UKWELI WOTE, KAJALA KURUDIANA NA HARMONIZE, LOKOLE AFUNGUKA KILA KITU

  Рет қаралды 55,243

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 153
@eprincekenya
@eprincekenya 10 сағат бұрын
Kweli Bila Dida nomaaa 😢😢😢 continue RIP dada wetu😢
@zabibusilayo9877
@zabibusilayo9877 5 сағат бұрын
Hiyo nafasi angewekwa Maimatha au Suzi bale aisee pangechangamka kinomanoma Aisee...
@NEEMALUGONO-p6j
@NEEMALUGONO-p6j 20 сағат бұрын
Jaman Suzy balee Tu Aje pia hapo awe mtangazaji muwe wanne labda
@Faradankya
@Faradankya 10 сағат бұрын
Daimond amuajir maimatha tu kwakweli shamsham imepow
@lydi791
@lydi791 2 сағат бұрын
Daa Masham Sham Imepoa Mungu muondoleye azabu zakaburini Dida wetuu
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 23 сағат бұрын
Dah! Tusichukuliane poa kwenye hii dunia ukiondoka itajulikana thamani yako ukiangalia hiyo studio leo utajua thamani ya aliye kuwepo now iko tofauti san
@daudpius130
@daudpius130 19 сағат бұрын
Acha ujinga haujalazimishwa kuskiliza wasafi kwanini unatoa matusi bwa wewe tuache tuenjoy na wcb
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 19 сағат бұрын
​@@daudpius130sasa hapo kipi kibaya alicho ongea su tusi lipi alilotoa wakati ni kweli kuna utofauti na sio hapo tu mahala popote mnapokua mko na mwenzenu 1 kaondoka lazima kutapwaya kwa siku za mwanzo mwanzo mpaka mje mchanganye.
@WahuBoth
@WahuBoth 19 сағат бұрын
​@@janerouhassanjanerou7933ya ushabiki mwingine unajikuta ad kumualibia shabiki mwenyewe
@WahuBoth
@WahuBoth 19 сағат бұрын
​@@daudpius130we fala senge chukua matusi Sasa na ushabk wako wa kifala kusoma ujui ku comment ujinga tu Sasa alicho ongea apo kibaya kip nyoo njaambaya kuku we
@CikeTanzania
@CikeTanzania 13 сағат бұрын
Binadamu waajabu sana katukana wapi apo ni sehem yoyote akiondoka mmoja wenu tofauti inaonekana.
@MeshackLaizer-sm2zw
@MeshackLaizer-sm2zw Күн бұрын
Dida tutamkumbuka sanaà dah
@JacklineMalau
@JacklineMalau 20 сағат бұрын
Kelele hamna saiv studio dida alikuwa ananogesha
@josefjr2933
@josefjr2933 22 сағат бұрын
😢😢😢 ata nikumiss kipenzi there is nothing 😢😢😢 didah sitakuona tena ad nakufa I'm so sad😢😢😢
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 20 сағат бұрын
Ila kama kajala karudi kwa hamo bali atakua fara sana
@BizabishakaZuhura
@BizabishakaZuhura Күн бұрын
Ila Juma usije ukazalilika mbeleni 😂😂😂
@HalimaMichael-x6x
@HalimaMichael-x6x 22 сағат бұрын
Hapo anafaa akae suzy bale tuuu
@WISSAMC
@WISSAMC 8 сағат бұрын
Halima suzy bale tena wapi?
