Azam+ kipaji chako tukapata. ...Mchambuzi bora .....ambae kwa njaa zake ameamua kuibomoa heshima yake mwenyew. ....
@ibraheemiddy86122 жыл бұрын
Umejua kufikir kama mm
@georgemgonja50712 жыл бұрын
Uongozi wa Yanga nadhani ujitafakari kwa huyu bwn mdogo kwa maoni yangu huyu bado hajakwiva kwa nafasi hio, maneno maneno yake si yakuijengea heshima taasisi bali atailetea matatizo, anyway hayanihusu sana ila Nugaz, Bumbuli mtawakumbuka kwa hekima zao
@godlistengodlisten75522 жыл бұрын
WEWE HUWEZI KUTUPANGIA YANGA IWE NA MSEMAJI WA KUKUFURAHISHA WEWE.
@bone1022 жыл бұрын
Huyu mbona hajielewi si alisema Al hilal ni wakawaida leo imekuwaje Al hilal ni timu ngumu
@abubakarialfani75972 жыл бұрын
Mbona mlicheza na zalan hamkusema mbovu leo mmetolewa mnasema simba kapewa timu mbovu uwe unafikir kabla ya kuongea na wew ndio ulisema mtawapiga Al Hilal kama ngoma matokeo mmeangukia pua
@williammajani21522 жыл бұрын
Kabla ya mchezo wa kwanza ulisema yanga ni wazuri kuliko al hilali na ukata kama kuna mchambuzi anabisha basi mkutane sio wewe? Kabla ya mchezo wa pili ukasikia ukisema mnakwenda kurudi na ushindi sio wewe? Baada ya michezo yote unasema ulipita njia ngumu watakao kuamini wanafanana na wewe. Ally kunawakati nisinge lala kabla ya kuona umesema nini? Ila sasa najuta nilikuwa namfuatilia mtu asiyejua chochote kuhusu mpira na heshima kwa wenzie. Itoshe kusema. Ahames ally ameweza kuvaa viatu vya Manara pale msimbazi. Ila wewe vitu vya manara vimekupwaya na hakuna namna u aweza ongeza mguu. Sasa vya bumbuli ndio hata hujui viko wapi
@saidihamisi92852 жыл бұрын
Ulisema bwn mdg Al ahali ni wakawaida Leo umekubali kuwa ni kubwa kuliko yanga?
@anithawidambe75432 жыл бұрын
KAMWE ULISEMA TIMU HY YA AL HILAL NI NDOGO SANA SASA LEO INAKUWAJE UNASEMA NI TIMU NGUMU UKISHINDWA NI KUSEMA UKWELI KM UMESHINDWA.
@machibyawalwa87592 жыл бұрын
Jamn iv ile mlioingunga mabao 9 mbona hamkusema kama ilikua timu mbovu kama ya ndondo cup ila huu ulimi mbingu tutaickia ona aibu jmn
@sundaymwita82282 жыл бұрын
Hata aseme nini Yanga tukubali tukatae ni Mbovuuuuuuuuuu🚮🚮🚮!
@saidijafari28122 жыл бұрын
Baki na siasa yako
@georgesikazwe59142 жыл бұрын
Yan kweli we aly kamwe.msemaji maandazi kweli ww..kila timu aloifunga simba ni nyepesi
@donlinechanell47602 жыл бұрын
Ali leo hii alhilal ni bora ?🤣🤣🤣🤣🤣 Wewe ulisema alhilal hawana team . Na bado unaleta maneno utakuja kufungwa sjui utasema nn. Mbona uzungumzii kuhusu kwamba mlikutana na zalan? Ali ulikua mchambuzi mzuri sana lakini sas Hiv unaongea pumba tupu
@tellyandrew70302 жыл бұрын
Sio wewe ulisema Al hilal kwamba hawa waambii kitu kwakuwa bado wanajenga kikosi? Hata wewe ni Ashura mweupe tu.
@shadrackjuliuskaboya52392 жыл бұрын
*wewe kamwe nibora ungelibaki tuu kuwa mchambuzi wa soka huko ndiko mahali pako" huku unapotea tuuu mwana*
@ijsound51492 жыл бұрын
Anaeuliza maswal mwananchi anaejibu mwananchi hapo hakuna interview kuna kijiwe nongwa cha Utopolo
@TheMrisho2 жыл бұрын
Huyu kilaza
@godlistengodlisten75522 жыл бұрын
Wewe Ni Kiamka
@TheMrisho2 жыл бұрын
@@godlistengodlisten7552 wewe na huyo akili zenu mnalingana.
@mathewdyzymaleyafrica91282 жыл бұрын
WEWE ALI KAMWE NI MCHAMBUZI UCHWALA UMEPATA KAZI YA USEMAJI UNAONGEA UWONGO UWONGO ,UTAKUJA KUKALIA DOLE SIKU
@josephmugala19702 жыл бұрын
wewe unaumwa mavi kweri Ali hilaly Tumewafunga 👉🦁🦁🦁sisi boya ww. unaacha kuzumzia mashindano yaliyopita unazungumzia mechi Ambayo haikupeleki popote kimataifa, utopolo 👉🐸🐸🐸🐸kweri
@petermwacha99092 жыл бұрын
Huyu mtoto kumbe ni mpumbavu sana! Haoni hata aibu ya kuzungumza uchafu.? Ebu atuambie D'Agosto ni wa ngapi kwenye rank ya CAF na Al hilal ni wangapi. Na pia atuambie ligi ya Angola ni ya ngapi Africa na Sudan ligi yao ipo nafasi ya ngapi? Aache kuongea ujinga na hao wachambuzi wabovu wasiojua kumchallange mtu
@emmanuelmashauri14302 жыл бұрын
Sa agosto wa kumfananisha na al hilal w kolo kweli