MAZITO YA MRISHO GAMBO BAADA YA KUCHANWA HADHARANI NA MAKONDA

  Рет қаралды 6,516

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 77
@arcadilamu396
@arcadilamu396 Күн бұрын
Gambo ndio ana matatizo alitakiwa kuuliza kwenye vikao na hakuna mradi wowote unaofanyika kwenye mkoa bila Mkuu wa mkoa kuwa na taarifa
@Timoclement
@Timoclement Күн бұрын
Muosha huoshwa na ww ulimtesa sana Lema
@sajadyusufu5150
@sajadyusufu5150 23 сағат бұрын
Hii ndo coment yenye majibu
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 Күн бұрын
Makonda anapita mipaka so Tz ndo kiongozi mzr sana kuliko wengine
@ceciliaonyango5367
@ceciliaonyango5367 23 сағат бұрын
Ungeuliza kwenye vikao sio kwenye media
@KostaJoseph
@KostaJoseph Күн бұрын
MAKONDA UMESHINDA USIJIBU HOJA
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Күн бұрын
Halafu nyinyi wazee waminyama acheni unafiki hamkumbuki Gambo alipokuwa mkuuwamkoa alivyokuwa anagomba na Lema leo anahoji mamlakayamkuu wamkoa
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 23 сағат бұрын
Hivi kati ya Makonda na Gambo ni nani mwakilishi wa wananchi na msemaji wao? Tukio hili liliwakutanisha wananchi na watawala. Kiungo cha pande mbili hizi ni mbunge. Kumzuia asiulize maswali yahusuyo jimbo lake nikutoheshimu mipaka ya utawala na ni kunyamazisha sauti ya wananchi mbele ya watawala wao. Hii si haki!
@MoJamwaka
@MoJamwaka 23 сағат бұрын
Mh.Gambo upo sahihi mkuu🫡
@caesarfranc
@caesarfranc 23 сағат бұрын
Gambo alikuwa Lema akifanikisha miradi yeye anampiga spana. Kuna hospital Lema alifanikisha Gambo akamzuia kwenda kuzindua
@sophykivuyo
@sophykivuyo Күн бұрын
Kauli ni moja tuh hudhuria vikao, 😂😂😂😂 halafu ujachaguliwa na wananchi mmepitishwa tuh.
@HajiMustapha
@HajiMustapha 23 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 Kwa hakik ahudhurie vikao analopokw 2.
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 23 сағат бұрын
Mrisho Gamba na Makonda ni pipa na mfuniko, hakuna kati yao aliyechaguliwa na wananchi. Gamba kachomekwa na tume ya uchaguzi na Makonda(Bashite or whatever his real name is) kawekwa na raisi, hakuna mwakilishi wa wananchi kati yao.
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Күн бұрын
Makonda kila atakapopelekwa analeta matatizo ananjaa kubwa ya kupata madaraka
@DavidCurtis-e4c
@DavidCurtis-e4c Күн бұрын
Ndio inavyokuwa hivyo mtu akifanya kazi anajikomba akikaa kimya anakula tu pesa hana anachokifanya hiyo mdio tz yetu
@SYLMASVISIONFORSCIENCE
@SYLMASVISIONFORSCIENCE 23 сағат бұрын
Wasafi HOJA ILIKUWA HAHUDHULII KWENYE VIKAO SWALA LA MAJINA HAIKUWA HOJA, NA NDIYO WAANDISHI MLIPASWA KUMUULIZA MKAACHANA NA HOJA YA JINA , HOJA NI KWAMBA HAHUDHULII KWENYE VIKAO
@SelijusiMalambo-z4k
@SelijusiMalambo-z4k Күн бұрын
Kwani ww nani mpaka usihudhurie kwenye vikao wenani kakunyosha nabado hatoki leo wala kesho nabado
@MajaliwaYusuph-qb1xp
@MajaliwaYusuph-qb1xp Күн бұрын
Gambo vikao vyake ni bungeni cyo kwa makonda
@SelijusiMalambo-z4k
@SelijusiMalambo-z4k Күн бұрын
@MajaliwaYusuph-qb1xp kumbe tuongoea na pimbi asie jua kitu chochote Kanye ulale
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 23 сағат бұрын
Wewe unakichaa bungeni ndiyo Kuna Barbara bungeni Kuna madiwan ​@@MajaliwaYusuph-qb1xp
@SelijusiMalambo-z4k
@SelijusiMalambo-z4k Күн бұрын
Kwa makonda utakoma mmezoa porojo nabado
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 23 сағат бұрын
Udhuria vikao bhana mkuu wa mkoa yuko juu yako anashughulika na mkoa ww ni unashughulika na jimbo moja Acha jeuli
@MatendoMenganyi-xq8lx
@MatendoMenganyi-xq8lx Күн бұрын
Kitenge unazingua aise, Sasa kama mbunge haingii kwenye vikao , atajuaje mipango ya Jimbo lake inaendaje, Makonda anamwakilisha mhe.Rais ngazi ya mkoa kwa hiyo waziri anapokuja ni lazima akaribishwe na mwenye mkoa wake, mbunge atambue kuwa mkuu wa mkoa ndiye boss kwenye level ya mkoa. Kitenge mshauri huyo mbunge mshikaji wako awe anahudhuria kwenye vikao, mwisho wa siku tunahitaji maendeleo na mafanikio ,sio kelele, mhe.makonda ni level za juu sana tunamuamini sana kuliko huyo mbunge, maana mbunge anacheza na upepo unavyoenda sio uhalisia.