@ElizabethNgwelo
@ElizabethNgwelo Күн бұрын
Kajala ni mwanamke mwenye nyota yake mjini apewe mitano tena ❤❤
@annajohn2488
@annajohn2488 21 сағат бұрын
Nyota ipi kajala alirudishwa mjini na harmonize na alipoachwa kapotea
@McT-m1m
@McT-m1m 11 сағат бұрын
Na sasa hivi ndo tena anaongelewa baada ya hamo kuachana nampenzi wake
@TatuHaji-k8s
@TatuHaji-k8s 10 сағат бұрын
Jamni wasafi tunakuombeni muokeni suzy bale
@issashabani-c7r
@issashabani-c7r 22 сағат бұрын
Sisi tuache kuskiliza crown inayo fanya vitu vya maana tuende tukaskilize redio yenye mambo ya kisenge senge kama haya kuma la mama yake 😮
@ebbychipa8010
@ebbychipa8010 22 сағат бұрын
Shobo zimekuponz umefuata nn uku
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 21 сағат бұрын
Kuma la Mama yako wewe inAnuka utoko
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 21 сағат бұрын
Katombwe uko mimi iyo redio ata sijawahi sikiliza ata kukoment uko nimwiko 😅😅😅😅uku umefata nini
@monirangerera7155
@monirangerera7155 14 сағат бұрын
Kasikilize wewe na familia Yako iyo crown sijuwi cauni
@نجاةالعبري
@نجاةالعبري 13 сағат бұрын
Sa kwan ume ambiw usikilz
@nancymorenje3880
@nancymorenje3880 2 сағат бұрын
Mapenzi sio pesa ndugu yangu
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb 23 сағат бұрын
Ww toka hapo jaman dida😢😢😢😢
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Күн бұрын
Pameanza kunoga sasa r i.p dida😢😢😢😢
@storytownTv
@storytownTv 23 сағат бұрын
Yaan mwanaume akatafuta mtaji wa mabilio i, akanunua assets na vifaa vya gharama afu akaajiri watu wa ovyo na akawapa mishahara ili kujadili upumbavu usio na msaada kwenye jamii....😢
@AnuaryShedafa
@AnuaryShedafa Күн бұрын
Rip dida😢
@omanmct135
@omanmct135 Күн бұрын
Juma unadhambi mugope aaalllah kusema sana
@lewispilipili1115
@lewispilipili1115 21 сағат бұрын
They are already together 😊
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg Күн бұрын
Juma chawa wa mondi awezi mpenda mjeshiii
@Mimy_keys
@Mimy_keys Күн бұрын
Ata Havinogi daah! 😢 R.I.P Didah 💔😢
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Күн бұрын
Ndo kasha ondoka harud huyo 😢
@ThaBroski
@ThaBroski Күн бұрын
😢😢😢😢😢
@lameckbuya7569
@lameckbuya7569 5 сағат бұрын
Daaah didA naona pengo
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Күн бұрын
😂😂😂juma wakisha rudiana ananza kuchamba mapenzi ajaingiliwi atakama mmbea weka hakiba
@SalumMusafiri
@SalumMusafiri 20 сағат бұрын
Huyu lukole usimulaumu hakusoma ndio mana anataja dollar 2000 kwa siku utazani anaongeleya shilingi zao za kitanzania wacheza soccer wenye kwenye league za ulaya wegi hawashiki pesa hizo kwa siku Leo unaongeleya mtu wenye hana degree ama kipaji chochote kupokeya 2000dollars per day .
@LuckyTemu
@LuckyTemu 18 сағат бұрын
Euro € ipo juu kuliko dollar $ usikurpke 🙌
@EmmaDrizeJuice
@EmmaDrizeJuice 17 сағат бұрын
Huyo Dada mpk anaboa jmn
@maernov4257
@maernov4257 12 сағат бұрын
Nenda ww kama ni rahisi
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 8 сағат бұрын
​@@maernov4257😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂🇨🇳
@Michealfarah-n1w
@Michealfarah-n1w Күн бұрын
Bado hakuja changamka,😢
@MichelleMobasa
@MichelleMobasa 11 сағат бұрын
Khadija na zainabu wa in love again vtu tuwili tofautii🌝
@mamakekhubeiby4206
@mamakekhubeiby4206 Күн бұрын
Studio ime poa ALLAH IRHAM DIDA
@RayChausa
@RayChausa 12 сағат бұрын
Ameen 😢😢
@HalimaHalimaomary
@HalimaHalimaomary 12 сағат бұрын
Alaahum Amiiyn 🤲
@RoseMadatta
@RoseMadatta 10 сағат бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@TobyChachas-qq7kz
@TobyChachas-qq7kz 7 сағат бұрын
Kwahyo kajala anaweza kuwa anapiga show time
@janethmutoka
@janethmutoka 19 сағат бұрын
Sijawah kukoment ila kwa dollar 2000 hapana🤣😂
@Qayler232
@Qayler232 8 сағат бұрын
Katoka khadija kaingia khadija😢
@WISSAMC
@WISSAMC 8 сағат бұрын
Ila sio kama mtoto wa shaibu alikuwa anabalaa lake
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 9 сағат бұрын
Mwekeji Bi Chau hapo au Suzibale atafiti hapo,maana huyo dada amepoa sana.
