No video

AHMED ALLY NDIO AFISA HABARI BORA KWENYE TIMU ZA TANZANIA / ANAJUA KUIPAMBANIA TIMU YAKE - OSCAR

  Рет қаралды 58,413

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 256
@chichasam9032
@chichasam9032 Ай бұрын
Oscar Osacar umeongeaaa point leo umetumiaa akili kubwaaa sana sana
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
SIFA YA MSEMAJI BORA NI YULE ASYEKATISHA TAMAA YAANI ANAHAMASISHA NA WATU MNAHAMASIKA KUENDELEA MBELE. AHMED ALLY IS THE BEST IN TANZANIA
@iddydule2287
@iddydule2287 Ай бұрын
AHMED ALLY
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Kiufupi jamaa anajua sana kazi yake na anajua jinsi ya kuongea kwenye umma kwa kuzingatia muktadha.
@MhhamadBashir
@MhhamadBashir Ай бұрын
KBS mkubwa
@SalmaChamy-tg4bo
@SalmaChamy-tg4bo Ай бұрын
Baba levo alitaka asifiwe ali kamwe. Lakini sio hivyo. Ahmedy allay peke yake ndie msemaji bora sana mtake msitake
@mwambietv7614
@mwambietv7614 Ай бұрын
Limama levo halijui ata kusema Ahmed Ally 😂linasema amed Ally sijui mmeliokota wapi😂
@lusekelonelson7256
@lusekelonelson7256 Ай бұрын
Oscar uko sahihi. Mara nyingi wasemaji wengi Wana wika ikiwa timu inafanya vizuri. Lakini yeye ameweza kusimama na kutoa hamasa isiyofifia hata katika kipindi ambacho timu haiende vyema
@gatsonmatiko8000
@gatsonmatiko8000 Ай бұрын
Oscar Oscar umeoneaaaa point sana
@user-up1fx4vt4r
@user-up1fx4vt4r Ай бұрын
Sikuzote katika maisha huwezi kumuweka chawa katika uchambuzi mana chawa hana tofauti namwanaume bwabwa mana chawa nimtu mbea namwanaume ukiwa mmbea niushoga
@Lusindehalima-si3ej
@Lusindehalima-si3ej Ай бұрын
Oscar sikutegemea kama upo makini kiasi hicho
@user-jq1fd3dq2r
@user-jq1fd3dq2r Ай бұрын
😅😅😅 chawa
@PhilimonGeorge-wg8ms
@PhilimonGeorge-wg8ms Ай бұрын
Baba levo hiki kipindi anakiaribu sana yan anabwabwaja2 hajui anachokiongeaa
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
OSCAR ANAONGELEA KIWELEDI WAKATI BABA LEVEL ANAONGELEA USHABIKI.
@JustinRuben-yo2vf
@JustinRuben-yo2vf Ай бұрын
Ushawahi kumuona baba levo anaongea bila ushabiki?
@mwambietv7614
@mwambietv7614 Ай бұрын
Hivi Hilo li mama levo mnaliweka la Nini hapo kwenye kipindi chenu ata mpira halijui mbwa hilo
@FatherKunutti
@FatherKunutti Ай бұрын
😂😂😂😂
@FatherKunutti
@FatherKunutti Ай бұрын
Ahmed Ally is the best bhana!!!
@FatherKunutti
@FatherKunutti Ай бұрын
Ahmed Apewe maua yake!
