Online judges be quick to pass judgement.if ur boyfriend was cheating some women here would react more violently than wambo,she didn't know it was prank
@sakinadolcas2 жыл бұрын
Sure 💯💯💯 Mm kingewaka sana..ata wambo is patient aki
@dorcasdee11142 жыл бұрын
Hiyo ni tabia ya wakenya wako haraka sana
@susanmahihu80962 жыл бұрын
Hahahaha that was a good one @Kioko ,,,,Wambui loves you that's why she was mad
@medinacheronohildah79332 жыл бұрын
Wenye mnasena Ashley hapendi kioko juu ya kumtemea mate amefanya kadogo mie hiyo phone ingekua kitui river Kuna pranks zingine irritating
@Ella-be2 ай бұрын
Sai washaoana utasema nn sana..lots of love wambo na kioko❤
@chepngenocaroline19462 жыл бұрын
Kioko ajana na hizo pranks zitaruin your relationship!!!! U know unafake vitu kaa hizo Hadi siku Moja inakuwa real! Na Dem ni muhumble, me si ati ntakuangushia hizo camera zako, dakika hiyohiyo na kupiga nayo na nicrash hiyo simu! Hiyo kichwa Yako ingekuuma Sasa Kwa karibu!!!!
@africanqueen91392 жыл бұрын
Vile watu huku ni judgemental utafikiria huwa hawakasiriki na wengine wenu mkijam mnaweza ata dunga mtu kisu,, shame on you..... Sasa hapa mnaona kama wambo amereact vibaya, meet some of us in our marriages unawezashangaa vile huwa tunapendana after a quarrel.
@talkshowwithann2 жыл бұрын
Kioko unatuenjoy but we are getting entertained🤣one hakuna vile utapick call ya mpango , mbele yake tena on loudspeaker.🤭. anyway good job ashley
@Double_R2T2 жыл бұрын
Kioko kuna kibarua hapa you people need to learn each other I feel bado Ashly is too explosive eeh dem ako shy and naive towards forming relationships
@shiepamela1127.2 жыл бұрын
Watu wameharibiwa akili na kibe😂😂...Am sure wengi wenu wenye wanacomplain wange react hivi bado
@mariehndunge29102 жыл бұрын
Ni Mimi naskia kativui kwa background ama niko zangu😅 Team Ashley tunangoja come back aki🥰
@mathungibandofficial21852 жыл бұрын
🤣🤣
@mlenglewis17472 жыл бұрын
Ti kativui ni kithungo😂😂
@moraaontiri40822 жыл бұрын
Kioko please stop those pranks ,orelse they'll ruine your relationship
@henrynjogu67492 жыл бұрын
Saw that too. Jamaa hajui how to act and make it look real. Pia ana overdo vitu inakaa weird. Either way, I know kikuyu ladies, his character will not sustain this rship.
@evejohns14862 жыл бұрын
hapo kwa kutemewa mate,, surely 😢😢😢😢
@cynthianaomi96742 жыл бұрын
Enyewe ata Mimi siwezi entertain prank weuuuuuh roho ni kidogo me naelewa wambo
@ericavram2 жыл бұрын
Even if it's prank don't hold your girlfriend as though ni mawe ya kujenga
@joycemuigai5412 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@adijahnyokabi10672 жыл бұрын
Aaai was just a way ndo akuwe kwa camera
@lizzylizzy98412 жыл бұрын
6:52,and 7:59speak volume....yaan kuumwa na kutemewa mate...aii.weeh....reke nemwoo🤣
🤣🤣🤣🤣🤣aki walai that got me ...kama ingekua my man ..hio prank ingeishia hapo hapo...kwanza tudeal na hio case...baadae mapenzi
@عمرالعمر-ذ7ن2 жыл бұрын
Hata hauna wife
@RyanandGian2 жыл бұрын
2mbili understood the assignment very well😂😂
@carennafula93722 жыл бұрын
If this the behavior then Nicholas you are forcing things ooo hapa hakuna a two way love it's one sided
@khalifa49452 жыл бұрын
Kioko anaforce ishus hakuna mapenzi hapo
@kendy-theironlady Жыл бұрын
funga mdomo,,,,where are they now,,,hater wewe
@verahshee9573Ай бұрын
@@khalifa4945mpaka saa hii?😂😂
@fectoryab18332 жыл бұрын
Woooyiii 😂😂Wambo umepatikana 😂😂mm uluya yng haingeruhusu amalizane na Tumbili😂😂
@flashtvke2 жыл бұрын
Let's all embrace peace and appreciate the beautiful talents our East Africa Community has💜💜
@jaaybee332 жыл бұрын
Waiting for someone to sing ...`wakatimba Kumbafu.`....as predicted by Kibe...