@mzungutz5585
@mzungutz5585 22 сағат бұрын
Mtafuteni @warda makongwa labda atajitahd kupachangamsha lkn sizan ila jaribunii😊
@SabrinaJuma-oe3on
@SabrinaJuma-oe3on 21 сағат бұрын
Wale alikuwa rafikiyake kwel dida na walda
@fatumasuleymanashurambinda6880
@fatumasuleymanashurambinda6880 22 сағат бұрын
Nimefura😊mmerudi tena kwafuraha baada ya kifo cha dida
@ChristinaMlolere
@ChristinaMlolere 12 сағат бұрын
Dida angenogesha hii story jamani pumzika kwa amani Dida
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu 9 сағат бұрын
Khadija ni mdogo wa nandy au
@uwimana6533
@uwimana6533 19 сағат бұрын
Huyu dada hana mvuto wakuongea mwenye kipindi chake mungu amueke mahala pema 😭😭
@RayChausa
@RayChausa 12 сағат бұрын
Afaa awe kwenye refresh hii yafaa mtu mcheshi sana
@McT-m1m
@McT-m1m 11 сағат бұрын
Acheni watu wafanye kazi
@MaryMangowi
@MaryMangowi 8 сағат бұрын
Kafanye wew sas
@RoseShakanya-x8s
@RoseShakanya-x8s 9 сағат бұрын
Muwekeni suzi hapo,,,kipindi kitaenda.mpigine msasa!! Mambo yatakuwa poa kabisa,huyo mtoeni
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 9 сағат бұрын
Babu tale na Kamati Yako tunakuomba kipindi hicho Dida awekwe mtu mchangamfu, Kama Suzi Bale hivi huyo dada amepoa sana.
@Gersah
@Gersah 11 сағат бұрын
R.I.P dida, mleten hata zai kijiwenongwa maana,
@khamissaid5525
@khamissaid5525 19 сағат бұрын
Duuhhh tushusheniii jamaniiiii uyowazirii hapati iyo hela
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 22 сағат бұрын
Jamani didah
@ShukuJimmy
@ShukuJimmy 10 сағат бұрын
Weka suzy. Apo. Shughuliii imeisha.
