Wow kweli baba levo ni msheke shaji mzuri familia ya wasafi mzuri sana muhendelee kupenda kweli na mimi na wapenda sana
@ghostelmendez72064 жыл бұрын
Baba levo wewe haki ya mungu nimecheka mpaka tumbo linauma like kwa baba levo
@achottomazonge86394 жыл бұрын
Mm Naomba no ya baba levo jamani😂😂 yani kila siku lzm Nimtizame baba Levo unatumaliza mbavi 😂😂😂
@maadamray92824 жыл бұрын
Sio ww tu yani mm hapa nimecheka hali tumbo linauma wacho yamekua mekundu
@emmaculathaseif88874 жыл бұрын
Wanaoangalia hii sababu ya kumsikia baba levo like mia
@simoncords11734 жыл бұрын
Nilichogundua kwa baba level ni mtu sahihi sana wasafi! Hakuna mtu kama yeye! Ni talented! Kwanza mic zote kwake! Fikilia kama angekuwa hayupo hapo!
@ifrahali87074 жыл бұрын
Interview hatariiiii babalevo kiboko lao.wasafi 4 life.always watching wasafi media from Johannesburg. Full of love kwa wote
@masongaofficial4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKazq6VrjL16a6M
@lareineminah13534 жыл бұрын
Big dady anajuwa dans👌🏾👌🏾 ame ongea vizuriii sanaaa
@eliaelia99284 жыл бұрын
Noma Sana baba levo tupo kigoma kasulu town tunakucheki" Kama naww uko kigoma gonga #like
@kobabavaluekobabavalu75883 жыл бұрын
Noma Sana uyu home boy
@bakarimngazija66724 жыл бұрын
Wasafi mmepata wasaa wa kuwa pamoja na adhabu kwenu imefunguwa njia na kuna viongozi hawakubaliani na ukweli kuwa hata viongozi wanakosea mimi nakupongezeni kwa kujuwa kuwa katika kazi zenu bila ya shaka kuna watu hawapeni kiwango mlichokifikia wasafi mko vizuri leo mko kambini lakini na wengi wenu ni washauri ambao ni hazina kwa Taifa. Kila mwenye kutafakari hataacha kuujuwa ukweli na kuujuwa wasafi kuwa kambini ni jumla ya kuweka nguvu yenu pamoja. Wasafi ni kituo bora zaidi Tanzania ya leo.
@fidelslick20864 жыл бұрын
Baba Levo is the Man....Greetings from Vancouver B.c
@chidistar19444 жыл бұрын
Daaaa babalevoo ata akiwa anaropoka wamuachee wamsamehe mana anachekesha sanaaa 🤣🤣🤣🤣
@zulekhaally35244 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂🙌Yan ww mtu anaekuchukia ni mchaw kwakweli, lov you baba levo
@dativakileo18404 жыл бұрын
Mambo
@zulekhaally35244 жыл бұрын
@@dativakileo1840 good
@aby211114 жыл бұрын
Here in the USA I have some stress due to covid19 but, Thank you Baba levo for making my day every day 😂😂😂😂👍
@edwardgalus64654 жыл бұрын
Big dad(David lwekiza lunyagilq) your genius.... Umeeongea kibusara sana.... 💪
@annacostantine19744 жыл бұрын
I like a good comment of anko D.. nampenda Baba levo ananichekesga mno
@jacobelias91004 жыл бұрын
Sijutii kuwa mwana family wa wasafi media 🎈🎈💯
@florarose16264 жыл бұрын
Jacob Elias utaanza aje 🥰🥰🥰
@queenwinnie2564 жыл бұрын
Together
@josephelius81964 жыл бұрын
mtu imalaaa jaman kumbe upo nakubali sana bro angu kitambo sanaaa👍👍👍👍 nawapenda sana wasafi #WCB4LIFE
@joymsupagladysijeya83844 жыл бұрын
Nani anagojea Uchebe na shishi warudiane 😂😂😂😂😂👏👏 baba levo kasema Ayaa tusubiri tusikie but kwangu mimi Uchebe na shilole watarudiana ✌️✌️✌️🤝🤝💃💃
@amosikubyo78894 жыл бұрын
Fundi majumba nakubali Sana Kaka na wananchi tumekusamehee bureeeee
@medicaltz1694 жыл бұрын
Wasafi village iwe endelevu iwe kama tamthiria ivi ila mazingira yawe kijijini itapendeza nakipindi kitapendwa sana tafteni vijana waweke kambi
@hawasaid60244 жыл бұрын
Tumekusamee mh d one tupo pamoja fund manyumba umesamehewa
@ibrahimally57894 жыл бұрын
Daah,baba level huyu n mtu wa sayar ya mbali sana asee,jamaa ana IQ kubwa mno katika uongeaji..like kwaniaba ya B level mtaalam fundi manyumba.
