Wanawake wa herufi "A" hii ndio siri ya maisha yao.

  Рет қаралды 31,248

Allykk tv

Allykk tv

Күн бұрын

Пікірлер: 100
@Irene_S._255
@Irene_S._255 3 ай бұрын
Kweli kbx kaka ang mm na mume wangu tunaendana mashallah
@AgnesJohnson-l8m
@AgnesJohnson-l8m 4 ай бұрын
Ahsante bro Kwa elimu
@BonifaDaniel
@BonifaDaniel 11 күн бұрын
Uko sahihi sana asante
@AishaSaid-k4h
@AishaSaid-k4h 23 күн бұрын
Ni kweli kabisaa
@JeanNIYONZIMA-dk7ij
@JeanNIYONZIMA-dk7ij Жыл бұрын
Wew ni mutu sahihi kwetu MUNGU akulinde
@JescaAntoni-i2r
@JescaAntoni-i2r 3 ай бұрын
Ases mikweli doctor unachokisema Mimi nimeolewa.na mwanaume.anajina laelfu yakuamziajina laA ..ananisumbua sana naishi kwaimani ya Neemaya Mungu❤❤
@alicemakala-fi8xd
@alicemakala-fi8xd 5 ай бұрын
Uko sahihi sana❤
@AshuraUpete
@AshuraUpete Жыл бұрын
A na A jeee inakuwajee hiyo
@MsAisha-w4o
@MsAisha-w4o 4 ай бұрын
MNGU atuepushe na mitihani yarab 🙏
@agnesmolly1247
@agnesmolly1247 Жыл бұрын
Kila kitu umesema ni kweli kabisa
@AnitaApolinary
@AnitaApolinary 10 ай бұрын
Yaani umeongea ukweli kabisa 👏👏👏mimi ni A lkn mme wangu ni W
@AvelinePeter
@AvelinePeter Ай бұрын
Mnaendana
@AnitaApolinary
@AnitaApolinary Ай бұрын
@AvelinePeter 👏👏
@AnitaApolinary
@AnitaApolinary 10 ай бұрын
Asante sana
@AnnethNgugi
@AnnethNgugi Ай бұрын
Mm niliolewa na j asee mungu ndio anajua kilichonikita Dr upo sahihi
@AdidjaKadjemba
@AdidjaKadjemba Ай бұрын
Na Mimi ivoivo ndunguyangu sasa tunafanya aje ili kuepuka
@Richforever66
@Richforever66 Жыл бұрын
Sasa kaka mimi now naitwa glory lakini mwanzo nilikuwa naitwa zelea na nimempenda mwanaume anaitwa allan tunataka kuoana je nifanyeje
@GraceRichard-z3c
@GraceRichard-z3c 15 күн бұрын
Ni kweli kabisa unachosema.
@AvelinePeter
@AvelinePeter Ай бұрын
Kujikata mimi uwiii kuumia kila mara kudondoka 😂
@AnnaJoseph-sl1fy
@AnnaJoseph-sl1fy 11 ай бұрын
Yaaap is perfect like me yaaan
@wardaally7233
@wardaally7233 Жыл бұрын
Wewe ni nomaa👏👏👏👏💯
@AgnesWanzaWanza
@AgnesWanzaWanza 4 ай бұрын
Yaani ukweli kabisa
@AishaOmari-o2f
@AishaOmari-o2f 6 ай бұрын
Kwahiyo tunafanyaje sasa ambao tumo ndani ya ndoa na nyota haziendani
@AshaMohd-z1o
@AshaMohd-z1o 27 күн бұрын
Nikweli kabisa hujakoseya kaka yangu
@Mumbi_Hakeem
@Mumbi_Hakeem Жыл бұрын
herufi A na o mmoja moto na mwingine upepo itakuaje hapo
@RechoLameck-m4m
@RechoLameck-m4m 3 ай бұрын
Yani docta umesema kweli kabisa mm ni mtuwahofu sana lakini nimejifunza kitu kikubwa sana
@abbyn.mwamba
@abbyn.mwamba 3 ай бұрын
kweli kabisa
@abbyn.mwamba
@abbyn.mwamba 3 ай бұрын
unae yasema ya kweli nilikua na mwanamke mwenye hefufi d nilikua na wasi wasi sana
@ETt-r3e
@ETt-r3e 4 ай бұрын
Asante kwa elimu kaka
@AsilaSaid-x7v
@AsilaSaid-x7v 22 күн бұрын
Kweli kabis unasema nilolew na mume namba H anites Sana Sasa unanishaulije na wasiwas ni kweli kabis daah
@AgnessPaul-o1r
@AgnessPaul-o1r 2 ай бұрын
Unasema kweli kabsa
@aminamwenda7375
@aminamwenda7375 Ай бұрын
Kwel kabs jmn
@AsmaRobert
@AsmaRobert 2 ай бұрын
Kwel kbs mm ni A na my wng ni S tunaishi kwanguvu za mungu tunapendana lkn mm ninakisiran sana najaribu kujizuia lkn inashindikana
@AshaAli-u3w
@AshaAli-u3w 4 ай бұрын
Upuuzi gani huu siamini najua Kila kitu Mungu tayari alishapanga
