Prof. ANNA TIBAIJUKA ACHARUKA/ WATU WANAINGILIA UTENDAJI/BANDARI/ DP WORLD/ MKATABA UREKEBISHWE

  Рет қаралды 194,685

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 1 100
@evaristngurukizi3033
@evaristngurukizi3033 Жыл бұрын
Haya sasa Nani anakataa WAHAYA wasipewe nchi. 🙏🙏 Bibi yangu Anna Tibaijuka Mungu akupe maisha marefu.
@yusuphngamela5611
@yusuphngamela5611 11 ай бұрын
Apewe nchi hata kufafanua anashindwa kufafanua
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 11 ай бұрын
Kibibi kijizi kilpewa rushwa pesa ESCROW KIKASEMA HIYO NI PESA YA MBOGA 16 billion Tsh na MAASKOFU WA TEC
@mwanache
@mwanache Жыл бұрын
Haya ndio matunda ya Nyerere. Elimu, uelewa, kujiamini, ukweli, na uimara wa dhati ya moyo kusimamia lile unaloliamini bila uwoga/unafiki… Kudos Mama Tibaijuka! Umeingia kwenye Historia pekee ktk hili na mengine uliyoyafanya kulitumikia Taifa letu.
@othumanomari1589
@othumanomari1589 Жыл бұрын
Very good my mother ❣️🇹🇿
@juliussilvestar8988
@juliussilvestar8988 Жыл бұрын
Mwanache bunge lingebidi liwe na wabunge wa aina hii.Tatzo reasoning yetu imekuwa ndogo sanaaaaa.Mama tibaijuka hawa ndio real thinkers watu wametumikia taifa na kimataifa pia alikuwa director wa UN habitat kwa kuteuliwa na katibu mkuu koffi annan.Watu ambao IQ zao ni kubwa they think further
@eliudntabusi9712
@eliudntabusi9712 11 ай бұрын
@@juliussilvestar8988 .
@danielkembo2177
@danielkembo2177 Жыл бұрын
Hii nchi kuna watu wanaakili sana, prof tibaijuka upewe maua Yako mama shikamoo sana
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Saaana aiseee
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
😂
@damianmstambi848
@damianmstambi848 Жыл бұрын
Inchi inaogonzwa na wajinga wenye akiri wamekaaa kuwa watazamaji ,ndo ccm hawataki kuweka watu wenye Quality wanatuwekea watu wenye history ya kuwa makalani we nned watu wenye brain bana siyo wapaka poda. Sasa angalieni mda wa kusoma akaelewa mkataba atatoa wapi wakati kusoma kwenyewe kaishia kuwa kalani
@samirazuberi186
@samirazuberi186 Жыл бұрын
Lakni cha ajabu watu kama hawa ndio wanaogwa vita na haishii hapo mwisho hata kuuliwa wanauliwa hapo ndipo pakushangaza
@user-ko7cv7mp1z
@user-ko7cv7mp1z Жыл бұрын
You are an Angel mama Mungu aendelee kukutumia. Uishi maisha marefu mama yetu. Keep up on raising your voice for our country. God bless you
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Do u really know that woman na alichokifanya kwenye hii nchi guys acheni siasa
@pasiensiabel7278
@pasiensiabel7278 Жыл бұрын
@@KassimAlly-xp4dz vp wew binafsi umefanya kipi cha maana kwenye hili taifa
@roselinemoshi5008
@roselinemoshi5008 Жыл бұрын
Huyo Ndio mama halisi wa nchi yetu Tanzania 🇹🇿 ❤🤲🏽❤
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Жыл бұрын
Ameen 🤲🏽
@yohanakiyumbi4795
@yohanakiyumbi4795 Жыл бұрын
Hongera sn,,, hakika umetoa Elimu kubwa Mnoo kuhusiana na Taifa na huo Mkataba kwa Ujumla...Mm binafsi nimekuelewa Vizuri Mnoo kwa undani sn,, Mwenyezi Mungu akubariki sn Prof. Anna Tibaijuka 🙏🙏👏👏👏👏
@lambomayenga6151
@lambomayenga6151 Жыл бұрын
MZEE MWENZANGU UMENIFURAHISHA SANA. TATIZO HAWA WATOTO TUNAOWATETEA HAWAJITAMBUI . NCHI TUNAYOYATAKA WAIRITHI HAWAJUI JINSI YA KUILINDA. HIVI WAANDISHI HAWA WANAOGOPA KITUO CHAO KUFUNGIWA? (Herufi kubwa hapa ni kusisitiza)
@LusubiloMwakalambile-xh5zs
@LusubiloMwakalambile-xh5zs Жыл бұрын
Huyu ndio professor..OG..anazungumza vitu vinaeleweka wala hatumii nguvu..blessings..
@pharlesanderson1124
@pharlesanderson1124 Жыл бұрын
"Maneno hayasifiwi kwa wingi wake bali kwa uzito wake" - Prof. Tibaijuka 2023
@johnvianey4220
@johnvianey4220 Жыл бұрын
Hapo kwenye goverment taxation kwa nini vijana wanaojiajiri wasipewe tax holiday kwa muda fulani ?
