😢😢😢 Eeeh mwenyezi Mungu nipe uwezo nilipe mema kwa mabaya na mema kwa mema ....Mungu nisaidie
@gracebiringanine6669 Жыл бұрын
Ee Mungu wangu nijaliye hekima na unyenyekevu mbele ya adui zangu, zaidi ya yote uniwezeshe kuwapenda hao adui zangu 🙏
@vveronicamakori22973 жыл бұрын
Eeeh mungu wa eliya, yakobo na isaka naomba uzidi kuniongezea hekima na maalifa ya kuwapenda maadui zangu Amen Avery good gospel to the entire world be blessed Rev eliano kimaro 🇰🇪🇰🇪
@mushifortunatha84533 жыл бұрын
Jaman am so blessed with Eliona kimaro nampenda snaaaaaaa jaman mahubir yake ni mazur mnooo kiukweli mungu anamtumia sna
@mugaboolivier52103 жыл бұрын
Mchungadji NakufatatokaRWANDA ilineno karibusana huko nilamhimusana kwainchiyetu.karibusaaana
@agneslongino81272 жыл бұрын
Amen Amrn Amen
@hildakimaro17093 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na ujumbe wangu nipo kimara suka naitwa Hilda kimaro
@berringtondarlington53495 жыл бұрын
Hakika MUNGU azidi kukutumia mchungaji tunabarikiwa sana kila iitwapo Leo naimarika kupitia mahubiri yako
@geraldlazaro4523 Жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
@leaparoine74015 жыл бұрын
Ubarikiwe sana rafiki yangu Mch Kimaro. Nabarikiwa mno na mahubiri yako
@teddychuwa9402 Жыл бұрын
Amenii🙏
@myongatwo4302 Жыл бұрын
Barikiwa
@geraldlazaro4523 Жыл бұрын
Ameeeeen
@blessedmbarikiwa.1075 жыл бұрын
BWANA YESU KRISTO NIPE UPENDO UPENDO WA KUTOSHA KUWAPENDA ADUI ZANGU KUWAOMBEA NS KUWATAKIA MEMA.
@geraldlazaro4523 Жыл бұрын
Ameeeeeeen
@christineamukoye99695 жыл бұрын
Eeeh Bwana MUNGU wangu nijaze akili, hekima na ujasiri ili nipate kuwa na moyo wakuwapenda adui zangu.
@yvonnerichard29362 жыл бұрын
Amen…
@dianaminja13483 жыл бұрын
Amen
@mamiinjau.mungunimwemabark11416 жыл бұрын
Adui ni daraja la kumfikisha mtu ng'ambo ya mto ,so kumpenda adui kunatupasa ili tuweze kuvuka ktk magumu na Mapito tupitayo,Barkiwa Mch.Kimaro eka mbe
@thomaslyimo95566 жыл бұрын
Ahsante Mungu wetu utupendae hakika nimeona miugiza yako kipitia kwa Mtumishi wako huyu, namshukuru Mke wangu Gladness Thomas Lyimo alienisukuma kwenye maombi yako Baba Mchunfaji unazo karama sake Mwenyezi Mungu. Haika Kimaro kanyii
@magrethchipalo72214 жыл бұрын
Mungu nisaaidie nisiwe MTU wa visasi ,
@asmakimingo99335 жыл бұрын
TUSAIDIE MUNGU WETU ILI TUSIANGAMIE NA UBAYA TUPE MIOYO YA KUSAMEHE MUNGU WANGU TUNUSURU SANA WENGI TUWAKOSA
@collinslyimo80953 жыл бұрын
Ameeen
@theblackpearl70353 жыл бұрын
41:00 Ubaya wa Ubaya Ubaya lazima ukurudie
@theblackpearl70355 жыл бұрын
Roho Mtakatifu aendelee kukuongoza Mchungaji akupe Maarifa, Nguvu na Busara ya kuendelea Kulisha kundi Bwana alilokukabidhi, uendelee kutumika katika Karama yako ya kufundisha wakristo kua na uhusiano wa moja kwa na Mungu
@shukurushirima84795 жыл бұрын
ameeeeen
@asmakimingo99335 жыл бұрын
NABARIKIWA SANA NA MAHUBIRI YAKO YANANIBADILISHA MAISHA YANGU MUNGU AKULINDE
@matildachami25733 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mtumishi Mchungaji Kimaro
@theopistarnengy62793 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mchungji kwa busara na hekima yako ya mahubiri