chilambo thanks so much...May God bless you so much....🇰🇪 🇸🇦 ❤
@WalterChilambo
@WalterChilambo Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@NaomyElibarik
@NaomyElibarik Жыл бұрын
Kwa Mungu hakuna linaloshindikana hata upitie magumu kias gani kuna wakat sahih Mungu ameuandaa wa ku2futa machozi😢sina mashaka tena najua mambo yatakua shwari❤❤🙏
@Ndombagoodluck
@Ndombagoodluck Жыл бұрын
Salut kwako bro umetisha mungu akupe masha malefu
@AluwatanKingjaja
@AluwatanKingjaja Жыл бұрын
Maisha anayepanga Mungu 😢😢 hakika ndiye anajua kesho yangu 🙏
@djkaileykenya
@djkaileykenya Жыл бұрын
Siku yaja mambo yatakua shwari😊 Shwari kabisa yaani shwariiiiiiiii🔥🔥🔥
@paschalemanuel-t5g
@paschalemanuel-t5g 2 ай бұрын
Anajua mungu maisha yangu kesho yangu ikajawe furaha
@majaliwamwamengo8604
@majaliwamwamengo8604 Жыл бұрын
Nimefurah naamin mambo yatakuwa shwari ubarikiwe mtumishi
@karunevans6257
@karunevans6257 Жыл бұрын
I love this song hata nimeingia KZbin I play it
@alimasipatrick886
@alimasipatrick886 Жыл бұрын
Safi sana bro nikiwa kongo naipenda muziki wako 🙏🇨🇩✊🏽👏🏽
@NessySarah-s2t
@NessySarah-s2t 6 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA CHILAMBO . MIMI NAKUPENDA BURE ❤️ . HUU WIMBO YANI MPAKA NALIYA KWA FURAHA 😭 . HUU WIMBO AUNIISHE HAMU MIMI NAUPENDA SANA TENA SANA SAAAANA. MUNGU ATAWEKA MAMBO YOTE SHWARI KBS NAAMINI IVYO 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@mikemenson8130
@mikemenson8130 Жыл бұрын
Thanks muchhhhh br..ni ngoma inatufanya vijana tupambane Kwa ii life.ngumu tunayopitia.tumuombeee Mungu sana...
@frankelias106
@frankelias106 Жыл бұрын
Nakujubal kk Walter Mungu akutunze
@hellenmichael1261
@hellenmichael1261 Жыл бұрын
Huwa nabarikiwa sana na nyimbo zako god bless you kaka🤲
@NarmaahMuzzaffar
@NarmaahMuzzaffar 20 күн бұрын
Aaah I was passing a lot but hii nyimbo ilkuwa kaa my testimony thanks😢😢😢
@khaifaabdy4983
@khaifaabdy4983 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉 The waiting is over Hii day inaenda kua poa nimeamkia shwari🚀⛽⛽⛽⛽
@elizabethjakobo279
@elizabethjakobo279 Жыл бұрын
Ameni mtumishi yani nyimbo zako zote mi nazipenda Sana
@monicamwandwanga2305
@monicamwandwanga2305 Жыл бұрын
Waoooo barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa kazi nzuri
@mwagombagovi-xj4pi
@mwagombagovi-xj4pi 10 ай бұрын
Walter Mungu akubariki
@AGNESSKUNTA
@AGNESSKUNTA Жыл бұрын
Wow nice song, barikiwa mtumishi wa mungu
@IssayaRIssaIssaya
@IssayaRIssaIssaya Жыл бұрын
❤❤❤ huja wahi kubadili radha nzur nazidi ku repeat song tu
@naomirobert8976
@naomirobert8976 Жыл бұрын
You always lift my hopes high always I hope to meet you one day Asanti sana
@innocentamisi
@innocentamisi Жыл бұрын
Brother huu wimbo nikihusikiliza huwa najiskiya moyo kutulia ❤❤
@majaribulupeto
@majaribulupeto 4 ай бұрын
There are some battles that we must fight for ourselves. Others we let God fight for us.
