Рет қаралды 698,827
Wapelelezi wamemtambua mshukiwa mkuu wa mauaji ya kaimu mkurugenzi wa fedha katika Nairobi hospital Eric Maigo. Sasa imebainika kuwa anne adhiambo, ndiye mwanamke aliyenaswa kwenye kamera za CCTV akitoroka baada ya mauaji ya Maigo. Wapelelezi waliokuwa wanaendeleza uchunguzi wamepata nguo alizokuwa amevaa wakati wa tukio nyumbani kwake mtaani kibra.