@mariamomran6144
@mariamomran6144 Жыл бұрын
Nice
@Bintmwafurani
@Bintmwafurani Жыл бұрын
As Salam alaykum kaka samahani naomba msaada mm ni A mwenzangu ni S,, je tutakuwa tunaendana kweli umezaliwa mwezi mmoja ila tareh ndo tumepishana yeye tareh 2,,desembar,,na mim tareh 15 desembar
@azizaiddy1453
@azizaiddy1453 9 ай бұрын
Mashallah ata mimi ni A namwenzangu ni S natumezaliwa mwezi mmoja mwezi wa wa 6 mimi tarehe 1nayeye tarehe 20
@princeshahulo2174
@princeshahulo2174 6 ай бұрын
Nyota zenu zinaendana coz upepo na moto zinaenda pamoja
@NeemaMsangi-m1k
@NeemaMsangi-m1k 5 ай бұрын
Vipi kuhusu S ndio A awe nayo maana nimesikia doctor akisema C ndio nayo niupepo?
@ZawadiJohn-k6k
@ZawadiJohn-k6k 2 ай бұрын
😢Vp A,na m
@MariamKango-q1m
@MariamKango-q1m Жыл бұрын
Kweli
@AzizaMbaluku
@AzizaMbaluku 22 күн бұрын
Yani upo sahihi sn mimi pia na matatizo hy
@AminaMray
@AminaMray 6 ай бұрын
Mim ni A na mume wangu ni A,,,japo Nina jina lingine ambalo linaanzia na C
@AzizahamadyligoliHamadligoli
@AzizahamadyligoliHamadligoli 19 күн бұрын
Samahaleyk kk mm ni Ana mwenzng ni A je 2naendana
@asiyajuma3135
@asiyajuma3135 6 ай бұрын
Wasema kweli niliolewa na B karibu kufa wallah hadi ni litoka mbio
@Zlfa-y2p
@Zlfa-y2p 10 ай бұрын
Kaka samahan yani mm z kichwa kinanisumbua hadi napagawa nashindwa kukanyaga chini hv naweza ni kafanya nin niwe salama niko Oman je kuna Namn y kunielekeza
@AsmaKaskas
@AsmaKaskas 8 ай бұрын
Ni kweli kbs
@AminaMatope
@AminaMatope 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@Amina-qp2og
@Amina-qp2og 7 ай бұрын
Hii elimu nipana sana sjui nikwann sikuipata mapema
@amushemustafa
@amushemustafa 3 ай бұрын
Hiyo kukosa raha waswas jamani nyie achanituuh
@AMBROSIJOSEPH-qc7xo
@AMBROSIJOSEPH-qc7xo 10 ай бұрын
Sasa doctor mbona kila umri ni hatari na changamoto je tunafanyaje
@NicksonLuvata
@NicksonLuvata 7 ай бұрын
👏👏👏👏
@MunezeraShamsa
@MunezeraShamsa Жыл бұрын
😢😢dah😢😢
@MillidredAkinyi
@MillidredAkinyi Ай бұрын
Umesema ukweli kabsa
@DicksonMajula
@DicksonMajula 3 ай бұрын
Nikwel kabisaaa doctor
@BonifaDaniel
@BonifaDaniel 11 күн бұрын
Na vip kuhusu A na S
@AvelinePeter
@AvelinePeter Ай бұрын
😢mimi huyu
@Aishajumamkambaku
@Aishajumamkambaku 6 ай бұрын
Mmmmm mie A mume j baraaaa atuwivi
@aminaomar6269
@aminaomar6269 4 ай бұрын
na me j tunaelekea kuachana sasa😢
@AdidjaKadjemba
@AdidjaKadjemba Ай бұрын
Mimi piya ivo ivo
@BabyJoyice
@BabyJoyice 2 ай бұрын
Yani nikweli kabisa
@elizaClaus-wk5kw
@elizaClaus-wk5kw 9 ай бұрын
Mmmmh mbona kweli
@AishaOmari-o2f
@AishaOmari-o2f 6 ай бұрын
Kwahiyo tunafanyaje sasa tulioingia kwenye ndoa na nyota haziendani
@AsmaJuma-y4q
@AsmaJuma-y4q 27 күн бұрын
Naitwa Asma Nina wasi wasi Yani siele wangu wakati mwengine naomba nisahidie kaka
@abyhenry440
@abyhenry440 2 ай бұрын
Mbn me ni A but sina hofu
@IbrahimIbrahim-uz8yk
@IbrahimIbrahim-uz8yk 7 ай бұрын
Dah!nikweli hata mim Niko Ivo nikweli kabs
@AnnaJoseph-sl1fy
@AnnaJoseph-sl1fy 11 ай бұрын
Yaaap is perfect like me
@issamelly2295
@issamelly2295 Жыл бұрын
Kaka mimi binafsi nakufatila na ninakuelewa kwa haya unayo yasema
@wardaally7233
@wardaally7233 Жыл бұрын
Kiukweli heshima kwake.
@ashurayassin2541
