2:31 😂😂😂😂 Ila Jenny Eti poleni miguu yote imeishiwa nguvu 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼 dkk 4:42 jamaa mpk hajui aliyefunga nani daaaaah
@maryfides5915 сағат бұрын
Safi sana kibwana jamani mda mrefu sana mkude je jamani gamondi katuuzi sana
@amaniomar175519 минут бұрын
Sema mwananchi mwenzangu kachanganyikiwa kuniliko
@mtotowamanka46 минут бұрын
Mlisema mnakikosi kipana, hata Simba 🦁 2lisema hivyo ila, kwenye hii ligi kuu hakuna kikosi kipana...kwenye hii ligi kuu.... Tafuta P3....kwanza😅😅😅
@SurprisedFullMoon-gg9vu5 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 rahaaa saaaaanaaaa
@josephbonday85104 сағат бұрын
NA BADO TIMU BOVU HILO...LINAPATA MATOKEO KWA MSAADA WA WAAMUZI WASIOJIELEWA
@SurprisedFullMoon-gg9vu5 сағат бұрын
Shida sioo kocha"umesajili wazeee
@IssaMohamed-mp4hj5 сағат бұрын
wachezaji awajachomwa sindano na matikiti
@IddyMoso-o4q4 сағат бұрын
Gamondi hamn kocha ana tembelea upepo wa wachezaji tu
@josephgalandu1284 сағат бұрын
Ivi Gamonfi si ndio alimaliza ligi mwaka jana akiwa ana mechi kibao mkononi!!??Ivi mnaanza klujichanganya
@jseventz5 сағат бұрын
😂😂😂😂 ila mpira bana eti kibao kimegeuka
@RamadhanAlly-cf7du4 сағат бұрын
Nkane nae alitakiwa kutoka
@hamisramadhan-eb3ie5 сағат бұрын
Nikweli yanga bingwa😂
@RamadhanAlly-cf7du4 сағат бұрын
Pacome hakutakiwa kutoka aliye takiwa kutoka ni azizi ki musonda kwanza waingingie chama na nzize
@SundaySitta4 сағат бұрын
😂uingie na wewe atoke nkane
@AhmedmussaMussa5 сағат бұрын
Mnatia huruma nyi watu? Malalamiko Fc. A. K. A utopolooo... Bado hamjasema, mpaka mseme..😂😂😂
@PIUSSEBASTIAN5 сағат бұрын
Hatuna kocha pale gamondi hana jipya huyo tukimbeba huyo atatufungisha sana na ubingwa hakuna Tena anamchukia baleke bila mpango wowote ule hana jipya atuachie timu yetu
@marcynhumbi35344 сағат бұрын
Na mim simuelewagi kabisa yaani kakazana na dube baleke anaachwa kina faridi wemewekwa tu yaani Kwa kweli jmn,watatuua tu