@hamidajuma39094 жыл бұрын
Diamond umefanya vizuri sana kumsajili baba levo.
@mwanzalulukiburwa81704 жыл бұрын
Wao! David Rwenyagira from Bmlo, long time, upo vizuri saana
@mohamedmzee22674 жыл бұрын
I like the fact that, u all happy and learn through mistakes. U matured enough. Diamond is really understanding Muko juu tu sana.
@elishanyembela6597 Жыл бұрын
6
@nishawangaiwangai97654 жыл бұрын
Jamani nakupenda baba leva bure
@saumuhassan63654 жыл бұрын
Me more 😘
@samiyafredy74094 жыл бұрын
Baba Levo upo vizur, Nimependa huu usemi! Kwani inaubaya gani
@selemanmayala74364 жыл бұрын
Wasafi raha Sana kama hamjafungiwa tu kila kitu tunakipata kwa ubora zaidi 💥💥💥💥 baba levo anazidi kujizolea umaarufu tu
@CookingwithIvy1244 жыл бұрын
I love this guy 🤣😂 all & all
@quenbertmtavangu34834 жыл бұрын
Ila nimegundua huyo mtangazaji anaye wahoji anaonekana anaroho mbaya angekuwa boss babalevo Hana kazi baba levo namkubali sana
@nzitogondwe99764 жыл бұрын
Baba levo wasafi musimuache anatupa raha sana niko Zambia lakini nafwatilia sana wasaf kiukwer na enjoy
@safariadrien53484 жыл бұрын
Big daddy kaongea fact, I like that
@donaldtadeodontado99914 жыл бұрын
Big dady broo salute sana daaa umeongea kitu konk mnooooo daaaa nimeona ukubwa wako kaka
@aginesibraisoni81844 жыл бұрын
Daah.nimecheka kwa sauti baba levo jaman daah!
@joventjohansenmushwaimi19884 жыл бұрын
Huyu jamaaaa ni talented sanaaa namkubali sana na anastahili kuwa hapo
@abuukamanda.s.mkenga66874 жыл бұрын
Chama la wanaaa lipo gud sanaaa huchoki kuwafuatliaa respect
@yassersahin66394 жыл бұрын
Baba Levo fundi majumbaa mzee wa kujiligazagaza
@myclejiday48824 жыл бұрын
Hua nafurahishwa Sana na baba levo nakukubali sana
@awadhiismail31544 жыл бұрын
Alie msikia baba levo akosema kwani Kuna ubaya gani zaidi ya Mara 20 agonge like hapa
@ezradaniel46134 жыл бұрын
Mnafurahisha kwa kweli,mungekuwa mnaishi hv cku zote daah tungeinjoy mashabiki wa WCB
@zuwenaalamini41584 жыл бұрын
Sasa et inaubaya gani🤣🤣🤣🤣ngonga like Kama unamkubar ba revo
@saidymsola68983 жыл бұрын
😂😂😂😂
@saidymsola68983 жыл бұрын
Kwani sasa kuna ubaya gani? All in all ameuwaaaa😂🤣🤣🤣
@zabibunduwimana46124 жыл бұрын
Muna enjoy juu ya Baba levo 😂😂 Allah ahendeleye kumurinda Boss wenu
@ibrabofubofu87634 жыл бұрын
All in All Yamekwisha B levo twakupenda wasafi Nguvu moja
@saidyakuti61714 жыл бұрын
D one d moko baba levo respect wako
@raphaelkebelo27454 жыл бұрын
D111 D1 baba levooo nomaa xana aa sehem ulipo ni sehem xahihi waxafiii chama
@jasminegabriel42474 жыл бұрын
Una jua daimondi kashushwa na mungu ana gundua sana uwezo wamtu baba levo comedy sana alfu ana kufanya usiishe hamu yakumu angalia
@johndavidwemabmjv.42594 жыл бұрын
Msameheni Baba L kwa kosa alilotenda nashukuru kuwaona mko pamoja.
@umma66542 жыл бұрын
Kwani alifanya kosa gani wasafi?
@shantalismailhassan98784 жыл бұрын
Uncle D positive mind kinoma. Umeongea vizuri mno.
@idrissaomba88034 жыл бұрын
Big up, Big Daddy umeongea maneno ya kiakili sana
@danijoely34854 жыл бұрын
DAAAAAAA jamn ukweli mtu aongee wasafi no1
@kamaratsalimsafari88384 жыл бұрын
Popote palipo na Babalevo hua hapaboeki Big up Babalevo Unachangamsha for real
@christerangelous25864 жыл бұрын
Hakuna mkamilifu ila presenter huy alliyah anajifany anamkazia sana babalevo kama yendomkamilifu
@queenwinnie2564 жыл бұрын
Uncle D kaongea point sana, wasafi juuuuuuu,
@horizoncompany21924 жыл бұрын
😂😂jamaa yuko gud full confidence
@abdulaman71504 жыл бұрын
Daaah mi furaha sana
@nzokirajeff47324 жыл бұрын
The babajol one and Baba levo nice bro
@aneelmtoro74774 жыл бұрын
Baba levo ujue hapo kuna maneno mawili yashakuwa brand 1.Olu in Olu 2.Kwani Kuna ubaya gan 😀😀😀😀
Aliah mi nakupendaga sana Diamond hakukosea kukupa zawadi ya gari.
