MPINA AIBUA 'VARANGATI' BUNGENI, AMTAJA WAZIRI MKUU, SPIKA Amtaka Alete USHAHIDI

  Рет қаралды 152,079

Wasafi Media

Жыл бұрын

MPINA AIBUA 'VARANGATI' BUNGENI, AMTAJA WAZIRI MKUU, SPIKA Amtaka Alete USHAHIDI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: wasafitv || wasafifm
TWITTER: wasafitv || wasafifm/
FACEBOOK: wasafitv/
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 358
@zephreinsuleimanpriciselyu5223
@zephreinsuleimanpriciselyu5223 3 ай бұрын
Mpina ni mbunge wangu Wa jimbo la kisesa, Hongera sana Saizi ushakuwa jembe Usiogope tuko nyuma yako❤❤
@Elimunamalezi
@Elimunamalezi Жыл бұрын
Yaani speaker Tulia unajua sana na hongera sana upo vizuri sana ,yaani wewe dada upo vizuri sana nakupenda bure ,unajibu hoja vizuri sana
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 Ай бұрын
Mungu akubariki Mh Mpina.
@user-ps6wm2qm4f
@user-ps6wm2qm4f Ай бұрын
Hongera sana Mbunge Mpina.Tunahitaji kuwa wakweli na wawazi sio makofi tu.Haileti maana yoyote.Hatutajenga Taifa hili kwa style hiyo
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 9 ай бұрын
Hongera Mpina hapa wabunge wengine hata kufuatilia cho chote. Wanataka kuwa wachawa tu kwa kweli hali ya hili bunge lake ni dharau tu wanatutendea maovu mengi.
@user-sk1xp8of6x
@user-sk1xp8of6x Ай бұрын
Spika wetu nakupenda Sana asa unapotoa maelekezo nimempenda upivyomjibu jenista muagama huyu kazi yake ni kuwazuia wabunge kusema!!! Hongera mh spika wetu!!!
@user-gg1ef9gc3t
@user-gg1ef9gc3t 6 ай бұрын
Hongera mbunge mplna tungewapa watano kama nyingi tuko mbali sana
@GeraldLembris-jr3yz
@GeraldLembris-jr3yz 5 ай бұрын
Hongera sana dr tulia. Nafasi alokupa mungu inakustahili kabs, pia mpina mungu akuongezee confidence ulonayo kutetea wananchi
@Luhende1
@Luhende1 Жыл бұрын
Hongera Mhe Mpina, Hakika una uwezo mkubwa sana, umewapiga kwa hoja mpaka wametulia! Na hongera kwa Mhe Spika wa Bunge, unachambua hoja vizuri sana!
@pendokimathi99
@pendokimathi99 9 ай бұрын
Mpina kuna watu pia wanauwawa ngorongoro pia hao uwazungumzie hongera kwa mada yako
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 4 ай бұрын
Kiukweli huyu spika akigombea urais naenda kupiga kura anatenda sana haki
@daudwilliam2326
@daudwilliam2326 Ай бұрын
Dr Tulia is one of best speaker in this country big up madam ur right mauwa yako chukua una umakini ulio pitiliza mpina yupo right tulia yupo right ila hao wengine wame rukia gar kwa mbele na kukosa umakini hasa huyu jenista kwanza ana poteza mda😂😂😂😂😂
@mokeya
@mokeya 5 ай бұрын
Bunge hili jmn kidg nitukane walah mungu nipe uvumiliv . Limekuw bunge lakutetea viongoz na cy lakutetea wananchi . Mpina mungu akulinde sana upo sahihi
@victorjames3730
@victorjames3730 Жыл бұрын
Wabunge wanafanya utoto😢😢😢
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 Ай бұрын
SAFI SANA SPIKA UKO SAHIHI.SIMAMIA HAKI NA UKWELI.MUNGU AKUBARIKI
@DealDeskPro
@DealDeskPro Жыл бұрын
Hapa nimemkubali sana Mh. Spika, kwanza ni msikilizaji mzuri sana, ilibidi nirudi nyuma kusikiliza hoja ya Mh.Mpina vizuri..She is so much brilliant. Yaani hoja ni moja tu kama kama maelekezo yalitolewa na Waziri Mkuu yamefatwa ama laa
@magesagambajr3546
@magesagambajr3546 5 ай бұрын
Speaker,of course she's bright leader
@MasanyiwaDeus
@MasanyiwaDeus 3 ай бұрын
Mpina ubunge unautendea kazi mungu akubariki ,,,bila kksahau spika wa bungu you are so bright at all
@magesagambajr3546
@magesagambajr3546 5 ай бұрын
Ndo nimegundua kuwa ili bunge limejaa wa kupiga makofi bila kuelewa Nini kinaongeleka Hongera sana Mpina lkn Pia Speaker mtu makini sana salute kwako
@patsonanyitike9584
@patsonanyitike9584 4 ай бұрын
Mpn Doo mmbunge peke yake
@zephreinsuleimanpriciselyu5223
@zephreinsuleimanpriciselyu5223 3 ай бұрын
Yaani kama huyu Anaejiita Jenister ni hovyoo kabisa Mpina excellent
@danielmkulat1598
@danielmkulat1598 Жыл бұрын
Hongera Mh.sipika kwa uchambuzi wa kina
@prosperjohn2047
@prosperjohn2047 5 ай бұрын
Jenista soma hata mitandaoni uone uachoeleza na Cha mpina, we unge tulia tyuuu mama angu, na Mungu akupe umri haraka haraka Ili.....