@andrew29468
@andrew29468 Жыл бұрын
naiona elimu halisi hapa
@josiahbineguro6393
@josiahbineguro6393 Жыл бұрын
Asante Mama Anna Tibaijuka usiogope kuwa mkweli Sisi tutaunga mkono unachokizungumza na hiyo ndo Maana ya Elimu, Ubarikiwe
@chingaboy1149
@chingaboy1149 Жыл бұрын
Ana anaukweli gani wakusema mwizi tu huyu kakosa masilahi elimu gani alonayo punda huyu mzigo tu kwajamii
@mudrikramadhani32
@mudrikramadhani32 Жыл бұрын
​@@chingaboy1149 we unaakili kweli !!!
@ZionTZ09
@ZionTZ09 Жыл бұрын
@@chingaboy1149 we mbumbumbu unakipi cha kumkosoa profesa.....
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 Жыл бұрын
Wewe ni kichaa
@chingaboy1149
@chingaboy1149 Жыл бұрын
@@ZionTZ09 frofesa or profusa kasaidia nni zaidi ya wizi kwendraaaaa huko mtwanwa wakifikra wew
@shabanadam4476
@shabanadam4476 Жыл бұрын
Professional conversation much respect to professor 👌
@latipharamadhani7576
@latipharamadhani7576 Жыл бұрын
Uyu mama kichwa Sana eeeeeh, nimemuelewe, Sana kwa kilicho andikwa ni shida mama, huu mkataba wa ovyo shida wengi wanawaza kula umeongea Jambo la nchi Asante Sana.
@thebestway5128
@thebestway5128 Жыл бұрын
Mama Tibaijuka..wewe ni almasi ya nchi yetu.Mungu Akutunze❤❤
@Isynick
@Isynick Жыл бұрын
Eeeeh Mungu ahsante kwa ajili ya maisha ya mama Anna Tibaijuka.
@Hyun626
@Hyun626 Жыл бұрын
❤ "Bandari ni roho la uchumi wetu. Maneno hayasifiwi kwa wingi wake bali kwa uzito wake "....mie nime mnukuu prof. Tubaijuka
@tyicdodoma4378
@tyicdodoma4378 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie miaka na afya njema, na awanyakue wote walio na Nia ovu juu ya nchi yetu
@Relis_talkswisdom.
@Relis_talkswisdom. Жыл бұрын
I love this prof,the way she articulate things,it's so impressive.
@SAdoughty
@SAdoughty Жыл бұрын
Professor Tibaijuka deserves the presidency, at least her words show the way...
@danielmagulu873
@danielmagulu873 Жыл бұрын
Mama yetu mungu akuzidishie maisha zaidi tunakuombea waambie halo wajuwe
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Жыл бұрын
Well said Prof Tibaijuka Be blessed🙏🏼🙏🏼
@SophiaClemence-om5gs
@SophiaClemence-om5gs Жыл бұрын
Mungu akubariki mama Anna Tibaijuka 🎉❤
@loitushulyamat2738
@loitushulyamat2738 Жыл бұрын
Ni kweli mama mkataba hiyo ni madharau sana kwa nchi yetu na raisi wetu
@jmarvins7146
@jmarvins7146 Жыл бұрын
Uishi miaka Mingi Prof Tibaijuka !! Mama Nakupa Maua yako 🎉
@makanjicharles9860
@makanjicharles9860 Жыл бұрын
she deserve to be a role model 💪🤏🧠
@user-rr5wj3il6b
@user-rr5wj3il6b Жыл бұрын
mama unatosha saidia Tanzania inamalizwa
@user-rr5wj3il6b
@user-rr5wj3il6b Жыл бұрын
unatosha saidia nimekuelewa Rais awafukuze wanamuza mama
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 Жыл бұрын
Hawa ndionwa kuwafanya kuwa Washburn wa Rais
@tumusiimeomukama3151
@tumusiimeomukama3151 Жыл бұрын
Tz ni vigumu Sana mtu mwenye akili kubwa kufanya kazi vizuri maana Kuna, wivu, fitina, kuangaliana unatoka wapi? Wakigundua unafanya vizuri kuwazidi wanapanga mbinu ya kukuangusha. Bora abaki mstaafu awe huru kutoa maoni bila hofu. Mchawi wa Afrika ni Muafrika mwenyewe.
@saturinimushi4746
@saturinimushi4746 Жыл бұрын
Nawaomba Viongozi wa C C M tumieni Hazina yenu hiyo Muitoe Bandari Yetu na Bahari Yetu kwenye Mikono ya Mkataba Wenye Mashaka yakutuingiza kwenye Majanga. Kama Ushauri wa Prof. Anna Tibaijuka aliyewahi kufanya Kazi UN- HABITAT huko Duniani Kimataifa hautozingatiwa Nadhani Tutakuwa Tumelogwa. Tutakuwa Tumechawiwa. Bishop Gwajima Fanya Maombi ya Kurudisha Bandari Yetu Imechukuliwa Msukule. Akili za Baadhi ya......zimelogwa na Chai ya Marashi huko Jangwa la Dubai. Rudisha Akili ya Viongozi Kwa Mamlaka ya Jina la Yesu Kristo wa Nazareti Aliye Hai.
