mungu akubariki Makonda, pia Asante Mama yetu Samia kwa kumteua huyu jembe la kazi, tunawaombea baraka katika kuijenga Tanzania yetu
@marcokaroje898010 ай бұрын
Kwani ni hakimu? au mnashangilia mbwewmbwe?
@jacktonmakau339710 ай бұрын
@@marcokaroje8980hauna akili wewe
@ntangiregemfuruki547810 ай бұрын
MAKONDA WEEEE😂😂😂😂😂😂.mungu akuone na akuchague uwe NURU YA TANZANIA 😊😊😊❤❤
@mwanyongamama440710 ай бұрын
Makonda I praise God for what Is Doing using Makonda Glory to Almighty God
@yahayalugongo482510 ай бұрын
Its amazing nice paul makonda
@KijukuuMtemi10 ай бұрын
Mbona Zanzibar huji makonda ahh ehh huku Zanzibar hatuna mtetezi nahama na hamia bongo
@harunrhobi300710 ай бұрын
Mungu akulinde sana mheshimiwa.Umetenda kulingana na jins Mungu anavyokuongoza.Mungu akutetee.
@DeogratiusAndrew-zi7zv10 ай бұрын
Mungu akutunze akupe afya njema kaza buti usigeuke kwa kushoto wala kwakulia macho mbele,
@OnesmoEmmanuel-xr2rf10 ай бұрын
Makonda MUNGU akuzungushie moto wakimbinguni🙏🙏🙏🙏
@geraldmakalala609110 ай бұрын
Makonda hujawahi kunifelisha, piga kazi sana
@saratimoth473410 ай бұрын
Kiukweli kaka mwenezi Mungu wa mbinguni akubariki sana sana sana kwa hekima uliyo nayo
@saratimoth473410 ай бұрын
Mungu akulinde kaka na mtumishi ya wa Mungu
@margarethpolepole743810 ай бұрын
Ccm oyeeeee Makonda oyeeeee ccm imefufuka ahsante mungu
@mariamali652610 ай бұрын
Aslam alykm kakangu makonda Allah akubarik kwa kazi yako akuletea wanyonge ..ubarikiwe sana aaaa ..Allah akulinda kwa kila unapo kwenda kwenye kazi yako inshaallah..mmi dadako ni mkenya . Lakini wewe kaka inshaallah wafa kuwa kiongozi wa nchi kabisa wallai...congratulations my dear brother. Good bless you..
@salumjumaruhaga251310 ай бұрын
Tawilee tawilee safi sana
@angelanaftael796510 ай бұрын
Aibu sana haya mambo ya nchi hii kweli lazima Mungu amekasirka sana
@rosemwankemwa941310 ай бұрын
Mungu akukumbuke makonda
@AbdilahiMriri10 ай бұрын
Ww mhe Makonda unatakiwa kupata japo element ya uwaziri wowote hasa wa mambo ya Ndani.
@BenedictaMagantg10 ай бұрын
Au Ardhi
@Jkm23710 ай бұрын
Huyu ndiye Rais Wa Tanzania 🇹🇿
@batulimohamed608810 ай бұрын
Ipo siku utakuwa rais muheshimiwa ..🙏
@barakakomba608710 ай бұрын
Yaani kuna muda awa maafisa wana mambo ya kishezi na ubabaishaji wakipumbavu 🤔🤨
@ThomasDaudi-v5s10 ай бұрын
😂 afsa aridhi asaema mwe mwe mwa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@mangulimanguli397410 ай бұрын
Watu dhulma sana
@Zubaiba10 ай бұрын
Afisa aridhi anasema mwe mwe mweee😂
@DeogratiusAndrew-zi7zv10 ай бұрын
Huyo wa ardhi nahuyo aliyetapeli lao nimoja , hatahuyo hafai kabisa kuwepo kwenye ofisi hiyo ya uma
@SelinaMdoe-jv1pu10 ай бұрын
Ni mtihani sana mm ungu aingilie Kati wananchi wanatese ka sana
@omarybakunda255410 ай бұрын
Kuna wezi balaa
@danielshauri639010 ай бұрын
Niliwahi kuwaambia , makonda ni jembe la kazi sana
@RobertMachenga-tz3re10 ай бұрын
Huyo anajibu utopolo Kama Ni kumfukuza tu Hana lololte analojua anakundanganya tu.
@kijanisaini568810 ай бұрын
Heshima kwako angekupa uwaziri Mkuu kabisa ungemsaidia Sana maana Samia kazidiwa akili na waovu
@simonsadala238610 ай бұрын
Brother ccm yote na Serikali vipo mikononi mwako sisi watanzania tunafunga na kusali Kwa ajili yako haya mambo tuliyamiss mnoooooo toka Kwa baba JPM umekuwa tumaini jipya Kwa watanzania
@salomeurio56010 ай бұрын
Mhe hao ndiyo viongozi tuliyo nao, hasa kwenye ARDHI, mambo ni mabaya sana kwa kweli... Viongozi wengi hawatendi haki na wako kinyume kabisaa... na MAONO ya Mama yetu.. Pia wakuu wa Mikoa na Wilaya hawako serious na MAENEO yao ndiyo sababu unakutana na hayo mauza uza... Viongozi wanatakiwa kupimwa kwenye maeneo yao kama wanafaa au la waondoke wakae pembeni...
@josephaturio862410 ай бұрын
Ningependa kumshauri mwenyezi comred Makonda hizi KERO alizosikiliza ningemshauri azichukue kama mfano tuu ,Zimpe picha jinsi wananchi walivyo na KERO nyingi hataweza kuzimaliza kwa kusimiliza mojmoja ajaribu kushirikiana na mfumo mzima wa Tamiseni Ili zitatuliwe zote kuisaidia nchi kwa ujumla.
@TwahaMpakani-pn4ov10 ай бұрын
Na je ambao hawajapata nafasi hiyo ni wangapi wanao nyanyaswa hii nchi ni nchi ya namna gani jaman dah
@christianmwashala976010 ай бұрын
Makonda awe mbunge wa taifa tuu manake anafanya Kaz mbili mbili piga Kaz makonda
@juliuszakayo677110 ай бұрын
Huyu nyumbu ninani anakuja hudhalilisha watun,, Mambo ya kiofisi
@agapemunyi209510 ай бұрын
Unajua nafasi ya Raisi wa nchi, iwe alitamka kwa bahat mbaya au no unatakiw kutekeleza ndio mambo mengine yafuatwe ndo maana ana inaitwa taasisi ,hivyo vyama vyako vinapambana kushika dola kwa sabb wanajua nguvu yake ukiwa top of country
@NathanKanick10 ай бұрын
Tukiacha ushabiki tunawahitaji Akina makonda 20 ktk nchi yetu, hapo ndiyo inchi itanyooka
@sadikishishira813010 ай бұрын
Makonda nakuombea mungu
@awadhrajabu140310 ай бұрын
Hao Wenye Kutoa Maoni Yao Je Wanapata Haki Zao Naakama Wanapata Basi Waludi Tuone Milejesho Yao Mana Kutokana Na Wingi Wa Matatizo Ya Watu Mtu Anaweza Asitimiziwe Na Asipewe Muda Wa Kujieleza Kusema Kama Ajatimiziwa Chochote Je Hao Watu Wanapata Haki Zao Baada Ya Kutoa Malalamiko Yao Kwa Makonda Kwa Sauti Ya Raisi Je Wanapata Haki Zao
@agnesspaul186610 ай бұрын
Ukweli humuweka mtu huru Makunda ubarikiwe
@ramshetmlawa699510 ай бұрын
Adi kigugumizi
@fardoshnassor784710 ай бұрын
😪🙏
@ngossomahenge350010 ай бұрын
Mh rais naomba nikushauli kitu, Baazi ya vigogo wa ccm wanakukwamisha kwa utashiwao wenyewe no 1 makamba. Mzee kinana. Kikwete. Nape nauye mzee makama hawawatu niadui wa taifa. Ushinao kwa akilisaba
@OmbeniLuka10 ай бұрын
Serikali ya ccm danganyifu kweli makonda amekiri kama hauna mtu serikalini hauwezi kupata msaada hapa ujinga wa wa Tanzania utawaangamiza
@rashiditembo157410 ай бұрын
Mkuu muwajibishe huyo afisa ardhi,Hana wazazi huyo,Hana uchungu
@saiditasher836210 ай бұрын
