nyie jamaa mnajua sana kwenye swala la magazeti 😂😂😂😂
@aarongondwe993119 күн бұрын
Na kina mama ndo wapo wengi😂😂😂
@tinanicholasligwile697214 күн бұрын
Sasa hao mpaka wanapigwaa hawajashituka tuu
@knight675719 күн бұрын
BONGOLAND 💪
@BlackKing89-l1u19 күн бұрын
Sisi watanzania kuibiwa ni rahisi..hadi aibu😢
@EmmanuelNyinyigwa-m1o17 күн бұрын
Watu kama hao wapewe ulinzi. Wanajua namna ya kuwapiga wenye tamaa ya kuwekeza kidogo wakitegemea kupata faida kubwa?
@amosjoseph878019 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅 0:56
@elardmassawe551319 күн бұрын
Handoo😂😂😂 kama unazuga but ndo ilivyooo😅
@lailafakhihaji19 күн бұрын
Duh kazi kwelikweli 😂😂😂
@himanmwalwala756919 күн бұрын
HIVI KATIBA 3,000 NA KANUNI 3,000 huku ni upatu
@tahiyasaeed19 күн бұрын
Ila na hao walotowa pesa hizo zote mazuzu nao
@rasheedmbaraka719918 күн бұрын
Watz ni wajinga na wana hela za kupoteza..safi sana waliowapiga mko vema..yaani ukisikiliza tu unaona mtu mwenye akili yako timamu huwezi kukubali huo upuuzi.