“NaENJOY PENZI LANGU na BABY WANGU, ACHENI KUJIPA STRESS, AFUNGUKA UKWELI KUHUSU TALAKA”-JOYCE KILIA

  Рет қаралды 65,148

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 128
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Mungu akuweke miaka mungu,umekuwa mfano Bora mala ya pili nakusikiliza nimejifunza mengi
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 жыл бұрын
Joy na Aaron nawapenda sana mungu awaweke na mzidi kupendana zaid ya hivyo kuna wachawi hawapendi maendeleo yenu mungu atawalaani 😃😃
@elizabethmburu9153
@elizabethmburu9153 2 жыл бұрын
I love Joyce kiria strong woman
@hassanamourhaji8620
@hassanamourhaji8620 2 жыл бұрын
Unatakiwa anti dida unapomsifu mtu useme mashallah
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 2 жыл бұрын
MUME WAKE WA KWANZA ALIKUWA MZURI HANDSOME.
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 2 жыл бұрын
Askofu kaweka brich na heleni juu ,,hii hatari sanaaa,,eeee mungu ,,tuhurumie wanaume jmn
@tinamahega9848
@tinamahega9848 2 жыл бұрын
Joyce kiria ni kichwa,nampenda sana
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 2 жыл бұрын
Simkae kwa wazazi wenu kama mnataka uhuru wa kipitiliza. Mmeshindwa kueshimu Ndoa zenu , tambueni maisha ni halisi siyo maigizo.
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Kwa wazaz ndiyo kuna Uhuru???
@otrishxavi8350
@otrishxavi8350 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Uhuru utaupata ukiwa single na hauishi na wazazi tofauti na hapo hamna Uhuru.
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 2 жыл бұрын
@@jescajulius8023 mi hata kwa wazazi wangu hakuna uhuru ndomana nlikimbilia kujitegemea mi hadi saivi nimeolewa nna mtt but still naonekana mtoto
@rayahamisi118
@rayahamisi118 2 ай бұрын
Mwenye makucha yake mjini😂😂😂
@mankamallya7608
@mankamallya7608 2 жыл бұрын
Nitakupenda Sana mama angu umenigusa sana
@gasperkyanda9508
@gasperkyanda9508 2 жыл бұрын
Utaolewa sana maana unachanganya kazi na ndoa
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 2 жыл бұрын
Kawaida sana kwa waume wapi hao cku hizi hadi mwanamke ukae ndani usifanye kazi eti kisa umeolewa"mume asipoweza kuvumilia kazi yangu apite na mia wanawake wa sasa siyo wa enzi hizo wa kukaa nyumbani usubiri kupewa sh elfu 10 na masimango wachache sana na wasiojitambua Ila wengine yaaaa
@gladysmbulla5441
@gladysmbulla5441 2 жыл бұрын
Joyce wewe ni superwoman
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 жыл бұрын
Nampenda sana uyu dada jmn
@rebecalikuda5439
@rebecalikuda5439 2 жыл бұрын
Unaonekana mjeuri sana Joyce huwez KAa na mwanaume
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Haki za wanawake amesimamia mamangu pekee kunilea na kunitunza hebu msinichoshe na mahaba yenu ya mchongo🙌🙌
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Huyu dada anajielewa sana 😍.
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Mola awabariki muzidi kupendana
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 2 жыл бұрын
Wewe ni mwanaharakati muharibifu huna Cha kufundisha watu ila mkiachana pia uje utuambie
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 2 жыл бұрын
Nimekubali kwel Joyce ilala sharifu shamba
@rehemamshana8352
@rehemamshana8352 2 жыл бұрын
Oh yes kabisaaa.