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 Күн бұрын
Siku zote watu wenye akili ndogo ndoa hua mnatawaliwa na akili ndogo zenye uwezo wa kujieleza lakini tunaojua kiongozi anatakiwa kuwaje hua hatuna upande kwenye matamko ya kisiasa..mmoja yupo kwa ajili ya popularity but mmoja yupo kwenye reality hapo ..
@EtiminSadallah
@EtiminSadallah 23 сағат бұрын
Miradi inachelewa kwenda kwa sababu ya upuuzi wako shida mbona hazitatuliki wewe nimpuuzi unakwepa nini vikao utabakia marumbano mbona hela nyingi zinaludi hazina wakati kuna miladi
@caesarfranc
@caesarfranc 23 сағат бұрын
Gambo alikuwa amelewa au?
@jsilvertv
@jsilvertv Күн бұрын
Hapo kuna kitu acha tuone panapo vunja
@namaanwilson6467
@namaanwilson6467 Күн бұрын
Safiiii gambo nakupenda
@kwisa4899
@kwisa4899 Күн бұрын
Wanasifiana badae wanageukana,walisema wakipewa uongozi wao watatimiza hayo yote sasa shida ni nini tena
@KostaJoseph
@KostaJoseph Күн бұрын
GAMBO UMESHAPOTEA ULITAKIWA UKAE KIMYA KWA MASLAHI YA CHAMA
@MajaliwaYusuph-qb1xp
@MajaliwaYusuph-qb1xp Күн бұрын
Kumbe chadema ndo hakuna maslahi ya chama?kenge ww
@KostaJoseph
@KostaJoseph Күн бұрын
@MajaliwaYusuph-qb1xp SIJASEMA HIVYO ULIVYOMANISHA
@NicholasRasheed
@NicholasRasheed Күн бұрын
Kwa makonda mpaka musemi😅😅😅😅
@user-pe9uo4ec6y
@user-pe9uo4ec6y Күн бұрын
Makonda kamtetea waziri kisiasa pale waziri ndo anahusika na barabara na ndo msimamizi wa Taasisi zote zilizopo chini ya wizara ya ujenzi wananchi wamekosa fursa ya kupata majibu ya moja kwa moja kutoka kwa waziri husika kwa sifa za kuosheana mbela za watu
@an57
@an57 Күн бұрын
Barabara ya Muda mrefu haijakamilika haiusiani na kuhudhuria vikao, wananchi inatakiwa wajue sababu ya kuchelewa mradi kutoka Kwa wazir husika
@Titusdickson1
@Titusdickson1 Күн бұрын
HUDHURIA VIKAO
@juliusdonard933
@juliusdonard933 23 сағат бұрын
Makonda apewee ubunge wa arusha
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j 23 сағат бұрын
Hii hapa sijui imekaaje naomba kueleweshwa kwa wale mnaoelewa, Gambo anapigiwa kura na wananchi kupitia jimboni kwake moja kwamoja, na mkuu wamkoa anateuliwa na mheshimiwa rais wanchi hapa kimadaraka nani mkubwa wamwenziye kisiasa maana naona kana kunakuvimbiana kiana vile
@masalukulwa8911
@masalukulwa8911 23 сағат бұрын
mkuu wa mkoa ni mkubwa. Ni mwakilishi wa Rais aliyechaguliwa na wananchi wa TZ nzima.
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j 23 сағат бұрын
@@masalukulwa8911 shukrani
@deomusyebi9930
@deomusyebi9930 Күн бұрын
Umetandikwa lkn ndo siasa za kwetu hizo wewe ukiwa RC ilikuwa hivihivi na Lema tukajua lbd kwa kuwa vyama tofauti sasa leo ninyi wote ni ccm mnagombania NiNi nyie watu wazima bwana mnatia Aibu kaeni kwa kutulia
@jerome3143
@jerome3143 Күн бұрын
Siku zote mbunge ndiye mwakilishi na mtendaji wa mkoa Mkuu wakoa ni kiwakilishi wa mkoa na mtendaji waserikali ni wasiri mkuu
@NdatuluNzila-yz8td
@NdatuluNzila-yz8td Күн бұрын
Wewe hiyo simu yako inashida gani kwenye uandishi
@familytalks1
@familytalks1 Күн бұрын
Acha inyeshe, tuone panapovuja
@FriddaUrasa
@FriddaUrasa Күн бұрын
Kweli
@machachehardware5975
@machachehardware5975 Күн бұрын
Kitenge anashida sana na makonda
@SophiaSalimu-z1u
@SophiaSalimu-z1u Күн бұрын
Ndio mana magu alimpangua
@bakarirajabu3783
@bakarirajabu3783 Күн бұрын
Mmezobana urafiki umefika mwisho
@brittanypulei789
@brittanypulei789 Күн бұрын
Kumekucha
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Күн бұрын
Tunampenda Makonda lakini kwa hili amechemka.