@bakaryngoneke5606
@bakaryngoneke5606 Жыл бұрын
Asante sana prof tibaijuka umeongea vizuri sana tena kwa uzoefu na kwa mifano wale wanaojitaidi kupinga wakupinge na watoe sababu zenye mashiko kama hizo Kiukweli kabisa hakuna sababu ya kutumia nguvu sana kama wanatulazimisha walazimishe lakini hatuwezi kufikili kama wao
@rugendorunene545
@rugendorunene545 Жыл бұрын
Congrats Prof Tabaijuka... Napenda uadilifu wake pia🇹🇿🇹🇿✔✔.
@shamisahmed4806
@shamisahmed4806 Жыл бұрын
Uadilifu haupimwi kwa maneno wala kwa muonekano wa mtu bali uadilifu unapimwa kwa matendo ya mtu...!
@reginardtibishubwamu1522
@reginardtibishubwamu1522 Жыл бұрын
Very intelligent one women from Bukoba well sayed
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Жыл бұрын
Safi sana mama Tibainyuka kwa kuwa mkweli na kuweka itikadi pembeni. Na umefafanua ili watu wa kawaida waelewe. Ni watu kutokuelewa maana ya maneno. Na kuwa ruhusa akina Msukuma Bungeni wa sio na elimu kuuchakachua bila wa kuelewa kwanza sababu ya lugha na wakati a hoja na kuongelea ni kama kumpa Mtoto awe raisi wa nchi. Hivi wana ccm wasomi wote, maraisi wastaafu wamekaa kimya inamaanisha nini? Huyu muuliza maswali kijana, maswali ya kijinga sana bila uelewa kabisa. Na vijana hawa hawaelewi kabisa. Mtanzania ukaombe okay Dubai kuhusu nchi yako unajua wa Sawa tu. Swali kwa vijana, wewe Unami I’m a ruhusa jirani yako mwanaume kuhusu mambo yako ya Ndani si umekuwa bwege? Tibainyuka kakuuliza je unajipenda? Hawa vijana hawana uelewa kabisa.
@michaelfrenkline3429
@michaelfrenkline3429 Жыл бұрын
Inawezekana anaelewa Ila kauliza ili yeye na wengine waelewe zaidi
@DealDeskPro
@DealDeskPro Жыл бұрын
I will become a Prof like her siku Mojo. Am so much inspired kwa kweli..
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
Do it faster like the mkataba
@user-yp7nv3mg4b
@user-yp7nv3mg4b Жыл бұрын
Prof apewe maua 🌹🌹🌹🌹yake kichwa kimoja zaidi ya wabunge 300
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
S ndyoo kwishaaaaaa
@dainessgaspar6042
@dainessgaspar6042 Жыл бұрын
Hivi hawa wabunge wanaopiga makofi tu bungeni kupitisha utumbo huo IQ zao zinaakili kweli???
@fadhilikombe3338
@fadhilikombe3338 Жыл бұрын
Mungu akubariki Mama yetu umeongea kwa niaba ya Nchi Nzima. Mama Samia anamengi ya kujifunza kwako
@jurakijuraki8870
@jurakijuraki8870 Жыл бұрын
Nimumuelewa sana prof Anna Mungu ambariki
@eliofootz6519
@eliofootz6519 Жыл бұрын
God bless mama, prof Tibaijuka 🤝🏆
@tusiimeroy3157
@tusiimeroy3157 Жыл бұрын
Barikiwa Sana mama Tibaijuka Wagambage muno❤
@danielmaeda5074
@danielmaeda5074 Жыл бұрын
Mama wewe ndo Prophesor Mungu akupe maisha marefu Sana.
@deogratiusvalentino6248
@deogratiusvalentino6248 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu amzidishie miaka mingi zaidi tuzidi kufaidi elimu yake. Hakika huyu ni professor haswaaa
@josiahsimon5333
@josiahsimon5333 Жыл бұрын
Huyu ndiye professor na ana hofu ya Mungu ubarikiwe professor
@alexaudax-rm8sz
@alexaudax-rm8sz Жыл бұрын
Mama ana hakiri sana mungu amjalie umri na maisha mrefu Tanzania tunahitaji viongozi wenye hakiri na busara kama awa❤
@adeodatuskakorozya9064
@adeodatuskakorozya9064 Жыл бұрын
We nawe hakiri ndo nini sasa! 🤷‍♀
@williammgaza9284
@williammgaza9284 Жыл бұрын
Halex sio Hakiri ni Akili ..bwana Alex 😂😂
@elizzywhyte5496
@elizzywhyte5496 Жыл бұрын
Hakiri ndio nini sasa na wewe
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Mama nimekupenda sana. Umetema madini. Hujamungunya maneno.
