🔴LIVE:ABBY CHAMS NDANI LAVIDAVI I YA WASAFI FM - 15/11/2024.
Пікірлер: 44
@Mb0g0z2 ай бұрын
Hii ndo english sasa thank you Abby
@stellahwilfred57622 ай бұрын
Katoto kangu nakupenda mno ❤❤
@Matrical-v6l21 күн бұрын
I didn't know this lady has brains. Harmonise go go snd marry her, you will have a better family 👪 in future
@carolsayo64092 ай бұрын
Her English is goals, her Swahili cracks me up
@DeborahSichone-b9c2 ай бұрын
Hapa kabinti ni smart sana
@walizanasiri49632 ай бұрын
Ila watanzania sasa diva angeongea kingeleza tungejuaje ayo maswali ? uyo diva kasoma na iyo kazi yake kasomea ndo maana amekuja umo amejua uyo vingeleza vingi na yeye angeongea tusingeelewana apa😂😂😂❤❤❤
@aairraahseif56482 ай бұрын
Watu nimazamwamwa, utadhani mashindano? 😂
@hellendaniel38092 ай бұрын
Yaan ushamba tu wanavyo msema dada wawatu
@aairraahseif56482 ай бұрын
@hellendaniel3809 ndo maana wengi Tz wako nyuma kimaendeleo, umbea tuu,washamba sana, wanamchukia dada wa watu utadhani wao wanaweza,wivu tu wakijinga
@aairraahseif56482 ай бұрын
@@walizanasiri4963 wivu wao tu kwa Diva, hawa kingine! Utadhani wao waweza Kila kitu
@KhamisiKhasiani2 ай бұрын
ur good ❤
@aairraahseif56482 ай бұрын
Diva umeuliza kuhusu kusainiwa wasafi,lkn nadhani abby anajua thamani yake zaidi na kujiprotecte zaidi yeye,kuliko mziki wake!kuja wasafi ni kushusha thamani ya utu wake, anaweza kuwa juu kimziki lkn anajua atatumika kimwili kama Zuchu, ni msichana smart sana levels zake hazilingani na manegemant nzima ya wasafi acha tu awe yeye
@KOKOCROTCHETS2 ай бұрын
Kama diva mbana pua angeongea kama huyu dada dunia ingesimama😂😂😂😂😂
@estersamweli142911 күн бұрын
Ata kama sielewi kinge lkn nakuelewa hivyo hivyo
@Jassmin-media-official2 ай бұрын
Haka kasichana kako smart for real atakae muoa atafaidi because kako nahakili
@frankngoloka54162 ай бұрын
Hakuna kitu hapo kama gogogo
@aairraahseif56482 ай бұрын
Gogogo ndo nini?naomba kujua tafadhali
@SONGOMDOGO2 ай бұрын
Kipindi pendwa 💯🎉
@FantanaIsmail2 ай бұрын
Sasa mlitaka diva na yeye aongee English mwanzo mwisho mgeelewa kutu jamani 😢
@aairraahseif56482 ай бұрын
Eti utadhani wako hapo kushindana kuongea English, watu 🤔
@ColletteNyashinde14 күн бұрын
Ki
@clarapiapalingo2 ай бұрын
Diva anauliza maswali kwa heshimaaa😅
@michelinemapendo66522 ай бұрын
Kwasababu familly yake ipohapo😂😂😂❤❤
@aairraahseif56482 ай бұрын
hajawahi kudhihaki watu ktk kipindi chake!na maswali lazima yakitakiwa yaulizwa yaulizwe ni kawaida
@hahmadhabibu20762 ай бұрын
Léo diva full swahili lol
@willz10172 ай бұрын
😂😂 ndo tabia yake akikutana na mtu anaejua!! Shauzi mingi na lugha anaunga unga diva bwana😅
@skeeteranderson3752 ай бұрын
Diva ndio aone binti mdogo alivyo smart kujibu na kuongea sio yy na utu uzima wake anaongeaga pumba na kutukana watu kwa comments
@aairraahseif56482 ай бұрын
Sasa ongelea in general, Mbona wamtaja Diva,mbona wapo wengi tu
@Mutubure2 ай бұрын
Mnatuona kama matako yenu😂
@VinnyVinny-e2v20 күн бұрын
Kwani uyu .sio mtanzania
@skeeteranderson3752 ай бұрын
Hapo angekuwa Diva angeasma natongozwa na dunia mzma na akili zake kisoda
@johel8822 ай бұрын
my opinion doesnt matter but i gotta give it to you, Diva we ni mshamba kichizi. just be real bruv
@Mb0g0z2 ай бұрын
Abby wetu TYLA wetu wa TZZZZZZZZZZZZZZZZZZ
@Mb0g0z2 ай бұрын
gigy akisikia abby bikiraaaaaaaaa atabwataaaaaaaaroho itamuuma hatari
@TEDY-MTEMY242 ай бұрын
😂😂😂😂
@adelinaamosi94372 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ZuberiAlly-j9i2 ай бұрын
Nini
@SaadaOga2 ай бұрын
Penda sana
@ShukuraniNdimbo2 ай бұрын
Diva mbona leo kiswahili kingi,umekutana na mwingereza wewe hapo umfikiii hata roboooo😂😂😂
@DeborahSichone-b9c2 ай бұрын
Kapowa
@aairraahseif56482 ай бұрын
Kwani yuko hapo kushindana?
@DeborahSichone-b9c2 ай бұрын
Diva kakutana na kingereza chenyewe sasa kawa mpole