mashallah umeslimu mda mfupi ulopita umehifadhi juu30 mashallah Allah akuzidishie
@safiaothman10983 жыл бұрын
Maa Shaa Allah Ustadh kwa kusilimu mwaka 2004 na kuweza kuhifadhi Kitabu cha Allah kwa muda wa miaka 2 na nusu tu. Allah akujaalie kila la kheyr fil Dduniyyah wal Akhiyra, Aamiin. Pia Allah akupe Pepo ya Firdaws, Aamiin kwa kuifundisha Qur'an. Mtume Muhammad Swalallahu 'Alayhi Wasalaam amesema "Mbora wenu ni yule aliyesoma Qur'an na Kuifundisha.
@salmamohammed6415 жыл бұрын
Mashallha Mashallha Mashallha jazaka Allah kher mungu awaangoze waisalm wote duniani
@dgee23724 жыл бұрын
Allahum aminiiiiiii 🙏
@safiaothman10983 жыл бұрын
Aamiin Yaa Rabbal 'Alaamiin
@barakashaban96982 жыл бұрын
Allahumma aameen
@dgee23724 жыл бұрын
Mansha Allah wallah Allah atwekey wepes piy awazidishe elm wot 🙏🙏
@tahiyaally3606 жыл бұрын
Maa shaa Allah tabarakallah Alhamdulillah! !!SHKH wetu Allah akulipe kheri nyingi duniani na akhera
@railamypresidentrailamypre6296 жыл бұрын
Tahiya Ally Amiin
@rasykizanjbari49964 жыл бұрын
Amiin
@shamsiakitindi58064 жыл бұрын
mashallah
@abdullahhashimu23804 жыл бұрын
Wallahi uislamu ni raha sana Ninamshikuru Allah kwa kua mm muislamu Alhamdulillah
@suleimanhamad22424 жыл бұрын
Mashallah jmn ustadh kafanya kazi kweli kubadilisha lafudhi ya kimasai na kuweza kuisoma qur,ani si mchezo. Allah akupe ujira mkubwa ustadh
@husseinissamaliloy13823 жыл бұрын
Manshalah MwenyeziMungu Awahifadhi
@rashidkalimbo24514 жыл бұрын
MashaAllah...nawaombeeni wasirudi watoto hawa wa jamii ya kimasai katika dini ya uislam na wawe miongoni mwa mashekhe siku za usoni IshaAllah wenye wataeneza dini ya Allah... Jazakallah heir shekhe Nooreedin Kishiki kwa juhudi zako.
mashallah Allah akupe Kila la kheri Shekh nurdin kishki pia akupe mwisho mwema
@sulhiyahassanmtumweni82696 жыл бұрын
masha allah jazakumu llahu khayra,,,mungu awakuze na awalinde vijana wetu kwa kazi kubwa waliofanya kwa kuhifadhi kitab kitukufu cha Allah sw,,, kwa kadiri wawezavyo,,,kwa uwezo wa allah dini yetu ya uislaam itazidi kukua na kuenea katika kila kabila ulimwenguni inshallah,,,,
@jeremiahltulito50416 жыл бұрын
Assalamu alaykum warahmatullah wabarakatul
@mesoudmohammednur20705 жыл бұрын
InshaAllah wajazakallah kheira jazaa
@rehemahamisi99714 жыл бұрын
sura zao zinaonyesha km wamasai mungu awangoze na sie pia ishaa llah tabbaraka llah
@ramadhanisuru18224 жыл бұрын
Allah amewapenda sana nyinyi mlio ingiya kwenye dini yake
@bintimohammednguli60513 жыл бұрын
Mashaallah takabamina waminkum
@ukhtysakinaa76646 жыл бұрын
Masha,Allah sheikh Nurdin kishki Allah akulipe kwa juhudi zako insha,Allah
@anathsued6033 жыл бұрын
Alhamdullilah,Masha Allah.Allah awaongoze na awaongoe zaidi .Kuna watu hawajui hâta Alif.lakini wanajua nyimbo mpya zote na za zamani ... Hakika Uislam Raha ALLAH akuhifadhi sheikh wetu.
@najmagudeh2034 жыл бұрын
Mashaallah watt wazur m.mungu awajalie mkue ivo ivo mnavyo mjua mungu
@alawisalim91394 жыл бұрын
Masha Allah shekh nurdin kishki
@amirabass65056 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Allah awabiriki nyote na shk kishki
@halimamsongo82984 жыл бұрын
Mashaalah
@munaahmed84994 жыл бұрын
Masha Allah masha Allah uislam ni dini iliyolingania walah. Namshukur Allah kwa kuw muislam hskika uislam ni dini pekee
@sharifahandhara85925 жыл бұрын
Allah akupe iman subra na mwisho ulio mwema tunakukubal sheikh wetu na tunakuombea dua Allah akusameh utakapo teleza
@asmasaidititu3854 Жыл бұрын
Mashaallah shekhe kishiki ALLAH akupe umri mrefu
@mohamedAli-vf8hp6 жыл бұрын
Mashaallah waallahy uislam raha sanaa
@Qatar-vh5ff4 жыл бұрын
Mashallah mugu akuzidishie kila lenye heri amiin
@amurimzungu-tn4jf Жыл бұрын
Wamasai natural Yao ni waislamu mashaAllah wakarimu na sauti zao Katika wanatakamka lafidh Kamili na nzuri MashaAllah
@FridayMwassa9 ай бұрын
Mmasai na uislam wapi na wapi,mnawarubuni kwa zawadi wakati huko kwenu masikini wa kutupwa
@rashidhamis65056 жыл бұрын
Yero subai mashaAllah 💖🌹🙋👍👍👍👍
@saidhamisi27954 жыл бұрын
😂😂😂 jamani
@aliothmanmohammed24774 жыл бұрын
Mashallah Allah hamzidishie Inshallah
@jabirmtwana34146 жыл бұрын
Mashallah. .sheikh mungu akubariki na waislam wote inshallah
@omarshaban91576 жыл бұрын
Masha Allah sheikh nurdin kishki na sheikh masai
@khamisbinjit87494 жыл бұрын
Maashaallah mungu awazidishie
@saidomar68064 жыл бұрын
Mashaallah kher na Baraka nyingi ziwe nawe Nurdin kishk pamoja na ma sheikh wetu wote ndugu zetu wakimasai Mola awepe mapipo mema hapa dunian na kesho mbele ya Haki. Wenu Omar from Zanzibar
@zainabmaulidi98462 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah 🥰🧡🧡
@famitoissanawanda70115 жыл бұрын
Hadi natetema, jamani hicho kitu sio kido ni kikubwa kuliko tunavyozania mashallah.
