Karibisha mkenya Moja kwenye studio ndo aweze kueleza Kwa ndani kinacho endelea kenya
@yasminoluoch16920 күн бұрын
Ewaaaaaah
@auntiemylee315720 күн бұрын
Kabixa
@bonifacewanyonyi355520 күн бұрын
😂😂kweli pro wamlete
@KassimAlly-xp4dz19 күн бұрын
Hakika
@mvullamanase19 күн бұрын
Kunakipya..!! vyote mmevifanya Hadharani
@PeterEvance-wl1ec20 күн бұрын
We're Kenyans and Kenya is our business.
@user-uz5db2dq2g20 күн бұрын
Excalty mkenya damu mie mtuulize wenyewe
@emmanuelmasanja604019 күн бұрын
Kumbuka Kenya pia ni east Africa,kuizungumzia ni kawaida tu ndugu,Kama mwanachama wa east africa😂😂😂
@enochosano289619 күн бұрын
@@emmanuelmasanja6040 haja maanisha hamfai kuongelea kenya. anamaanisha tutaendelea na maandamano
@user-ie8cw9cx2i17 күн бұрын
nyinyi endeleeni kuongozwa na mtu ananyesha ikifka mwisho wa mwezi
@Sijuisijui17 күн бұрын
@@user-ie8cw9cx2i😂😂 be nice
@aaa64sa1320 күн бұрын
Shida hapo ni elimu ya uwana habari na uchambuzi Amna. Munaongea tu kama ni jambo la kawaida. Baba levo nenda Shule Mdogo wangu. Kufutwa kwa mawaziri ni moja ya matakwa au ni msukumo wa Wakenya haswa Gen Z.... bado mna mabadiliko mengi tu yatafanywa. Kuweni Makini na mnacho Jadili. ❤🇰🇪❤🇹🇿❤ Gen z.....
@baloz897420 күн бұрын
Haswa kuna wabunge na bunge kuvunjwa na pesa ya umma iweke wazi ijulikane safari zao za ulaya walikuwa wanatumia ngapi .
@sarafinawanja854920 күн бұрын
Tutawasilimia msitukasirishe 😂😂😂😂😂😂
@yasminoluoch16920 күн бұрын
Very true
@eugenewamalwabusaka357220 күн бұрын
Kabisa Tanzania hakuna kitu mnajua kuhusu kenya mbwaaa nyinyi story na Kenya kaa mbali
@TM.Sullusi19 күн бұрын
Tutaongea saana, ila wachawi hapo ni WABUNGE, walipaswa kusimama na wananchi kuukataa basi. Serikali yenyewe inaleta tu mawazo hata km ni Mabaya halafu Bunge linapitisha tu 😢😢😢
@IbrahimMohamed-wm3zf20 күн бұрын
Kwa kusaidia tu kaka Edo...kuondolewa kwa mawaziri ni miongoni mwa masharti ya GEN Z Wala sio kafara kwa watu wengine..cz bado Kuna mambo mengi anatakiwa kutekeleza kama masharti aliyopewa
@allykwaya20 күн бұрын
Kati ya masharti 14 aliyopewa. Kingine Rais RUTO anachokifanya ni sahihi. Kufanya hivyo ni kutekeleza matakwa ya wakenya na sio kutoa kafara.
@dominicatsiaya953420 күн бұрын
kenya the pride of africa
@Kakerluder18 күн бұрын
Well Said ❤
@Legalfairy17 күн бұрын
🦁
@alexsimiyu858220 күн бұрын
Diversionary tactics....he is the problem, not the cabinet...liar, corrupt, rude, arrogant
@baloz897420 күн бұрын
Exactly the boss who want to control everything that's why he fired Attorney General just for nothing be as he said he doesn't consult him anything.
@graceamadi109620 күн бұрын
The cabinet too are like him no difference
@Rukiakadzo19 күн бұрын
All Cabinet Secretaries Are Corrupt Too Like Him....There is an Inside story There.
@wisemanking00120 күн бұрын
Tanzania, mpe MAKONDA NCHI!!! MIOZO kama ya kenya 🇰🇪 ipo Tanzania pia!!
