"TUKIWAPOTEZA WANAOMTUKANA RAIS MSIWATAFUTE" UVCCM KAGERA

  Рет қаралды 6,547

Wasafi Media

6 ай бұрын

Пікірлер: 79
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 6 ай бұрын
Kwa hiyo uongozi wako ni bora kulko uhai wa mtu??..yani wewe hufai kuwa kiongozi,.na mtu akipotea utafutwe wewe nawe uwawe na wananchi!..we ni mchumia tumbo huna lolote wala uzalendo huna!
@Burange666
@Burange666 3 ай бұрын
Piga makofi kwa mkundu wako msenge wewe wa ccm
@CanBoy-iu4mz
@CanBoy-iu4mz 6 ай бұрын
Vijana acheni sifa msimchafue Rais wetu mzuri
@George-f6u
@George-f6u 3 ай бұрын
Hizi kauli kama hichi ya kwenu muache. Mnatukanwa kwasababu sio bure.
@majaliwasikabenga2536
@majaliwasikabenga2536 Ай бұрын
Mwenyekiti kafikisha ujumbe mzuri sana japo kwa lugha kali😊
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson Ай бұрын
Sasa kwa kauli hizi za viongozi wa CCM kwanini watu wasife bila hatia. Kiufupi mnajenga chuki kubwa ndani ya nchi yetu. Maana mtu akiwa na chuki na mtu atasingiziwa kuwa amemtukana raisi ili auawe. Mungu yupo.
@NdebileMathias
@NdebileMathias 5 ай бұрын
Watu mkiwapoteza msiwatafute,da! Kweli hii nchi haina usawa mtu ameshiba kodi zetu harafu anatamka maneno kama hayo kweli wacha tuone mtu akipotea
@Burange666
@Burange666 3 ай бұрын
Huo umoja wa mashoga
@juliusbura4550
@juliusbura4550 5 ай бұрын
Mmewapoteza wangapi?
@DottoMagesa
@DottoMagesa Ай бұрын
Hizo kauli daah wapinzan lazima wakosoe kwahiyo wakikosoa muwateke duuh
@GenesisReuben-d4o
@GenesisReuben-d4o Ай бұрын
Na kweli mnapiga makofi kwa kauli hizi bado mmelala mnaopiga makofi
@dullnillan
@dullnillan 6 ай бұрын
Nani kapitisha hii ngo'mbe iwe kiongozi
@HappySilvano
@HappySilvano 6 ай бұрын
Hing'ombe ilipitishwa kwaajili ya skukuu ya idd
@DottoMagesa
@DottoMagesa Ай бұрын
Hafai hata kwa kulumangia huyu jamaa nauongoz huo sijui kaupataje
@mungunimwemakilawakati1299
@mungunimwemakilawakati1299 6 ай бұрын
KUSEMA KWELI KUMTUKANA MHE. RAIS SI SAWA! LAKINI KWA TAMKO HILI NI HATARI SANA!!
@farajabinamsimchimba
@farajabinamsimchimba Ай бұрын
Uraisi ni taasisi ,kukosowa taasisi ni haki ya msingi kikatiba ccm hawataki wala hawapendi kukosolewa
@ledasjosseph5558
@ledasjosseph5558 Ай бұрын
Hiii sio sawa
@jeffhard5773
@jeffhard5773 16 күн бұрын
Aje acheze na uchaguzi au acheze na uteuzi wa kupita kimagumashi tena bila kupingwa
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Ай бұрын
Mh. Rais toa huyu muaji
@mardadkephassaimonmardad
@mardadkephassaimonmardad Ай бұрын
Gharama cyo kura zetu 😂😂😂😂😂😂😂😂
@ESTHERKenny-nn7mw
@ESTHERKenny-nn7mw 22 күн бұрын
Kumamako na uyo raisi wako
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 6 ай бұрын
Sahihi viongozi lzm waheshimiwe na dini pia inasema iwekeni hiyo sheria maana watanzania wengi wamekuwa ni watu wakuvunjia watu heshima
@juliusbura4550
@juliusbura4550 5 ай бұрын
Nini maana ya heshima
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 5 ай бұрын
Nikama mlivyompotezaJpm
@Lidyakagondi-h9b
@Lidyakagondi-h9b 3 ай бұрын
Kupotezwa inshaalah
@FanuelEmmanuel-r3j
@FanuelEmmanuel-r3j 3 ай бұрын
Wewe angalia sana kauli zako hakuna aliejuu ya sheria wewe acha mihemko na ahadi yako na wengne wakiizumu hii nchi haitakalika
@wirangamochemba7063
@wirangamochemba7063 4 ай бұрын
We nyani kasoro mkia
@Burange666
@Burange666 3 ай бұрын
Wewe unafirwa huwezi ukampoteza mtu kwani hii nchi ya mama yako kafirwe mbele acha umaarufu unataka ukubwa kwa ccm choko wewe
@nellynathan-hf2by
@nellynathan-hf2by 5 ай бұрын
Pole bro,,,umekidhalilisha chama isee
@ShabaniMustafa-n8h
@ShabaniMustafa-n8h 23 күн бұрын
Kijana wao
@clauschaula2050
@clauschaula2050 2 ай бұрын
Jeshi la polisi kwa hili chukueni hatua.Vinginevyo mko pamoja nao.
