Namkubali sana huyu jamaa unatufundisha mengi sana kama tupo p1. Like mbili
@abdallahathuman50462 ай бұрын
😅😊😅
@SamyMuhammed-z4k2 ай бұрын
@@abdallahathuman5046❤❤❤
@yustomwaisomania25874 ай бұрын
Salute kaka tupo pamoja tunazidi kukusapoti comrade wetu we love you ❤❤ kama unamkubali Jamal like here tusonge💪💪💪
@yusufuheri65243 ай бұрын
Mashaalah mashaalah ya Salam ya Salam kwa hakika the story book imekua darasa zuri sana
@abouburry36743 ай бұрын
My all time favorite story teller big up Mr jamaaal🤝❤️
@MsangoDiesel3 ай бұрын
❤prof April hapa duniani kuna watu wanaakili Sana mtu mmoja kuwaumiza vichwa FBI ila wenzetu wako mbali Sana sisi huku tunaishi kimazoea Sana shukurani kwa story book❤
@bakari-si1pw3 ай бұрын
Ata uwibaji huu Mungu mwenyewe anakupa like safi sana🔥🔥
@ngido2553 ай бұрын
Dah 😂
@omarhamad12533 ай бұрын
@@ngido255 duniani kuna vijana wa ovyo sana
@michaelfortune52943 ай бұрын
Kufuru
@MateoJohn-l5z4 ай бұрын
Nimekuwa nikisoma comment kila siku, siku zote naona kila mtu anaomba like, huwa sijuwi zina msaada gani kwao, hebu na mmi leo nipeni hizo like, pengine nikaamka na like ya kunywea supu morning
@GeorgeEdward-mu1xg3 ай бұрын
😂😂
@NuhuMabena-gh1wo3 ай бұрын
😂😂
@CostantineJoseph-b1z3 ай бұрын
😅😅
@MukamiNancy3 ай бұрын
😂😂😂😂
@MuhidiniLeeba3 ай бұрын
Zinasaidia kukuza mbunyeto
@jeffintabo903 ай бұрын
I really like the way Jamal explains to his audience..kongole professor🙏🙏
@judychepkirui53133 ай бұрын
This is the kind of story book i like,, yaani Jamal anasimulia hadi unajiona kama uko ndani ya hao watu,,
@belitomanuel62404 ай бұрын
Trustable Man ♂️
@ASALABOY3 ай бұрын
Mimi naamin kwamba ata Nikitaja Jina tu Jamal prof. Napata Like sab amuna Rohombaya.
@PatrickLumumba-qs5we3 ай бұрын
Hongera sana professor, one of My best storyteller ever, love you so much from great nation of 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nakupa 💐💐💐 Yako uko vizuri , hongera sana professor
@Stylistic3103 ай бұрын
This is the best stories for jamal april.... 🔥 he should keep this taste
@JamaliTuchome3 ай бұрын
One of the best story tellers in east africa
@emojimakopakopa3 ай бұрын
Ongera Teacher Jamali unajua kusimulia vizuri sana
@Movies_headquarter4 ай бұрын
Wa 10 leo, nipeni like zangu
@Shadadihamis253 ай бұрын
Kwenye group lazima jinga moja liwepo Nimekasirika sana
@YangaNews3 ай бұрын
😂😂
@allyhamic12553 ай бұрын
😅😅😅
@PalomaMshana3 ай бұрын
Salute 🙌 Asante nimeionaa hii nikiwa gym jmoss nikasema siigusi mpk j2 yn Leo niifaidi story nikiwa nafanya usafi 📈📈📈 yn ww mtu Dah nikimaliza story YAKO huwa narudia Za Zamani 😂 mpk ntakapomaliza Kazi zangu 😮 siku wasafi wakiruhusu audio book I will be the first one to buy it😢
@YohanaMichael-l8h3 ай бұрын
Jamal jins unavo pangilia stor blessed snaa mister ❤🎉
@destroyerban73644 ай бұрын
Wa mwisho jmn naomba msinipe likes sio michongo yng
@chelseafc39903 ай бұрын
Kama tunapenda utrndaji kazi wa jamal jmn bipeni like zanguu ziwe nyingi kuliko wote
@joemouly78773 ай бұрын
Nakubali kaka🫡 Unajuwa simulizi saana Tunakuomba utowe iyo ujambazi wa huu mwaka 2024 ulio vunja iyo record ya kuibwa pesa nyingi
@LucasMbinga4 ай бұрын
Jamal April de Genious man 💪🏆
@enockochago64684 ай бұрын
Naipenda kazi ya Professa. Tokea Kenya.
@blassiusishengoma60583 ай бұрын
Unaiweza?kama jibu ni ndio....anza taratibu kurekodi na kuwatumia marafiki zako baada ya hapo omba kipindi kwenye radio yoyote.
@zanaworld2553 ай бұрын
From Uganda much love
@allahisone63863 ай бұрын
WAELEWA KISWAHILI?
