Mwenyezi Mungu ibarik Tanzania na Viongozi wake wote, kwahakika tunaweza
@tevintevin6254Ай бұрын
Mnapokanza uchawa ndio mnakera umesikia we God
@ramasimon5828Ай бұрын
Kwenye hili najua ni kazi ya Magufuli.
@jonathanmanyaga4357Ай бұрын
Sawa Nani kakataa?
@Ali-nl2duАй бұрын
Marais wote waliopita michango yao pia imo humu. Bila ya wao Magufuli asingeweza kuanzisha na mama asingeweza kumalizia. It is a collective effort, not individual contribution.
@bekabakari7394Ай бұрын
Haijalishi bali washukuriwe wote Muanzilishi na mmaliziaji Hapa kazi tuu na kazi iendelee Magufuli alikua na vision
@FahadAbubakariАй бұрын
@@Ali-nl2duusitudanganye Nani alojenga kama si magu na mama kumalizia msiwe mnatoa stori ambazo hazipo mtu atasifiwa kwa alilofanya
@oscarboniface9690Ай бұрын
Safi sana serikali yangu nawakubali....tunasubiri kwa hamu kichwa mchongoko
@mbwizax87Ай бұрын
Serikali yetu kwa ubaguzi usitegemee SGR kuja kwenda Arusha au Mbeya au Tanga
@egdldm4981Ай бұрын
Hao watu wa mipira wakiendekezwa badaa ya mwezi utakuta wameng'oa viti na kuvichora chora.
@liberatedpeople6054Ай бұрын
Natumai nauli zinalipwa maana mda wa kupanda bure ushapita
@OdenBidili-lj5qiАй бұрын
Hii mipumbavu inachezacheza ndani ya train upuuzi mtupu sio muda kwalite itapungua huwezi ona Airport ujinga huu
@Kabwela776Ай бұрын
Hivi vitu vya watu kucheza cheza ovyo ndani ya mabehewa wangepiga marufuku naona kuna wengine wanapigia hivyo vitu kama ngoma mwisho wa siku ni uharibifu, watanzania sio wastaarabu wengine wataanza kupanda juu ya viti vya kukalia watachana Na utakuwa uharibifu
@jebaceАй бұрын
kweli tenda wema nendazako,JPM no where to be found in the mouths of Tanzanians,shame on u all.
@eddechriss2664Ай бұрын
Sasa hapo kwenye mikoa mingine ndio tunata bullet
@elinamilyatuu7337Ай бұрын
Gharamaaa tatizo Gharama
@eddechriss2664Ай бұрын
@@elinamilyatuu7337 Yap ni kweli, sema tunalipa pesa nyingi madeni, Yan tungepata hata ile ya 420 km per hour Dar to arusha, ingekuwa poa sana