@MaxKwimkilwa
@MaxKwimkilwa 6 ай бұрын
Shida y Ccm Haina Vijana wenye Akili Hilo jamaa liko tayari kuua
@hamnajipyadicksoni4007
@hamnajipyadicksoni4007 6 ай бұрын
Huna akili pepo kabisa wewe yan unawaza kupoteza wenzako
@zanetakikoti6266
@zanetakikoti6266 5 ай бұрын
Hawana mada za kuongea sasa hivi mada ni matusi mtandaoni
@JovinBuberwa
@JovinBuberwa 6 ай бұрын
I see hili jamaa limezingua.. linachafua chama. Jinga kabisa mbwa huna akili. Unafokea watu,vitisho,Rais mama ana busara toa ujinga apa. Takataka
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 6 ай бұрын
Huyu kijana apelekwe milembe hospitali.Na mijitu kama hii ndo inasababisha CCM ichukiwe
@henrymjema1685
@henrymjema1685 6 ай бұрын
Nikweli sio vizuri kumtukana rais, ila Hilo jinga linavyoliambia jeshi la polisi kwamba litawapoteza watu, daaah, njaa mbaya Sana.
@MichaelThomas-ky7pj
@MichaelThomas-ky7pj 3 ай бұрын
Chawa
@MathiasiGregory
@MathiasiGregory 6 ай бұрын
Hivi huyu walitumia vigezo gani kumchagua? Jitu la ovyo kabisa alafu watu wanaliskiliza,, ovyo kabisa😢
@SurprisedBirchForest-tm5yg
@SurprisedBirchForest-tm5yg 6 ай бұрын
Shida ya ujinga kama huu ni system zipizotengenezwa kutoka juu kuwa bila uchawa huwezi kuishi kwenye uongozi imetuasili hadi vijana ndiyo maana wanajikuta wanaharbu Kwa kuongea ujinga
@MsalabaniReko
@MsalabaniReko 3 ай бұрын
Uyu kajichagua au kachaguliwa na ccm
@CanBoy-iu4mz
@CanBoy-iu4mz 6 ай бұрын
Mama Samia huyo anaharibu kabisa wewe Rais una hekima ila hao wengine wajitafakari
@kazimotomaswi9700
@kazimotomaswi9700 6 ай бұрын
Kagera nisoo! Ukiandika tu neno uvccm kwenye utube unamizia kagera
@jumahamadomar9124
@jumahamadomar9124 5 ай бұрын
Hawa ndio watu wasiojuilikana leo wanaanza kudhihirisha maovu yao ya siku nyingi na hawa ndio wachochezi wakubwa wanaolindwa na jeshi la polisi laiti lugha kama hiyo ingeongelewa na mpinzani lahaula mapolisiccm yangekuwa yamefungulia kesi ya uhaini na dhamana hakuna
@madenge731
@madenge731 6 ай бұрын
Kumamako zako mbwa wewe unatombwa mkunduni
@MohamediKalanje
@MohamediKalanje 6 ай бұрын
Tufanye yote ila moto wa jahanam hautatuuacha salama
@HADSONPAUL-c1n
@HADSONPAUL-c1n 16 күн бұрын
Acha nikae kimya
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 6 ай бұрын
Huu ndio ukweli umesema ukweli, wewe hutaki mambo yafanyika gizani, Mungu atahukumu tuu, mnajua gharama ya Mungu kumuumba mwanadamu
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 Ай бұрын
Eti, gharama ya Mungu kutuumba kwao ni ndogo sana, kiasi diwani wao apite kwa kutuua, na kuua watoto wadogo na albino kwa ushirikina, mbunge ashinde? Kwa mabao ya mkono, na kwa haramu na nusu haramu? Kwa kutunyima KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI?
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 Ай бұрын
Ila ingekuwa ni Chadema,hapo ungewasikia polisi imepata taarifa za kiintelejensia wanataka kufanya vurugu.Lakini husikii intelejensia ya polisi ikifanya kazi kwa chama chao pendwa cha CCM.Ewe Mwenyezi Mungu tupitishe salama katika kikombe hiki,yaani mtu anajitapa hadharani kupoteza watu halafu watu wanamshadadia tu.Kana kwamba anaongea kauli nzuri.Hata kutaka sifa na kulinda vyeo sio kwa kutoa kauli hizi.Kumbukeni duniani tunapita,usiwanenee mabaya binadamu wenzio kisa kutaka sifa na kujikomba kwa wakubwa zako.