@salimmbilu4524
@salimmbilu4524 Ай бұрын
Nyie wasafi acheni kuweka majitu yasiosoma tutaacha kuwafuatilia
@komboarts7110
@komboarts7110 Ай бұрын
Baba levo nae😅😅
@flaxbeatman
@flaxbeatman Ай бұрын
Baba levo wewe ungekalia tu sofa apo nyuma.😂😂😂 ubishi tu kuoga aaah????😮
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Huo ni ukweli Ahmed Ally ni msemaji bora na ndo level ya kujishindanisha na hao wasemaji wadogo wadogo
@GeradLeonard
@GeradLeonard Ай бұрын
Mti mzuri ndo kupigwa mawe Ahmed piga kazi, ila kuna wachambuzi inapaswa wachambuliwe pia😂
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp Ай бұрын
💯
@JumaMaulidi
@JumaMaulidi Ай бұрын
Mapua simba alipopigwa 5 mara2 tulikua nakikosi kizuri lakini tukavuka
@themasimbi2
@themasimbi2 Ай бұрын
Naionea huruma sna hii media yan unamchukua Mtu hana ata elimu ya kukaa hapo ndo unamuweka ,dah kwel uchawi upo
@fridaphilemon8898
@fridaphilemon8898 Ай бұрын
Baba levo hana akili na Hana point pua kubwa tu kuoga aaahaaa😊
@mkorinthomgalilaya6700
@mkorinthomgalilaya6700 Ай бұрын
Baba levo kipindi cha michezo hakimfai
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Ай бұрын
Sa si radio ya familia
@david255chengula5
@david255chengula5 Ай бұрын
Oscar umeliangalia kwa ufupi sana ili.binafsi ahmed ally mm namuitaga mr pointless hajawai kuongea point ni pumbA mda wote baba levo uko sahihi kumkatalia uyo oscar watu wanapima spech zako na unamafanikio gan katika kpndi cha uongoz wako?na sio kumuonea huruma et timu yake iko kwenye iko kwenye wakati mgumu kwa leo ukiweka pemben ushabiki baba levo kasimama kwenye ukweli kabisa.mwamba hajui kuongea kabisa m sjawah kumuelewa
@ThabitKibirit
@ThabitKibirit Ай бұрын
Ambae hakubali kuwa Ahmedi Aly nibora achaneni naye huyo ni mpumbavu Kama wapumbavu wengine
@RaymonTz746
@RaymonTz746 Ай бұрын
Baba levo acha porojo we tupe hio taarifa tuone walicheza na timu gani
@oscaroscy7738
@oscaroscy7738 Ай бұрын
baba levo anaharibu kipindi...HANA MPANGILIO katika kuongea
@AlphaIssaya
@AlphaIssaya Ай бұрын
Semaji la caf nakukubali sana
@elkanangosha9588
@elkanangosha9588 Ай бұрын
Huyo baba levol mbona alikandwa na hamonaizi hakuwa na mkono ya kujibu
@fadhiliabasi6585
@fadhiliabasi6585 Ай бұрын
Ndio mana tumehamia Somewhere!!!!!
@brunomwacha8880
@brunomwacha8880 Ай бұрын
Hakika uko vizury
@user-od4xf5hu8y
@user-od4xf5hu8y Ай бұрын
Unashangaa pa jobe kupewa thank u, kapewa chama?
@AmriAlly-fu4fk
@AmriAlly-fu4fk Ай бұрын
Hii ndo shida ya kuweka mtu asie na taaruma ya michezo kama baba levo pia mulewe muziki na mpira ni vitu viwili tofauoti
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 Ай бұрын
Leo nimewaenjoy kuchambua❤❤
@nyaombogodfrey
@nyaombogodfrey Ай бұрын
Huyoooo baba levooo anajielewaa kwel au analetaa ushabiki kwenye station ya wasafi
@yusufuhassan6524
@yusufuhassan6524 Ай бұрын
Hivi baba levo ana Elimu Gani??
@chichasam9032
@chichasam9032 Ай бұрын
Baba levo ana tatizo la kiakili apimwe
@davismuzahula907
@davismuzahula907 Ай бұрын
Wewe huoni hiyo pua unadhani ina kitu kweli?
@Sanjey-vp1fm
@Sanjey-vp1fm Ай бұрын
Huyu baba levo choko uyu maana kufatiliana kwa hizi timu mbili ndio kawaida, mfano mdogo uyo Ali kamwe yy kaanza kufatilia friend match wala ligi haijaanza tena akaja na habari ya uongo halafu uyo ndie msemaji bora kwako, kweli choko.
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 Ай бұрын
Baba Levo,Ahmed Ally ni msemaji na si mtabiri
@camilomassao8971
@camilomassao8971 Ай бұрын
🤣🤣🤣🫡
@saimonphilimon2956
@saimonphilimon2956 Ай бұрын
Ila mke daimond naye !! Ivi wale mapacha wa daimond ameshawaachisha kunyonya
@Mumewangu
@Mumewangu Ай бұрын
Huyu Baba levo hafai kuwa mchambuzi yupo ushabiki mbwa huyu
@nelykaaya6503
@nelykaaya6503 Ай бұрын
Kweliii kaka
@jamalimwaseba494
@jamalimwaseba494 Ай бұрын
Baba level hawezi kutangaza habari
@RamadhanRamadhan-m2f
@RamadhanRamadhan-m2f Ай бұрын
We chawa
@ericsallu3237
@ericsallu3237 Ай бұрын
Huyo Muha hajui kitu Ahmed Yuko vzr.
