Wananchi wa Afrika Mashariki walalamikia bajeti mpya za nchi zao | VOA Swahili

  Рет қаралды 3,483

VOA Swahili

VOA Swahili

Ай бұрын

Wananchi wengi wa Afrika Mashariki walalamika dhidi ya bajeti zilizotangazwa zikiwa na ongezeko la kodi na ushuru kwa bidhaa muhimu katika nchi hizo
VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi.
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000.
Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru.
Jiunge na VOA Swahili:
» Tembelea Tovuti Yetu: bit.ly/3PtyNWc
»Angalia Video Zaidi za VOASwahili: bit.ly/3TNTiiI
»Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : bit.ly/VOAPlus
»Download VOA+ katika vifaa vya Android bit.ly/3KykriI
»Tembelea Tovuti yetu: www.voaswahili.com/
»Upende ukurasa wetu wa Facebook: / voaswahili
»Tufuatilie katika Instagram: / voaswahili
»Tufuatilie katika X: / voaswahili
»Tufuatilie katika KZbin: / @voaswahili

Пікірлер: 2
@PatrickSaitabauoleresiPatrickS
@PatrickSaitabauoleresiPatrickS Ай бұрын
😢
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika Ай бұрын
Sielewi sielewi haya majanga makubwa yanasababishwa na nini?.
Duniani Leo
28:31
VOA Swahili
Рет қаралды 1,8 М.
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 506 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 86 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 32 МЛН
Duniani Leo 8/1/2024
29:36
VOA Swahili
Рет қаралды 3 М.
Malipo Duniani Part 1 - Mohammed Fungafunga (Official Bongo Video)
1:06:06
Athari za mikopo kwa nchi masikini barani Afrika
30:01
VOA Swahili
Рет қаралды 536
Israel's INVASION of America and Muslims for Trump | Omar Suleiman
54:34
OnePath Network
Рет қаралды 185 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 12 М.
CHANGAMOTO ZA UKUSANYAJI KODI  KATIKA NCHI ZA AFRIKA MSHARIKI
30:04
Maelfu waomboleza katika mazishi ya kiongozi wa Hamas
3:14
VOA Swahili
Рет қаралды 592
Duniani Leo 07/02/2024
29:08
VOA Swahili
Рет қаралды 2,4 М.
Каха заблудился в горах
0:57
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН
It worked for me)
0:19
F&T Team
Рет қаралды 23 МЛН
ПИЩЕВОЙ ВАНДАЛ НАКАЗАН
0:20
МАКАРОН
Рет қаралды 2,9 МЛН
KARMA AT SCHOOL 🏫 Stop time
0:32
dednahype
Рет қаралды 46 МЛН
IQ Level: 10000
0:10
Younes Zarou
Рет қаралды 10 МЛН