Wanafunzi wa chuo kikuu cha JKUAT waandamana Juja

  Рет қаралды 12,627

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

25 күн бұрын

Mamia ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Jomo Kenyatta wameandamana hii leo kudai haki kufuatia kifo tatanishi cha mwenzao denzel omondi ambaye mwili wake ulipatikana ndani ya mgodi huko Juja. Wanafunzi hao ambao walifunga barabara kuu ya thika wamekataa matokeo ya uchunguzi wa maiti wakishikilia kuwa mwenzao aliuawa kwa kuhusika katika maandamano dhidi ya serikali

Пікірлер: 10
@YallboyzYT
@YallboyzYT 23 күн бұрын
First🎉
@AfriKan-Nazi
@AfriKan-Nazi 23 күн бұрын
Mbona citizen hamcover izo miili zimepatikana
@user-oy5fn8du4u
@user-oy5fn8du4u 23 күн бұрын
Inauma sn jmn😢😢😢
@faridaabbas7199
@faridaabbas7199 23 күн бұрын
ruto must go
@AfriKan-Nazi
@AfriKan-Nazi 23 күн бұрын
# Ruto must go
@YallboyzYT
@YallboyzYT 23 күн бұрын
Pls pin
@jotonyae-04
@jotonyae-04 23 күн бұрын
Ruto anatumaliza pole pole tu jamani
@karimimiriti3827
@karimimiriti3827 19 күн бұрын
Ruto aliwatuma kwa barabara
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 32 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 25 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
Walaghai Mitandaoni: Nyuso za wahusika wakuu wanaowaibia wakenya
9:52
KTN News Kenya
Рет қаралды 115 М.
Wanafunzi wa JKUAT wafanya maandamano kulalamikia kifo cha Denzel Omondi
0:34
Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali
29:11
Sababu ni Mapenzi : Mzungu akabiliwa na umaskini Malava
4:08
KTN News Kenya
Рет қаралды 253 М.
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН