MZEE MAKOSA Wa IRINGA ALIYEFILISIKA ANAFUNGUKA NDANI YA JANA NA LEO YA WASAFI FM - 29-10-2024
Пікірлер: 179
@MsangoDiesel2 ай бұрын
Big up kwa mtangazaji Rambati kwa kumfichua mzee makosa Hadi wasafi kumpa heshima yake.
@verbalverbal20192 ай бұрын
Naomba wote wenye mapenzi na mzee makosa, leo usiku tusali hiyo hela asiende kupanda miti, aitumie hiyo hela kuboresha maisha yake binafsi... Miti aliyoipanda enzi za utajiri wake ilitosha kwa kweli, mimi form one nimesoma Iringa ni kwamba mji mzima una miti yake, na siyo ya kibiashara ni miti ya kujitolea tu, sasa ajitunze na yeye pia, he deserves it
@BenedictaMagantg2 ай бұрын
Kabisa jamani.
@druumarley21592 ай бұрын
Uyu mzee kwa aliyo pitia awezi potezaa tenaaa coz ana jutia mtu anae jutiaa huwa anaongeaa ukweliiii.... Iyo 10M itamtoa tenaaaa
@danielpatrickrobert1252 ай бұрын
kweli kabisa ,katika kila kitu inatakiwa kuwa na kiasi . kujali kwanza familia alafu mengine atafanya akisimama . Timotheo 1:5:8"Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini"
@zaidiissa37142 ай бұрын
Daimondi na baba levo mungu awa zidishie pale ulipo bungukiwa napale mlipo toa mzidishiwe hapa Duniani na akhera mungu awabaki sana 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@jackmabirangacharles93982 ай бұрын
Amen ❤
@Mbarakampate2 ай бұрын
MUNGU atazidi kukuinua gineus Makosa❤❤
@zitongwang62782 ай бұрын
Mungu mbariki naseeb nyange Kwa moyo WA kutoa na asipungukiwe kamwe.🙏
@AmourHaroub-lv8ll2 ай бұрын
Sijawah kujutia kua shabiki wa lion tangu anze kuimba mpk hii leo ❤❤🎉🎉
@DeborahSichone-b9c2 ай бұрын
Alikuwa vizuri Sana tu namfahamu ana moyo mzuri amesaidia wengi hadi machokoraa alinunua nyumba aliwalea
@DeoTembo2 ай бұрын
Napenda baba anavyojibu maswali, mzee smart sana
@Uhojoli2 ай бұрын
Hata kuzungumza, anazungumza kwa weledi.
@Mb0g0z2 ай бұрын
Yan mzee anapenda Tz kuliko viongozi😢😢😢 wabunge
@EliaTish2 ай бұрын
nasibu mungu akubariki Sana kwa moyo wako wa kutoa umefanya jambo kubwa Sana Sana ww umfano wa kuigwa
@wambuasmartoutfits80102 ай бұрын
Nilicho gundua kwa mzee makosa anamoyo wa kujitolea sana
@sekilonge2 ай бұрын
Kati ya Moja ya taarifa iliyonifurahisha sanasanaa mpaka metoa machozi,Makosa Mzee wetu tunakupenda sisi watoto wa iringa💪siku alisema hakati tamaa sababu kama pumzi ipo yanini kukata tamaa🙌 MEJIFUNZA sana
@yustermwakuka70602 ай бұрын
Kinachoniumiza pamoja na mihangaiko yote wanaume wanayo hangaika akisha yumba kiichumi ni wachache sanaaa wanao inuka tena na kuendelea na mapambano wanaume wengi wanakata tamaa na majukumu yote ya familia anayebeba mwanamke yuleyule aliekua anadharaulika kipindi unanguvu kwa kumbdalishia wanawake wakila namna aiseeee I feel the pain huyo mwanamke anamaumivu makubwa sanaaa 😢
@ZakihaIssa2 ай бұрын
Safi sana hii vizuri
@saimonisinani46162 ай бұрын
Mungu hawa fanyie wepesi amina
@mussamasasi2 ай бұрын
Asasi ashirikishwe kwenye suala la upandaji wa miti koz anayomitambo ya kuchimba hata hivyo visima
@nelsonbilali38882 ай бұрын
Best interview. Big up to the presenter's.