Mama samia tunaitaji watu kahawa wewe mama unawafahamu
@janethpallangyo385510 ай бұрын
Much love Makonda
@SefuHabibu-sn8cx10 ай бұрын
Haya majitu majizi haya alafu jitu kama hili likitumbuliwa likifa mnasema yanaonewa
@OmbeniLuka10 ай бұрын
Mnashangilia ujinga
@patriciamakoye154610 ай бұрын
Mimi nilionaga kitu mapemaa kwa makonda
@simonsadala238610 ай бұрын
Dogo Makonda umekuja ki vingine awamu hiiiiii lkn kuwa mwangalifu hao jamaaa sio wemaaaa
@wilsonmatembo833810 ай бұрын
Apige kazi kama kufa kilammoja atakufa saidia wanyonge
@mariamali652610 ай бұрын
Aslam alykm
@issaabdallah766010 ай бұрын
Hii nchi kwenye swala.la ardhi kunashida sana
@SurprisedPinball-xx9dy10 ай бұрын
🎉❤
@RobertMachenga-tz3re10 ай бұрын
Huyo kigogo atalipa hiyo million moja yeye kwani Ni matapeli hao kesi dogo inachukua miaka mingi.
@danielsostenes164010 ай бұрын
Yaan Raisi anaagiza wanakaidi hiiiiiiiii ahaaaaaa
@OmbeniLuka10 ай бұрын
Watanzania amkeni ccm ni comedian waliokubuhu hakuna jipya ujinga mtupu hapa ni igizo tu la kuwadaa Watanzania mpate kura
@seifkulwa334610 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@geraldmakalala609110 ай бұрын
Kama Magufuli kabisa
@OmbeniLuka10 ай бұрын
Watanzania amkeni acheni ujinga
@dicksonkilupa225810 ай бұрын
MIMI NIPO HAPA NACHEKA TU. MDHURUMAJI CCM , MDHURUMIWA CCM NA MTATUA MIGOGORO CCM SASA HAPO NDO NINAVIITA VIROJA VYA KISHETANI.
@mayrfrimi475910 ай бұрын
Ukweli kuna saa mnanyoosha maneno na kuna saa mnapindisha we konda na wenzako, tunajiuliza hizo pesa unazogawa , na kusema mama amekupa, inamaana anatoa mshahara wake anakupa ukagawe bila utaratibu, hii imekaaje?? Au ndio stail ya kurushia kuku mahindi waingie kwenye banda? Uchaguzi 2025 hoyeeeèeeee!. Takukuru inakuhusu, hiyo ni hongo kama hongo zingine.
@PPsstor10 ай бұрын
Hawa waambie wasenge kabisa
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg10 ай бұрын
Huyu ni zaidi ya Jpm
@GetuliBasso10 ай бұрын
Makonda baba uwe Rais 2030 baada ya MAMA
@nassorntandu451310 ай бұрын
Unapofuatilia mikutano hii na maswali yanayoulizwa, utagundua kwamba Wananchi wana maumivu makubwa sana ila hawaja viongozi wa kutatua matatizo yao!
@barakakomba608710 ай бұрын
Kweli watu wana maumivu makali sana
@GodfreyOsward10 ай бұрын
Maumivu yapo kwa sababu nchi yetu tujiwekea mfumo usiofanya kazi, hii nchi ina watu wengi wenye uwezo, ila tumejifunga mikono, na ni kila sekta. Tunahitaji viongozi kama nyerere, bahati mabaya tumewafungia njia wasipite
@ChristianMkumbo-ix2ke10 ай бұрын
Kwahiyo serikali haifanyi kazi? YOU DON'T HAVE ANY POWER TO DO SO
@yoramtango247010 ай бұрын
uozo
@mwanyongamama440710 ай бұрын
Watazimia kwa Bp
@NathanKanick10 ай бұрын
Tukiacha ushabiki tunawahitaji Akina makonda 20 ktk nchi yetu, hapo ndiyo inchi itanyooka
@kijanisaini568810 ай бұрын
Heshima kwako angekupa uwaziri Mkuu kabisa ungemsaidia Sana maana Samia kazidiwa akili na waovu