@KassimOmary-yc4ps
@KassimOmary-yc4ps Ай бұрын
Ahmed ally tanzania 1 akuna Kama yeye
@KabungaKalla-fw4pp
@KabungaKalla-fw4pp Ай бұрын
Kama anaweza kuwadanganya watu .wakati wote na wakadanganyoka basi huo ndio ubora wake
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Ahmed n bora sana
@mwamakaassely2260
@mwamakaassely2260 Ай бұрын
Baba Levo ni msenge mmoja
@josephemmanuel388
@josephemmanuel388 Ай бұрын
Uyu chakula ya diamond malinda ana
@user-jq1fd3dq2r
@user-jq1fd3dq2r Ай бұрын
Tobaaa
@AndreaAbery
@AndreaAbery 10 күн бұрын
Wao walisema ubaya ubwela tunawaambia sisi ni ubaya upwiru
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
Baba levo huwe na hakili sio kilajambo niutani tu ww nimtangaZaji
@AkwembeAlly
@AkwembeAlly Ай бұрын
Mnashusha taalumma yenu ya uchambuzi wa mpira kwa ajili ya uwepo wa huyo Nyumbu wa Serengeti Babalevo
@ChristopherMgute
@ChristopherMgute Ай бұрын
Mm nawaelewa
@RaymonTz746
@RaymonTz746 Ай бұрын
Ahmed ally sio mtabiri ni msemaji huyo ko elewa baba levo
@johnsonemanuel-rd1xe
@johnsonemanuel-rd1xe Ай бұрын
Baba level sio mwanamichezo
@peterkitajo3681
@peterkitajo3681 Ай бұрын
Huyu baba leo ni mtangazaji kweli au niushabiki wa tu fulani
@HalfanAlly-pr4xt
@HalfanAlly-pr4xt Ай бұрын
Baba levo ww tangu lini na uchambuzi WA Mpira
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Ай бұрын
Baba levo anachambua nini? Na hukai kimya?
@david255chengula5
@david255chengula5 Ай бұрын
Baba levo yuko sahihi achen ushabiki bhana mwanba n mr pointless
@nikasmkud7332
@nikasmkud7332 Ай бұрын
Wewe Levo usiwe egemevu wa uongo ulitaka tukuheshimu uwe mkweli usupendelee uyanga wako utajuta .mwandishi Bora Yuko fair
@ramadhanifrancis
@ramadhanifrancis Ай бұрын
Sema hilo jamaa halijui mpira cjui kwnn munaliweka Kwenye kipind
@leejems142
@leejems142 Ай бұрын
Huy bab lev mseng an let ushabik kweny kaz
@kidsontemba1641
@kidsontemba1641 Ай бұрын
BABA LEVO hawez kukuelewa uwezo wake mdogo sanaaa kuelewa huyu huwa namsikiliza hajui mambo mengi tu
@mwitamalwa2773
@mwitamalwa2773 Ай бұрын
Iv baba levo hana kazi yakufanya nayie hii studio hainawachambuz make baba levo ni mwehu
@josiacharles2778
@josiacharles2778 Ай бұрын
Ahmed ni msemaji ilo aliitaji mabishano,
@jumanakamo5503
@jumanakamo5503 Ай бұрын
Yaani wee baba Levo ni MWEHU
@JacksonWimbe
@JacksonWimbe Ай бұрын
Yaaaaaaaaa
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 Ай бұрын
Oscar yuko sawa
@camilomassao8971
@camilomassao8971 Ай бұрын
Baba Levo hawezi elewa, Fani za kulazimisha
@lissahmsigwa5552
@lissahmsigwa5552 Ай бұрын
Kujiamini nisilaha tosha katika dunia hii
@ChaseGabagambi
@ChaseGabagambi Ай бұрын
Baba levo hujui mpira unabaka fan
@idatonymassawe
@idatonymassawe Ай бұрын
Tatizo anaye mpinga oscar naye 😂😂😂 kipusaaa
@VenanceMdugu
@VenanceMdugu Ай бұрын
Baba levo aende kurekodi muziki hajui
@NoelSanga-k3f
@NoelSanga-k3f Ай бұрын
Mbn kama bana levo anaumia jmn
@MeckMsea-cx1ct
@MeckMsea-cx1ct Ай бұрын
Kwakweli amedy Alli amepambana. Sana bonge la semaji
@user-tr4cx3zu2u
@user-tr4cx3zu2u Ай бұрын
Baba levo ni kichwa boksi mpira kachezea wap na pua yake io kama inanusa harufu ya viungo
@robertmwakyusa984
@robertmwakyusa984 Ай бұрын
Kaongea vizuri Sasa jichanganye umsikilize
@hawahussein137
@hawahussein137 Ай бұрын
Huyu baba Levo na mpira wapi na wapi
@martinlema4192
@martinlema4192 Ай бұрын
BabaLevo uko sawa.... Yaani Yanga tumefungwa anafuatilia game letu yeye timu yake huko washakalia
@allyanthony3489
@allyanthony3489 Ай бұрын
Baba Revo hunaga hakili
@user-zj2gc2zj2c
@user-zj2gc2zj2c Ай бұрын
Hiv baba levo kuwekwa kwenye hiki kipindi ni kwasababu ni chawa wa Daimond ama wameamuamua watuwekee kituko.
