Angel siku moja tuonyeshe uyo producer wako Collins tumuone tafadhali
@awinojess4 ай бұрын
Ndio mpoa wake
@JJJunior-c8c4 ай бұрын
Wanjiko Uta pokonywa huyo Collins upto you😅
@patrickngugi20464 ай бұрын
Congratulations for reaching 200 k. Im glad to be one of them.
@MamaPrince-kd9cw5 ай бұрын
Lakeside ,,,Baba Harriet, Baba Tamara 🎉🎉😮😮Congratulations Wanjiku ❤❤❤
@sifahamuli69024 ай бұрын
Angel unaakili sana Nakufwa from Danmark, napenda kazi unafanya Mungu akubariki
@TabbyCheres5 ай бұрын
Wewe baba wacha ii kizungu miingi😢you gotta no respect to your wife,,
@wacherakinyua7845 ай бұрын
I'm pretty sure this is the same man who works in tourism/hospitality alikuwa eastern tv for a sit down with his son in law after it was discovered that the son in law was cheating on his daughter with a mumama . Allegedly the son in law had stolen his daughter insurance policy
@wairegijulius95875 ай бұрын
yaa ndio nimeshindwa huyu mzee nlimuona wapi
@yetustoryline96585 ай бұрын
Hehe so ni script😢@@wairegijulius9587
@yetustoryline96585 ай бұрын
Wote wanatupima
@RobinaGetate-pt7yj5 ай бұрын
Sure,kwani Hawa watu hutupima?
@SalomeTumbo5 ай бұрын
Sauti but sio yeye
@LeahLector5 ай бұрын
Congratulation wanjiku MUNGU akubariki sana kwakuokoa ndoa za wamama
@meowthecat86725 ай бұрын
😂😂 Angel mbona uko sarcastic about miaka yao...ati anakaa ni kama yuko kwa teen years 😅😅
@sofiaogega9504 ай бұрын
Amedanganya na vile huyo mdogo anakaa mkubwa kuliko miaka yake
@jenipherkachecheba80974 ай бұрын
nimekupenda sn Angel, we mrembo na dimples na even kazi zako nzuri!
@reemaalwad3ani6164 ай бұрын
Wanjiku hongerasana huwanapenda show zako❤❤❤❤❤❤
@husnatsuma7554 ай бұрын
mwanamume poleni sana kwa sababu mukicheat jaribu kutafutaa mwanamke ambaye ni mzuri kuliko bibi yako 😂😂😂😂😂😂😂😂🤭🤭
@MargaretWangui-v2i5 ай бұрын
Bring the husband on set
@alineuwasee5 ай бұрын
Big congratulations Angles❤
@salngas9025 ай бұрын
Kenya is Soo polluted with sin,,even people forgot about God.
@7kenyansgoldengirls7924 ай бұрын
Sodom and Gomorrah 😡‼️
@josephlorri4314 ай бұрын
Wanawake wa Kenya ni shida... huyu mdogo ameolewa... huyu dada mkubwa anaharibu family ya mdogo wake
@kaykay56054 ай бұрын
Kenya has never been with god. Just pretenders.
@yunetijonhera90204 ай бұрын
True@@kaykay5605
@rosewarui59054 ай бұрын
Karibu mzee akue bubu ati mmmm😂😂😂😂
@alubalephidiliah5 ай бұрын
Wanjiku good job na usambaze number vile tutakupata.Si wote wako kwa mtandao.Thanks
@CynthiaNgetich-h7e5 ай бұрын
Angel you look amazing 💞💞
@marykanyari82795 ай бұрын
Malaya hujiona wakiwa na very smart upstairs lkn wapii.. design huwa kinawaramba ata huwa hawaamini..no wonder unaona watu wakiuliwa ovyo ovyo juu I nko very sure mtu kama Baba Wesley will be baldy hurt
@nellyzahinda7742 ай бұрын
Kenya inaleta haya.Acheni kuonyesha mambo kama yaga.