@AmaniTimothy2 ай бұрын
Makosa ana vitu nadra sana !! Kuvipata katika vizaz vya sasa!! Respect you my legend!!
@lunangabenjamin31212 ай бұрын
Naelewa kwanini mzee kafilisika malizake zote unapo bahatika kutajirika haifai kupenda penda kila mwanamke utakaye kutana naye.najuwa wanaume wengi huwaga naasira kwasababu walikataliwa kabla kisha wakitajirika,wanachukuwa hiyo nafasi ili kulipiza kisasi.nando usababisha mtu afilisike haraka.na ndugu wapuuzi wavivu na wazembe wasiyo penda kazi.sio vema kuwakaribiya unapo tajirika.
@BibiClassic-rl2jo2 ай бұрын
NI BORA uwe na kilevi cha pombe ambayo unaweza kunywa mwenyewe kwako kuliko BAR Nako Kuna vishawishi baada ya kunywa 5 utanunua kreti nzima WANAWAKE ni kilevi hatarii..unataka umuhonge mwanamke akuone wa maana Ukitaka mwanamke awe chini ya HIMAYA yako mwanamke umpangie, umtunze ili abakie kwako Ndiyo zinakutoka 😅 Ni bora ujilimit uwe na wanawake 2 na uwawezeshe wajitume wasiyo tegemezi sanaa kwako
@kapuf34382 ай бұрын
Baba levo anaakili mingi sana uyu Broo yan uyu jamaa angesoma kidogo tu angekua noma sana yani ukisikia maswal yake jinsi anavo tengeneza Hoka daaah noma sana sio uyo Oscar chinzi kabisa
@verynicemosha-d9w2 ай бұрын
Chawa baba levo
@MalaikaHome-b6r2 ай бұрын
Makosa alikua ni mtuu saaana ila watu wenye wivu sio watuu
@Carolina-sm5zt2 ай бұрын
Ndiyo mana Iringa kuna matunda mengi sana kongole kwake huyo mzee kwa kugawa miche bure
@KennedyNgusa2 ай бұрын
Diamondi hongela sana mjomba
@junioremmanuel16952 ай бұрын
Mzee madin sana
@Dostbambo2 ай бұрын
Daah Dunia hii..!! Yaani Chibu Mzee makosa umempa milioni 10... basi mzee Abdul mpe hata milioni 1 tu.. ili nae apoze machungu .. maana nipo nae hapa anachek kipindi 😢😮
@SamiraMakame-w9c2 ай бұрын
MashaAllah huyu mzee ni intelligent.
@kiminijames79852 ай бұрын
Mbona mzee anaeleweka vizuri tu kwanza ana upendo mkubwa kwa watu halafu afanyi kitu kwa ajilii yake tu anapenda kuona na wengine wakinufaikia kupitia hicho alichokifanya kuhusu maisha yatakuwaje nadhani muacheni afanye anachokipenda ndio wito wake huo na MUNGU kampa Roho nzuri kwahiyo Mungu atatenda tu mambo mazuri juu yake.
@amosjoseph87802 ай бұрын
God bless
@kirakaabeid18242 ай бұрын
Hapo Baba Levo anawaza amshauri Makosa akabeti ili ziongezeke 😂
@TishaniUlanga-bj3nx2 ай бұрын
Mzee Makosa kanikera hapo kwenye miti,hiyo hela imsaidie kujikim
@FredKhaisi2 ай бұрын
Watamjenga kisaikolojia na aitqkuwa ivo tena
@mwlutenga2 ай бұрын
Kajibu kwa akili kubwa sana ,angesema aitumie 10ml kujikimu asingepata fursa zote ambazo kazipata kupitia hiyo kauli yake.Kifupi Aweso atamtafuta,wazira ya mazingira itamtafuta nk....jamaa katoboa uzeeni!!