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 2 жыл бұрын
Joyce una roho kama ya kwangu ktk mahusiano tofauti yangu mimi na ww nipo kwenye action wewe unaongea kwa media 😂 ila pia mkaka km huyu hawezi kuwa type yangu maana mi mwanamke nywele iko natural ye kablich🤣
@مريممريم-ث3ف5ت
@مريممريم-ث3ف5ت 2 жыл бұрын
Ongereni, mnapendeza
@savelianmteisi7124
@savelianmteisi7124 2 жыл бұрын
I love Joyce
@judyngowi391
@judyngowi391 2 жыл бұрын
Spitual ndoa! Duh! Dunia inaenda kasi sana
@josephkalonga550
@josephkalonga550 Жыл бұрын
TARAKA INATUHUSIWA KWETU WAKRISTO KWA MAMBO YA UASHERATI( MARKO 10 MSTALI 1_5).
@verombwambo3703
@verombwambo3703 2 жыл бұрын
Mahaba yamekupenda Joyce umependeza mno
@janetahmed6948
@janetahmed6948 2 жыл бұрын
Dada usijitutumue ebu kua mnakua na akiba ya maneno yani mwanaume unamtapa wee mnakuja kuachwa sie njo tunacheka
@teddylameck3355
@teddylameck3355 2 жыл бұрын
Acha wivu ww kama umezoea kuachwa ni ww ukiwa unapendwa ringa
@rayahamisi118
@rayahamisi118 2 ай бұрын
Mm mwanaume sijimaliz na nimekoma
@khadijamohammed2855
@khadijamohammed2855 2 жыл бұрын
Maasha Allah
@immamwandolela6851
@immamwandolela6851 2 жыл бұрын
Joisi kwa sasa ni kakimburu ndio mana ameachika kwa mmewe
@betricemchome684
@betricemchome684 2 жыл бұрын
Kikristo ndoa inaruhusiwa kuvunjwa kwa dhambi ya uzinzi
@catherineclaudyclaudy1605
@catherineclaudyclaudy1605 2 жыл бұрын
Askofu una helleni??🤔 Acheni kudanganyana ndoa kanisani,Loman katorik inafungwa moja tyu, hiyo ya piri na ya tatu, hizo huwa zinafungishwa kwenye hayo makanisa yenu mnayoyaita yakiloho,au kwenye familia zenu zile ndoa za Mila,,,lkn katoriki mtyu anafungishwa ndoa moja tyu,,
@khalekichambo1131
@khalekichambo1131 2 жыл бұрын
Hio itikadi si ufungwa huo,ndoa moja ina maana mume akifa huruhusiwi kuolewa au kuoa tena?
@namsamson3443
@namsamson3443 2 жыл бұрын
Hii interview imenifanya kumpenda zaidi Joyce. Muacheni aongee yote jamani
@benyavan5774
@benyavan5774 2 жыл бұрын
Neno la Mungu kwanza Joyce kuna kanuni za kuwa kwenye ndoa nyingine kama vile kifo au mwenzi wako kaoa au kaolewa ndo unakuwa huru siyo kanuni zako za kujitungia kama hutaona kosa hapo hukumu inakukalia
@christophermsekena616
@christophermsekena616 2 жыл бұрын
Dada ana stress huyu, yaani hapo anataka amrushe roho ex wake
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 жыл бұрын
Hyo yako kaka joy hana stress maana ni miaka 4 tangu waachane na mzazi mwenzie
@beatricemrisho8431
@beatricemrisho8431 2 жыл бұрын
Mwanaume mwenyewe anaonekana sharobaro na hereni juu
@janethhendry6734
@janethhendry6734 2 жыл бұрын
Dida!!!!love
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
Mmmmmh huyu mpenzi ninamashaka huko USA alikuw nani maana kma nanii vile😄😄😄🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 2 жыл бұрын
Kuna mtu aliuliza sasa kati ya hao 2 Joyce ni yupi?
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
@@asifiwekitunga4655 😂😂😂🤣 kumbe kunamtu aligundua hilo huyu yupo kama Richi adore mchicha mwiba
@magrethkapinga1811
@magrethkapinga1811 Жыл бұрын
😂😂
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 2 жыл бұрын
Joyce unasema kweli kabisa kuhusu kujitambua. Joyce ulikuwa mzuri sana tena sana. Lakini kusema sasa hivi uko vizuri ki body wanakudanganya ba unajodanganya. Ulikuwa mziro sana hapo nyuma sasa umeharibika shape kama gunia la chumvi. Unafanya mazoezi kama usemavyo lakini mazoezi ya kula umenenepa hata sura yako imebadilika. Unaweza kurudi kama zamani hata kwa asilimia ndogo lakini lakini umejiacha sana hata kurudia huwi mzuri wanakudanganya hawakwambii kweli ama hawakujui ulivyokuwa awali.