@Kakerluder18 күн бұрын
Nawaonea Huruma sana Tatizo hamjui kilicho mbele yenu Sai wanawalaghai mbeleni Kila kitu kinabadilika 😂😂😢😅😊 Na Tanzania cdhani kama Kunakuwepo na Ma GEN Zzz...😂😂😂 Ona nchi za west Africa zimeshazinduka wanafwata mkondo kama wa Kenya #Nigeria🇳🇬 #Ghana🇬🇭#Malawi🎉#Zimbabwe🇿🇼 Na nyinginezo...😂😂🎉😂
@wisemanking00118 күн бұрын
@@FreeGod368 nani anaiweza?
@denkojux586920 күн бұрын
Kenya the capital city of Africa 👊
@NoName-pp4lo20 күн бұрын
Exactly
@baloz897420 күн бұрын
True everyone has acknowledged it even in Nigeria they're saying so .
@sarafinawanja854920 күн бұрын
Kenya the Giant of Africa, # Tanzania tafadhali tunzeni amani yenu
@elijawakaba20 күн бұрын
Sure
@cyrusm684820 күн бұрын
@@sarafinawanja8549yeah, ata Mimi nawaambia hivyo
@abdallasaid559320 күн бұрын
Mukiwa tayari mutuite tuandamane hko turekebishe Africa... Africa has to change
@KassimAlly-xp4dz19 күн бұрын
Asante Tanzania 2nahitaji kuwapa ajira mje kuwatoa ccm madarakani
@Vj_hAnss18 күн бұрын
karibu date 16
@coachdom214216 күн бұрын
Mimi wa Tanzania na wakubali lakini mlimpoteza kiongozi Jp nilimkubali sana hapa kenya tunakandamizwa na hatuwezi kubali power belongs to us people💪💪
@user-zv4ip3zu8p19 күн бұрын
Vile mnachambuwa mambo yetu, mngekua na ujasiri pia wa kuchambua mambo yenu tz pia ingekuwa sawa zaidi, Ila uoga mlionao ni zaidi
@evonrn200017 күн бұрын
Tanzania our Sister Country ❤ 💕 Love from Kenya! Good analysis 👍
@esenen920 күн бұрын
As alwys, the glass is greener on the next door. TZ to reach Kenya democracy and freedom right will take another 100 years
@bosssyedmund878518 күн бұрын
ata hio miaka 100 hawawez
@husseinkonde734820 күн бұрын
Watangazaji bado wachanga wa tajriba ya siasa,mtafteni dudu baya anayo elimu ya siasa
@athumannyungundileki979920 күн бұрын
Nyie pumbavu angeleeni ya kwenu mme ng'ang'ania kenya kenya wenzenu wanajielewa nyinyi kazi kusifia sifia
@erastusmumba18 күн бұрын
Bro hio sio sawa jaribu kukomaa haujalazimishwa kuchangia mada
You are all debating events instead of actual reason which is being unconstitutional. Mifumo ndio rada watu wangu. Tufinye sana ma-nduguu
@edanechickpoultryfarm818119 күн бұрын
We love you our Tanzania brothers!!!! A lot of tanzanians are studying in kenya and they come back very Kenyanised. Kenyan education system created a freedom fighter hen- z. They were taken through fasihi full of liberation stories.
@BestLife48620 күн бұрын
Kaz kuingelea kenya Tanzania ahaaaa
@rajabusaimon766220 күн бұрын
Nyii hamjui wanainchi walikua wamejaa sum mda mlefu Lilikua ni swala la mda tu
@evansrama422420 күн бұрын
Sio kafara shekhe ni masharti tuliyompea awatoe wote kazini
@dicksonsang434720 күн бұрын
Ruto must resign.
@fredsabora254320 күн бұрын
Rais ndiye aliohonga wabunge wavote yes,..ruto must go
@margarethsolomon982320 күн бұрын
Hata Mimi ninaamini hivyo, najiuliza wabunge wa Azimio waliokuwa wapi kupinga hiyo Bill. Iwe isiwe walihongwa. Kwa mgawano tu wa viti vya ubunge kati ya UDA na Azimio kwanza ni VIGUMU Sana nchi kutawalika. Raila odinga bado alipaswa kuwa sehemu ya kuongoza aidha kuwa prime minister ili kuleta mahusiano ya usawa kama bunge lilivyo. Bila hivyo hii Nchi haitaweza kutawalika. Mwisho wa siku JESHI laweza kuchoka na kushika Nchi.
@user-gc1ez1yv4k20 күн бұрын
Hivi baba levo unafifikir wakenya wanaishi kwa uchawaMtu hadi ujenge nyumba kupitia uchawa,nyie endeleeni kumjaza ujinga mama,lkn ya.kenya ni Kama korona ya afrika,tusubiri muda utasema.Kariakoooooooooo!
