Imamu nawawi hakusherehesha sahihi bukhari bali ni sahihi muslim
@fikratulmuhibbonlinetvismail11 ай бұрын
Naam hapo nimechanganya ila maelezo nimetoa tayar kupitia description kuwa hapo ni sahihi muslim na siosahih bukhary
@fikratulmuhibbonlinetvismail11 ай бұрын
Shukran sana Allah akulipe
@Abuuabdillah25910 ай бұрын
Acha uongo
@juniormsisi83411 ай бұрын
Imam Nawaw anajulikana km msherehaji wa Sahihi Muslim inayoitwa Al minhaj sharh sahihi Muslim bin Hajaj ama mshereheshaji wa sahihi Bukhari maaruf ni Ibn Hajar inayoitwa Fat-h Bariy Sharh sahih Bukhari
@fikratulmuhibbonlinetvismail11 ай бұрын
Naaam hakika nimeghafilika
@abuhsanono439210 ай бұрын
Mbona buhkari uwukusems
@mamlomamlo906410 ай бұрын
Mtume anasema mtu akiowa anakamilisha nusu ya dini yake sasa hao walokua hawakuoa itakuwaje ?watakua hawajakamilisha dini na zuhdi wanafanya mapadri wakiristo na masister makanisani mwishowe wanaziniana na kulawitiana na kubakiana ,kwa uislamu nahisi haikubaliki lazima tumfuate mtume wetu na sisi tuowe ili tujilinde na maasi
@fahadfaraj647410 ай бұрын
Sio rahisi ka unavyosema au unavyooa wewe, Kuna kati ya hao walitoa wakati wao wote kwenye kusoma na kufanya dini mpaka waka khofu Kua hawana wakti wakufanya mengine ikiwemo kuoa na kupata muda wa hizo familia
@hamzakimaro376410 ай бұрын
hiyo HADITH ya kuoa ni nisu ya dini!!?ni hadith mbovu,si hadithi sahihi!!