@mikedavid10132 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@Hopewavinya5672 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣💪
@irinepamphil7966 Жыл бұрын
sasa enda uccoment huko now they are pregnant 🤣🤣🤣🤣🤣
@kemboiwinnie74282 жыл бұрын
Wueh mm hapa nmeona vitu mingi hataki kushikwa kumuuma kumtemea mate hataki kioko akule vitu zake anywho sijakuja na ubaya
@empresswanga5602 жыл бұрын
Walae hapa hakuna mapenzi 🚮🚮🚮
@colorandlight94082 жыл бұрын
Wewe ukikasirishwa na mtu unatakanga akudare dare? Hata kupumua karibu ni hatia! Alaa!!
@josephinekilungya18892 жыл бұрын
Nimeona pia...it will end in tears
@colorandlight94082 жыл бұрын
Yani Fel ulisema company za bra zianguke kama za kamisi? Love your content. Keep it up
@verahshee9573Ай бұрын
@josephinekilungya1889 it has not ended yet😂😂
@brukeloghan26122 жыл бұрын
Kioko anakula skittles kama njugu😂😂😂😂.hata mimi singemkubalia kuzikula
@jacklinemutie89012 жыл бұрын
Mkamba wetu chunga hio Kikuyu....unatumiwa bro hakuna mapezi hapo
@stellamwendwa63132 жыл бұрын
Wenye mnasema she overreacted kwani nyinyi hufanya nini ama hujawai dharauliwa kwa relationship ama kucheatiwa?I'm more violent than her!!wambo karibu kwetu ukambani online judges usiwaskize ata wengine utuptwa inje usiku wanajifanya wanadate Angels😂😂
@jackieawuor12022 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
@josylinekarambu16762 жыл бұрын
Kioko jifunze kushika demu polepole si kumvuta Kama ngunia ya maembe😀🚶
@joycemuigai5412 жыл бұрын
😂😂😅😂,nikama akina kasee na romance haziendani.Ati anashika dame kama ngunia ya Nini😂😂😂
@okaladizeafroman33322 жыл бұрын
Bro uko na mauchungu😂😂👊
@pheruzalieidriss81412 жыл бұрын
Hahahhaaha nilikua nicomment ntaogopa 🙌
@Ridoranks15112 жыл бұрын
Kioko anacheka na mafinyo aki mtu anaeza lia 🤣🤣🤣🤣💔💔.....it's a banger btw......team wambo tafuta comeback
@harmonymonicah57812 жыл бұрын
@Nicholas Kioko thunderstorm inakuchill Iko petrol station
@colorandlight94082 жыл бұрын
Sasa Ashley hautaweka more content? Ni juu ya comments za hii video? Wachana na watu. You do your thing and leave them alone.. Angusha kavideo soon tunangoja. Lenga mahaters..
@lizzylizzy98412 жыл бұрын
Kioko ako busy mpaka akue available,but she should look for content to keep the channel working
@Nancymutahi662 жыл бұрын
Huyu ata n mzuri anangonja wamalize kuongea🤣🤣mm the rest mngewatch in Kikuyu hako kasimu ungeenda kuokota Kwa mpaka ya Russia na Ukraine
@King_boy69422 жыл бұрын
😂😂😂😂
@janefrancisjomo97302 жыл бұрын
😂😂🤣
@puritymuyukani34752 жыл бұрын
Ukraine 😂😂😂
@waciurilucy546 ай бұрын
This is one pranks I love watching in the kiokos family 💞 💞 💞 I don't know why ❤❤I'm ❤ Nawapenda sana guys
@mercylynmusyoki42262 жыл бұрын
If u don't mind plz don't chew in front of the camera,,,it shows lack of etiquette and also it produces a funny sound...
@Christiano-g-q7l2 жыл бұрын
truth b told dame anakutemea mate surely 🤷♀️🤷♀️there is a red flag 🚩 in this relationship!!!
@empresswanga5602 жыл бұрын
Uyu Dem hampendi
@cramlisketv70292 жыл бұрын
True
@lilianatwoli32312 жыл бұрын
@@cramlisketv7029 Kibe alisema hapo hakuna future
@mongarenation702 жыл бұрын
Walai tena underated comment.
@empresswanga5602 жыл бұрын
@@lilianatwoli3231 hakukosea..
@user-cg3vf2bl6b2 жыл бұрын
Uuuuuuui Mimi usema prank ni nusu ya kujuana,na kujua ukweli,
@Noah-zt5zf2 жыл бұрын
True
@graciakiki21882 жыл бұрын
True. The way they will react, that who they are. Unatemewa mate sahii kijana?