@amnajugbar7394 жыл бұрын
Hakika
@wahidashabaz59824 жыл бұрын
Kabisa
@husseinomary44662 жыл бұрын
Allah awalipea pepo ya darja lajuuu aaamiyn duh nimelia kwa furaha uislamu kumfikia masai
@theknightking53454 ай бұрын
Allah Akbar Allah akuongoeni nyie na vizaxi mue waja ktk waja wema wa peponi in sha Allah na istadh alochukua jitihada ya kukusomesheni Allah atamlipa iwe sadakatuljaaria yake in sha Allah imfalie mbele ya haki
@tamnahussein25974 жыл бұрын
Mashaa Allah.. M. Mungu awalipe zaid na zaid
@asmasaidititu3854 Жыл бұрын
Mashallah Wamasai wakivaa hivo kaa mbae wasomali
@maryammussa88382 жыл бұрын
Màshaalh Allah
@khdijahalmudhairb21474 жыл бұрын
MashaaAllah jaamanii adiraha Allah azidii kuwapaa ufahamu
@saidabdulhamid34633 жыл бұрын
Mashaalah Allah akuhifade
@lnnyhung26906 жыл бұрын
Mashallah Allah akulipe sheikh Kishk akupe umri mrefu
@hadijakabona9554 жыл бұрын
Mashallha inakuwa raha sn adi rafuz yakimasai imemtoka kabisa kwa maneno ya allah
@ukhtysakinaa76646 жыл бұрын
Masha,Allah Allah awaongoze na awazidishie elimu
@fatmakhanii16765 жыл бұрын
Masha Allah hongereni Allah awaongoze muwe waumin wema
@halimayusufu63054 жыл бұрын
Mashallah mpaka nimeona wivu anavyosoma
@noormahd55406 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah. Jazaka Allah Kheir in sha Allah. Twakupenda kwa ajili ya Allah sheikh
@abdikhadarmohamed17624 жыл бұрын
Masha ALLAH masha ALLAH masha ALLAH
@abasisabuni38834 жыл бұрын
Ma Shaa Allah Jazakallahu khayran Allah atupe Salama kwa Dunia na kesho Akhera.
@msfatma9465 жыл бұрын
Mashaallah allah awaongeze zaidi in shaallah 🤲
@allykumbwaya12006 жыл бұрын
Masha Allah nimewapenda wote Allah awajaalie afya njema
@ummutaswaufi39805 жыл бұрын
Maa shaa allah
@mohammedrajabumwamba13223 жыл бұрын
MaashaaAllah Jazaakumullahu khairan 🙏 Allah awaongoze MaashaaAllah MaashaaAllah MaashaaAllah
@jaz99742 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah tabaraka allah .allah akbar
@pascalndundu68194 жыл бұрын
mashaallah allah awakuze vyema inshaallah
@didamanyanya48932 жыл бұрын
Mashaallh adi na sikia raha
@bibimasoud48134 жыл бұрын
MashaAllah may Allah bless you sheikh and your family
@bibimasoud48134 жыл бұрын
Allah awape mwisho mwema na wanafunzi wote kwa jumla
Maa shaa Allah tabarakallah kama anamke mmoja naomba niwe wapili nipo Iraq 🇮🇶narudi mwakani ln shaa Allah ♥
@nasraabdi15294 жыл бұрын
ManshaAllah sheikh M mungu awazidishie
@farajibugi99244 жыл бұрын
Allah Akbar jaaria uislam uzidi songs mbele
@dadarehema59014 жыл бұрын
Mashaallah hd rahaaa
@mohammedrajabumwamba13223 жыл бұрын
MaashaaAllah Hii ndo ddaawaa
@shakilaselemani25644 жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah alihamdulilah Allah atukubali ishaallah
@esharamadhani34386 жыл бұрын
MashaAllah,MashaAllah,MashaAllah tabarakallah
@mwanahawayunus36532 жыл бұрын
Mashallah Mashallah mungu awaongoze
@saukokikomi80973 жыл бұрын
Mashaallah allah azidi wapa nguvu waiendeleze kalima yaallah
@tatuta65294 жыл бұрын
Mashaallah mungu awaongoze
@wardaLashku6 жыл бұрын
MashaAllah Allah akulipe kher
@nagibsalim91204 жыл бұрын
Masha Allah Allah awape nguvu wazidi kujua dini ya haki
@cabdullegudhow14064 жыл бұрын
Shehe wangu Kishki Mimi no kijana msomali nime furahishwa na vile MnA sambaza Dini . Somalia has failed so please You Waswahili, Continue calling people for the right path Inshaaallah we are rebuilding and we shall stand by you