@ClementJacob-sd8lf
@ClementJacob-sd8lf Ай бұрын
Professional speaker i love you my dear good day you stand with Tanzanias citizen
@marianmartin7483
@marianmartin7483 2 ай бұрын
Muhagama anapoteza muda wa mh Mpina. Spika umeelewaka vizuri sana.
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 8 ай бұрын
Huyo mama jenista kazi yake kubwa ni hii kweli...ameumia sana kuhusu kauli hiyo
@zesootv6726
@zesootv6726 Жыл бұрын
Mpina upo vizuri hla nchi yetu hii utakufa mapema ukiwa na msimamo kama huo ndugu yangu ww chakufanya jaribu kula na kipovu kwasababu hao hao wanao piga makofi ndiyo wasaliti .
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 8 ай бұрын
Haya makofi, yana maana gani?
@herielinassary3645
@herielinassary3645 8 ай бұрын
Asante mh spika apo ni sawa
@Yohanarhobi
@Yohanarhobi 7 күн бұрын
Hongera mhe mpina kusimamia ukweli ni bora kuliko makofi mengi!
@JosephLukumaiLukumai
@JosephLukumaiLukumai 8 ай бұрын
Mh. Yuko sahihi ujawahi shindwa mungu akubariki
@Msafirimzigwa
@Msafirimzigwa Ай бұрын
Mim ninaiman kunawabunge awajielewi na awajui majukum yao
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Mungu aipe Tanzania viongozi wakuwatetea watanzania. Kwa woga tulio nawo viongozi wengi hawafanyi Kazi zawo kwa faida ya watanzania, bali kutetea nafasi zawo na kujishibisha wenyewe. Wabunge walizko bungeni kwa kutetea haki za watanzania kimya. Hawana hata AIBU kupiga męża kumpinga Mpina mutetezi wa watanzania. Hawa jeśli tuwaite vyula viziwi.
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 8 ай бұрын
Asante mbunge kutusemea wafugaji
@ahmadmlima8155
@ahmadmlima8155 Жыл бұрын
Uko vizuri sana Mhe.spika
@robinsonpaschal8550
@robinsonpaschal8550 3 ай бұрын
Spika uko vizuri umemjibu vizuri jenesta muhagama. Jenesta muhagama anatetea kiti na si point. Mawaziri wameisha jijengea tabia ya kuteteana bila kujali matakwa ya inchi
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 9 ай бұрын
Wewe Ndumaro siku zote unapenda kuongerea kujipendekeza na wote ni wapiga makofi tu. Sasa hapa kuna bunge au ni vitu vya ajabu sana. Hata sisi wanainchi hatuoni kama tuna wabunge wakiwa hatuna wawakilishi wo wote. Mpina ndiye peke yake anakumbuka wanainchi waliowapeleka bungeni lakini wengine hamna habari na sisi wanainchi
@Trys6254
@Trys6254 Жыл бұрын
spika kwel kaiva kisawa sawa kwakwel nakubali sana
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 Ай бұрын
Hongera sana Mh.Spika uko vizuri sana.
