Coy mzungu kaka una moyo wa dhahabu,yani nimekuona ndani ya moyo wako umetamani uwachukue wote ila ni vile vipo nnje ya uwezo wako🥰🥰❤❤
@mrthreesix2803 жыл бұрын
Coy mzungu..is a very emotional guy...I can feel what this guy is feeling..ingekua ndani ya uwezo wake..angewachukua wote ju hawa watu wote ni washindi
@princevan37473 жыл бұрын
Mbk kalia bro ujuwe naye kapitia ayo yote dah kaumia sana kwa kwel
@richardmachipisa55593 жыл бұрын
@@princevan3747 1qqq
@Dawah993 жыл бұрын
Coy spoke from the heart, the man cares and wants these young men and women to be successful. Hii sio kutafuta kiki, machozi yake ni ya ukweli… big up to you Coy. Amazing.
@silverdavid62003 жыл бұрын
Fact, atleast i got someone who understood exactly what is said# It takes time to realize that some men are too emotional 🙏
@emmanuelkisusu24653 жыл бұрын
Hakika daah. Mungu ampe moyo huo daima
@ZIGUAGIANT3 жыл бұрын
Me ni Team Leonard, Asma, na Saidi! 🙌🏾🔥🔥🔥 I believe on them! Let’s goooo!
@dannygmk3793 жыл бұрын
Hata mm Leonard namkubali sana🔥🔥
@tomzone62673 жыл бұрын
Sema brother coy he deserved to be a chief judge Anaitendea haki nafasi yake
@princevan37473 жыл бұрын
Dah kwel
@firemanmwenyewe3 жыл бұрын
Nimekuwa wa kwanza kutazama jaman naomben likes zenu😁😁😁
@PaulinaSemindu-ob3de8 ай бұрын
Mtoto wa kiume kuomba omba like n umalaya mtakuja kuliwa kwa kuomba omba ovyo hd like mnakera 😏😏😏
@sebastianjacob3693 жыл бұрын
Ukiwa team wasafi😍😍 wala uwez kukonda mda ote rahaa2 😋
@khadijaomari93443 жыл бұрын
kweli 😀😀😀😀
@عباسعباس-ش9ه4ت3 жыл бұрын
Leonad kashinda
@bienvenutambwe92953 жыл бұрын
All of them they know how to perform . But that's how things should be .and big up to brother coy your words mean a lot to me too🤔🤔🤔 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@BigZhumbe3 жыл бұрын
Asma Majid is great comedian and will be greatest female comedian of all time 🇰🇪🇹🇿🇺🇬🇷🇼🇧🇮
@ZIGUAGIANT3 жыл бұрын
Agree 💪🏾🙌🏾🔥
@wilbardtarimo45033 жыл бұрын
Kama unamkubali baba levo twende kwa likes "nitawatoa'😂😂
@nissamwapoladi73453 жыл бұрын
Kwa hali yyte lazima washindi wapatikane .hata yy anaumia lakn anajitoa ufahamu anakaza maana wakilegea wote mambo hayatoenda!
@aloycemajaliwa21853 жыл бұрын
baba levo ni Cold blood
@ldj3 жыл бұрын
Waah, leo majaji mna kibarua kigumu jamani;yani leo wote wamefanya kazi safi,sijui nimchague nani💞💞💞💞💞
@lareineminah13533 жыл бұрын
Ukijuwa kusudi uta face chochote ili ufikiye lengo lako thanks Cowmzungu😍😘🤩
@gmdecoration60443 жыл бұрын
Coy umesema vizuri eliud nakuombeya Sana punguza simulizi brother mbona ww nimkali top 5 upoamka ushindane bado ujajuwa nimashindano mbona mm naona unajuwa ww unakuwaje uwoni brother 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@saimonjohn23333 жыл бұрын
Leonardo ni fireeeeeeeeeeeee 🔥 🔥
@slimmuhabesh24003 жыл бұрын
Leonard....Fire Ila Kazana safar bafo ndefu sana... Ujitahidi Kitu Kimoja Stage Hakikisha unaimiliki ipasavyo....na mazoezi ya kutosha kuyafanyia mapungufu yako
@mc.nizzahshemweta3993 жыл бұрын
Koi naitaji nafasi from tanga
@lareineminah13533 жыл бұрын
Mchambuzi wa mpiraaa amewezaaaaa sanaaa😍😘
@josephlyatuu35203 жыл бұрын
Coy mzungu.. Nimependa sana jinsi unavyoguswa na kuonesa hisia kali juu ya matarajio ya washiriki.. na kuwatia moyo!! Pokea congeree zangu bro
@josiahjacksonjr.47263 жыл бұрын
Leornadiiiiiiii group tupia Likes 🔥🔥🔥🔥🔥
@merissjuvinari2535 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@kitunganolw3 жыл бұрын
Coy u are good chiefjuge brother…a leader of StandUpComedy in Tanzania