@janetkemunto116 Жыл бұрын
Ufanye hivo vyote halafu uniambie ni prank 😅😅🤣🤣nakupiga mapanga za shingo
@gracekadwarf2 жыл бұрын
Ashley ata hajareact 🤣🤣🤣 ingekua ni Mimi aki walai ingekua hatari........
@gracegathiru64562 жыл бұрын
Na mimi aki😆
@kisilujustus2 жыл бұрын
Don't listen to people opinions, especially sisi ma-fans!!! Go for what makes you happy guys
@pierawambui31122 жыл бұрын
woiye ashley pole next tyme mprank too
@kalondu2542 жыл бұрын
Aky hadi apo kwa gai unanitemea mate nimerudisha mara tatu nione kama ni ukwely waaah
@winniemwenda15952 жыл бұрын
Usiweke nywele kwa spencer na muwe mnatandika kitada
@lizzylizzy98412 жыл бұрын
UKO NA MACHO🤣🤣
@belindamueni10302 жыл бұрын
Noma Sana prank 🤣🤣🤣🤣🥺🥺🥺🙆🙊 wacha kutesa wambo 🤣🤣🤣🤣🤣🥺
@miriamndene72142 жыл бұрын
Uyu dem anabehave aje ...akona utoto sana ,Kioko do something have someone mature kiasi
@2mbili12 жыл бұрын
😂😂😂😂 TUHESHIMU NDOA
@reeniengashdy6050 Жыл бұрын
mko wapi mahaters wenye mlikuwa mnasema wataachana cjui kibe alisema hakuna future where are you ,,,
@margaretmwangi94032 жыл бұрын
😂😂😂😂kioko achana na wambo akasusu.😂😂woiye umepatikana leo
@themugendifamily2 жыл бұрын
Kwani watu wakicheatiwa huku ureact aje surely 🤔🤔🤔guys here are jealous huku sana na mkiita hicho kibe kyenyu na vyenye kibe Hana content😏😏😏 @wambo ashley usishtuke na Hawa watu keep going
@dejanrobi24942 жыл бұрын
I thought she will be more violent than this, Especially after wale mafriends wake walikuwa wanasumbua pamoja highschool. She just walked away instead kukugombeza na kukupigia kelele. She's a decent lady more than I thought. Nilizani angekupiga ngumi.
@ayanu32 жыл бұрын
but mimi afadhali mtu anipigie kelele kuliko kunitemea mate,thats the highest level of disrespect.
@Excuvation04 Жыл бұрын
@@ayanu3 that's according to you,mtu akiwa amekasirika anaeza fanya anything. Heri kutemewa mate ama kuchomwa /kudungwa kisu.
@evertonkimweli53862 жыл бұрын
Wah! This is the best of all,,,,mungu awajalie muishi pmoja milele daima
@t.e.tonlinetv.81162 жыл бұрын
I don't see love hear ni kupush tu content anyway ainihusu🤷
@abrahamwanaswa16312 жыл бұрын
Hio ni nywele kwa dispenser, @kioko yawa
@lizzylizzy98412 жыл бұрын
😂😂😂
@Meshackmwakiworldwide72 жыл бұрын
Kioko mwanooooo uuu ni Mwikuyu usuvie muno ndukekwe ta Governor Mutua, kikuyus n wale wale
@lizzylizzy98412 жыл бұрын
Sio ukabila lakin huyu ataoshwa ashangae🤣🤣
@josephinekilungya18892 жыл бұрын
Acha atolewe ushamba ndio akae lane yake,,,,kafukuswii
@didahally79382 жыл бұрын
Apo comment section naona makasiriko acheni wivu akuna red falgs wala blue
@westernzendara20292 жыл бұрын
Wakikuyu they don't know meaning of love... only forcing themselves In place where they is money...kuoa mkikuyu Ni taabu tupu💔💔💔💔💔
@Sheilahjoshua2 жыл бұрын
Kumbe umeona,🤣🤣🤣🤣🤭
@anniekamande7222 жыл бұрын
Na sisi ndio tuko
@miannegoro80062 жыл бұрын
It's so wrong to generalize btw..
@josephinekilungya18892 жыл бұрын
Hujamuambia poa
@marthakiiru80162 жыл бұрын
Pendekeni nyinyi basi ss wakikuyu we even don't like the love bullshit
@mcshortieintl77442 жыл бұрын
This is the second time unakunywa dawa wueh! Ile ingine na Denny C ulikua unaumwa maybe check up would do.