@juliusmartin1839
@juliusmartin1839 Жыл бұрын
Waziri wa Mali Asili na Utalii alitakiwa kumpa Mbunge taarifa ya hoja...siyo kazi yake kumtetea Waziri Mkuu...waziri Mkuu analindwa na Kanuni.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 9 ай бұрын
Hongera ndugu mbunge Mpina
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Ай бұрын
Hivi kwanini? Mpange kununua tugoma twangozi hamoni kwamba wengine wanaiga kupiga ngoma
@CharlesSomeke-ml7ju
@CharlesSomeke-ml7ju Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@prosperjohn2047
@prosperjohn2047 5 ай бұрын
Ahsante sana muheshiwa spika
@jacksonmwakasege6210
@jacksonmwakasege6210 5 ай бұрын
Mpina wetu,Hongera sana!!!
@ommyregga5829
@ommyregga5829 Жыл бұрын
Safi mpina
@malcomx4067
@malcomx4067 Жыл бұрын
Mpina ndiye mbunge pekee aliyebaki mwenye ideology ya Magifuli ya kuwatetea wananchi.
@gracemima5234
@gracemima5234 Жыл бұрын
Kabisa. Samahani nikisema karibu wabunge wote ni mazuzu. Hawako bungeni kutetea wananchi zaidi ya matumbo yawo
@josephatdunda1937
@josephatdunda1937 Жыл бұрын
Mpina usirudi nyuma, ni wengi mno tunaokuunga mkono
@mpajibinaisa7238
@mpajibinaisa7238 8 ай бұрын
Big up sana kwako spikia kwa ufafanuzi huo nimekuelewa sana
@gustavrwekaza802
@gustavrwekaza802 3 ай бұрын
🎉yaani spika umepewe maua yako katika hila ,Jenesta Mungu anakuona
@sethkivuyo3342
@sethkivuyo3342 9 ай бұрын
Jenista Umepuyanga kipumbavu mno
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 4 ай бұрын
Asante mh Spika kwa kukitendea haki kiti Ongera
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Dhuluma haijengi haifai kudhulumu muogopeni mungu
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 Жыл бұрын
Safi sana spika makini .
@andrew29468
@andrew29468 9 ай бұрын
Safi sanaaa spikaa Umeongea vzr.Lazima kuwatetea wabunge wanaotoa hoja nzr zina na hata km zinamgusa kiongozi ndio demokrasia hiyo tuvumilie
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 Ай бұрын
Asante sana sipika kuto kuwa na upande
@charlesmarco248
@charlesmarco248 3 ай бұрын
Hongera kipenz Cha watu
@simonchristian6319
@simonchristian6319 8 күн бұрын
Shida sana Hawa,hiko ndo walichokiona,hapa mbona rahisi tu,kama rrais kakataza kwa cheo chake alichonacho,na kitu hiko bado kinafanyika basi raisi karuhusu,
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 9 ай бұрын
Kweli kabisa nakuelewa vizuri kwa sababu wabunge wengine wako kama wachawa tu. Kama ninyi mmetuchoka wanainchi ondokeni bungeni tuweke wengine kabisa. Sasa katika hayo tatizo la Mpina amekosea wapi?
@pendokimathi99
@pendokimathi99 9 ай бұрын
Umo ndani kuna wabunge vichaaaa na chawa wa viongozi sasa tunalitumia bunge ujumbe tukutane mtaani 2025 mpina waache wakae wakijua mbabe bado yupo anachoongea mpina yupo sahihiiiiii
@MohamedBlanker-jw9qy
@MohamedBlanker-jw9qy 8 ай бұрын
Hongera spika hongera mpina
@manaxelukama2926
@manaxelukama2926 Ай бұрын
Ni mmoja ya mbuge ambaye wananchi wake wanajivunia kuwa na mbunge imara na mtulivu hongera saana damu ya kisukuma kwa utumishi mzur
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Жыл бұрын
Leo ndio imedhihirisha Wabunge wetu wengi hovyo ila Spika yupo vizuri sana
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Ай бұрын
Mnalindana kisa vyeo mpeni lukusa mpina mpina hongera mungu akulinde
@gracemima5234
@gracemima5234 Жыл бұрын
Tanzani ya Samia imekuwa mateso kwa watu wa chini. Viongozi wetu ikiwa pamoja na wabunge hawawajali kabisa watu wa chini.