@ashurayassin2541 17 күн бұрын
Mimi A na p inakuwaje
@ANIFAMTOBO
@ANIFAMTOBO Ай бұрын
Ivi wewe ndokita umeniona nini maana hiyo hali napta nayo😢 jamn munisaindie kambisa nawaomba
@AminaMray
@AminaMray 6 ай бұрын
Mm ni A na mume wangu ni A hapo imekaje na nina jina lingine ambalo ni C ila A ndio la kuzaliwa
@AishaAlrawahi-p4d
@AishaAlrawahi-p4d 3 ай бұрын
Yaani A hawana sifa nyengine ila naumwa?
@AnisiaKazungu
@AnisiaKazungu 9 күн бұрын
Mi natakuuliza je heluf N inamagan
@AgnesMgaya-y6l
@AgnesMgaya-y6l 5 ай бұрын
MmA na mme j nipo Soo tutafanyaje
@Irene_S._255
@Irene_S._255 3 ай бұрын
Mimi A na mume wangu S tunaendana
@AgnesSaid-e3e
@AgnesSaid-e3e 3 ай бұрын
Nimeelews
@agnesmolly1247
@agnesmolly1247 Жыл бұрын
Yani doctor unasema ukweli sana niliolewa na J tulisumbuana sana nilivumilia miaka 13 nkashindwa sasa ananifatilia nirudi ila naokopa
@GibsonMushi
@GibsonMushi 6 ай бұрын
Hello 😊😊😊
@selemanijafari9225
@selemanijafari9225 5 ай бұрын
rudi kwa mumeo
@Bellah-qt1lx
@Bellah-qt1lx 4 ай бұрын
😂😂😂😂​@@selemanijafari9225
@anigrandy9888
@anigrandy9888 4 ай бұрын
Wewe kama mimi😢miaka 13 tunaachana tunarudiana yaani kama mchezo
@suleimanmsalum
@suleimanmsalum 6 ай бұрын
Inaendana maana mkewangu hizo A
@اناعامله
@اناعامله 4 ай бұрын
Vp doctor kuhusu A and S
@bernadsospeter6905
@bernadsospeter6905 7 ай бұрын
Kaka mimi b je naendana na A maana maelewano amna nifanyeje kuachana ni aibu watoto wamekuwa
@PendoNdalu
@PendoNdalu 4 ай бұрын
Mimi p nanianae nifaa nisaidie japo
@MankaMmari-q8r
@MankaMmari-q8r 3 ай бұрын
Anakufaa V ❤
@KishepPambe
@KishepPambe 7 ай бұрын
Kwaiyo nyota inasomeka kwaherufi yamwanzo tu haibadiliki kutokana najina lote
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 5 ай бұрын
Yeah
@dicksonyohana4344
@dicksonyohana4344 8 ай бұрын
Kwanini ni maadui na sayari ya maji ?
@AsharyJumma
@AsharyJumma 6 ай бұрын
Hey guyz its really true am asha
@selemanijafari9225
@selemanijafari9225 5 ай бұрын
h hujambo mm s npo zenj tunawz kua marfk
@DorckasIdafa
@DorckasIdafa 5 ай бұрын
Mimi ni A na mwenzangu yeye ni f je tunaendana?
@OctavianPastory
@OctavianPastory 5 ай бұрын
Hamuendani nyie
@stevenstephano2624
@stevenstephano2624 23 күн бұрын
Wew ni moto na yy ni udongo khy hamuendan
@RukiaMakame-v8k
@RukiaMakame-v8k 10 ай бұрын
Habar mie R mwenzang A vp tunaendqna
@princeshahulo2174
@princeshahulo2174 6 ай бұрын
Udongo na moto ni maadui haziendani hapo
@AsteliaLeula-t1j
@AsteliaLeula-t1j 3 ай бұрын
Mmmm Mimi ni A mume B inakuaje apo
@RechoLameck-m4m
@RechoLameck-m4m 3 ай бұрын
Yani docta umesema kweli kabisa mm ni mtuwahofu sana lakini nimejifunza kitu kikubwa sana
@BonifaDaniel
@BonifaDaniel 11 күн бұрын
Na vip kuhusu A na S
Wanaume wa herufi "A" hii ndio siri ya maisha yao.
18:55
Allykk tv
Рет қаралды 28 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Wanaume wa herufi "R" hii ndio siri ya maisha yao.
28:12
Allykk tv
Рет қаралды 10 М.
Wanawake wa herufi "E" hii ndio siri ya maisha yao.
14:20
Allykk tv
Рет қаралды 10 М.
Wanawake wa herufi "M" hii ndio siri ya maisha yao.
19:34
Allykk tv
Рет қаралды 27 М.
Wanawake wa herufi "S" hii ndio siri ya maisha yao.
32:33
Allykk tv
Рет қаралды 71 М.