KAULI YA MBOWE BAADA YA KUACHIWA POLISI JANA USIKU

  Рет қаралды 7,705

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 56
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 3 күн бұрын
Mimi naomba police tuachini CCM tushindane nao kwahoja na kwenye sanduku lakula chademaa sowa halifuu naomba tendeni haki
@JamesSichimata
@JamesSichimata 3 күн бұрын
Ilitakiwa mjue mwenyekiti usijue Ratiba duh
@nujakaluhende9428
@nujakaluhende9428 3 күн бұрын
Kila siku unakamatiwa Songwe ili wakupe kik
@hamadimgaza9351
@hamadimgaza9351 3 күн бұрын
Kuna dalili jeshi hatunalo
@BuhetySharia
@BuhetySharia 3 күн бұрын
Mbona lilikuepo pale k.koo
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 3 күн бұрын
Duu ukitafuta watu wanaopenda hekaheka ni hawa pamoja na vipigo mara police ila wamo tu ningekuwa mimi ningeachana na siasa kabisa hongera yao
@TimotheoSimtowe
@TimotheoSimtowe 3 күн бұрын
Lazima ujue hawa ni wanaume sio wanawake km ww
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 3 күн бұрын
@TimotheoSimtowe hata kama wanaume wanapaswa pia miili yao waihurumie kwa sababu wanachokipambania sidhani kama watakipata zaidi ya kuumizwa tu
@AholeLifilima
@AholeLifilima 3 күн бұрын
Mwanamke ndio anaeongoza nchi alie kuleta duniani ni mwanamke pia heshimu wanawake​@@TimotheoSimtowe
@MaulidihamisiHamisi
@MaulidihamisiHamisi 3 күн бұрын
Sasa hawa wakiacha nani ataikosoa selikali
@EmmanuelMasanja-dy1fc
@EmmanuelMasanja-dy1fc 3 күн бұрын
Embu jaribu kusoma iyo comment yako tena..then utagundua kwamba wewe una shida ya akili... 🤔
@gaspar7160
@gaspar7160 3 күн бұрын
Jee hakuna mazingira rafiki kwa wapinzani kushiriki kwenye uchaguzi?
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 3 күн бұрын
Kupiga kura ni haki ya sisi RAIA.
@BuhetySharia
@BuhetySharia 3 күн бұрын
Si ndo hayo
@AnnaMarthias
@AnnaMarthias 3 күн бұрын
mbona wana kuoneya sana
@stephenmsanzu9850
@stephenmsanzu9850 3 күн бұрын
Wewe wacha urongo because mimi huwa nakusikiza sana ,but umejaza urongo sana
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 күн бұрын
Mkundu
@storytime1204
@storytime1204 3 күн бұрын
Kuandika hujui 😂😂😂urongo ndio nini? au mtu wa kilwa?😂😂😂😂
@MarryMwamwezi
@MarryMwamwezi 3 күн бұрын
Mbowe ni muongo. Mimi nilikuwepo mlowo. Kakuponza mdude. Ilitakiwa mpite nyinyi mkaanza mkutano wakati haikuwa ratiba yenu. Acheni uhuni. Tena mdude wangepiga maana ndo kasababisha. Nilikuwepo
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 3 күн бұрын
Kwaio utaenda mahakamani kutoa ushahidi wako?
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 3 күн бұрын
Wewe ni mpumbavu kuna shelia ya kupiga nchi hii hao police wanatumia shelia gani
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 3 күн бұрын
Jakaya Kikwete hakutawala na polisi,ni rais genius sana.
@IbrahimMwakasembe-mu5fv
@IbrahimMwakasembe-mu5fv 3 күн бұрын
Samahani upo upande wa haki au umlevi/chawa wa ccm. Kama upo upande wa haki nieleze bila kuwa muhemko, naomba kujua ikoje, maana umekili kuwa ulikuepo
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 күн бұрын
Kafilwe ccm
@laurentndowa2304
@laurentndowa2304 3 күн бұрын
Ni Kwanini chadema wakifanya mikutano wanakamatwa na kufanyiwa vurugu? Sio Fea
@MhangwaLIMBU
@MhangwaLIMBU 3 күн бұрын
Mungu ibariki Tanzania ila ...
@noelsanga6853
@noelsanga6853 2 күн бұрын
Baraka hakuna kwenye dhuluma
@suleimanseif3290
@suleimanseif3290 3 күн бұрын
Pamaba wajinga watakuona huna akili ila wenye akili tunakuelewa sana ukutaka haki lazima utakuta nayo majanga na hata mimi nutajiunga na wewe mana kwa sasa sina chama
@AbelLazaro-y4p
@AbelLazaro-y4p 3 күн бұрын
Uyu mbowe ua asikii kabsaa,ana moyo mungum kwelii, Poole ake
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 3 күн бұрын
Jmaa yaan siasa iko moyoni😅
@peterjosephat6685
@peterjosephat6685 3 күн бұрын
Asikii nii kwani anakosa gani kufanya mikitano ni kosa? Wewe ni chawa au hujitambui
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 3 күн бұрын
Huyu baba namchukia
@MarryMwamwezi
@MarryMwamwezi 3 күн бұрын
Wameishiwa sera
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 3 күн бұрын
Kweli kabisa daah yani mzee huyu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 күн бұрын
Huyu yeye mwenyewe hana demokrasia chama chake Ila kila siku yeye ndio mwenyewe kulalamika
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 3 күн бұрын
Umeonaeeeeh
@yumna128
@yumna128 3 күн бұрын
Unamchukia mtu akujuwi na wala una msaada naye tafuta hela uwache kuchuki watu huo ni umaskini wa hakili
Can You Find Hulk's True Love? Real vs Fake Girlfriend Challenge | Roblox 3D
00:24
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 16 МЛН
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 3,5 МЛН
Dato Ingat Dato Malaikat Ke, Padu Ayob Khan SOUND Golongan Atasan
16:45
Новости дня | 26 ноября - вечерний выпуск
11:40
Euronews по-русски
Рет қаралды 51 М.
Lillian Mwasha: SIFA ZA KUOA WAKE WA TATU
13:01
Lillian Mwasha Tv
Рет қаралды 40 М.