@machachehardware5975
@machachehardware5975 Күн бұрын
Awe anahudhuria vikao basi ndo hoja
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo Күн бұрын
​@@machachehardware5975Asipohudhuria vikao ndiyo aambiwe "mjinga"? Je, mbunge anawajibika na vikao vya Makonda au bungeni?
@annamathias-t5g
@annamathias-t5g Күн бұрын
Mu najisahau ngoja awa chane
@Entertainmen_tv2024
@Entertainmen_tv2024 Күн бұрын
Hawa wazee wanafiki
@EmilyTembo-k7e
@EmilyTembo-k7e Күн бұрын
Kweli Makonda amekudhalikisha hata mimi ambae nilikuwa nakuheshimu gafla nimejikuta nakudhalau Acha upumbavu nenda vikaoni Makonda usishindane nae humuwezi
@shabanmfangavo4973
@shabanmfangavo4973 Күн бұрын
Kitenge mnafki
@DiophEtta
@DiophEtta Күн бұрын
Hata Mimi nimemshngaa makonda kalewa hpo kazngua kumb so wajibu wake lakini shobo 😅, gambo ndo msemaji namba Moja wa Jimbo, spana za mkonda atulie Mimi shabiki yake lakini umaarufu unampelka mrama
@RehemaPanga-x6z
@RehemaPanga-x6z Күн бұрын
Huyo mrisho mwenyewe alivyokuwa mkuu wa mkoa alidhalilisha sanaa wakurugenzi, mbunge, na viongozi wengine ... na alisema yy ni rais ya mkoa arusha yy ndo msemaji wa kila kitu yaan hiyo ni ukiua kwa upanga na ww utakufa kwa upanga,,, yaan mrisho makonda akasome na kuna mda hadi waandishi wa habari aliwakandamiza na kuwaonea huyo wana arusha tunamjua vzr,,,, lema alivyokuwa mbunge alikoma na mrisho ana kiburi sanaaa mara agombane na mkuu wa wilaya , mara halmashauri imagine billion zaidi ya 20 imerudishwa serikalini kwa ajili ya huo ugomvi wao wa kijinga
@DJINNOSSBTZ
@DJINNOSSBTZ Күн бұрын
Gambo yuko sahihi kwenye hili makonda anapenda sana sifa📌📌📌
@MajaliwaYusuph-qb1xp
@MajaliwaYusuph-qb1xp Күн бұрын
Uko sahihi sana
@machachehardware5975
@machachehardware5975 Күн бұрын
Sifa zipi kumuambia mtu awe anahudhuria vikao ndo sifa
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 Күн бұрын
Tena za kijinga
@CharlesKimaro-m7v
@CharlesKimaro-m7v 23 сағат бұрын
Huna akiliii
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 23 сағат бұрын
We ndo hazimo kabisa
@kingwandeinvestment8002
@kingwandeinvestment8002 Күн бұрын
Uyu makonda anaivuruga sana hii nchi mawaziri nao wanamuogopa
@CharlesKimaro-m7v
@CharlesKimaro-m7v 23 сағат бұрын
Huna akiliii mtakaaa hvyoo na ujinga mpka lini
@SelijusiMalambo-z4k
@SelijusiMalambo-z4k Күн бұрын
Kwa makonda utakoma mmezoa porojo nabado
@kwisa4899
@kwisa4899 Күн бұрын
Sasa gambo ndie mtoa pesa za miradi
SIRI VITA YA KUGOMBEA MADARAKA YAFICHUKA
5:35
Wasafi Media
Рет қаралды 1,4 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
🔴#LIVE: ALLY KAMWE NDANI YA LAVI DAVI YA  WASAFI FM  O6/01/2025.
1:18:44
GAMBO amjibu MAKONDA bila uoga adai hana ELIMU anatakiwa kuelimishwa
9:18
MAKONDA AMLIPUA MBUNGE GAMBO “NENDA KWENYE VIKAO”
3:30
Millard Ayo
Рет қаралды 37 М.
HAYA ALIYOPITIA ALLY KAMWE KWENYE NDOA YAKE NI MAZITO SANA
5:48
Wasafi Media
Рет қаралды 8 М.