@Ninaejulikana
@Ninaejulikana Ай бұрын
SIKU ZAKE ZAKUISHI HAPA DUNIANI ZINAHESABIKA. PIN HII COMMENT 😢
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 6 ай бұрын
Panya kweli huyu n kijana wa hovyo kabisa
@CanBoy-iu4mz
@CanBoy-iu4mz 6 ай бұрын
Ni vema kuheshimu sheria ya makosa ya mtandao sisi wananchi tunapinga upotezaji wa watu. ni matumizi mabaya ya Madaraka hatutaki siasa za vitisho kwanza mama Samia hautaki hayo mambo vijana acheni sifa
@clauschaula2050
@clauschaula2050 2 ай бұрын
Hivi huyu alichukuliwa hatua gani na jeshi la polisi?
@farajabinamsimchimba
@farajabinamsimchimba Ай бұрын
Huyu ni boss wa jeshi la police
@clauschaula2050
@clauschaula2050 2 ай бұрын
Huyu hachochei vurugu?
@jaydon3361
@jaydon3361 6 ай бұрын
Hili halina akil kabisa, huyu hatakuwa kuwa kiongozi, jifunze kwa Rais mpaka kaamua kuwaruhusu vyama pinzani kufanya mikutano, maana yake ni democrats
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 6 ай бұрын
Ungejua usinge sema iyo kauli
@yamungummungulo633
@yamungummungulo633 6 ай бұрын
😅😊😅😊😅 kwahy wanajua pakuwaficha? Me sema t
@jaydon3361
@jaydon3361 6 ай бұрын
Ili halina akili, Kwan nchi Haina uhuru au
@KasangaKalanga-vo6od
@KasangaKalanga-vo6od 6 ай бұрын
Pumbafu wewe raisi haitakiwi kutukanwa ila anastahili kukosolewa kwa kutowajibika, ila wewe hufai kua kiongozi
@imatisatv9239
@imatisatv9239 6 ай бұрын
Huyu ni matako kabisa
@HappySilvano
@HappySilvano 6 ай бұрын
Maana ni hata kumwaga damu wamweke kiongozi hii ni hatar
@joelyjosiah
@joelyjosiah 5 ай бұрын
jama anataka samia amuone wamana kumbe pumba
@JovinBuberwa
@JovinBuberwa 6 ай бұрын
Mnyama huyu mbwa
@juliusbura4550
@juliusbura4550 5 ай бұрын
Wewe hujielewi
@panduafricangiant4902
@panduafricangiant4902 6 ай бұрын
Unamtukanaje mheshimiwa kiongozi wako jmn huo ni ukosefu wa hekima na busara
@henrymjema1685
@henrymjema1685 6 ай бұрын
Nikweli sio vizuri kumtukana mtu yeyote, ila huyo jamaa inabidi akamatwe kwa hiyo kauli yake kwamba atapoteza watu, hiyo kauli itachafua chama kwamba ndio kinapoteza watu.
@RichWise671
@RichWise671 Ай бұрын
#CCM #POLISITANZANIA #TLS
@theuniversetv2870
@theuniversetv2870 6 ай бұрын
Ukiwa na maana gani shenzi mkubwa
@godfreyduma4418
@godfreyduma4418 6 ай бұрын
Unamtisha nani wewe mpumbavu
@tumlakichoir9929
@tumlakichoir9929 6 ай бұрын
Hello
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 6 ай бұрын
Mimi nauliza, na wale Mawaziri waliotajwa na Makonda nao watapotezwa, au ni wanainchi tuu wasio na walinzi, Allah tuhukumie kabla waja wako hawajakutwa na mauti haya, viumbe wako hawana hofu na wewe tena
@jediokokoma8670
@jediokokoma8670 6 ай бұрын
HUJITAMBUI
@georgegilbertkaizilege5347
@georgegilbertkaizilege5347 6 ай бұрын
Ukitaka usipotee usiwatukane viongozi wakosoe kwa lugha za staha.
@Burange666
@Burange666 3 ай бұрын
Piga makofi kwa mkundu wako msenge wewe wa ccm
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,1 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 16 МЛН
Ghost of childhood
0:23
ARGEN
Рет қаралды 8 МЛН
🦠WHO WILL BE WIN?🟡🍉
0:14
RezoHulk
Рет қаралды 31 МЛН
Which version is better?🎲
0:14
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
My HERO Dog Saved Home 🐶❤️ #doglover #dogs #dog
0:23