@baloz897420 күн бұрын
Msemo alioutumia hapo ni kuwa ruto asitafute who's to blame huo ni msemo wa mtaani.
@piere-D20 күн бұрын
Ya mama tozo yamewashinda mnaongelea ya wengne fagia kwako kwanza
@user-hj4bc5uh2x19 күн бұрын
Kabisa tuliambiwa umeme utashuka af kodi zamwisho wamwezi ndio zimeongezeka
@DanielShomunda15 күн бұрын
Hapo ni ukweli bro👏👏
@akothsewe73417 күн бұрын
Watanzania mumenifurahisha sana na huu uchambuzi wenu😂😂 Tafadhali mkaribisheni mmoja wetu Kasmuel McOure aje awamwagie wisdom hapo studioni ... grts from Kenya😂❤🇰🇪🇰🇪
@goldenmaduhumedia468119 күн бұрын
Kama mtaenda na direction hii wasafi tv itakuwa ni media yenye nguvu sana Africa
@NoName-pp4lo19 күн бұрын
Afu kuna msanii anatunga album ya kusifia Rais aliyeko madarakani sema tz kila mtu ni chawa
@LilianNyambura-yk9ok6 күн бұрын
I love this song very much ❤
@dailytalk204020 күн бұрын
La ruto ndie shinda yeye ndie hu control bunge chama chake kiko na wabunge wengi huyo ni mwizi, na ataenda , tuiteni tuwaeleze kunacho endelea
@ogthecomedian15 күн бұрын
As Kenyans we say ruto must go
@hannan450819 күн бұрын
Si sugu we know our rights , power belongs to the people, Baba levo kumbuka Kenya iko dunia nyingine 🤣🤣🤣
@yasminoluoch16920 күн бұрын
Nothing like that bwana ni g zee pls tafuteni mkenya mmoja tu awaelezeee yayeee
@shukrishuu967220 күн бұрын
Kenya🇰🇪 shida ilianza na wababazz... Wanaiba deni za Wa kenya wote wananunua ma tx. Genzii hawapati ile meli ya relation na age groups zao.. MUBABAZ ANAVUKA NAYO NAYO.. 🎉🎉🎉😂😂😂😂❤
@vitalisomondi18219 күн бұрын
Mubabaazz response..Ati kaende kaende😂
@ponsianomnyaru914020 күн бұрын
mama tozo must go
@Alute-son200320 күн бұрын
Nchi ikikosa mifumo mizuri tutaendelea kuwafaidisha watu wachache mnoo...kuna nchi zilikuwa ni jangwa leo hii wanatukopesha sijui tumekaaje hapa kwetu
@Alute-son200320 күн бұрын
Mambo ya ooooo Raisi awe wa milele wakati tunaona nchi ina kila kitu afu wananchi wake ni maskini haijakaa vizuri kabisa
@rizikimwero176720 күн бұрын
Ruto must go home
@elvisotwori43720 күн бұрын
Andika kiswahili hawa majirani hawakuelewi 😅😅😂
@musicmikeish19 күн бұрын
Ruto lazima aende😂
@maxwellsanga366219 күн бұрын
Hawa hawajui siasa zetu hapa kenya
@gracemairusya295020 күн бұрын
Au samia mitano tena wakati kampeni bado hii haijakaa sawa ni kama uchuro. Waaache was ubarikiwe kampeni August 2025.je samia asipogombea tena inakuaja inakuwafitina
@edgar399820 күн бұрын
Tunatangulia mnafata tz mpo
@kyaro594519 күн бұрын
Ina maana Ruto yuko right. Wawakilishi wa Wananchi wameboronga so kuwasaudia wananchi is to fire cabinet.
@onescaniaonescania822718 күн бұрын
baba leo wewe umeskiaa wapi, ww c chawa wa kwenye ccm kuna kenya ona moto ,kwenyu enyewe magumu hamsumbutu tetea watoi wenyu,mnaongopa CCM PANYA NINYI
@GlobalMonitorDaily16 күн бұрын
Ruto aliwa honga wabunge.Hayo hayakua maamuzi ya wabunge Ila ya ruto sababu alinunua uamuzi wao.
