Love this song. Who is listening with me in 2023 Wapi heshima jamani?
@zaudatmakula34546 жыл бұрын
old is gold wimbo mtamu mno
@mariamfritsi97617 жыл бұрын
wimbo mtamu sana,nakumbuka nikiwa bado primary school zilikuwa ndio nyimbo tulizokuwa tumezizoea kuzisikia RTD enzi zile.wazazi wetu walikuwa wakiziimba kila mara,yaani ilikuwa raha sana,hatukuwa na hela,lakini tulienjoy sana maisha .mariam fritsi uswis.23.02.17.