@rosenakikoti3031
@rosenakikoti3031 Жыл бұрын
Naupenda huu wimbo aiseee Mungu akubariki sana
@em_vee_josh
@em_vee_josh Жыл бұрын
If there is one gospel artist in East Africa who really blesses me with their music then it's Walter. Keep ministering to imus bro and may God reward you
@WalterChilambo
@WalterChilambo Жыл бұрын
Thanks
@em_vee_josh
@em_vee_josh Жыл бұрын
@@WalterChilambo welcome and keep on blessing us
@merciethairah2597
@merciethairah2597 Жыл бұрын
My top gospel artist and my favourite on my phone playlist too!👌👌❤# from 254
@JosephMkunda
@JosephMkunda Жыл бұрын
Nakukubal sana kaka wewe ni fundi ❤❤❤❤
@onlinefixtool
@onlinefixtool Жыл бұрын
Brother Walter Uishi Sana Kaka, Mungu Anakutumia Eti katika safari etu umekua baraka maishani aise, Nyimbo zako ni Mungu tu aise, Nafarijika sana wakati wote na kuburudika pia kujifunza. God bless you, Keep in touch with God Brow, Ustuache kama wengine wanapofkishwa mahali na Mungu wanakengeuka wanasahau walikotka na wajbu wao, Ila ww Neno la Mungu lidumu ndani yako, nasi tunakuombea Uwe dhabiti aise. Ubarikiwe Sana Kaka, Na Mtumishi Wa BWANA🙏 TOGETHER FOREVER 👍
@GdhdbXggdgd
@GdhdbXggdgd 11 ай бұрын
shwari❤❤❤❤❤❤
@teresiawangui5439
@teresiawangui5439 Жыл бұрын
This was sang for me,.my testimony from your mouth to God ears I pray , believe and manifest 🙏
@lizzieandry6195
@lizzieandry6195 Жыл бұрын
😭😭😭my heart is broken from family problem, relationship problems & jobless I can't tell naamin yatakuwa shwari one day yes
@eunicekibutu6700
@eunicekibutu6700 Жыл бұрын
More luv from Kenya..... indeed mungu atutie nguvu sisi vijana,japo mambo mangumu but let's keep moving.❤❤❤
@OfficielEvaline
@OfficielEvaline Жыл бұрын
Shwari is my favorite song ❤
@tedikabwe3613
@tedikabwe3613 Жыл бұрын
Best song bongo fleva of mwaka From Swesen
@Justinarajabu9710
@Justinarajabu9710 Жыл бұрын
Maisha anaepanga Mungu ndie anaejuwa kesho yangu, With God I know Mambo yatakua Shwari.🙏🙏Waking up to a beautiful msg of incouragement. God bless kaka .
@kacheali4777
@kacheali4777 Жыл бұрын
Am blessed to have such a good Gospel singer.... Mambo yatakua shuar, sitachoka kutafuta
@irakoze01
@irakoze01 Жыл бұрын
❤shwari 😢🎉❤ngoma kali sana
@AngelNguma
@AngelNguma Жыл бұрын
This song 😥 jamn bro water 🙌
@beatricesway5782
@beatricesway5782 Жыл бұрын
My favorite song❤❤❤❤ I love u
@bisengobubasha
@bisengobubasha Жыл бұрын
I feel like you sang this song for me 😢😢. Even though usiku umekua mrefu, lakini naamini asubuhi inakuja na mambo yatakua SHWARI Na Mimi siku moja, nitapata my degree 😢🙏🙏🙏
@danicesingane4842
@danicesingane4842 4 ай бұрын
Mungu aendelee kukutunza na kukutunza na kukubariki kazi yako iendelee kusonga mbele amina
@rodaananias6541
@rodaananias6541 Жыл бұрын
Huu wimbo unanibariki sana,🙏🙏, hongera sana kaka, mamb yatakuwa shwari
@ansigar1997
@ansigar1997 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana Kaka, Hongera sana na mwenyezi Mungu azidi kukujalia ubunifu zaidi.
@Yuzdoll766
@Yuzdoll766 Жыл бұрын
Sina mashaka hallelujah hallelujah🎉🎉
@ritaakoth3798
@ritaakoth3798 Жыл бұрын
😢😢 Siku yaja mambo yatakuwa shwari i believe in my heart and i claim it 🙏🙏💪
@UncleblazeTV
@UncleblazeTV Жыл бұрын
Always on point Ujumbe mzito sanaa 💪💪
@HemediBakari-e5o
@HemediBakari-e5o 4 ай бұрын
When I sing this song, I cry because the life I have gone through, I cry when I sing this song😭😭🙏🙏❤
@sacohg5458
@sacohg5458 Жыл бұрын
My good friend and mentor,I love you bro....may God keep on BLESSING you to more touching song's
@cellinewangusu6373
@cellinewangusu6373 Жыл бұрын
Ongera sana mtumishi, huu wimbo unanibariki sana , ambavyo umewabariki wengi. Mungu akusimamie uendelee kufanya vzr
@WalterChilambo
@WalterChilambo Жыл бұрын
Asante sana
@hashkhantantrasiraji118
@hashkhantantrasiraji118 11 ай бұрын
I proud for you water chilambo mr good music ever ❤️ 👏 ♥️ 💜 🙌
@lawidaleche9662
@lawidaleche9662 Жыл бұрын
Daaah 😅 a true definition of good nusic
@InezaMediatrice
@InezaMediatrice Жыл бұрын
Ndishimye kumva ubutumwa bwiza Big UP brother
@LucieKahindo-lm9sz
@LucieKahindo-lm9sz Жыл бұрын
Cette chanson est tellement incroyable j'adore ❤️❤️❤️❤️ même si tu n'as rien aujourd'hui prie et crois à Dieu demain tout sera chwari bravo chilambo👍
@JumaNyuki-k8s
@JumaNyuki-k8s Жыл бұрын
Dah sio poa walter chukua may yako unajua mdogo wangu mungu kakupa kibali Cha kuwapa moyo waja wake nimezaliwa kupambana nasitokata famaa
@PendoSolo
@PendoSolo 7 ай бұрын
❤❤❤❤ songs tz Aki uko juu sn ata km uko Na Maisha magumu Mungu ata Waka sw tu
@emany667
@emany667 Жыл бұрын
My favourite gospel artist in africaaa❤❤love from kenyaa
@luluAlbert-ed2xs
@luluAlbert-ed2xs Жыл бұрын
Mungu akubariki sana sana kaka baraka zikakunyshee kama mvua silali mm bila nyimbo hii na nikiamka labla ya chochote ninyimbo hii
@rahmarama5669
@rahmarama5669 Жыл бұрын
Mungu Asante Mana Wewe ndio Unajua Maisha Yangu❤
@elviskamp
@elviskamp Жыл бұрын
Walter, I'm your Big fan!!!