@judithmonicah42725 ай бұрын
I was wondering where else I heard the voice and saw the face. Thanks, for the comments. Now I remember.😂😂😂
@serahmuiga83885 ай бұрын
Small girl with big God,congratulations 🎉🎉🎉❤
@yetustoryline96585 ай бұрын
Wanjiku you look pretty 🤩
@ismaellangat8402 ай бұрын
Drop part two am waiting
@eunitakesio5 ай бұрын
Imagine ako na bwana tena anajiongezea bonas ya bwana
@BEATRICEBARAYA3 ай бұрын
Weee hii ni Kali, thanks for helping the wife,part 2 Iko wapi please
@Fuutbolhighlights5 ай бұрын
Here the man says he is John and the other is Malachi.. But he is the same person
@beatricewangui69805 ай бұрын
Mambo inachemka kila siku now mungu akuje atuchukue juu hii ndunia watu hawaogopi mungu ata kaa unaweza cheat na siz inlaw😂😂😅
@glorymichael61565 ай бұрын
Angel, your glowing baby girl
@donaldoricho89794 ай бұрын
Wanjiku wacha kujipima wazimu that's not his wife😅😢mbona mbona mbona huyo sio bibi yake
@nida4509Ай бұрын
Scripted😂😂😂
@jacintakamiri-bj6ny4 ай бұрын
Husband to her sister we are demanding him to be on set.
@gracemuiruri18024 ай бұрын
It's either this is acting or the guy is lying his name and changed wife!!! His name is Malachi Motano if he didn't lie to us for those years.
@DansonRandu5 ай бұрын
Hyu mzee xi alkua eastern tv wakati daughter yke aliibiwa pesa ya insurance na son inlaw wake😂😂😂
Thanks for reminding me alikuwa ananikalia familiar
@CatherineGathukumi4 ай бұрын
He is the one the other one was more mature n old kiasi
@gamingwithchris80284 ай бұрын
Yeah he's the one
@Kary_2545 ай бұрын
Mzeee alikua anafikiria kutupa simu yake😂😂😂hope wanjiku uliisoma message iko na siri
@reemaalwad3ani6164 ай бұрын
Ila dunia imehisha sista yako amekul 11:08
@euniceochieng16324 ай бұрын
Na uyu sister ya mily nimdogo na anaka mkubwa wa mily😂😂
@davidmutua49985 ай бұрын
Congratulations 200k ..tulianza pamoja
@gracemuiruri18024 ай бұрын
Waaiitt kwani huyo muzee alikuwa anadanganya jina anajiita Malachi ticha wa choir khaiii wooii whuorathis 😮
@reemaalwad3ani6164 ай бұрын
Wanahume muwemukijiheshimu nikila mwana mke mukimuhona tu munamudinya😀😀😀😀😀😀
@Dee-dk1rk4 ай бұрын
Aki wanjiku, these people even look older than the age they told u. But ati unasema they look like teens😂
@cleopatramansa62282 ай бұрын
Kuwachocha wewe nawee😅
@DalvineNafula-q2fАй бұрын
😂😂😂😂 mwanaume akakwa na kigugumizi gafula
@janewairimu49873 ай бұрын
Where is this one part two guys
@aliceondimu33694 ай бұрын
😂😂😂😂😂ruzungu miingi bila sababu.
@RUTHKINYANJUI-un8zn4 ай бұрын
❤ Congratulations Angel
@hawababy1205 ай бұрын
Huyu si baba wendy alishakua eastern tv kwa Samaritan .mapenzi sijui tuachie ma babu zetu maana ku cheat inakua too much. 😮 🇧🇮 ❤❤
@perismeijer35305 ай бұрын
Tutag tuone huyu anajifanya holier than thou
@jepkorirsoi48464 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@magdalenemutio4 ай бұрын
Sio yeye,hawa wameowana for 14 yrs, watoi wa baba Wendy ni wakubwa though Wendy ndie 1st born
@ruthmongina76114 ай бұрын
Bt he is tolking like baba Wendy kaabisa aki
@lucynangira47135 ай бұрын
Alot of English na umalaya umejaza Kwa makende nonsense
@eunitakesio5 ай бұрын
😂😂😂😂 kawaida ya Hawa Malaya wanajua na kizungu miingi
@sammykamau45754 ай бұрын
Wueh! Madame Lucy, ati nini?
@lucynangira47134 ай бұрын
@@eunitakesio too much englizi🤣🤣
@jepkorirsoi48464 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂makende nayo
@sofiaogega9504 ай бұрын
Angel aki wewe unawambia wanalaa wadogo 😂😂😂
@aishaelias90714 ай бұрын
How can you this to your own blood sister????
@Holywood_Entertainments4 ай бұрын
I have just subscribed courtesy of Sir John.
@SheilaLovega5 ай бұрын
Mzee hajasikia anything 😂😂😂😂😂
@EjikuAntonet5 ай бұрын
Computer gani inanua mama hariet 😂😂😂😂muzee jibu shwali
@eunitakesio5 ай бұрын
😂😂😂 Maybe computer yake
@jesusismyeverything16304 ай бұрын
Laiti mngejua Yesu yuko karibu😢
@fridahnkatha95895 ай бұрын
Huyu si ni Baba Wendy? Alikuwa Eastern TV kwa Samaa his son in law stole from him pesa ya medical cover with a certain mumama he was cheating with from the insurance!! Then hiyo 14 years of marriage nimekataa unless huyu ni second wife!!