@MohamedHussein-tj5eu16 күн бұрын
Us Kenyan we don't need fake promises, we waring our mps and him seif but they didn't listen to us Kenyan... We are the one we put them there and the power it's within us people's
@barakamanga550220 күн бұрын
Ikitokea tz alooooh itaharibu nch ukitaka Kuja tizama Umati wawatu wenye shida na changamoto, Alison kuwa katibu wa ccm,na kila changamoto inaonesha serikali inelegant, niliogopa saana
@mwadabakonyezo664913 күн бұрын
Ilifaa mujue kiliomo ndani ya finance bill. Kisha ujue Roto propagated the finance bill to please the IMF . Aliambiwa mapema awachane na hii bill lkn hakusikia
@MasoudSultan-ks6kc15 күн бұрын
BIG MISTAKE NCHI JIRANI KUKURUPUKA NA KUONGELEA MAMBO YA NCHI NYENGINE PLEASE PLEASE PLEASE
@divinepraises583520 күн бұрын
Nyie hamjui siasa za kenya. Hamna kafara yoyote anatoa. They are incompetent leaders. Let them go. This is now the Ruto we voted for. Coming back to his senses
@Paul.95720 күн бұрын
😂😂kutoa kafara ya Tz Ina maana tofauti ni ya Kenya...
@user-pw5pe6kp6l20 күн бұрын
Shida Iko Kwa rais Kwa nn ahonge wabunge wapitishe anavyotaka
@mohammedkazungu274712 күн бұрын
mimi ni mkenya. wabunge walichangia pakubwa kwenye maandamano haya lakini wengi wao walipitisha mswada kwa kuhofia siasa ijayo kumaanisha ata raisi alikua kitu kimoja na wabunge kwahivyo familia ni baba, baba akipoteza mwelekeo familia nzima ni rahisi kupoteza mwelekeo.
@FedupKenyan202420 күн бұрын
Dj afro njoo ung'arie hawa😂😂
@janemwirikia681720 күн бұрын
Ruto dismissed the CS because of not showing the necessary skills to do something successfully not sacrificing them for his benefits, it was part of the reason of protesting also.
@AliMahmoud-it7vb13 күн бұрын
Sasa hata si fainance bill ,maana hatahawasemi.kwame hayo.wanamengineee kila kukicha waja na lipya mpaka watu wameanza kuchoka na washaanza kupungua kwenye maandamano maana sawa kila mtu silaa mkononi kilammoja anaprotect duka lake watu wamechoka na maandamano na kunawale wanao sema wametumiwa kwahio.msione twatataka hayo hatuyataki kabisa kabisa amani
@raphaeloloo964120 күн бұрын
Na atajiuzulu pia yy atumtaki zakayo mtoza ushuru ss Gen z ndio kusema
@mtzhalisi223220 күн бұрын
Kama sio wataalam wa geo politics muwe mnavunga au tafuteni mtaalam anayejua hivi vitu!!
@yasminoluoch16920 күн бұрын
SHIDA NI RUTOOOOOOO YAYEEEEEEE AMA MWAOGOPA KUONGEA 😂😂😂SISI WAKENYA HATUOVOPA ZAKAYO MUST GOOO
@TrinaRoman34517 күн бұрын
Kenya hawamwagii maji ya kuwasha sheria hiyo haipo
@johnmwangi934616 күн бұрын
The only thing is if the president goes will just get another corrupt politician in there 😂
@oscartheicon27167 күн бұрын
Inaitwa spice FM not space 😂😂😂
@Grandp48518 күн бұрын
Hello wasafi media, am one of the young people (GEN Z) who are fighting for justice and to stop corruption. The biggest problem in Kenya is corruption and injustice in kenya law Court and that's why we have risen to fight for our rights partyless, leaderless and tribeless and we don't fear death. Better die fighting for your rights and freedom than to be enslaved in your own country
@moshiwamboi126613 күн бұрын
😂😂😂😂wasafi TV nimependa maoni yenyu Baba levo Leo yuko serious na kesi ya watu kuvuta tear. Gas a Tanzania wezangu sisi wakenya wwazuri sana ila tukichokeshwa tunakuwa wanyama
@ruujcaflon335116 күн бұрын
Mni alike studio nichangie mada. Hii mada inataka mkenya mwenyewe aeleze kilicho tukia
@user-kh7bc4js1m18 күн бұрын
Hawaoni hawa kabisa hawajui kabisa chote maskini
@Optionxll_Playz119 күн бұрын
Sio walio kuwa Wana mzunguka Ni IMF na World Bank TZ na inchi nyingi za kiafirika watalamu wetu wajifunze.