@mohammedathman58163 жыл бұрын
Mohammed from Kenya nachekatu lakini pia!👊
@aminaamiri76843 жыл бұрын
Karbu tz
@mohammedathman58163 жыл бұрын
Thanks alot Nshaallah siku moja ntafika huko🙏
@aminaamiri76843 жыл бұрын
@@mohammedathman5816 ok u are welcome to our country
@mohammedathman58163 жыл бұрын
@@aminaamiri7684 ahsante sana my friend nafurahi sana kwakuni karibisha wallah🙏
@mohammedathman58163 жыл бұрын
@@aminaamiri7684 uko Tanzania sehem gani
@aishahussein48843 жыл бұрын
Leonard!! Mm ni tem ww haki!! Tokea siku ya kwanza ulinifurahisha sana!! Mpaka leo hujaniangusha!! Na hizo mamilioni naziona kwako inshaallah!!! Nafatilia haya mashindano nikiwa🇰🇪!! But ni mtanzania mm
@luhajufilmstanzania3 жыл бұрын
Headmaster yupo vizuri sana. Big up
@vanemniz3 жыл бұрын
Leonard anajua sanaa,potential yake kubwa sanaaa
@janethjustin52563 жыл бұрын
Sanaaaaa
@NYAMBISHANI2 ай бұрын
Jamani 😂😂😂ndaro ulikua una lengo ngani kuniuw kwa kicheko au😂😂🎉🎉🎉
@cosmassisa52563 жыл бұрын
Huyu jamaa wa moto yuko vzr sana. Kachukua muda mwingi lkn ana flow punch tu
@xx.saicute99133 жыл бұрын
kama na ww coy amekuliza bs gonga like hapo
@nasraabdallah8503 жыл бұрын
Pole coy jmn😢😢vizur umewatia moyo......baba love eti mi ntawatowa tu😆😆nakweli yaitaj roho ngum sn
@hanifasecret63563 жыл бұрын
Mmh Leonard asma said na azaboi i love this guys maana daah wanachekesha halafu wapo so seriously kiukwel
@Mikeys-m9w3 жыл бұрын
LEONARDO ❤ & SAID SAID 😍 MTATUUWA JAMANI 🙌😂🔥
@credo78373 жыл бұрын
Wameua
@kidjhdf75683 жыл бұрын
Wewe acha tuu mm sijalala naipenda hii na big Sunday live leo wasafi from saudia Arabia 🇸🇦🇸🇦
@silvaredwin27203 жыл бұрын
oiiiii
@babuonyango40083 жыл бұрын
Kazi ipo et@
@happyemily50443 жыл бұрын
head master umeua😃😃😃😃😃
@josephangoty28973 жыл бұрын
Team Leonard gonga like apa tujuane👌👍
@brayanihonde87723 жыл бұрын
Can i have ur # please
@brayanihonde87723 жыл бұрын
Mambo
@sakinaroshanali2636 Жыл бұрын
Napenda sana, mimi ni mtazania, naishi Italy ❤ napenda
@sakinaroshanali2636 Жыл бұрын
Tanzania 👌🏽👍🏾
@danielwilfred26093 жыл бұрын
Nwachane azaboi anakuja kwa spd ya light, leornado is genius due to his consistency, my men from mbey Nox m leo katsha, ASma 💯💯
@brunojoseph82703 жыл бұрын
Nimefurah kuona hii comment coz jamaa namkubali toka kiskuli
@Luck_Melody3 жыл бұрын
Skupingiiii ushindi ni azaboi
@ezekielwatson70483 жыл бұрын
@@brunojoseph8270 good comedian
@Rayflix443 жыл бұрын
Hatari Sana, huyo jamaa wa zima Moto 😀😀
@عباسعباس-ش9ه4ت3 жыл бұрын
Masikini tumcheka lkn baadae tumelia sana poleni sana msivinjike moyo
@chrinthiachamamba67023 жыл бұрын
Naskiaga mwanaume kulia ni ngumu sana Ila kwa coy ameonesha upendo wa kweli ni jinsi gan anatamani na wenzake wapate bac na mm namuombea coy apate zaid ya hapo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@RamazaniMulongeca3 жыл бұрын
@1:15:48 Koy Anamkubuka EX wake amevishwa kapete, anajililia zake..😂😂😂😂 #LEONARDO KEEP IT UP BRO,
@gidionkadaraja14033 жыл бұрын
Hahahahaha
@deborahseth19143 жыл бұрын
uwiiiii
@sharinv88643 жыл бұрын
Inaumiza kwakweli mungu awasaidie mm namuelewa coy hata mm niko hivo.baba levo haha kweli ww ni judge 🤣🤣🤣
@moussamassina77703 жыл бұрын
Leonardo, said, na ndaro 2kutane finale🙌🏾
@slimmuhabesh24003 жыл бұрын
Leornard atar sana
@pilotkhelfin47113 жыл бұрын
Bila shaka jombaa
@mtaalamwamambo20993 жыл бұрын
Kama nilivysema tokea mwanzoni nitabakia upande (team) 1.Mama Nyonzo 2.Asma Hawa mabint wanakipaji kikubwa Sana, so nitarud hapa mwaka ujao kuprove hii 🔥🔥🔥