@ShukuruSanga-rq1lt2 ай бұрын
Hongera sana daimond huyu pia katika kipato chake katoa watu wengi sana katunza alikuwa na kituo cha watoto yatima anaishi nao lakini binadamu daaa mungu ambariki
@efraimbalama28642 ай бұрын
Inabidi wananchi na viongozi wa Iringa tupande miti wenyewe ili Mzee wa watu afanyie pesa yake kwa maisha yake japo miti ni sehemu ya maisha yake
@joycemuhoja47292 ай бұрын
Mungu Akubariki Diamond Huyu mzee alinisikitisha sana sema ckuwa na uwezo
@musamkembela13952 ай бұрын
Huyu Bibi wa kihehe yupo vizuri sana
@Kigumi_therarebway-fn4dw2 ай бұрын
huyu mzee kapagawa huyu😂😂😂 yn 10M anataka akapande miti ya jamii.. wakat kumbe kibenten 😂😂😂😂..ila nimemkubali sana Babu Makosa ni mkweli sana..
@ukweli2552 ай бұрын
Sasa Ukweli pekee uliousikia hapo ni UBETEN TU
@barakamwasala2282 ай бұрын
Yani baba levo akiona hela anadata kabisaa...mkamalia mkamalia tu
@mwalitv45552 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@mwalitv45552 ай бұрын
Mkamalia😂
@khalsasalim79302 ай бұрын
Ila huyu mzee aliangushwa na TRA na chanzo ni hiyo hiyo miti 😢
@phallyplatnumz88962 ай бұрын
Makosa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@raphaelnambombi37092 ай бұрын
Huyu mzee atafutiwe mshauri nasaha inaonekana akili yake imepagawa,maana hizo pesa badala atumie kuendeleza familia yake yeye bado anataka kurudia makosa ya kunufaisha jamii ambayo haina mpango naye
@ProsperReuben-fg6uh2 ай бұрын
Utajir ni kuishi ndoto zako sio magar na pesa pekee hata kuacha legancy ni utajir tosha
@jacksonwilson57722 ай бұрын
We Rafael ni kama hujielewi. Huyo anafanya jambo la wito wake alioitiwa duniani. Anaishi ndoto yake. Huo ni utajiri namba moja.
@AbdallahMtambo-x9y2 ай бұрын
Kaka upo Sawa Mia Mia miaka 70 akilizake zinaanzaa kuludi utoto
@lampadshigonko30062 ай бұрын
yeye anaposema hayo haimaanishi lazma afanye kwa ela hizo... ingawa kupitia wazo lake na umuhimu wa hilo jambo lazma patatokea mfadhili au serikali yenyewe kumsapot
@kasmiraloyce60462 ай бұрын
Nimefuatilia mahojiano ya huyu mzee amesema serikali ilifungia akaunti zake kwa kosa la kutolipa kodi kwenye hiyo shughuli yake ya upandaji miti kwa kuwa kampuni yake haikusqjiliwa kama CHARITY. Kama ni kweli nadhani serikali iliangalie hilo nadhani haikuwa sawa japo taratibu za usajili wake yawezekana amekiuka kwa kutojua taratibu lkn kuna haja ya kumfuta machozi kwa juhudi kubwa aliyoifanya ya kuisaidia jamii alipokuwa na uwezo. Achimbiwe hicho kisima anachokitamani na wafanye hata harambee kumjengea nyumba nzuri kidogo ya kuishi na fedha walizofungia kwenye akaunti wamrejeshee na fidia kidogo. Kongole kwa Dimond pia kwa kumshika mkono, alishafanya hivyo pia marehemu Muhidini Ngurumo kipindi flani ni jambo jema sana.
@PeninaAdam2 ай бұрын
Huyu Babu ana kitu jaman ,Wala hana tamaa kabisaa amepata hela na Bado anawaza jamii
@japhetbarton82682 ай бұрын
Mungu akikupa mke bora tu wewe n tajiri wa Dunia
@songombingo1082 ай бұрын
Mzee achana na miti. Angalia Plan B kuhusu maisha yako. Yaliyopita yameshapita. Mungu ana malengo na wewe.