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
kawaida yake
@NjauSylvester
@NjauSylvester Күн бұрын
Hongera mama Tibaijuka ushupavu kwelikweli na unapenda ukweli.Mungu akukirimie miaka mingi yenye heri.
@rickiusrockius7980
@rickiusrockius7980 Жыл бұрын
Very conscious prof Anna Tibaijuka👏👏👏👏👏👏
@stevenezekiel5670
@stevenezekiel5670 Жыл бұрын
Tunaomba interview nyingine na huyu mama..🇹🇿🇹🇿🤞❤️anajua vitu
@AmonChallah-qy7on
@AmonChallah-qy7on Жыл бұрын
Tibaijuka ur are real prof, very good mamaaaa
@hezronimwesigwa1271
@hezronimwesigwa1271 Жыл бұрын
Asante mama umeonesha uzazi wako kwa taifa letu na mungu akubariki
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 Жыл бұрын
Nawashukuru wasafi kutuletea profesa ametuongezea maarifa kuhusu huu mkataba.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Partnership inabidi iwe 60 kwa TZ and 40 kwa Dubai. Tayari TZ imewekeza sana kwenye Ports zetu.
@msabahafarijara2656
@msabahafarijara2656 Жыл бұрын
Mungu akutunze prof hakika sichoki kukuskiliza
@nosigwebuya5537
@nosigwebuya5537 Жыл бұрын
Yes, my sister Prof!
@aishasaidi2205
@aishasaidi2205 Жыл бұрын
Mama uko vizir mungu akutangulie na kauli yako iwe namashiko 🙏😘🇹🇿
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
Mama akihitaji kiben10 nipo hapa kijana wa hovyo,bado anadai kabisa na uzuri wake nataka anileee
@salminasalim5630
@salminasalim5630 Жыл бұрын
Kweli kabisa Professor Tibaijuka. Mh Raisi wetu alikuwa anafanya kazi yake vizuri sana ila mkataba bubu huu sijui ni nani alimshauri akakubali kuingia kwenye hii shida maana Watu wengi hatuafiki ni wachache wakiwemo wabunge tunaowachagua watusaidie lakini wanatuangusha jamani ni lazima watu wakubali mrejesho wa watu wengi kuwa watu hawataki labda kama Nchi ni ya Wa bunge tu. Shukran sana Prof Tiba MMUNGU akupe afya rizk na umri mrefu.
@ibrahimshilinde6129
@ibrahimshilinde6129 Жыл бұрын
Hela hizi,mnashangaa nizambogamboga tuu,wpo watu Wana mapesa Bwana,naanzanje kumpongeza huyu na kwalipi?.
@user-rp2so8bg2j
@user-rp2so8bg2j Жыл бұрын
Anaongea kwa maslahi ya nchi kwanini asipongezwe Acha chuki binafsi kama hujui kitu kaa kimya
@wilbertmombo9834
@wilbertmombo9834 Жыл бұрын
​@@ibrahimshilinde6129 Watz ni watu wa kusahau kirahisi hata Joka la Makengeza akijitokeza hapa kuongelea suala la DP watampa Maua kama yote
@wilbertmombo9834
@wilbertmombo9834 Жыл бұрын
​@@user-rp2so8bg2j​​@osiahlwinga915 Unajua kwamba huyu bibi alipokea billion kadhaa Toka kwa washirika wake kina Rugemalila na Sethi Singasinga wakati wa lile sakata la Richmond/Escrow na kuita hizo billion ni visent vya mboga
@renatusmatungwa2508
@renatusmatungwa2508 Жыл бұрын
@@wilbertmombo9834 kwahiyo mtu akituhumiwa hapaswi kutoa maoni kuhusu nchi yake.?uthibitisho wa kwamba alipewa pesa haupo ndo maana walishindwa kumpeleka mahakamani hafu istoshe ishu ya Escrow waliohusika ni wengi kwanini huyo mama tu ndo anayeandamwa.?
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd Жыл бұрын
Kweli bibi mungu akulinde sana
@bakermusa9033
@bakermusa9033 Жыл бұрын
🥀🌻🏵️🌼Maua yako professor
@gaudenciamallya9779
@gaudenciamallya9779 Жыл бұрын
Tibaijuka Anna kwenye Ubora wake. Mungu akutunze mpendwa wetu.
@emmanuelburchard3153
@emmanuelburchard3153 Жыл бұрын
Kweli nimekubali. Nchi hii kuna hazina. Big up Kajumulo.Mungu akulinde.
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Una uhakika hazina uyo mangapi ameyafanya kipindi chake rasimali ngapi ameshiriki kuuza fisadi uyo
@tumusiimeomukama3151
@tumusiimeomukama3151 Жыл бұрын
Alisema mnao jua aliyo yafanya mjitokeze myaseme na muonyeshe vidio sio hayo ya kuediti mnaweka pc yake huku mnasoma.