@rechogoda8920
@rechogoda8920 2 жыл бұрын
Sasa na umri nao unaenda unafikiria atakuwa kama zamani my
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Haiendelei interview imeishia pazuri.
@careenpatrick2759
@careenpatrick2759 2 жыл бұрын
Takataka wewe mchungaji gani unavaa hereni shoga wew,, fanya kazi unaenda kufugwa na hilo jambazi la maisha ya wanawake wanaojitambua
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 2 жыл бұрын
Una stress mnooo dear mungu akusaidie upite salama kwenye maumivu uliyonayo
@timothyniyibigira2110
@timothyniyibigira2110 2 жыл бұрын
Mwana uume kapindishwa tayali, ameshavikwa hereni, na huyo mwana mama anachanganya watu, vipi atavikwa pete kabra ya kupewa taraka a? Asubili apewe taraka njo afanye hizo process zake
@faustinetilya685
@faustinetilya685 2 жыл бұрын
Hongera
@mwitamagesa1034
@mwitamagesa1034 2 жыл бұрын
We mama kwangu, wewe ni mharibifu wa ndoa na mabinti za watu. Tabia ya misimamo hovyo kbs
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 жыл бұрын
Kaharibu ndoa zipi?
@teddylameck3355
@teddylameck3355 2 жыл бұрын
Wivu tu binadamu bhana
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Atatukomboa tu mjinyonge,
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 жыл бұрын
Wasafi hampatikani mkoa Tanga wilaya muheza
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 2 жыл бұрын
Utaaachwa tuuuu .huna jipyaaaa . nyumba ilikushinda
@kisalinnko2690
@kisalinnko2690 2 жыл бұрын
Muwe makini basi! ni kiria na si kilia mnavamia fani za watu bila kusomea.
@magdalenajohn6564
@magdalenajohn6564 2 жыл бұрын
Dunia imegeuka
@dudaduda7542
@dudaduda7542 2 жыл бұрын
Shem Hongera Hereni Zimekupendeza
@violethmapunda3500
@violethmapunda3500 2 жыл бұрын
😄😄😄😄
@fabiolamshana6143
@fabiolamshana6143 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌jaman🤣🤣
@danielmtanda1223
@danielmtanda1223 2 жыл бұрын
😂😂😂
@careenpatrick2759
@careenpatrick2759 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😭😭😭😭
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Duhh haya bwana🙈🙈🙈
@vickydan2869
@vickydan2869 2 жыл бұрын
Joyce kiria
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Maliziaa N'congooo. Joyce Kiria Ncongoo.