@fredmwendwa17902 ай бұрын
😂😂😂@@allahisone6386
@Olekarai2543 ай бұрын
brother you are really Quick -witted and smart feller
@PolycarpBogonko3 ай бұрын
Huwa nashinda hapa KZbin kusubiri another story book .. u real open my mind... Nani ako na kampuni ya kusafirisha fedha tuusuke mpango wa wizi😂😂
@ronofestus994 ай бұрын
Following from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Godlisten-z7b3 ай бұрын
Naomba like mbili2 tu
@Teyga_the_Don3 ай бұрын
Umepata 55
@HappyGuitarAmp-ml2ei3 ай бұрын
Chukua zote huna tamaa kabisa
@AishaSaid-dd2gz2 ай бұрын
@@HappyGuitarAmp-ml2ei😁😁😁🙌
@henrylugendo2803 ай бұрын
Safi Sana jamal❤
@Aswan-f8r3 ай бұрын
Much love from Kenya guys like back wapi like za jamali mafanis wa jamali tujuane kwa like hapa gonga like ❤️👇
@collinskefa3 ай бұрын
Napenda sana simulizi ya story book April hunijengea siku🔥🔥
@LawrenceFesto2 ай бұрын
Bro much appreciated Uwanajifunza mengi kuhus story zako
@topfan99513 ай бұрын
A good story teller @ jamaal, much love from Kenya
@jumannemohamedy14563 ай бұрын
Akili mingi sana kwa alen
@DativaMbowe2 ай бұрын
Ila Allan
@IsmailSaid-wb7rh4 ай бұрын
Kaz nzur professor Jamal ♥️♥️
@allansk10352 ай бұрын
This man Jamal really has a very strong functioning brain big up to you…very good classic story teller….been following the story book since 2020 from UG 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@ErickMuriithi-mu7fo4 ай бұрын
Wa kwanza toka 254🇰🇪 Nipeni 👍 jameni
@jaqlon66804 ай бұрын
on hit❤
@ShedrackBishaza-qd4vq4 ай бұрын
M nakubali San sauti Yako na akil kubwa sana unayotumia kuelimisha
@jameskinuthia44804 ай бұрын
Mkali wao Professor 💯💯💯 best of the best
@ld26473 ай бұрын
Big up sana 👏🏾 rick d, rick sound..ngoma kal sana hii pambana ipush ifke mbal ikufungulie milango mingine
@dianarojas31123 ай бұрын
Ni Mimi tu nakua relaxed nikisikiliza the story book au kwa wote 😊
@AlainNiyubahwe3 ай бұрын
Kazi safi sana 🎉🎉 tupee pia story ya the book of enoch
@nicholasbibo53244 ай бұрын
Pia Mimi mnipeee likes zangu 🇰🇪 ❤
@captainb.o.b5683 ай бұрын
Hivi like zinafaida gani au ni hela, story nzuri sana jamal professor 💯
@TwalibAbdalla3 ай бұрын
Waomba like munazingua hii ni sehemu ya maoni bn izo like munapelek wp
@babaaskofu98143 ай бұрын
Labda kuna namna wanabadilisha ziwe bunda ase😂😂😂
@EsterElia-wj1xb3 ай бұрын
Sijawahi kuwa na mashaka na kazi yako professor🎉🎉
@ElishaSanga-b5s4 ай бұрын
Tujuane wana story book
@leokadiajames40503 ай бұрын
Proffesor❤
@PeterMshali2 ай бұрын
Sijui kwanini huwa sipendi wezi wa namna hii wakamatwe, kama na wewe uko pamoja na Mimi gonga like
@loreenmsuya976813 күн бұрын
Hahaaa tuko wengi
@emojimakopakopa3 ай бұрын
Ongera Teacher Jamali
@honeyflower2543 ай бұрын
Natazama nikiwa eldoret Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunajifunza sana
@abdulabisalum81202 ай бұрын
No one like you umetishaaaa
@CollisBill-mu3zp3 ай бұрын
it's like The stop watch Gang🎉🎉. Simulizii kama izii ndio nazpenda za watu wanao tumia akilii mingii🎉🙏👏👏🔥🔥
@immasaid29383 ай бұрын
😂😂
@abdulrazakzakaria-qc7gh3 ай бұрын
Can you give us the story of Josephine Rosenthal please if you like stories please like this so that he can see it every soon 😊
@jonathannndombi36943 ай бұрын
Heko, profesa Jamal. ❤from Kenya 🇰🇪
@PABLOESCOBAR-b2p3 ай бұрын
Napenda kazi za ujambazi sana Sema bd sijapata mwongozo mkn na mbinu yakinifu
@AngelJaphet-sg7rf3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@henrykiema97952 ай бұрын
😂😂😂😂 acha zako!