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
Nyie ongeeni tu ila mimi mama nimemkubali bado ni pisi halafu nimesikia yupo single dah.mimi kama kijana wa hovyo naona mama utelezi bado anao najitolea anilee
@scolasticakaduma5143
@scolasticakaduma5143 10 ай бұрын
Asante Dada yangu Umeongea vizuri sana .Gombea Urais 2025 tutakupa kura za ndiyo.
@user-nl2dw9hs5k
@user-nl2dw9hs5k Жыл бұрын
congratulation sana Professor Anna Tibaijuka.....umeongea kama mzalendo mwenye uchungu na nchi yake umeona mbali kwa faida ya vizazi vijazo big up mama
@jall4376
@jall4376 Жыл бұрын
Masuala ya nchi mnatuletea issue za Mpira. Inaonyesha Uwezo mdogo wa waandishi. Well done prof. Well said
@brigittamlanga2946
@brigittamlanga2946 Жыл бұрын
Yani hao hapo studio ni bogas sijawahi ona, wana leta mpira kwenye Issue ya maana hivyo shame on you ppl.
@sabbob574
@sabbob574 Жыл бұрын
Sasa huyu ndio proffesor. Big up Mama Tibaijuka ❤
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Жыл бұрын
Yani Oscar kweli unalinganisha mkataba wa FEISAL na Azam na Mkataba Bandari 😂😂😂. Halafu eti unasimea PhD? Utakuwa Dr. Wa hovyo Sana 😂😂😂
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Wasomi wa tz bd Sana ata raia wa kawaida awez kbal mkataba wa ovyo wa bila kikomo Yan miaka buku kwel nononooooo
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo Жыл бұрын
ASANTE Prof kwa tafsiri yako nzuri kuhusu Mkataraba. Vijana hao hapo studio hawaelewi somo zima la kuachia nchi kirahisi hivyo. Rais samia amefanya mazuri meeeengi sana. Lakini wabunge wooote eti hakuna mwenye kuonyesha hofu kuhusu Uwekezaji wa Bandari na anga letu? Binafsi nina miaka zaidi ya 60 sasa.! Inauma sana sana wabunge wetu kuingizwa ndani ya zwengwe hili. Kusiwe na vitisho kwa sisi wachangiaji wszalendo. Mkataba huu urudiwe wawakilishi wetu yaani wabunge wetu sifuate mkumbo yaa wawe upande wa CCM ni Mh. Mpina tu ndiye ameonekana kuhoji na kujenga hofu ya mkataba wa Dp world na wapinzani wa chadema.? Hakika, katika hili wawakilishi wetu mhhhh? Sikieni sauti za wananchi wenye hofu badala ya kusema atakaepinga tupo nae. Kumbe ni lasilimali ya maeneo ya bahari,maziwa badari na anga? Alafu kweli mna kaa harakaharaka mnaupitisha?Jamani jamani,.mbana SGR na BWAWA LA NYERERE NA BOMBA LA MAFUTA hawashiki maeneo mengi ya nchi yetu wanahusika na maeneo ya mradi ulipo tuu? DP WORLD ni BANDARI MAZIWA eti na ANGA?.MKATABA HUU UBORESHWE. WATAALA NA WAZALENDO MPO?
@patrinraura1397
@patrinraura1397 Жыл бұрын
ASANTE sana Proffesor kwa Elimu kwa Sisi watu wa chini Raslimali za nchi ni za wananchi Hazina utikadi Ni zetu wote
@vedastusngaiza5960
@vedastusngaiza5960 Жыл бұрын
Hawa waandishi nap ni poor
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
@@vedastusngaiza5960 wote vilaza
@ramadhanikalungwana8377
@ramadhanikalungwana8377 Жыл бұрын
Jamani naomba Mama apewe muda na Watanzania wengi wamsikie!! Naomba sana!!
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Syo kwa waandishi hao
@bibieismaily5761
@bibieismaily5761 Жыл бұрын
Ndiyo, Media nyingi zikutane naye ili elimu iwafikie watanzania wengi....iv mbona baadhi ya watu hawana uzalendo jamani?
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
@@bibieismaily5761 media zipo hizo zenye waandishi watangazaji wanaojua kungamua na kuuliza maswali,proffesionalism imevamiwa sahv
@YasminaMkali
@YasminaMkali Жыл бұрын
Tanzania kwisha habari yetu. Asante Mama kwa ufafanuzi mzuri. 😢😢😢 Chochote kile kitakacho fanyika Tz lazima tutoe taarifa. Maana Tz ilisha pewa Waarabu iwe yao milele
@joshuakitunzi9500
@joshuakitunzi9500 Жыл бұрын
Mama Anna Kajumlo kweli una madini kichwani,tema 2 Asante xn
@abdullahjuma3926
@abdullahjuma3926 Жыл бұрын
Hongera sana mama tafadhali waelimishe ndugu zetu kama wamekosea pia kwanini mfafanuzi mkuu amekaa kimya? Vile vile Jamhuri ni pande mbili sasa jamani wasomi wetu waliojazana kwenye serekali hawaoni haya mambo mpk utoke wewe mstaafu ? Anyway sijui lkn meseji yako imefika hio na wewe tu nakuombea mama akuchukue kama mshauri wa uchumi maana unaweza kuliko hao wanaume. Mungu akubariki inshaallah na akulinde kwa kutoa ufafanuzi uliofichwa. Amiin
@nyakatongongo4292
@nyakatongongo4292 Жыл бұрын
Asante sana mama kweli si wingi wa maneno bali uzito wa maneno.mama kaa karibu na mama Samia umshauri kuhusu hili jambo mama fanya hivyo kwa ajili vizazi vya kesho ❤mama
@godfreyvicent5370
@godfreyvicent5370 Жыл бұрын
Well Noted well said..Thank You Prof. Waandishi Mnaitaji Elimu.
