HIVI NDIVYO NYAMA ILIVYOFANIKISHA SENSA KWA WAHADZABE
Пікірлер: 62
@luqmanothmanjh90842 жыл бұрын
"Tumeshaswenswa" 🙌🙌😂😂😂
@AbdillahSalimu21 сағат бұрын
Duu..kumbe nyama ya nyumbu ni kwereee 😂😂😂
@marylibaba25892 жыл бұрын
Mungu ni mwema kwa kazi kubwa iliyotendeka...
@deepconcept20202 жыл бұрын
Nashauri, ili taarifa ipate uelewa kwa wakazi wa nchi nzima, kiuweledi, mnaposema jina la kijiji na jina la wilaya, mseme pia jina la mkoa kutoa taarifa kamili ili wengi waweze kufahamu huko ni wapi kwenye nchi ya Tanzania. Wakazi wa nchi huijua mikoa, wakazi wa mikoa huzijua wilaya, wakazi wa wilaya hujua vitongoji.
@isaaceliya23052 жыл бұрын
Itakuwa dodoma
@allyhalifa88242 жыл бұрын
Singida
@personpeter22212 жыл бұрын
@@isaaceliya2305 wilayan mbulu manyara
@nasibugunda79272 жыл бұрын
@@personpeter2221 mkalama iko singida
@shyfettymtunda46192 жыл бұрын
Sie wengine inakuaje???Na mie bila kupewa hela ya rejesho na kijora sisenswi.🤣🤣🤣
@aliskanyanga33882 жыл бұрын
Hahahaha yaan wewe
@MauFundiElectronics2 жыл бұрын
Manaake ncheke kwanza 🤣🤣🤣
@malugukushaha67642 жыл бұрын
Dah!🤣🤣🤣🤣
@msetikebwasi72702 жыл бұрын
Intelligent hawa jamaa.
@leodegarfoyanshaw71112 жыл бұрын
Viongozi tumeona umahiri wenu kwa mikakati ya kufanikisha sensa. Hongereni sana
@khadijashabani55092 жыл бұрын
mseme ukweli mmeweza kuandika majina yaooo😂😂😂😂😂
@florianmlay11222 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@personpeter22212 жыл бұрын
Naomba serikali iwajengee makaz ya kudum hawa watu
@hamzamakwega26592 жыл бұрын
Mmmh na sisi tupewe nyama jamanii
@charlesmwambinga43552 жыл бұрын
Majina yao sasa🤣🤣🙏🙏
@KoreanDramaMoviesKiswahili2 жыл бұрын
🔥❤🔥
@ferouzmasoud48702 жыл бұрын
Kumbe kiswahl mnajuwa vzur wasenge nyinyi 😂 Mbona sisi hatajapata Nyama Wala soda
@tatuaamuuinyi96332 жыл бұрын
😁hamjasema
@kipyakizuri2 жыл бұрын
Kwani wao sio Watanzania? Wewe boya kweli
@safariadrien53482 жыл бұрын
Nyama zimeuawa 🤣🤣
@Muba33042 жыл бұрын
Wameswenswaaah🤣🤣🤣🤣
@nasrahassan73462 жыл бұрын
mashaallah mmekula nyama ongera
@AbdillahSalimu20 сағат бұрын
Chakushangaza nikwamba serekali haitaki kuhoji wala kuskia kuhusu swala la matibabu ya kiafya kwa upande huo wa hii Jamii 😂😂😂 alafu wanahesabiwa kweli tanzania bado giza
@evaristoaidan26902 жыл бұрын
Simpati picha ni namna gani makarani walivyoteseka kuyaandika majina ya kiyahanzabe
@johnmalembo64642 жыл бұрын
Kama Kuna watu wakusaidia kwa Mambo ya elimu, afya na miundombinu Ni jamii hii.... Serikali. Hima hima tuwakumbuke jamii hii.... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@tabiaabbas20632 жыл бұрын
Wamesenswa bana haha
@Chusejr942 жыл бұрын
Bila mchuziiii watoto hatupati 😁😁😁😁😁😁.... Hawajamaaaaaaa
@mzunguxidde90712 жыл бұрын
😂😂😂
@mwijagenelsoni3572 жыл бұрын
Wanaishi kwa neno msihangaikie mle nini mnywe nin...
@halimamasai22342 жыл бұрын
Safi sana mama Samia maashallah
@msetikebwasi72702 жыл бұрын
Raha sana.
@stanastana31992 жыл бұрын
Jamaa anaitwa jacob Edward ....jina la mwisho amesemaje vile
@sylvestermahega93112 жыл бұрын
nyama za sindano sindano😀😀😀😀🤣
@nickdemo6402 жыл бұрын
Kumbe serikali mnazingua
@rahmanassoro17592 жыл бұрын
AKUKUKU NA DUDUKWE mbona hawapo?
@mathayomwashambwa12382 жыл бұрын
WAMJINI NA SISI TUTAKUWA TUNATAKA UBWABWA ILI TUHESABIWE..🤣😂😁😀😃😄😅😆
@ibrahimkasim42992 жыл бұрын
Saw mh DC pia mganga wetu wa mkalama kafariki leo hapo pia polen sana
@josephmpunta16692 жыл бұрын
Wapeni nyama wachanje na corona
@safariadrien53482 жыл бұрын
Tunashukuru nyama
@ReubenTV2 жыл бұрын
Mbona yule DUDUKWE sijamuona
@mtzhalisi22322 жыл бұрын
Yule Yuko manyara....hili kabila liko singida na manyara
@isackmosha42832 жыл бұрын
Hahahah
@alfarsialfarsi27542 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@julianapatrick79112 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@julianapatrick79112 жыл бұрын
Dudu kwaiyoo🤣🤣🤣🤣
@julianapatrick79112 жыл бұрын
Wow!
@nasrahassan73462 жыл бұрын
sasa hapo mpo kwenye mkutano ili mhesabiwe sioni nyumba
@gibrilmongi56462 жыл бұрын
"BILA MCHUZI , WATOTO WENGINE HATUPATI" MANENO YA MZEE JAME
@rehemamkalawa38012 жыл бұрын
Waadzabe wanapatikana mkoa upo?
@Zahrazahra-ue7bp2 жыл бұрын
Sasaa serikari mbona aikuwaangaria watu wa hari ya chini nawao awari mpaka wakatafute
@frankjohn87062 жыл бұрын
Lkn si waliwahi kuhesabiwa miaka 10 iliopita ? Vp bado hawajabadilika
@richardrobert94922 жыл бұрын
na majina yao mmeandikaje
@zuberinyenzi19822 жыл бұрын
Dudukhwe 🤔 dah majina yao sasa
@Jumamaduka2402 жыл бұрын
Sasa kama wanaweza kukusanywa mara moja kulikuwa ugumu gani kuwa hesabu hawa watu?
@jay-nyeye19002 жыл бұрын
Lazma uwale ka kitu sio kirahisi hivyoo
@muzikiprofile2 жыл бұрын
Sensabikaaa 💥 wangapi waliskiliza hii 👇👇 kzbin.info/www/bejne/jKu9d4apadakn5Y