💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@cheiknamouna2058Сағат бұрын
Bora muendelee kupinduana tu wenyewe Kwa wenyewe mmesahau vita ya panzi faraha Kwa kunguru🤣🤣💃💃
@AliciaKyai2 сағат бұрын
Siyo lazima unaemchagua apite sisi chadema 2020 tulimchagua lissu ninyi mkamuweka magufuli wenu Leo Yuko wapi?
@melch30972 сағат бұрын
Wanaohamia ccm safari hi mtalijua jiji
@devissyprian1526Сағат бұрын
Ccm mwenyewe hamuelewani kweli, aaaah kazi ipo
@TomasiklistophaMwinukaСағат бұрын
Nyie niwezi wote watu waccm sasa mnamlalamikia nani mmesha zoea mtajua hamjui hama mama njoo kwenye haki chadema chama chenye hofu yamungu
@no-code-club2 сағат бұрын
Thanks for sharing 🎉
@FloridaAdelinus2 сағат бұрын
MZIMU WA KUWAENGUA VYAMA VYA UPINZANI UNAWAANDAMA. HONGERA LAANA NA NYIE MUONE HAKI INAVYOPORWA INAVYOUMA.
@justardzelphine65262 сағат бұрын
Nawashauri chadema, msiwachukue watu walioshindwa
@deniccgabriel61532 сағат бұрын
Utajua ujui
@ipyanamwasampeta653Сағат бұрын
This is the true colour of CCM. Wakati wapinzani wanalalamika kukatwa majina wagombea wao na TAMISEMI CCM, sasa wanakatana wenyewe kwa wenyewe. CCM na rushwa ni Pete na kidolle. Na bado TAMISEMI CCM itawakata wapinzani kwa sababu za hovyo kama form hazikujazwa vizuri n.k.
@NeemaElisante-zd2dt2 сағат бұрын
Hameniii mmelamizishwa
@justardzelphine65262 сағат бұрын
Kuna mwenyekiti alikimbia kuchukua wanafunzi wa shule za msingi
@salama11132 сағат бұрын
Amjui kinachoendelea kwann msijuwe mbambaneni na hali zenu kashapitishwa atakae pigiwa simu😂😂😂😂
@musaguga2 сағат бұрын
Njooni chadema chap
@minazsaid24702 сағат бұрын
Sasa hao CCM wanaibiana kura wenyewe kwa wenyewe
@phillipmasungwa73652 сағат бұрын
KILA CHAGUZI NDANI YA CCM NI SHIDA TU KUNA WATU NDANI YA CCM WAMEJIMILIKISHA CHAMA.
@josephatkajange87142 сағат бұрын
Sasa mamasamia anahusikaje hapo? Ninyi malizeni matatizo yenu bana. Kwani lazima mmhusishe mamayetu?