@festokitule9727
@festokitule9727 Жыл бұрын
Professor your so wise nimekuelewa sana.Hao form iv hawakuelewi nchi yenye uhuru hawezi kwenda kuriport kwa nchi nyingine juu ya fursa zake huko ni kutawaliwa
@damasiuspetro5178
@damasiuspetro5178 Жыл бұрын
Huyo Ndiye Profesa Tibaijuka mwenye uwezo.mzuri sana Kweli maoni yake yaangaliwe na kutekelezwa
@siamrema
@siamrema Жыл бұрын
Blessed Tibaijuka🙏🙏🙏🙏🙏
@paulhando6286
@paulhando6286 Жыл бұрын
Mama uko safi sana. Nyumba yako halafu uombe ruhusa kuifagia? Utumwa unarudi kwa mlango wa nyuma. Samia mama na rais wetu, sauti ya wengi in sauti ya Mungu. Mniwie radhi," Hii ni laana kwa kuyapuuza ya baba wa Taifa na Yale ya JPM." Uhuru bila mipaka hats visiwa watu wanauza tu. Tusiporudi kwenye njia sahihi, kama she he mmoja alivyosema tumlilie Mungu, hays yatatumaliza. Tibaijuka mama asante sanaaa
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 Жыл бұрын
Madam Tibaijuka,always a scholar per excellence.I remember you in Nairobi,UNEP/UNDP etc.
@Hbk206
@Hbk206 Жыл бұрын
What an amazing smart women❤
@johnmlay8366
@johnmlay8366 Жыл бұрын
She is very smart
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
This is reality show😂
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Smart are u sure
@ibrahimngulungu
@ibrahimngulungu Жыл бұрын
​@@KassimAlly-xp4dz mwamba acha roho ya kichawi kama una hoja ya kusema huyu mama siyo smart toa evidence zako za kupinga ila usituletee siasa za kimbuzi hapa kama hii inchi haikuhusu kuwa mtazamaji broo maana nimeona unapinga kila mahala ambapo mama anasifiwa halafu hutoi hoja acha chuki za kise.....
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
@@KassimAlly-xp4dz kamlambe basi samia mkundu maana Naona unang'ang'ana kumsifia samia mashetani mtu anauza nchi yetu we unang'ang'ania ujinga
@rehemashabaniameen
@rehemashabaniameen Жыл бұрын
Mama uko sahihi kabisa mama Samia anatakiwa kusaidiwa sana Warabu wasimuingize mkenge
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
Samia keshaingizwa chaka na wabunge
@mhangwacastory8765
@mhangwacastory8765 Жыл бұрын
Waandishi leo mmeniangusha ,hamuwezi kumuingilia prof anaongea, mie nimechukia mnavyomshambulia sana! Hebu muwe mnaspare maswali walau mnamtafutia interview ya masaa sita ! This is professor please respect her
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Hawana upeo
@MelvinSony
@MelvinSony Жыл бұрын
yani ni kama anahojiwa na watoto wa chekechea!
@petermsangi2701
@petermsangi2701 Жыл бұрын
Hawana upeo kabisa, huoni wanaingiza maswala ya mpira kwenye issue nyeti..Soo sad
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Жыл бұрын
Asali ndugu
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Amka usingizini ndugu yangu hamna kitu hapo uprofesa chini ya mitaara ya MKOLONI 😂😂😂
@janteramon-iw5eh
@janteramon-iw5eh Жыл бұрын
mungu akubariki pro.. Anna Tibaijuka Heshima kubwa kwako🙏🙏🙏
@mrgardendesignerluta4667
@mrgardendesignerluta4667 Жыл бұрын
Asante Mama Anana huenda Mama samia atapata nafasi ya kukuskliza...
@yusufukasato2425
@yusufukasato2425 Жыл бұрын
This Prof. is Patriotic and Realistic!
@jitukorofi9517
@jitukorofi9517 Жыл бұрын
Alivotafuta billion za escrow na kusema ni hela ya mboga alikua patriotic?