@laurentmichael8124
@laurentmichael8124 Ай бұрын
Tulia ni kiongozi bora sana
@ruthsimon5846
@ruthsimon5846 Ай бұрын
Sana!
@WILLIAMCHINA
@WILLIAMCHINA 9 ай бұрын
Mh. spika Wabunge Waelewe Mpina Anazungumza Ukweli , Chaguzi Zetu Kama Waziri , Anajibizana na Mbunge Hoja Aslimia Kubwa Huku Mitaani kila Mtu Anafanya Kazi.
@josephinamkono5183
@josephinamkono5183 Ай бұрын
Sasa kama waziri mkuu anatoa maagizo arafu hayatekerezeki na yeye nimmoja wao Kwenye tatizo ndomana ndomana hayatekelezeki🎉
@sarahkingunza1516
@sarahkingunza1516 Ай бұрын
Ubarikiwe sana spika
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 5 ай бұрын
HONGERA SANA MH.TULIA KWA SASA UNAITENDEA HAKI TAALUMA YAKO HONGERA SANA!!! URAIS WAKO WA DUNIA UNAKUSTAHILI SANA.
@GeraldLembris-jr3yz
@GeraldLembris-jr3yz 5 ай бұрын
Kabisa kaka
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 Ай бұрын
Hongera spika nakufutilia kwa karibu sana hebu wamuache mpinaachngie jamani
@IbrahimMmalugu-gw8jl
@IbrahimMmalugu-gw8jl Күн бұрын
Wewe mama hizo ng'ombe huuzwa kihalali!
@MwalimuD
@MwalimuD 5 ай бұрын
Asante sana Madam Speaker
@user-sk1xp8of6x
@user-sk1xp8of6x Ай бұрын
Akina getere awa ni moja ya kazi mbaya iliofanywa na jpm kuleta wabunge ambao wapo tu,wafugaji wa nchi hii wanatumia Sana!!! Mpina yupo sahihi!!!
@suleimanmnondwa9794
@suleimanmnondwa9794 Ай бұрын
Mpina Mpina Mpina . Mungu yupo na wewe
@ahmadmlima8155
@ahmadmlima8155 Жыл бұрын
Kikubwa kinacho takiwa ni utekelezaji wa Maagizo ya viongozi wa juu Maagizo Yana tolewa Mhe waziri wetu Mkuu. Haya tekelezwi.
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 5 ай бұрын
Kama hayo ni kweli mhe Mpina hakika uko sahihi na Mungu atakulipa.
@emanuelkidali9733
@emanuelkidali9733 29 күн бұрын
Mpina yupo sahihi kabisa
@uwezomayonko5101
@uwezomayonko5101 8 ай бұрын
Huyu mama ni mnafiki sana na habadiliki ninafikiri unafiki huo alizaliwa nao
@user-sr6tr7ko7w
@user-sr6tr7ko7w Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 nicheke mie, eti bunge tukufuu!! Wote wezi watupu.
@emmanuelmodest7457
@emmanuelmodest7457 Ай бұрын
SAFI MPINAAAA
@victorsanga2229
@victorsanga2229 2 ай бұрын
Jenester hana hoja, maelezo ya spika kuhusu mchango wa Mpina yapo sawa.
@juliuszakayo6771
@juliuszakayo6771 3 күн бұрын
Mpina hapo hakuna wabunge wapo maga tu😁😁
@ManaseJubilate-kk2gz
@ManaseJubilate-kk2gz Жыл бұрын
Bunge fuata upepo, so sad kwa kweli 😮,hebu tuwe wakweli wananchi waliopo huku field ndo tunajua ukweli wa mambo,hv tuna mawaziri na wabunge wasiyojua kupambanua mambo kwa kiasi hiki!?
@user-gu3yc1gw3v
@user-gu3yc1gw3v 5 ай бұрын
Spika tulia maua yako 🎉 unajua mpina si mwamini sana lakini spika umetenda haki safi sana hongera
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 8 ай бұрын
Watu wengine wapo kama watu sijui kwa nini hao watu wapo
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 5 ай бұрын
Jenista kikwazo sana. Kuna mawaziri shida na mizigo.