@bapesampendwa671
@bapesampendwa671 2 жыл бұрын
Mwanamke asili yake uharibifuu, tangu bustani ya edeni ona leoo amemvalisha mwaumee heleniii, Hawa wenzetu hata maandiko yanataka tuishi nao kwa akili, mfano amefanya hivo Mara tatu na hakuna mwanaume kaumbwa kuwa mwaminifu Kama unavotaka, watangazaji na nyie mmekosaa maswali ya msingi, hamjatoaa uhalisia wake, huyooo mwanamke ni hatariiii hafai,
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 жыл бұрын
Hafai kwako ww ila kwa Aaron afaa na wanpendana sana nadhani wawaonaaaaa💃💃
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 2 жыл бұрын
Kwani joy ndo alimtoga masikio
@mankacharles4559
@mankacharles4559 2 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,mwanamke ni nafsi haina jinsia hata aliyevaa suruali anaweza kuwa na nafsi ya mwanamke sio yule anayevaa gauni uf12:1_9
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 2 жыл бұрын
Weee dada unasauti kama mkwezi
@reneepaul3102
@reneepaul3102 2 жыл бұрын
Haha nimecheka Kwa nguvu vile umemkataa Bibi Dida kujifanya alikua anasoma hlf ww mtu mzima😅😅 Dida unatia aibu .ww na huyu dada umri wenu ni sawa sema ww ulichelewa kupata .ni hayo tuu
@vickydan2869
@vickydan2869 2 жыл бұрын
Anajifanyaga mdogo kati bibi ashukuru na wasafi imezidi kumnogesha c kaka mm tu niajiliwe na mdada wa miaka 25 kati mm ninayo 28 alaf badae niseme huyo dada wazamani
@reneepaul3102
@reneepaul3102 2 жыл бұрын
@@vickydan2869 Anatia aibu . Uso wenyew ushamshuka
@vickydan2869
@vickydan2869 2 жыл бұрын
@@reneepaul3102 Yaan kila ck kusema umri wa wenzie yy hasemi huyu hakosi 40 nibibi
@yoveamc2091
@yoveamc2091 2 жыл бұрын
huna aki8li ww
@ndennkya5253
@ndennkya5253 2 жыл бұрын
Sa itakuwaje mana mwanaume katoga zake sikio na hereni kavaa? Nyumbani moshi wazazi watamwelewa kweli?😁😁😄
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 2 жыл бұрын
Inaonekana unaringa sana,,hivyo utaachika sana tu
@careenpatrick2759
@careenpatrick2759 2 жыл бұрын
Matako ww huna dini acha kupotosha watu, mwanamke fedhuli ww mharibu familia za watu, na uchangani hakunaga ndoa za kimila na pete ukavalishwa
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 жыл бұрын
Husda haifai ndg ht mungu hapendi 😃😃
@careenpatrick2759
@careenpatrick2759 2 жыл бұрын
@@ruqaiamohammed345 husda ipi sasa kwa mfano
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
Tena hiyo mifumo ya kidini inakandamiza wanawake
@jasminesebe761
@jasminesebe761 2 жыл бұрын
Wa kwanza wa pili na wa......... 🤔mkristo
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Tenaaaa 👌🏽
@kadoaugust6497
@kadoaugust6497 2 жыл бұрын
Joyce Kiria umetuangusha Uchagani hatuna hizo tabia
@winfridagama5832
@winfridagama5832 2 жыл бұрын
Nelly,Kleo,Aaron mmhhhh
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 2 жыл бұрын
Safiii
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 Жыл бұрын
Kaja na danga (hawara)
@salamaseif4183
@salamaseif4183 2 жыл бұрын
good j
@ilungasalle
@ilungasalle 2 жыл бұрын
Dida domo na huyo mwanaume wa Kiria ni bishoo hana lolote amekaliwa na kiria
@salamakombo3257
@salamakombo3257 2 жыл бұрын
Dadangu unaongea vizuri mnoo
@glorymutalemwa296
@glorymutalemwa296 2 жыл бұрын
Joyce nawe una matatizo utazamwe we ndoa zote hizo wanaume wana matatizo kwa taarifa yako na huyo anamatatizo yake .
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 2 жыл бұрын
Yani tena huyu amewazidi wote ni hivyo tu hajachomoa betri na kukipata anachokitafuta hapo
@ip_header
@ip_header 2 жыл бұрын
Kwahiyo wakristo wanaosema talaka mpaka kifo kiwatenganishe hawajaelewa dini? Kweli akili za kuambiwa changanya na zako!
@jamesobedy3940
@jamesobedy3940 2 жыл бұрын
Sio hivyo mwenzio akizini ukahakikisha ni kweli unaruhusiwa kuwachana naye 🙏
@jorammwakansope7296
@jorammwakansope7296 2 жыл бұрын
Huyu dada ni kichwa
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 2 жыл бұрын
Acheni kumdanganya huyu ni bibi kabisa
@gaspermbise1634
@gaspermbise1634 2 жыл бұрын
Hilo nalo jambo
@tabasamtv6728
@tabasamtv6728 2 жыл бұрын
Ana mbemenda dogo wa watu.