@niffonlinetz721420 күн бұрын
Kujadili siasa za kenya sawa za bongo aaannh
@baloz897420 күн бұрын
😂😂😂😂 we kenya ni pasau kichwa hawa wote wanafunzi wa chekechea kina baba levo
Oscar gombea Kaliua kura utapata nyingi uende ukiwa na uelewa huu wa hoja zinazohusu maslahi ya wananchi
@amohammed339018 күн бұрын
Let’s president do his job. He got the message and he will work on it. Anyone who will be a president will face the same. Allow Kenya to thrive it is on right direction. Kenya own and operates airline with its own airlines. Interest rates: Ghana - 29%; Kenya 13%. Depreciation: Ghana- 54% ; Kenya 34% Inflation rates: Ghana - 23%; 6.6%. Unemployment rates: Ghana- 14%; Kenya; 6.6%. Total Debt: Ghana- 83.6%; Kenya 690% So Kenya needs to do adjustment in the formation of Government and deals with Corruption. Taking loan with caution. CORRUPTION AND MISMANAGEMENT ARE ISSUES TO DEAL WITH IN KENYA CASE STUDY
@eminix213217 күн бұрын
Huku Kenya katiba lazima ifuatwe hatupendi ujinga na tamaa za wanasiasi 16th july maandamano yatafanyika Rambo 6 last blood comming soon big up baba LEVO from Eldoret
@user-xy5nc7hp7j17 күн бұрын
Yenye ndio anawalipa wapitishe.
@margarethsolomon982320 күн бұрын
Ruto ana NGE ndani ya shati lake, na mbinu mbaya imetumika ni msukumo wa wachungaji makanisani na misikitini,.na tatu mtesi wake na kundi linalo muunga mkono ambaye ni Raila Odinga.
@EmmaWakesho-hs3jb19 күн бұрын
We are kenyans, kenya is our country
@bosssyedmund878518 күн бұрын
shida y wabunge wenyew ndo hawa wanaopita bila kupingwa unadhan hao wameletwa n wananchi
@sund255318 күн бұрын
Ya nchi za watu midomo chuchunge kujadili ya nchini kwenu huw mnafyata hatariiii
@pete728919 күн бұрын
Shida liko kwa Rais maanake Ruto ako na tabia ya kuwahonga wabunge. Kila bunge yule alipitisha mswaada huo alikua apewe shilingi millioni 2. Kumaananisha wanauza nchi ndiyo maana wakenya ilibidi waingie bungeni wasmamishe billi hilo kupita kwa sababu wabunge walikua wanawatusi na kuwaongelesha matope kwasababu wanaenda kufaidika zaidi likipitishwa
@nasrihussein429314 күн бұрын
Wewe washa ku speed up rmaneno sisi tuko na raisi ruto
@kimaru948317 күн бұрын
Ni Bunge kweli ila shinikizo linatoka Kwa Rais .
@husainsmith310319 күн бұрын
Nyinyi mnaongea bila ata kufanya uchunguzi raisi kufuta mawaziri sio kupenda kwake na wala sio kafara. Ila anatekeleza alivokubaliana na Genz kwasababu wabunge wengi hawatekelezi majukumu yao isopokua wanaonekana tu wakifuja pesa kwenye makanisa na wengine wakihojiwa kuhusu vitu wanavo miliki wanataja pesa ndefu wengine wananunua magari ya thamani wakati ma hospitali mengi hakuna madaktari maskuli hakuna walimu.