@ValentinaMghoi-i6g5 ай бұрын
They resemble tuu
@magdalenemutio4 ай бұрын
Sauti ni kama ya baba Wendy but sio yeye.Babs Wendy alikua Mzee kuliko huyu
@donaldoricho89794 ай бұрын
He's the same person this thing is scripted neither wendy nor Harriet isn't his kids
@JoyceKhavayiBulinda4 ай бұрын
Kama ni hiv Ina weza malisa familia yote
@RuthIlamenya5 ай бұрын
Nangojea mwisho wake
@damariskemuntoorina60185 ай бұрын
Ooh my God which means we don't need to host any body in pur house.they are too much crazy.hata really sister??😮😮anyway i don't want anybody in my house for accommodation nope.am shocked further more u are married ur own husband.end of the world wat???😮😮
@gilbertmumelo85715 ай бұрын
this man the daughter was in eastern tv she was cheated by a drug taker foreigner he protected her daughter now amepatikana. both father and daughter on tv for infidelity is that not a sign of curse from parents to children?
@gracemuiruri18024 ай бұрын
This is pure acting!!! From the name amepeana na acting wife hehehe kumbe inakuwanga mchezo jamani
@erastusbokuro8603 ай бұрын
This is a very good acting
@ElizabethNafunamakhanu4 ай бұрын
Congratulations 200k
@WakinahNjue5 ай бұрын
Hii sauti ya huyu mzee mbona inasound familiar???
@nida4509Ай бұрын
Scripted
@anastasiamumbi7395 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 ngai ati mumumuuuuu mubaba ongea
@chepkorir6415 ай бұрын
Uyu anasound mjaluo hao hawana shida ata anaweza oa sister wa bibi yake
@eunitakesio5 ай бұрын
Sasa si ako na bwana or ni back up
@edwinonyango16914 ай бұрын
Yeah, legally bt not cheating.
@carolineambogo68514 ай бұрын
Lakini ako na mume
@lucioman67-i6r3 ай бұрын
Angel we don't want peace,we want vayolence!Bring baba Wesley on set!Pple should be loyal to each other
@wairegijulius95875 ай бұрын
huyu mzee kuna mahali nilimuona but sikumbuki ni wapi
@abisalomwasike82805 ай бұрын
I think Samaritan eastern tv
@emilyakeno75075 ай бұрын
Kwa sama yule son inlaw aliiba pesa ya insurance
@namazubamonicah25445 ай бұрын
Eastern tv
@glorymichael61565 ай бұрын
😂😂
@abisalomwasike82805 ай бұрын
@@namazubamonicah2544 hi mrembo
@jepkorirsoi48464 ай бұрын
kizungu mingi yenye haina mwelekeo
@EdwinOpinya4 ай бұрын
Huyu mzee alikuwa Eastern tv
@Esendi5645 ай бұрын
Kwetu lazima mfanyiwe matapiko dio mukule na kuishi hao pamoja
@eunitakesio5 ай бұрын
Hawa ni jaluo anaweza kumuua Haina shida Bora ni mdogo
@Esendi5645 ай бұрын
@@eunitakesio Ohio hao wanakulana adi mother inlaw
@sandrakanyange9403 ай бұрын
Hizi ma simu zimeharibu ndoas mingi aki...40days za mwizi zimefika.
@kk-xl2pp5 ай бұрын
Mzee ushashikwa Wacha rusungu rwingi admitte kama mbaya mbaya
@CateWangari-z8s5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 rusungu
@jepkorirsoi48464 ай бұрын
😂😂😂😂men's aki hata sisters woi wah dunia inaisha
@carolineambogo68514 ай бұрын
😂..ww peleka kiluhya uko
@marthaayuma70654 ай бұрын
Hawa wanaume wavichwa kubwa huga wanasumbua Sana..