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 4 сағат бұрын
Kuziba pengo hapo aje suzy bale au au maimatha
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 23 сағат бұрын
Macho yetu ngoja tusubiri😂😂
@halimahassaniiyami3485
@halimahassaniiyami3485 11 сағат бұрын
Kumepoa bila dida 😭
@kleenheart
@kleenheart Күн бұрын
Ila juma😂😂😂😂
@pascaltesha7329
@pascaltesha7329 8 сағат бұрын
Mwamba kaikamia maada balaaa kasimamia kucha kabisa 😂
@HabibaJr-g5d
@HabibaJr-g5d 3 сағат бұрын
We dada haujui kutangaza yaan hauwez saut kuuubwa kama filimbi hapo hapakufai wekeni mtu wa maana nyie wasaf msitizingue kabisaaa😢hapajanoga jmn😮 uongo mbaya kutangaza hauwez tafta mamb ya kifany we kibwatubwatu haujaziba pengo ng'ooooooooooooooo
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu 9 сағат бұрын
Samahan huyo dada anafanana na nandy jamn hadi sauti
@LeahKaranja-ps6yp
@LeahKaranja-ps6yp 7 сағат бұрын
😢😢dida rip chakweli
@AgripinaMukura
@AgripinaMukura 11 сағат бұрын
Dola elfi mbili ashinda raisi???😊😊😊😊
@assumanimussa
@assumanimussa 19 сағат бұрын
Nazani ata kajala kweny yupo anacheka kwa uongo wa juma
@MinahDubwa-s4c
@MinahDubwa-s4c 22 сағат бұрын
Juma na mwwnzk wanakazi kubwa kuushinda upwek uliopo miyoni mwao na kutaka kutuonesh wap saw ila kiukwel hali wanayoipitia xx km ujawai kupoteza mtu wa thamani maishani mwako uwz waelew wap kkwwny kipnd gan
@NadjmaOsmani
@NadjmaOsmani Күн бұрын
Juma juma utazalilika wewe😂😂
@BekaBakari-i9v
@BekaBakari-i9v 6 сағат бұрын
Didaaaaaaaaa
@rechomwaigaga2476
@rechomwaigaga2476 11 сағат бұрын
Zay
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 Күн бұрын
Huyo Juma Ana Mwenzake Mwinjaku..???
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Күн бұрын
Juma karudi kumbe sijaingia live leo😂
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Күн бұрын
Ww nae ovyoo hujajifunza bdo kupitia kifo Cha dida,badilika mrudie Mungu kifo kipo acha uongo mbwa ww asha lokole
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 20 сағат бұрын
WATU WAJIFUNZE UKISHAZIKWA SHUGHULI ZINGINE LAZMA ZITAENDELEA,,,IBADA NDO KILA KITU KWAKO.
@sheilacruz6458
@sheilacruz6458 Күн бұрын
Wah ila hiki kipindi hakinogi bila dida Rip
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Күн бұрын
Ndo kasha ondoka harud huyo
@ThaBroski
@ThaBroski Күн бұрын
😢😢😢😢
@MbalasaJRMwakabalile
@MbalasaJRMwakabalile 22 сағат бұрын
Wasafi mnazingua bhnaa😢😢😢
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 10 сағат бұрын
Kwamana hiyo kajala analipwa. Kuliko mshahara wa raisi? Maneno yako ya uongo. Ujiangalie. Chawa wewe.
@DullahMayaula.
@DullahMayaula. 22 сағат бұрын
Hii wasaf leo naacha kufuatilia huyo shoga anaongea uchoko sana
@JacklineMalau
@JacklineMalau 20 сағат бұрын
Ila juma mwanzo uliumbuka iviv umesahau
@WagulimbaOGonline
@WagulimbaOGonline 36 минут бұрын
Sijui unaamgalia video hii mwaka gani lakini jua kwamba mimi pia niliwahi kuitazama video hii mwaka 2024 kwasasa sijui kama nipo hai au nimekufa Kila la kheri kwako msoma coment god bless you
@ticia950
@ticia950 21 сағат бұрын
KITI CHA DIDA JAMANI 😢
@AsiaShaban-zz4yr
@AsiaShaban-zz4yr 23 сағат бұрын
Sasa huo ni upendo au anajiuza na nyooo hujielewi wew ndemu juma
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 23 сағат бұрын
😂😂
@msusu1994
@msusu1994 12 сағат бұрын
Hamna content nyie
@musiccaentertainment100k8
@musiccaentertainment100k8 Күн бұрын
Mbona shoga anahangaika na mahusiano ya mwanaume mwenzake
@selemankishema5780
@selemankishema5780 21 сағат бұрын
Hawa jamaa sindio walikuwa wanalia saana msiba wa dida? Leo ndio kwanza wanapambia maovu jamaa hatari saana hii misiba inakuwa haina manufaa kabisa kwetu wala hakuna mawaidha
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 21 сағат бұрын
Unataka walie kila siku ujinga mzigo
@selemankishema5780
@selemankishema5780 20 сағат бұрын
@@peteremmanuelymatwimatwiem3258 sio walie wabadilike na kuogopa juu wanayoyafanya na wajue Kuna kufa
@JosephinaalexSungwe
@JosephinaalexSungwe Күн бұрын
Jumaaaa achawee
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 10 сағат бұрын
Juma. Punguza uongo wewe umuislam Ushasahau. Kama kuna kufa wewe. Pumba?
