Mw/ mkuu wa mkoa tumeona jitihada zako hongera sana Makonda Mungu aktangulie sana katika hii safari maana niwachache sana wenye moyo kama wako hongera sana . Ushauri wangu kamwe usivunjike moyo kwa majaribu utakayokutana nayo maana nia yako ni njema sana umetuonyesha nia yako baada tyu yakuteuliwa kuwa mwenezi taifa
@AlHamra-k4u7 ай бұрын
Wallah wananchi wana kilio kikubwa kwa Tz. Makonda weee! Wananchi karibu wote wanakulilia
@OmanOman-dn6dj7 ай бұрын
Makonda Rais Wetu Mtarajiwa❤
@abednego38767 ай бұрын
Hawa masai wanajua kbs ili swala sababu kuu ni Samia, waache kumchonganisha Rc
@Samuelkotema6 ай бұрын
Huyo Hana uwezo wa kuwasaidia make wanaoratibu hayo mambo ni wakubwa wake.anaetakiwa kutoa tamko ni mkuu wa inchi ila ameendelea tu kunyamaza mungu atusaidie Wana ngorongoro?
@Raphaelkele7 ай бұрын
Mnamwaamini makonda kama Nani
@estambuya39017 ай бұрын
Najiuliza kama arusha kero ni nyingi namna hii! Je nchi nzima?nijibu.
@elfriedemsechu56907 ай бұрын
Matatizo ya watu ni mengi. Ataweza kuwasikiliza wote? Itachukua miaka mingapi?
@RoseMayige-gn9qb7 ай бұрын
Jamani, Mkuu wa Mkoa aliyepita alikua anafanya nini? Mbona watu wanamatatizo ya muda mrefu bila kupata ufumbuzi!??