@user-jf4bj7gt4b
@user-jf4bj7gt4b Ай бұрын
Baba levo Hana akili hata kido ndo shida ya watu wa yanga wapelekwe mirembe
@ZakaZakaria-qq9fv
@ZakaZakaria-qq9fv Ай бұрын
we baba levo hujui hata kuchambua mpir unaonyesha ushabik waziwzi
@jumanakamo5503
@jumanakamo5503 Ай бұрын
Hivi huyu anaitwa baba Levo kichwani ana akili kweli?
@VenanceMdugu
@VenanceMdugu Ай бұрын
Oscar hilo lijamaaa halielewi asijaji wakati hajaiona yanga ilikuwa nzuri kwenye vibonde
@hamisialli6544
@hamisialli6544 Ай бұрын
Baba levo we ni yanga ndomana M bishi
@abdallahal-khaify
@abdallahal-khaify Ай бұрын
Baba levo wacha porojo zako, uongo ukisemwa kwa Simba unasihi ila ukisemwa kwa nyuma mwiko hausihi!!! kua mwadilifu basi tafadhali .
@OfficialgobaDodoma2
@OfficialgobaDodoma2 Ай бұрын
Kiufupi baba levo aendeleze uchawa tuu maana hajuwi mpila
@Paulkessy-j8n
@Paulkessy-j8n Ай бұрын
Sasa uyo baba levo ni shabiki wa yanga au mchambuzi. Apo mchambuzi nae kidooogo ni Oscar Oscar
@user-mh2tn5ce7b
@user-mh2tn5ce7b Ай бұрын
Tafuten watu wa mpira baba miyayusho kiufupi haujui mpira
@SteveNday-wt9wy
@SteveNday-wt9wy Ай бұрын
Uyo bb levo mbna haeleweki mala muziki uchawa uchambuzi wa mpila
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
MAMA LEVO USICHEKE SANA UTAPASUWA CHUPI CHAWA WEWE 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 MATOPOLO MACHOGO FC 😂😂😂
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Ай бұрын
Huyu bwana mwingine ana ongea kama vile katoka mlango mmoja mabatini Mwanza!
@kelvinefuronielisha4039
@kelvinefuronielisha4039 29 күн бұрын
Yaaan mama levo akili zipo kwenye pua
@ObedFrank
@ObedFrank 19 күн бұрын
Baba levo hujui chochote
@boniphacebrighton1889
@boniphacebrighton1889 Ай бұрын
Baba Levo Hafai kuongelea mada za mpira kabisaa
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Ай бұрын
Utofauti wa osca na baba levo ni elimu ,yaani mjinga ni mjinga tu ,
@IddyMzuri
@IddyMzuri Ай бұрын
OSCAR OSCAR, WW NI KIBOKO,ACHANA NA HUYO CHAWA WALA SIO MCHAMBUZI,AENDE AKACHEZE KAMALI
@VenanceNtakabile
@VenanceNtakabile 26 күн бұрын
Huyo anayebisha. Kuwa ahamedi aly aulize kuwa cafu ndio waliompa tuzo ndio wenye mpira wao
@JokoloJokolo-vt5pm
@JokoloJokolo-vt5pm 24 күн бұрын
Ilo boya linaisha nn ni msemaji bola ndio kuliko boya yoyote
@raphaelbendera
@raphaelbendera 5 күн бұрын
Baba levo D hata mbili hana empy brain kbc
@fetymohamed3316
@fetymohamed3316 Ай бұрын
Oscar Oscar kubishana na mwanaume ambae alisema anaweza kumzalia mwanaume mwenzake niupotevu wa mudaaa
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 20 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 46 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 9 МЛН
Harmonize HAJA FUTIWA WIMBO NA INNOS'B!!!!
3:41
Golden5 Tv
Рет қаралды 1,3 М.
GB 64 AMLIPUA HAJI MANARA KISA AHMED ALLY, ANAZUNGUKA TU ZAIY LISSA
12:06
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 20 МЛН