@georgekagwebe24612 ай бұрын
Baba levo msikilize mzee acha kubet mbwa wew
@MsafiriJabu2 ай бұрын
Baba levo ukimtizama haraka haraka unaweza usimuelewe lkn pale kwene kipindi hicho ndy injini
@PeninaAdam2 ай бұрын
Mke wa kweli amebak wengine walikuwa wapigaji tu uwa nasema mke uwa mmoja tu
@rosemahenge90712 ай бұрын
Hilo ndiyo agano letu na Mungu ila sisi tukajifanya wajuaji eti wake wanne😂😂kudadeq sijawahi kuona ndoa yenye wake zaidi ya 1 ikadumu hapo ndio binadamu tujue huo siyo mpango wa Mungu
@aaa64sa132 ай бұрын
MashaAllah..🙏
@petermgaya88402 ай бұрын
Mmh baba levo hana namba ya siri kweli ya hiyo cm🙄
@mussamasasi2 ай бұрын
Pia, aliwahi azisha wazi la upandaji wa miti kwa kila mwanafunzi kupanda mti
@wambuasmartoutfits80102 ай бұрын
Fantastic interview
@KhamisFeysal2 ай бұрын
Mzee kweli ww makosa kweli hiyo hela mpee huyo mama kidogo afungulie kibeishara mti wache wapande wenyewe
@saidsuleiman17532 ай бұрын
Diamond msaidie Mzee Abdul
@BarakaAbdall2 ай бұрын
Nimependa ushauri wa mzee ramadhani
@SteveSteven-s7m2 ай бұрын
Chibu😅😅😅
@happybosha2 ай бұрын
Daah sio poa chibu
@Harushanny2 ай бұрын
14:40 😢😢😢😢
@valentinernestkavishe72972 ай бұрын
Nipe namba nichangie laki 7
@Hashdough2 ай бұрын
Sound Engineer Wa Hiki Kipindi Anazingua Big Time Yaaani
@danielpatrickrobert1252 ай бұрын
Mzee makosa ,anza na familia ,miti itafuata ukishanyanyuka. Timotheo 1:5:8"Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini"
@directorimmah_vfx30432 ай бұрын
Mzee sio kinyongee😂😂 11
@husseinhamis14282 ай бұрын
sio pow babuu mtu flan hiv nanusu
@eryclassictz60112 ай бұрын
aitwe pia ikulu uyuuu mzeee mama aliangalie na huo mrad wa maji wakautimize tu serkali ili iko kiasi akajikimu tu na maisha yake
@kibombi2 ай бұрын
Mzee
@josephvenus32592 ай бұрын
NASHAURI HELA ZA MAGOLI ZA SIMBA NA YANGA ZIPELEKWE NA MAMA KUCHIMBA HICHO KISIMA. NI WAZO TU 🤔🤔🤔
@ChadoraMANYENGA2 ай бұрын
Baba Levo Acha Uroho Kiasi Hikooo !
@elibarikimwanyama72462 ай бұрын
Tunaomba namba ya cm hyo
@MatandiMatandi2 ай бұрын
Huyu mzee serikali imsadie sana.
@ROONEYKABUJE2 ай бұрын
😢😢Sasa mmalawiani inausiana na interview
@eliaspaul90282 ай бұрын
Platinumz
@MsangoDiesel2 ай бұрын
Nimependa kumuombea kwa mheshimiwa waziri wa maji AWESO.wasafi mtafutie wathamini wa ubarozi wa mazingira ili awe anapate mashavu ya pesa
@DaudiNilla2 ай бұрын
Naitwa daudi nilla Mzee makosa lakini kuna msemo uitwao wa mbele atakua wa mwisho wa mwisho atakua wa mbele nipo Arusha loliondo 😊😊😊😊
@MohammedYussuf-i4q2 ай бұрын
Tujifunze kwailo
@omanmct1352 ай бұрын
Maskin uyomze mungu atakupa zaidi mze
@JPMovieArusha2 ай бұрын
ila hapo kwenye mradi wa miti na milion kumi mhh mzee unaandalia wajukuu
@CharlesEdwardCvanoedward2 ай бұрын
Wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kupinga
@GloryFadhos2 ай бұрын
Kwani mu Malawi ndo yuko je?😊
@ShabanMwikwabe2 ай бұрын
Baba levo taaluma yake kwenye kumsoma mtu na uliizaji maswali ndogo sana aendelee kubaki kuchekesha kwenye mada za wakwa wao
@BenedictaMagantg2 ай бұрын
Hapan he is very intelligent. Hakupenda pesa yote itumike kuchimbia kisima. Alitumia busara kumuongoza aanzishe biashara.
