Waraka wa 1 wa Paulo Mtume kwa Wakorintho ~ Sura ya 1 Hadi ya 16

  Рет қаралды 494

Biblia Takatifu

Biblia Takatifu

4 жыл бұрын

#Wakorinthowakwanza, #1 Corinthians, #Biblia, #Bible
1 Wakorintho ~ 1 Corinthians 1 Hadi16
UTANGULIZI
Barua ya kwanza ya Paulo kwa Wakristo wa Korintho iliandikwa na Paulo mnamo mwaka wa 54 B.K. huko Efeso wakati wa ziara yake ya tatu ya kuhubiri Habari Njema. Mji wa Korintho ulikuwa maarufu katika nchi ya Ugiriki nyakati hizo. Ulikuwa mji wa biashara na maarufu kwa utamaduni. Huko kulikuwa na ibada za miungu mbalimbali. Kama ilivyo kawaida ya miji, Korintho kulikuwa na matatizo yote ya maisha ya mjini. Wakristo wa Korintho pia walijikuta wakishiriki matatizo hayo ya maisha ya mjini. Paulo alikuwa ameanzisha huko Korintho jumuiya ya wafuasi wa Kristo, yaani Wakristo, wakati wa ziara yake ya pili ya kuhubiri Habari Njema. Wakati huo alikaa huko Korintho mwaka mmoja na nusu.
Barua hii iliandikwa kutoa mwongozo juu ya masuala mbalimbali ambayo Paulo alikuwa ameyapokea kutoka kwa jumuiya hiyo ya Korintho (tazama 7:1). Kulingana na 5:9, Paulo alikuwa amekwisha andika barua nyingine lakini kwa bahati mbaya barua hiyo haikuhifadhiwa. Paulo anayakabili masuala ya namna kadhaa ambayo yalihusu Wakristo wa Korintho na kuyajibu au kutoa mawaidha yake. Kati ya hayo ni uhusiano wa jumuiya ya Wakristo na jirani zao wasioamini.
Sura 1-6 - Paulo anataja na kutatua tatizo la maisha mabaya katika kanisa, mgawanyiko miongoni mwao na kushtakiana katika mahakama za wasioamini.
Sura 7-10 - zinashughulikia maswali ya jumla, na sio masuala kutoka kwa Wakristo wa Korintho peke yao: Juu ya kuoa, na juu ya vyakula.
Sura 11-14 - baada ya Paulo kujibu maswali ya sura zilizotangulia anazungumzia juu ya kukutana pamoja kama Wakristo, kuadhimisha Karamu ya Bwana, na juu ya kupokea vipaji mbalimbali vya kiroho katika jumuiya.
Sura 15-16 - zinazungumzia ufufuo wa Kristo na wa waumini. Hapa napo pana mawaidha juu ya kuwa na mpango katika jumuiya ya Wakristo.

Пікірлер
Waraka wa 2 wa Paulo Mtume kwa Wakorintho ~ Sura ya 1 Hadi ya 13
39:36
Kitabu cha Waebrania - Sura ya 1 Hadi ya 13
43:55
Biblia Takatifu
Рет қаралды 577
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 35 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 68 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
zabbuli 35 Luganda versions the word of God
3:31
Gomba TV Ewaka
Рет қаралды 6 М.
HISTORIA YA MJI WA KORINTHO (WAKORINTHO 1&2)
8:04
EM24 TV
Рет қаралды 6 М.
Zabbuli Ey'asatu mu Musaavu
5:10
The Luganda Audio Bible
Рет қаралды 959
Waraka wa Paulo Mtume kwa Warumi - Sura ya 1 Hadi ya 16
1:02:54
Biblia Takatifu
Рет қаралды 608
Sabbath Singalong #221 | Juliet, Avasou, Pam, Maxine, Ozbane, Jessie, Laisa, Sandra, Tavita & Ma’a
1:59:38
Muhtasari: 1 Wakorintho
9:34
BibleProject - Kiswahili
Рет қаралды 3,6 М.
Kitabu cha Matendo ya Mitume ~ Sura ya 1 Hadi ya 28
2:34:58
Biblia Takatifu
Рет қаралды 1,6 М.
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 35 МЛН