@maureenwambua60372 жыл бұрын
The tone from this girl sio me a ubaya .
@annkalara54892 жыл бұрын
Atakama ni prank heri iishe kama ni mm na Park and go😏 kesi badae ...nkt
@missratemo7 ай бұрын
I'm commenting here so we can see how far this couple has come
@supercharmy34352 жыл бұрын
Aaaii hamkai kupedana viiiile kuna mmoja anajilaximisha kwa hii mapenzi 🤣🏃♂️🏃♂️
@lizzylizzy98412 жыл бұрын
😂💃
@ExploreKenya12 жыл бұрын
Hapa HAKUNA chemistry ata ya kuforce hakuna
@maggiemamaafricaofficial70802 жыл бұрын
The guy who said. Nambona hi simu yako mbona inanisumbua hivi.??? Kioko
@mercychebet81602 жыл бұрын
Huyu Dem ziii, she's not like fel wa Pluto,Huyu kanakaaa jangilii
@عمرالعمر-ذ7ن2 жыл бұрын
Mavi
@empresswanga5602 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mercychebet81602 жыл бұрын
@@عمرالعمر-ذ7ن mmmmm,good of u
@destaatv38012 жыл бұрын
Aki wambo really loves kioko,,,many people are judging kioko but,,ni poa imeeda poa let her channel keep growing,,much love from de staa tv
@Wamboashley2 жыл бұрын
Thanks ❤️
@destaatv38012 жыл бұрын
@@Wamboashley pamoja🙏🙏
@cramlisketv70292 жыл бұрын
@@destaatv3801 hakuna hampendi.....we will see. Tears are loading
@destaatv38012 жыл бұрын
@@cramlisketv7029 acha nikuambie watu ni walewale wengi ni wivu wakonayo,,,kama uliachwa zoea,,treat your woman well and life will run smoothly,,kitu igne remember this is a prank "unexpected" so lazima ubaya itokee being right or wrong
@Excuvation04 Жыл бұрын
@@cramlisketv7029 they're now pregnant. How is your jealousy taking you along?? Witch.
@marynjoroge86932 жыл бұрын
Pamela understood the assignment 😹😹kwanza aty adi pesa hazikutosha
@DebbieMbau2 жыл бұрын
Waah Kioko aki wacha hizo, 😪😪😂
@aishamusumba84692 жыл бұрын
Mate waa huyu ni zero akuna love hapo
@michaelmbithi23002 жыл бұрын
Im Loving this ...more of this please nic and ashly
@immaculatemumbua49102 жыл бұрын
Me listening to background music ,,,kativui my guy
@empresswanga5602 жыл бұрын
Hapa hakuna mapenzi 🚮🚮🚮🚮🚮🚮
@Noah-zt5zf2 жыл бұрын
True
@wamboikariuki36772 жыл бұрын
😂😂😂😂
@empresswanga5602 жыл бұрын
@@wamboikariuki3677 acha kucheka Aki Nani ukweli😂😂😂kioko anaforce
@lizzylizzy98412 жыл бұрын
Aki 7:59....has the answer to the future of this ...relationship
@عمرالعمر-ذ7ن2 жыл бұрын
Wew ni kuma yako
@milly55562 жыл бұрын
Wenye mnacomment ati hampendi mnajua aje,if it were you how would you react,wacheni midomo
@damarismucheru10612 жыл бұрын
Michele wako nayo mingi.wao wangereact aje?
@عمرالعمر-ذ7ن2 жыл бұрын
Wanapenda ndio maana wako pamoja bt people react like stupid if is you how do you react wambo dont worry dear next time kioko utajuh ujuh kuna prank yako kali bt wambo take easly
@SupremeKimani2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣prank with comedy haha ati ebu shika apa kamshipa haha nikali
@vanekemu73142 жыл бұрын
That's Great Wambo ,she respects you kioko juu kuliko kelele alitoka
@kagenitheembiangal43082 жыл бұрын
Uuuuuiiiiii , this gal is not violent , kitambo useme ni prank ningekua kumewaka
@vincymusic92372 жыл бұрын
Ama kweli kila mtu Ana siku yake ya kufanikiwa...Ashley you have made it almost 20k💝💝💝💝💝....si mnifikishie ata 1k subs wakuu🙏🙏🙏🙏am struggling lakini wapi
@jacquek1112 жыл бұрын
Nmecheka nkaisha ak woyeee kioko usifanyie wambo hivo tena
@carolinewanjiku9809 Жыл бұрын
Ashley is not I love with kioko aki
@johnmalowa58392 жыл бұрын
Can't wait to subscribe where Nicholas is....new here...much love❣️❣️
@Deeadequate2 жыл бұрын
Aki woiyee... Kioko is so inlove with Ashley. But...