@lanahaddadin65025 ай бұрын
My stress killer am really watching you dear
@eunicenjoroge48825 ай бұрын
This is baba Wendy from Eastern TV, surely Men
@eunitakesio5 ай бұрын
Sijui ako na boma ngapi
@magdalenemutio4 ай бұрын
Not unless ako na boma 2
@nida4509Ай бұрын
Ni scripts ako job
@annmacharia7115 ай бұрын
Problem ya hii family ni makizungu mingi
@Josephine-s2h5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 acha kunimaliza
@CateWangari-z8s5 ай бұрын
Aki si utaniua shually. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@CONSOLATANECHESA4 ай бұрын
Walai ww😂😂😂😂😂😂😂
@richardmwangi94805 ай бұрын
Eti 40.This must be a second wife cz the dota who was in eastern tv was above 25
@MizletEsendi-y3s4 ай бұрын
Mom eanakuua waachie ndoa kbs
@cewaki7994 ай бұрын
huyu si ni baba weddy the tycoon 🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@CatherineMwaniki-jw9ni4 ай бұрын
Huyu sister yako ni maraya na anatakspesa si mapenzi kwa huyu mzee.
@kennyboit5 ай бұрын
Na Hii story ni real kweli? 😂😂😂 ama bora tumewatch
@masleen-r5w4 ай бұрын
Good question
@donaldoricho89794 ай бұрын
Bora tumewatch wanjiku ameenza kama Eastern TV
@TabithaKimani-ur3hg5 ай бұрын
Leo nikama kimeturamba like aiii huyu mzee kwani ako kila place,,
@eunitakesio5 ай бұрын
Ni mobile
@donaldoricho89794 ай бұрын
Very fake wanjiku stop being cheap I know this guy and that's not the wife nkt
@mumblessed0015 ай бұрын
Bibi ana hanya bwanake bwana ana hanya wife 😢😢😢 hizi vitu walai sister inlaw c ugenda inje sasa ameweka chuki kwa family
@CatherineMwaniki-jw9ni4 ай бұрын
How can you hug your sister's husband??kuna kitu.
@claresvlog4 ай бұрын
Sioni part 2
@constancewakio6044 ай бұрын
Wanjiku uongo nayo ati they look young and u look like you are in ur teens wah hapo haki umewadanganya
@phyllismuigai32945 ай бұрын
Huyu mzee ako mpaka kwa tv ya eastern TV na alikua kwa group ingine
@charlesmukiti52024 ай бұрын
women eater 😂😂😂
@LucyKamau-qd5jr5 ай бұрын
This man is not even 40 and the wife is 45 and over
@elizabeth-z4s1m4 ай бұрын
Who told you
@silencebreakerscrew20194 ай бұрын
😂😂@@elizabeth-z4s1m
@MizletEsendi-y3s4 ай бұрын
Yani hii story iniingiinkbs ATI Kila mtu Ako na bwana ww uko na bibi na mnakulana gal mwadhani. Mwanaume Yani mtu amedozinna mume wk Tena unaenda apo
@germinmutitu94 ай бұрын
Sasa Rachael alipedewa Nini Millie akaachwa shually ?
@loboi10424 ай бұрын
Mzee is like whaaaaat?😂😂😂😂😂😂
@lucynangira47135 ай бұрын
Aibu watu hawana aibu
@Coach_Nancy4 ай бұрын
Hii sura nimeiona Kwa show he asani🥴🥴🤔
@kerryodindo20023 ай бұрын
Where is part two yawa
@LawrenceNjogu4 ай бұрын
Wanjiku I know this guy and his daughter was married does he have another family
@millicentolonde235622 күн бұрын
Rachel's body language says it all.
@treasureforashes34974 ай бұрын
Why hug ,lean on someones husband when hii mwili sio chuma ?? Aiii
@HappinessAwuor-l6c5 ай бұрын
Shetani wewe harriet your own sister you should not have peace in your life
@EricaSamjohn-i6f5 ай бұрын
Mzee, are you really serious? why do this with your in-law??? Why treat your own wife like this? This lady's betraying her own blood sister, big sister 😢 which is a big shame & her sister says she's the one who brought her up .Surely, is this the way to pay your own bloody sister ?& yet you're married .It's a big shame 😢 you're too greedy, madam .
@Dukemulla5 ай бұрын
Kesho utasikia wako na mtoto
@NambuyaLizzie4 ай бұрын
Bring part 2 plz
@frankadiga53995 ай бұрын
Akiongeleshwa kiswahili anajibu english
@Utamaduni15 ай бұрын
Huyu ni ule alikuwa kwa samaa😂 dhooo
@Esendi5645 ай бұрын
Yani watu utoa nguvu wapi ya kudoz na shemeji vile mm na mpa respect waaah
@eunitakesio5 ай бұрын
Kama Mimi bwana alinifukuza shemeji akaniambia anijengee Kwa shamba yake nimngojee whuee nilikataa vile nilikua nawaheshimu
@Esendi5645 ай бұрын
@@eunitakesio we unajua mwanaume ni shetani watakungeuka bibi shemeji ni mboga ww huoni