@uswegemwamwaja1142
@uswegemwamwaja1142 Жыл бұрын
Nice song brother MUNGU akuinuee zaidi
@mafuruneke2642
@mafuruneke2642 Жыл бұрын
Walter Chilambo Did it again and again.
@jadixtheblacker3411
@jadixtheblacker3411 4 ай бұрын
Hiii nyimbo in my play liste miezi 8 nyuma haikosi coz inanikumbusha mbali hadi na liaaa nikimkumbuka my mom alie tangulia mbele ya haki coz yote haya nimeyapitia coz kutokuwepo kwakeeee love from Burundi Buja Bujumbura Much respect Water❤❤❤❤❤❤
@HopeDzame
@HopeDzame Жыл бұрын
This song just keeps me going and putting my trust more in GOD
@fadhilawaemmy1656
@fadhilawaemmy1656 Жыл бұрын
Jamani, jamani huyu kaka anajuwa kuimba mpaka naskiya kusisimka,much love bro from Indianapolis 🇺🇲
@brunonsungwe8389
@brunonsungwe8389 Жыл бұрын
Mambo yatakuwa shwari, safi sana
@charlottekashindi3870
@charlottekashindi3870 Жыл бұрын
❤❤❤❤from 🇺🇸
@badmanmshoma
@badmanmshoma Жыл бұрын
Hits only brooo ongera wimbo mkali sanaa🔥🔥🔥💥💥🙏🎚️🎚️
@JejemingaMinga
@JejemingaMinga Жыл бұрын
Nimezaliwa kupambana sijakata tama🙏🙏🙌🙌🇲🇿
@japhethopilike
@japhethopilike 2 ай бұрын
After getting out of Theater, listening to the song is a motivation.😊
@mariamagenda149
@mariamagenda149 Жыл бұрын
Yatakuwa shwari kwa jina la yesu
@ViolethMbowe-n3d
@ViolethMbowe-n3d 5 ай бұрын
My favorite songs🥰🙏 he blessed Mr Walter 🙏
@jbperfect17
@jbperfect17 Жыл бұрын
najitegemeza kwa Bwana japo leo cjafanikixha ila naamini kexho yangu kwa Mungu kuniandalia xitaifananixha na jana
@Theoristerbulamu
@Theoristerbulamu 3 ай бұрын
Mt favorite song and. who sing love you walter chilambo
@DaimaMbonde-yy9mw
@DaimaMbonde-yy9mw Жыл бұрын
MUNGU KAFANYA KWA UKUBWA UBARIKIWE BRO🚀🚀🚀🚀
@HappyZakaria-w8n
@HappyZakaria-w8n Жыл бұрын
Hakika siku yaja Mambo yatakua swari,,nazid kumwomba mungu ashushe balaka leo yangu isiwe Kama jana
@bishadachiwejele1395
@bishadachiwejele1395 Жыл бұрын
Mashaallah, kiukweli nakupenda sana huu wimbo yaani narudia kusikiliza kila wakati🎉
Walter Chilambo feat. Jux - Success (Official Video)
3:42
Walter Chilambo
Рет қаралды 1,4 МЛН
Walter Chilambo - Sijawahi Ona (Official Video Lyrics)
3:50
Walter Chilambo
Рет қаралды 128 М.
[BEFORE vs AFTER] Incredibox Sprunki - Freaky Song
00:15
Horror Skunx 2
Рет қаралды 20 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 100 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 16 МЛН
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
3:07
Joel Lwaga
Рет қаралды 5 МЛН
Walter Chilambo & Wema Sepetu__SHWARI (official Video Lyrics )
3:30
Walter Chilambo
Рет қаралды 388 М.
UMASKINI WANGU
40:03
BabaJoan
Рет қаралды 94 М.
Obby Alpha- Bora kushukuru (Official Video) For Skiza  dial  *837*2692#
3:58
Obby Alpha 🏅
Рет қаралды 13 МЛН
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 73 МЛН
[BEFORE vs AFTER] Incredibox Sprunki - Freaky Song
00:15
Horror Skunx 2
Рет қаралды 20 МЛН