@awinojuju8522 Жыл бұрын
Don't talk nahh ahhh 😂😂😂😂
@calsudi2 жыл бұрын
steady pictures please.... Cameraman, how many times have i called you?
@lilymnyash2 жыл бұрын
Hiyo part ya mate apana...
@sultanjumanje6942 жыл бұрын
BT hii n ujinga mwanaume mzima Kama wewe c uwendele n news zako
@evertonkimweli53862 жыл бұрын
Ety mara anakwambia ugoje afunge trouser😂😂😂
@generalkiguoya86342 жыл бұрын
This is not a boyfriend uyu ni kasee 🤣🤣🤣🤣
@linkenkenya91742 жыл бұрын
Huyo dame Bado sio mature
@mgtvnews68902 жыл бұрын
How do you expect a 22yr old to behave?
@linkenkenya91742 жыл бұрын
@@mgtvnews6890 a 22 year old is a mature women,, not a small girl
@mgtvnews68902 жыл бұрын
@@linkenkenya9174 she is only mature in bed bruh
@edge60162 жыл бұрын
Kayoko sually why break this little girls heart with this stupid prank very lawless moment
@francismutonyisamson82882 жыл бұрын
Wambo liking this comment tells me alot
@milcahnthenya31472 жыл бұрын
Sa mnakula nn kwa channel surely aki mnabow surely
@marywachira37452 жыл бұрын
Penye tu Nimeona wambo amefanya makosa ,nikujua ni prank akaonyeshelea kidole tabia m aya 🖕,but alifaa akasruke tu hivyo , good work kioko
@cynthiaann52162 жыл бұрын
J would give it a 10 best prank l have watched soo far...
@Maculture7012 жыл бұрын
Kifeee once said.........................😂😂😂😂😂😂ama wacha
@lewismurimi57022 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@braizybiltrials.26032 жыл бұрын
Ujinga sana; malizia hivyo_🤮 mapenzi yenu haituhusu sisi kama wananchi.!.
😂😂😂😂mnajifanya hamsikii kicheko ya kioko!!kwanza akuchekee kwa uso
@SleemteeKenya2 жыл бұрын
Wallahi 2Mbili understood his Assignment 😂👏
@berthyego94562 жыл бұрын
😂😂😂
@2mbili12 жыл бұрын
😂😂 Part ya Malipo ndo nangoja Bado hii kijana inani blue tick sana
@sammy11162 жыл бұрын
@@2mbili1 😂😂😂😂
@3kings632 жыл бұрын
Prank tuwa achie wazungu jamn utauwa mtu ufungwe 🇹🇿WCB4LIFE BABE
@dianamarua26322 жыл бұрын
Mm na huu utaita wangu kuna mtu angekuja kubebwa na machela leo
@jayn74902 жыл бұрын
Bro chunga sana sio hiyo na utakuja lia one of these days.... how can she do this 🖕 infront of a camera hata baada ya kuambiwa ni prank..... take care bro.... immaturity detected!
@lizzylizzy98412 жыл бұрын
Do what weeh🤣🤣🤣
@mgtvnews68902 жыл бұрын
Mimi najua sio huyu😂😂
@benndemo2012 жыл бұрын
You r building ua relationship in shaky ground.
@irine83532 жыл бұрын
Huyu dem anabooooo tu sana
@seikhinarkagendo1456 Жыл бұрын
This couple is not meant for each other,,,they are all short tempered,,kwanza kioko ndiye worse ikifika ni mambo na makasiriko
@beautifullyMade2024 Жыл бұрын
Wee! That looks like a line of weakness created right there.....akableach on trust... that's why she had to ask"hiyo Dean ni nani?...you better introduce them to each other to clear her doubt...but prank imeweza
@ivachristie68022 жыл бұрын
Kioko wachanga kufanya hio sauti ya mya mya ukikula. This is coming from a good place.
@nyangaga045tv92 жыл бұрын
Hii ni kali i can't try it at my home better ww ulitemewa mate mm ntachomwa keep going wambo and kioko you made my day 🤣🤣
@hellenopiyo33912 жыл бұрын
Heeee mimi for sure hakuwezi kalika tena mtu wangu hawezi nijaribu coz mimi huwa spendi prank kama hizi niukasirika haraka🤣🤣🤣🤣🤣
@monicamwangi31222 жыл бұрын
Haha
@dennyosoko80752 жыл бұрын
Wambaire next time don’t do that by kurusha mate ok