@eliasmbise4328Ай бұрын
😂😂😂
@jacksonnyange5334Ай бұрын
Tuko pamoja kiongozi 😮
@ireneobby877621 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@OmarKali-tv5hi3 ай бұрын
Izo like mnakua mnakula eeeeee
@abalmohd79523 ай бұрын
Wewe io like inakusaidia nini kwani
@idinado-wk3lx3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@sumakitengo13563 ай бұрын
Watu weusi ni noma san
@sangomamourice35394 ай бұрын
Nilichogundua hawa majambazi wa ulaya sio wa bongo move wanaakili sana
@antazypoka37523 ай бұрын
Sasa bongo Kuna Cha kuiba kwa kutmia akil kias iko😅
@abiudfidelis47633 ай бұрын
😂😂 labda waibe umbea
@johnmeshack44313 ай бұрын
@@abiudfidelis4763 dotto magari 😅😅😅😅
@kashiririrkaasongwisye94873 ай бұрын
Hapo nimekwelewa
@GeorgeAkasha-zx2rj3 ай бұрын
Wa ulaya wamesoma na elimu juu ila wa huku ni wavuta bangi na malezi mabovu kutoka kwa wazazi au walevi(asilimia kubwa).
@nasryiddy98553 ай бұрын
Me mwenyew c elewag izo like ni za nn
@sharifahabsi50043 ай бұрын
Pamoja frome Oman 🇴🇲
@MuhammadRamadhan-kz7ow3 ай бұрын
Hlw mambo sharifa
@Im__hdmi4 ай бұрын
WA KWANZA 🙌
@THEPHENKO13 ай бұрын
Jamal you’re the best ❤😮
@KenedySteven-k1e3 ай бұрын
Napenda sana the story book
@baranyikwamohammed6283 ай бұрын
Aaah tamaa mbayaa kweli,bwana yujin,alen nae wangecoma pesa zote mpya wakiwa pamoja
@DallizukApril3 ай бұрын
Nimengoja simulizi nyingine kila siku ,walau Leo imefikia,Jamal 🤝
@joshuaRival2 ай бұрын
Namu kubali sana professer naomba like ndugu zangu❤
@cooldave98623 ай бұрын
Shukran sana jamal unasimulia story vizuri kama series yaaani sibanduki...sasa tulitee story ya tukio la Easter Sunday Heist..shukran
@PaulMawira3 ай бұрын
Nipo naomba like jameni
@eagh-academy2 ай бұрын
Hakuna sili ya watu zaidi ya mmoja 😮 Believe in yourself
@josephkwida68243 ай бұрын
Jamal mungu akupe umri. Naipenda sana simulizi zako..
@ThekraJangaАй бұрын
Siku nyingine jina Mungu liandike kwa herufi kubwa
@justinemanyasi91702 ай бұрын
Amazing real story i like it, genious jamal i ppreciate u
@DottoMg-h3u4 ай бұрын
Nimewai like kw pr jamal
@binuqaasha6753 ай бұрын
Kama wew ni pisi kali na unajikubali gonga like hapa😂
@martinakimaro33023 ай бұрын
Like zinasaidia nn km kuna mgao wa hela kupitia like tujulishane
@JninjaH2R3 ай бұрын
Ni utoto tu
@tonyenrique32084 ай бұрын
Profesa
@zawadidaniel41634 ай бұрын
Pamoja sana
@djmseventz3 ай бұрын
Like za mavii
@ben_de_khaled3 ай бұрын
Na m respect Prof. Jamal big up broo
@kamochgraphics4 ай бұрын
Pita na likes 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MzeewaYanga-wj4tt4 ай бұрын
Sema waomba comment mnazingua sana mjuwe 😳😳
@alexandersangi17243 ай бұрын
Jamari umetisha sanaaa mzee wangu.
@sultanmedia.6663 ай бұрын
Brother your are the Best, salute sana kaka. I wish nipate fursa ya kujifunza kwa ukaribu zaidi kwako brother.
@vicenthendry60513 ай бұрын
EUGINE HUWA NI WAZEMBE SANA💔
@HassaniRashidi-wv5nt3 ай бұрын
Nipeni like basi na mimi
@MzeewaYanga-wj4tt4 ай бұрын
Duh uyo jamaa master sana nakubali😂😂😂😂😂😂😂😂
@IrineJulius3 ай бұрын
Professor jamal nakukubali sana kaka unafanya kazi nzuri sana
@Halphan-cw3de3 ай бұрын
Naombeni ka like kamoja nami nimechelewa
@RoseRazaro-g8h3 ай бұрын
Daaah nimesikitika sana hyo mshez kawauza wenzie
@erickmkwera27843 ай бұрын
Majambazi wa Tanzania 🇹🇿 na walinzi wa kusafirisha pesa wanadakwa kila siku akili ndogo wajawahi fanikiwa katika uharifu don't try this utapigwa shaba utakufa tutazika I love ❤ jamal intelligence man
@hamzafishten95604 ай бұрын
Upo vizuri sna
@mohamedidd73854 ай бұрын
Niko ndani tayari kushiba chakula Cha akili kutoka kwa Proffesor Jamal