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Жыл бұрын
HONGERA SAANA. MAMA ANNA DIBAJUKA TUNAKUHITAJI MWAKA 2025 KUTOKANA NA TAALUMA YAKO, ELIMU YAKO NA HOFU YA MUNGU ILIYOPO NDANI YAKO PROFESA ANNA
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SAANA PROFESA ANNA
@sheilamaziku5980
@sheilamaziku5980 Жыл бұрын
​@@jitukorofi9517alafu leo hii za bandari anaona zinauma
@juliethurassa1469
@juliethurassa1469 Жыл бұрын
So proud of ths mom..vry smart
@daniellyimo378
@daniellyimo378 Жыл бұрын
Well presented.asante mama Kajimulo.
@atanacyzacharia3092
@atanacyzacharia3092 Жыл бұрын
Meamini akili za wandishi wa habari wetu ni hamna kitu😢😢😢😢😢😢😢 pole snaa hii nchi inawatu wa hovyo sanaa
@Cath844
@Cath844 Жыл бұрын
😂😂😂
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Alafu ndiyo wanajiita waandishi
@atanacyzacharia3092
@atanacyzacharia3092 Жыл бұрын
Inasikitisha sana uchawa kujipendekeza ndio kumezaAa watu wa aina hii watu hawaamini taaluma hawaelewi madhara ya mikataba ya hovyo hivi unaambiwa uhuru wako unaenda kumkabidhi mwarabu na bado umeshupaza shingo
@danielkembo2177
@danielkembo2177 Жыл бұрын
Ni wasenge wanauliza maswal ya kipuuzi,, issue serious kama hii unaingiza story za mpira fala kabisa
@williammziray3813
@williammziray3813 Жыл бұрын
😅 we have none.. kina kikeke ndio watu
@nassoromohamed1641
@nassoromohamed1641 Жыл бұрын
Muleba tukovizur.mama kashusha point nzur
@dicksonwanyama1689
@dicksonwanyama1689 Жыл бұрын
Kabisa boss
@FulbertFisoo
@FulbertFisoo Жыл бұрын
Asanteee sana mama kwa maelezo yako mzuri bila kuangalia uliyoyafanya huko nyuma kama wasemavyo watu
@venancemalima1181
@venancemalima1181 Жыл бұрын
Hongera mama Mungu akulinde umefafanya kwa uzito na si wingi.Serikali na bunge wajitafakali sana.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Sijui kama watafanya hivyo. Naomba Mungu DP WORLD wajitoe
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Жыл бұрын
Si kuwapa taarifa tu. Ni kuwapa taarifa na mpaka wakubali. Nawashangaa sana hao vijana nao ati hawana macho ya kuona ubaya wa mkataba huo. Kwa maneno mengine chochote tutakachotaka kufanya hapa nchini ni lazima tuwajulishe kwanza. Wakisema watafanya wao mambo yanaishia hapo. Kuweni wazalendo. Leo Raisi wetu Samia yupo hai, watu wanamwonea haya kumshauri vizuri kesho atakuwa hayupo ndipo utakujakukuta watu wanakula matapishi yao. Ooooh mimi sikuelezwa vizuri, Ohoo sikuusoma niliambiwa tu; too late. Raisi ana nia njema sana na yeye siyo Mwanasheria anstakiwa ashauriwe vizuri ili mkataba uboreshwe vizuri kazi zianze. Huo mkataba umeandikwa Dubai kuna ubaya gani na sisi Watanzania tukaweka mawazo yetu humo kwa manufaa ya vizazi vyetu vijavyo? Hapa hakuna siasa, hakuna udini, hakuna ukabila ni maslahi ya nchi yetu. Hakuna anayepinga mkataba huo ysiwepo bali watu wanaoelewa hasa Wanasheria wanatoa ushauri ili mkataba urekebishwe usitubane sisi kama nchi na kwamba uwe na kikomo na ikiwezekana utsje asilimia tutakayopata. Wanaosema tusubiri mikataba inayokuja wanakosea sana. Mikataba ijayo inaandikwa na wao kulingana na matakwa ya huu mkataba mama na hatutakuwa na nafasi ya kupinga lolote ili mradi tumeshasaini mkataba mama. Pa kuwa makini na kujiridhisha kabla ya kusaini makubaliano hayo ni sasa. Mwenyezi Mungu awaongoze Viongozi wetu tusije kujuta au hasa wajukuu zetu na vitukuu visije kutulaani. Nia ya kuwa na Mwekezaji ni njema sana na tunaipokea kwa mikono miwili. Lakini tusiingie kichwa kichwa.