@chrispinrafael383120 күн бұрын
Katika siku umeongea point Oscar ni Leo nakutania
@boazmaobe724520 күн бұрын
Pilipili musiyo ila inawawashia nini? Hamna lolote nyie sijui mnajadili nini kwa sababu Hamna mwelekeo wa mada mnayoizingumzia.Acha shobo
@kyaligonzalouis466320 күн бұрын
Nyie mabaki kwenye mambo ya chama na azizi k muachane na siasa You know nothing about democracy
@michaelgitau968118 күн бұрын
Mnataka muongelelee Kenya wakati nyinyi mmefichwa chini ya dera ya mama 😂😂😂Kwanza Wasanii wenyu A list wananyonyeshwa na mama ndio maaana hata hawako kwenye ma swala ya kuhamazisha jamii......sisi Juliani,Nameless,Nadia Mukami,Arrow boy,Khaligraph,octopizzo,willy paul,Otile brown,Bien,Savara,etc walikataa kununuliwa wakaamua kuhamazisha jamii hiyo ndo usanii imara
@dastonamichaels185419 күн бұрын
Hii panel yenu haina tajriba ya kutosha kuongelea mada hii ya Kenya
@sultanmswahilitv486418 күн бұрын
Wakenya sio ligi yenu watanzania
@seneu.212819 күн бұрын
Hamna uwezo wakuchambua mambo kama hayo mngeita mtu mmoja makini awasaidie, alichozungumza edo ni mashudu maamuzi ya ruto ni sahihi maana hilo ni moja ya matakwa ya wananchi wa kenya kufukuza mawaziri, kuhusu finance bill nikweli kwa mujibu wa rais kwake hakuona shida ya wabunge waliopiga yes na wabunge hawajatolewa
@zainabhussein554219 күн бұрын
Angalieni mambo yenu mambo ya kenya hayawahusu kama mumeishiwa na maneno basi kila mtu aseme ya kwake ama huko kijijini kwenu
@Ismail-db5oj17 күн бұрын
The World 🌍 Discussing Kenya Kenya has Become Globally Encyclopedia For The Neighborhood 😂😂
@mumomuendo989218 күн бұрын
Justice for shadrach
@jeffchurum143119 күн бұрын
Kwanini Tanzania mnapenda kuinglia mambo ya uongozi Kenya? Ni kwanini hatuwaoni nyie mkichambua viongozi na siasa zenu huko TZ?
@johnonyango606920 күн бұрын
Dear Tz the functions of a president is to vetoe a bill to the parliament. So the president was championing for that Bill that was in the parliament to an extent of even paying 2million kshs to the greedy and corrupt mps so that it can be law. So even the president should go he's the big problem. Kumbuka samaski huanza kuoza kichwani. #rutomustgo!!!
@badmanno.165019 күн бұрын
Hamuelewi mnaongea nini, next time mualikeni mtu anaelewa siasa za Kenya aje awafafanulie What's going on in Kenya. 2027 haitakuwa rahisi. Hao wabunge watajuta kusimama na serikali.
@KITCHENTV-dw9gs19 күн бұрын
Ukiandika mchawi tunadhania ni Raila
@danwangwe719 күн бұрын
We are not a imf and world bank puppets we kenyans fight for our rights, america is not a colony of Kenya
@hassanosman891019 күн бұрын
Hv mnatoa wapi mda wa kuiongelea Nchi iliyo mbali kifikra wakati Ninyi mko nyuma kimawzo hv, nyuma saaana
@cristalclear249917 күн бұрын
Wajumbe walipokea Ten million kutoka kwa Ruto, mali ya uma, kila mmoja wao ndio wakapitisha iyo sheria kinyume ya wananchi. Ndugu jirani hamwelewi huyu ruto vile ako mukorofi.
@douglasmboya142620 күн бұрын
Haya mambo yangesemwa na nay wa mitego yangemake sense nyinyi machawa sijui kama mwaeza ongea negative kuhusu Samia,yakenya tuachieni wakenya nyinyi fateni umbea siasa ziliwashinda,tofauti zenu za Uganda ni m7 apishi wenzake lkn chama ni hicho hicho
@MonicaRaila-tn5rb12 күн бұрын
Hio nikweli wanajishahao kuwa sirikali ya wainchi
@kabakajuma976820 күн бұрын
Yaani wewe oska oska uko na IQ kubwa sana natazamia kwa maoni yangu serikali yetu ikuangalie vizuri na ikupe nafasi hata ya ushauri tu kwa serikali
@HANDOLOH10 күн бұрын
Serikali ya Kenya Bungevhaipitisha,Rais Ruto awaw homga pesa wapitishe mawazo yake. Aliwapa wabunge milioni 2 kila mtu wapitishe mawazo yake. Kw ma hivyo nyinyi watangazaji amuielewi Kenya hata!
@user-hi8le2vb7z20 күн бұрын
sawa ila na nyie mnaweza..kukiwasha kama wao,,,,mbona udikteta ulishafanyika wazi wazi...watu wanauliwa na hawaonekani wanatupwa,,,kutishana hadharan...watu wakavamia ofisi za watu na mitutu...leo mmenda kuwapa madaraka😊..mi nashuka
@msonocollo955112 күн бұрын
Ambia diamond kunyamaza hivyo akuasema kitu yy na harmonize