Рет қаралды 3,514
wananchi wa jimbo la bumbuli lililopo wilaya ya lushoto mkoani tanga wamshukuru raisi samia suluhu pamoja na mbunge wao january makamba kwa kuwapatia kipande cha lami chenye urefu wa km moja: hayo aliyazungumza mkuu wa wilaya ya lushoto kalisti razaro wakati ziara zake za kukagua miradi katika jimbo hilo...
#tanga #lushoto #tanzania #lushotoplus