@careenpatrick2759
@careenpatrick2759 2 жыл бұрын
We ni mbwa kabisa ndy maana hata huyo unaesema ni bby wako yupo kama shoga mnafanana nae,mwanamke mvunja ndoa za watu mbwa wewe
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 жыл бұрын
Acha makasiriko kwenye maisha ya watu ndg roho mbaya mwisho wa siku utakuwa mchawi washa pendana na wanapendana sana mungu awaweke 🤣🤣
@careenpatrick2759
@careenpatrick2759 2 жыл бұрын
@@ruqaiamohammed345 we unajua kupendwa au ndy wele kaka poa mmejisajili kwa Joyce
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 жыл бұрын
@@careenpatrick2759 ukijua ww mie sio lzm kujua halafu mie sio kaka 🤣🤣🤣Acha roho mbaya ili ufanikiwe ndg 🤗🤗
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 жыл бұрын
@@careenpatrick2759 wanapendana haswaaa nadhn unawaona km ww Huna wa kukupenda tulia tafuta pesa 😃😃😃Acha makasiriko kwa maisha ya watu ambao hawakuhusu ili ufanikiwe ndg 🤗🤗
@careenpatrick2759
@careenpatrick2759 2 жыл бұрын
@@ruqaiamohammed345 waache viherehere kama ww kwenda kujifanya wameyalenga maisha kwan wao ndy wa kwanza kukaa pamoja, na umwambie aache kusumbua wanawake wanaojitambua waishi na family zao sio kujifanya mwalimu wakat hajui chochote kama ww😁😁
@pamangel5112
@pamangel5112 2 жыл бұрын
Kitu pambeee
@mwitamagesa1034
@mwitamagesa1034 2 жыл бұрын
Huo uanaharakati ndio tatizo lako
@saumsaum1916
@saumsaum1916 2 жыл бұрын
Dida anaogopa bisto ndo mn akiona vp anasepa
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 2 жыл бұрын
Jamani nimecheka
@kmotivation1130
@kmotivation1130 2 жыл бұрын
Kiria
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 жыл бұрын
Biblia inaruhusu kutengana endapo Kuna nidhaa imetokea
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 2 жыл бұрын
Bible inasema endapo 1 wapo amezini kuachana ruksa
@menaahhhnaa7535
@menaahhhnaa7535 2 жыл бұрын
Wewe dada ungekuwa mzuli wewe ungesumbuwa watu..lakini mungu kajua ndo akakunyima uzuli... unajiona mtamu sana mshamba wewe mtuzima ovyo sijui watoto wako unawafundisha nini mchafu mkubwa wewe..na uyo shoga unaye mwita baby ungekuwa na akili kamili si ungekuwa na mwanaume mvaa elani mjinga mmoja wewe...
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 2 жыл бұрын
@@menaahhhnaa7535 kwa kweli hereni na hiyo bleach 😏
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Dida jmn mbavu zangu🤣🤣🤣🤣🤣
@Bongoempiretv11
@Bongoempiretv11 2 жыл бұрын
DUDU BAYA VANESSA MDEE KAJITOA KWENYE USHETANI kzbin.info/www/bejne/n4ecinZ4pbGhm6s
@mamayussuf5577
@mamayussuf5577 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/d6XPnIyfm7Crqqc....pitieni na huku wadau kupata uhondo kamili wa Barnabas
@gaspermbise1634
@gaspermbise1634 2 жыл бұрын
Mbona huyo mwanaume kavaa hereni sikioni huyo sii mwanaume
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 253 МЛН
From Small To Giant 0%🍫 VS 100%🍫 #katebrush #shorts #gummy
00:19
GRACE MAPUNDA /KWA MARA YA KWANZA AZUNGUMZIA MAHUSIANO YAKE NA MUTRAH
27:20
Harusi ya Dongo Janja na Irene Uwoya | Full Video
3:12
DogoJanja
Рет қаралды 3,2 МЛН
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31