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 18 сағат бұрын
Kila siku analipwa dollars 200$ wewe muongo huyo tajiri yeye anaingiza pesa ngapi kWa siku wewe acha uongo
@GladnessSamson-xk2ii
@GladnessSamson-xk2ii 22 сағат бұрын
Huyo ndo mbadala wa Dida😢
@simbahussein4416
@simbahussein4416 9 сағат бұрын
mshezi juma lokole hivi wewe una juwa dollar pumbavu uchawa wakijinga .
@timothyberege2594
@timothyberege2594 20 сағат бұрын
$2000 dah Bongo sihami
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 20 сағат бұрын
Loooooo juma dolar200
@salama1113
@salama1113 22 сағат бұрын
Kipindi kumepwaya wote dam zimelala
@kibafteshadau222
@kibafteshadau222 12 сағат бұрын
Wewe unamjua KONDE BOY?! maneno yako yatakutumbukia nyong'0
@adambendera8845
@adambendera8845 20 сағат бұрын
Mleteni dinna marios Wasafi chap alafu mpeni hiki kipindi muone
@ShakiraHassan-rx8yu
@ShakiraHassan-rx8yu 19 сағат бұрын
😂😂😂yuko BBC yule
@FelisterMbithe-n9e
@FelisterMbithe-n9e 23 сағат бұрын
😂😂😂dah mapenzi wewe
@Bmsecret
@Bmsecret Күн бұрын
Wamchukue mauzinde
@agneslimo8750
@agneslimo8750 20 сағат бұрын
Mmepata pigo hapo studio dah dida jamani na Ile sauti yake ya vichambo
@aishaally6602
@aishaally6602 23 сағат бұрын
Unaijua dollar elfumbili unaijua wewe
@zenajustus5731
@zenajustus5731 Күн бұрын
Itakua biashara haramu hiyo
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 21 сағат бұрын
Hata uvae mawani ya ukubwa gan pengo Ra dida ariwezi kuzibinka
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 21 сағат бұрын
Sasa Unataka wakamfufue au unahisi kipindi hakitakuepo
@belitomanuel6240
@belitomanuel6240 Күн бұрын
Lokole
@TwigaFashions
@TwigaFashions Күн бұрын
Juma wewe . Do you know what 2000 usd is
@criminalminds7723
@criminalminds7723 Күн бұрын
Mushamsahau Dida?
@NadyaSamson
@NadyaSamson Күн бұрын
Maisha lazima yaendelee
@criminalminds7723
@criminalminds7723 Күн бұрын
@@NadyaSamson lakini sio uyaendeleze na ubaya
@nanaritho6850
@nanaritho6850 23 сағат бұрын
Dolla 2000 ya nyoko!??
@victoriajoachim7271
@victoriajoachim7271 21 сағат бұрын
Nyoko kidogo sasa huyu shoga ana shida sana dollar elfu mbili anajua in tz shs ni how much kweli kenge huyu anawashwa mkundu huyu fala.
@Nickvenas
@Nickvenas 22 сағат бұрын
Tunakumic dida
@agnessherman7524
@agnessherman7524 10 сағат бұрын
Suzi jaman are apo
@nancymorenje3880
@nancymorenje3880 2 сағат бұрын
Hakuna anaelipwa kwa masaa wewe
@JosephinaalexSungwe
@JosephinaalexSungwe Күн бұрын
Dida ww Yan hakujanoga
SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”
8:51
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 49 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 57 МЛН