@bernardnyangena9564
@bernardnyangena9564 Жыл бұрын
vijana wanafanaya vile ili mama afunguke inaitwa reverse psychology in media
@kilimohub580
@kilimohub580 Жыл бұрын
Ni sawa , ila kuna jopo la waandishi 40 walienda Dubai. Waliporudi wamekua influencers wa dp world. Nchi hii tatizo ni moja, umaskini wa fikra tu
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 Жыл бұрын
​@@kilimohub580 na kuendekeza njaa
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Mwanangu umenena
@othumanomari1589
@othumanomari1589 Жыл бұрын
Innalillah wainnaillaihi Raajiun😪😪😭😭🇹🇿
@sylvestersimando3095
@sylvestersimando3095 Жыл бұрын
Tibaijuka 👍
@Cosmas_General
@Cosmas_General Жыл бұрын
Bongo nawasikiliza maprofessa wawili Tibaijuka na Kabudi🎉🔥🔥🔥
@isackpaulo6449
@isackpaulo6449 Жыл бұрын
Be blessed prof. hakika maneno hayasifiki kwa wingi wake bali kwa uzito wake🙏
@emanuelkisanga3429
@emanuelkisanga3429 Жыл бұрын
Maneno hayasifiwi kwa wingi wake yanasifiwa kwa uzito wake.✔✔✔
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
BIG UP PROF. TIBAIJUKA
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Asante profisa anna
@marialesulie6798
@marialesulie6798 Жыл бұрын
Asante kwa kututoa tongotongo bibi yetu. Wewe Kweli ni profesa wa ukweli. Usichoke endelea kusaidia taifa lako
@ibrahimzuberi1029
@ibrahimzuberi1029 Жыл бұрын
+255🇹🇿🇹🇿Genious tibaijuka❤
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 Жыл бұрын
Huyu mama yuko vzr, anaongea kitu muhimu sanaaaa
@marialesulie6798
@marialesulie6798 Жыл бұрын
Umeeleweka sana mama profesa wetu. Wazee kama nyie ndiyo tunu ya taifa hili. Nimekusamehe kwa habari ya escrow hasa ile sentensi yako ya “hela ya mboga” iliyotukwaza sana. Kwa uzalendo ulioonesha leo tunaamini tuko pamoja sasa. 👍
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper Жыл бұрын
Asante mama, umeitendea haki elimu Yako. NATAMAN wanawake wanisaidie mama Samia. Mama Samia ni Rais mzur sana na ana Nia nzuri sana ya kufungua nchi hii... Ila wasaidizi na washauri wawe makini. Pia idara za habari za serikali zimepwaya sanaaaa.... Hatujaskia afsa habar wa wizara ya ujenzi, wizara ya biashara walisema kitu,, Gerson na mwenyewe alichelewa pia.... NA MUHIMU MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YUPO WAPI?? AMEKAA KIMYA SANA
@winniesway3162
@winniesway3162 Жыл бұрын
Hongera sana mama, umeongea vizuri. Sisi hatuna bunge la kutetea wananchi, tuna wabunge wengi wao wakufuata mkumbo, bila kutumia hekima busara na kudadafua jambo kwa kina wanasema tu ndiooo Ee Mwenyezi Mungu tujaalie viongozi wenye hekima na uzalendo kwa nchi yetu.
@modycombo7421
@modycombo7421 Жыл бұрын
lakutetea matumbo yao
@IbrahimJamesKanyata-wb1kj
@IbrahimJamesKanyata-wb1kj Жыл бұрын
Prof. umeeleweka vzr. ✊✊✊
@mussakulanga9513
@mussakulanga9513 Жыл бұрын
eddo na Oscar acheni ujinga kabisa mama anaongea kwa points nyie mnaleta kubalance kwa serikali acheni hizo
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Kujipendekeza ndio sifa yetu
@anickashasha
@anickashasha Жыл бұрын
Wanahabari walilambishwa asali.
@bibieismaily5761
@bibieismaily5761 Жыл бұрын
Wanahabari kazi Yao no kuchokoza na wamechokoza haswa, ww ungepataje?
@rithersospeterkati3355
@rithersospeterkati3355 Жыл бұрын
Asante mama kwa kusema ukweli.🇹🇿🇹🇿🙏
@mossesisaack5066
@mossesisaack5066 Жыл бұрын
Mama Tibaijuka umeongea kwa hekima kubwa na ufahamu mkubwa.. Tumekuelewa sana spka akusikie na afanye wajibu wake haraka kwa maslahi ya taifa letu.
@thomasjohn2554
@thomasjohn2554 Жыл бұрын
Leo watangazaji mmenizihilishia kuwa uwezoo wenu ni mdogo sana yaaan mdogo mnoo
@kyaro5945
@kyaro5945 Жыл бұрын
Hawajui lugha. mikataba imepigwa kizungu. pia watu hawajausoma mkataba
@lucasshirima2880
@lucasshirima2880 Жыл бұрын
Godbless You Mama....
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 52 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 50 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 35 МЛН
WAKRISTO HAWANA UZALENDO WA NCHI YETU | UST. ILUNGA H. KAPUNGU
26:08
❗малой пива, захотел а получил..😅 #pov #story
0:47
Перезаливы Skeepoffa
Рет қаралды 11 МЛН
🤣🤣🤣
0:15
DavidMakesTops
Рет қаралды 30 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
0:19
Wian
Рет қаралды 34 МЛН
Who is the best? #babyduck #shorts
0:18
BabyDuck PUBG
Рет қаралды 8 МЛН