Mtu kachezea maisha na mademu wamemmaliza, kapata bahati kapewa 10M, na bado munataka achangiwe, kuna watu wa kuwachangia kibao huko hospitalini, kuna watu figo zao zimefeli wanahitaji kuchangiwa
@AmaniManase-x1i2 ай бұрын
Sikiliza story vizr wewe ndio kweli alikuwa na wanawake wengi Lkn sio wanawake ndio waliomfilisi bali wanawake walikuja kusepa baada ya kufilisika Bali kuna sababu ya mali zake kufilisika
@johnassey85442 ай бұрын
Kwenye kisima kaibiwa naomba munipe number zake nimsaidie bure
@frankmwinza69732 ай бұрын
Ila jua kua ni mlimani mkuu
@Electri-ambi2 ай бұрын
Watu wa iringa tunaelewa huyu mzee kafanya nni kwenye mji wetu alistahili heshima sana
@Rizikialiamechannel7632 ай бұрын
kwann mzee wangu Ukaacha dini ya hakii lakin😢😢😢
@husseinhamis14282 ай бұрын
Imeniumiza sana pia ila ndo hivyo sababu anazo yeye Allah amuongoze2 Insha_Allah kama alivyo ongoza hili kutokea
@MsodokiSokoine2 ай бұрын
Mwambie Bora hata akanunue ngombe tu
@AllyKisulila2 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@bakarially2532 ай бұрын
Baba Levo huwa anajitambua sana
@misanamohamedi84382 ай бұрын
we mzee achana na jamii fanya maisha yko.jamii ulishasaidia na chamoto ulikiona,ila bado unawaza jamii?!
@elibarikimwanyama72462 ай бұрын
Mama kama anaitaman mil.10 hivi hahahaa...na kachana ukwel hatak mil 10 iende kiduanzi jamii yenyewe ya kuipandia miti Haina SHUKURANI kudadeq
@husseinyusuph54582 ай бұрын
Huyu mzee kweli mzee makosa badala ya kumpumzisha mkewe navibarua anataka aichimbie kisima ili mkewe aendelee kuteseka
@givenmbunahussein18832 ай бұрын
Mzee alitaka kufanya tamasha la kujinyonga samora stadium huyo😂
@officialdana51142 ай бұрын
Wasafi kuna kama mzee makosaa huku kigoma kwetu naomba mumsaidie anataka kufa mzee wa watyu alikuwa tajir mzur tyu leo ni huruma tyu kwake
@petermazige87222 ай бұрын
@wasafi pakeni rangi ofisini ipendeze bhana
@arthurisacksuka53692 ай бұрын
Shida ipo ukizidisha kiasi cha manunuzi ya vocha bahati mbaya mfano kununua vocha ya 1,000 ukaongeza sifuri bahati mbaya ikawa 10,000 imekula kwako na hawana suluhisho
@onesmodavid51252 ай бұрын
Oyaa babalevo kuna mchezo kaucheza naomba cameraman sisogeze camera pemben abadan😂😂 uyo jamaa kuna keka keshalisuka na kanyofoa mill1
@BenedictaMagantg2 ай бұрын
Hamna hebu acheni hizo.
@collinsbenjamin39752 ай бұрын
Mama pia anaweza kutusaidia kwenyeee hili jambo
@mohammedomary94762 ай бұрын
Sema baba levo ni mtu wa hovyo😀😀😀,kwamba na hapo Kwa Mzee anataka kuokota
@njeyabox77882 ай бұрын
Huyu mzee inabidi achangiwe kama fadhila.Serikali imuangalie vizuri as kwa sasa Kuna KAMPENI ya kidunia kuhusu mazingira..mzee wetu alikuwa mbele ya muda
@allyciza2 ай бұрын
Yani kwanza 😅 umeongeya point kubwa ya hekima . Ndiyo coment yakwanza kati ya coment za hekima Yako nember Moja una maono ongera serekali Ili pokeye nakuli fanyiya KAZI
@arubanotv8250Ай бұрын
But why plant trees for the community while you don't have food to eat put your life first no matter how old you're
@elibarikimwanyama72462 ай бұрын
Oscar kama mtu vile anajua kuongea kinoma huyu jamaa
@bennybahati-ht7jq2 ай бұрын
Mzee Makosa,alikuwa Rasta Zamani...Na Alikuwa mtu wa watu Iringa.Warembo na mamisi wrote,wa Iringa aliwapitia