@dr.madevualcantara47754 жыл бұрын
Mutafungiwa sana wala bdo kwanza watangazaji wa kike wengi saiv munavaa uchi mara matiti nje,,mapaja ,vitovu,migongo,makalio yaani kimebakia kuona hicho kisambusa tu...sasa TCRA musiangalie maneno tu muangalie na mavazi wadada wanakaa uchi sana wanatingisha Imani zetu..!!
@Bullah_tz4 жыл бұрын
😂😂😂😂 nimecheka sana aseee baba levo kanifulahisha sana
@lizzydiy45904 жыл бұрын
Baba anavituko huyoo
@queenkiruwa34993 жыл бұрын
Tunampenda baba levo asiondoke wasafi anajua kutufraisha jaman baba levoo tuna kukubar
@husseinyusuph54584 жыл бұрын
Matatizo kwetu flusa asante wasafi ila tujipe pole kwakupooza mtaani kwetu
@vailetrbikangayo4324 жыл бұрын
Kweli bab revo nampenda sana nikimuona nilazima niifungue niangalie
@kelvintajiri89824 жыл бұрын
Wasafi na babalevo ☑️👍😍🇰🇪
@patrickkepha4844 жыл бұрын
Nakukubali san maneno yako baba levo
@damarisjosiah82734 жыл бұрын
Huyo dada mbna kujifanya yeye ndio kaumizwa sana,anarudiarudia point moja,sema kamkuta babalevo hajali
@queenwinnie2564 жыл бұрын
Baba levoooo kiboko, wasafi family oyeeeeee,
@Peaceman-S4 жыл бұрын
Yaani mavazi yakimbwaaa kwelii huyu dada....ikifungwa na hii tv yenu ndo mtajifunza..mnahalibu brand tunawapenda ila kuna vitu mnahalibu
@indivirabonnymatenje72904 жыл бұрын
Natoka 254 napenda Wasafi TV napenda kila presenter wote
@giftblessed34594 жыл бұрын
Wasafi Muko juu sana
@ibrahimdona39004 жыл бұрын
Baba levo ndiooo kila kituuu wasafiiiiii
@saidoo_69754 жыл бұрын
Kama umesikia fyaaa...fyeee...fyooooo....!!! Gonga like 🤣🤣🤣
@huskaabu61964 жыл бұрын
Baba levo manshaallah bro
@muhsinibinfaridi16854 жыл бұрын
Nimefurahi saana baba levo namkubali saana nimefurahi zaidi hp yh Dada alivyo sukumwa kwenye maji daha mara baba levo nae kachumpa kwenda kumuokoa safi sana
@jembenijembelive73294 жыл бұрын
Daaah hii n kali mnooo
@sadymaliyao36794 жыл бұрын
Wasafi mko juu sana napenda kazi yenu
@godfreybaitani6024 жыл бұрын
"David Rwenyagira" huyu jamaa anajua sana na ndo alikuwa ananifanya nisikilize East Africa redio kwenye ndinga mpya town
@salomejoseph834 жыл бұрын
Baba Levo we nikiboko nimecheka wallah looh!
@josephelius81964 жыл бұрын
siwashi radio yangu upande wa fm mpaka mludi hewani nasubili kwani zimebaki siku 3 tutasonga mbele zaidi hakuna kama nyiye wasafi chama kubwa.#WCB FOR LIFE
@aoman52144 жыл бұрын
Yaani nimeaingia humu sababu ya Baba levo jaman ananifurahisha Sana jaman
@M7-Band4 жыл бұрын
Baba Levo best comedian,ananipa raha sana
@lucaskisusi97594 жыл бұрын
devd yuko na busara sana nimekubali sana maneno yake anajua sana
@oyay28214 жыл бұрын
Hii ni matusi kwa TCRA, watu wame fungiwa ndio wana enjoy zaidi yakuwa kazini
@rahmatgateka64612 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@susanruo80874 жыл бұрын
" asa hiyo ina umbaya gani? " I just don't know why it sounds different and funny today 😂😂😂😂
@selector7284 жыл бұрын
Not umbaya it's ubaya
@susanruo80874 жыл бұрын
@@selector728 Utachoka ukianza kushughulika na spelling za watu mitandaoni.. Bro, nobody owes nobody no good grammar social media