@KasangaKalanga-vo6od
@KasangaKalanga-vo6od Жыл бұрын
Mm nawashangaa wabunge wa Tanzania wanashabikia ujinga
@user-kq5si5pv9n
@user-kq5si5pv9n 9 күн бұрын
Hamjitambui , mpina oyeee
@eliasnshashi3196
@eliasnshashi3196 19 күн бұрын
Unatetea hoja hadi unaona aibu mwenyewe mbadidike wabunge wa namnahiyo hamtufai katika taifa letu mpina upo sawa
@timothalex3249
@timothalex3249 Жыл бұрын
Spika anaakili sana
@williamnyakasi2323
@williamnyakasi2323 Ай бұрын
Inasikitisha sana
@abdulismail6072
@abdulismail6072 5 ай бұрын
Moina ❤
@user-xi2mf4xh7r
@user-xi2mf4xh7r Ай бұрын
Mpina yuko sawa kabisa,kilichopo ni Waziri mkuu kufuatilia ni nani asiye tii tamko lake?
@diomedesmwesiga4007
@diomedesmwesiga4007 Жыл бұрын
Spika wa bunge wazaz wako washukuriwe maana ela ya shule waliitoa kwa jasho lao sio za kuchota kama wengneo swaaa
@kudratkadawi6881
@kudratkadawi6881 Жыл бұрын
Kabisaaa
@luhanyamipawantobi6888
@luhanyamipawantobi6888 Жыл бұрын
Yaan natamani kuwa namtoto wahivi mimi
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 Ай бұрын
Spika uko vizuri
@ngomaagustino5826
@ngomaagustino5826 Жыл бұрын
Wanapiga makofi wanataka hawaoni jinsi wananchi wanaumizwa ,na askari wa tanapa wanaopiga makofi wapokwa masilahi Yao na kupiga makofi wakitaka uteuzi
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Huyu ndiye Mbunge wa kweli kweli, wengi ni vilaza, Hawajami shida za wananchi kabisa. Mpina watanzania wakenya haki kwa wote wanakupenda. Endelea kutetea Tanzania na watu wake.
@najimmakongoro8024
@najimmakongoro8024 Жыл бұрын
Spika 🤝🙌🏽
@Ibrahim-p7b2y
@Ibrahim-p7b2y 2 күн бұрын
Asaiv hatuna bunge tunakikos cha ufisad kiukwel wachache sana ambao wapo na wanannch walio weng niwachumia tumbo
@emmanuelshija9402
@emmanuelshija9402 Ай бұрын
mpina na wanyama mtamkoma waulize wasukuma wa kwa joseph nyavu zao😂😂😂😂
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Ай бұрын
Hii tabia ya wabunge kulindana bungeni ni mbaya sana, hampendi kusikia ukweli, wanaoumia ni wananchi nyinyi wabunge mnakula kodi zetu halafu mnashindwa kuwa wazalendo kweli 😡😡😡
@jofreysaimoni4964
@jofreysaimoni4964 6 ай бұрын
Mpina upo sahihi pamoja namachawa kuwa wemgi
@imanuelmalya1511
@imanuelmalya1511 Ай бұрын
Mpina anasema uchungu wa watanzania.
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 9 ай бұрын
Mnapiga makofi watu wanaumia na mali zao nadhani kuna uwezo wa kiutendaji na uwezo wa kufikiri kwa pamoja tembeleeni maeneo na wananchi husika ndio muongee
@ChristerShao
@ChristerShao 6 ай бұрын
Tunahitaji wabunge wanaotetea kusemea wananchi magumu wanayoyapitia sio wabunge wapiga makofi.
@letustalk.tuongee2186
@letustalk.tuongee2186 Жыл бұрын
Mawaziri hawezi kujibu maswali. Wabunge wanapiga makofi kwa kila jambo yaan hawaeleweki lipj wanalipigania lipi wanahitaji. Hatuna bunge. It is just a meeting of a few people making money for nothing . It is shameful.
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t Ай бұрын
Yaani nchi hii ni shida hilo ndo Bunge letu
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 Жыл бұрын
Tanzania tuna wabunge wawili tu mpina na kishimba tu
@azaellivingston7415
@azaellivingston7415 Жыл бұрын
dr Msukuma na Gwajima umewaweka wapi?
@barbimeley5569
@barbimeley5569 27 күн бұрын
Jamani mpeni aendelee