Wameumbuka wachambuzi ukwala,hata huyu mzee za dani,naye kaumbuka.hongera sana Eng.umenikumbusha mbali sana,Magu aliwaumbua wazungu pia
@amaniomar175518 күн бұрын
Acha Tz iitwe Bongo kuna maana kubwa sana ndani ya hilo jina...
@awetumtengera114718 күн бұрын
Za ndaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tajiri mo ameshamsaini azizi k Leo Husemi tena, punguzeni kuongea vitu ambavyo hamna uhakika.
@amaniomar175518 күн бұрын
Ni tetesi tu hizo ndugu yangu 🎉🎉🎉
@zuberimohamed4318 күн бұрын
Hizo zandani zako labda nguo yaan chupi
@ezrayohana354118 күн бұрын
Hakusema amemsaini alisema alituma offer
@FreeGod36818 күн бұрын
@@zuberimohamed43😂😂😂😂😂
@saltechnologiesco.ltd.237717 күн бұрын
Mkuu uwe unafuatilia vizuri kabla ya kuandika!
@johnmshuta513318 күн бұрын
Momo Amna mchambuzi hapo za ndani akuna kitu 😃😃😃😃😃
@elicktilia443017 күн бұрын
Uwalisia kabisa sports yetu imekuwa yamoto blaaa nice all media📺📺📺 tz
@anithawidambe754317 күн бұрын
AZIZIKI ALISHASAINI ZAMANI YANGA CY LEO
@jumamchewa324617 күн бұрын
Wakudele ulisema azizi anaenda upande wa pili ila Leo unabalikabadilika unasema SABABU ya shemelaa
@vaxminja905317 күн бұрын
Huyo mzee wa Kudere ndio muongo namba moja, alidanganya kuwa Mo ameshatia mzigo.
@hijakinina179317 күн бұрын
Kwa pesa za kurithi za mo
@kalebphilip342617 күн бұрын
Ukiona mchezaj anang'ang'ania Tanzania ujue ni mchezaji wa kawaida mno,mm Aziz ki namwona sawa tu na akina mzamiru na umri alionao akienda ulaya anakuwa houseboy tu sio mchezaj mpira
@juliusjkalela916418 күн бұрын
Ety ana mahusiano achen uongo
@hijakinina179317 күн бұрын
Kama wataka nawao wapate mausiano ya kii si waseme
@kakamau038418 күн бұрын
Ila kwenye App ni ukweli mtupu mimi ni jana tu nimeishusha kisa Azizi leo anaongea 😂😂😂
@DarliotonTumaini18 күн бұрын
Mhuuuuu😂😂😂😂 pasi katoa mobetto
@thadeusmarkiminja228215 күн бұрын
Tunajua lazima mtoke majumbani mkatafute mkate yaani msosi.punguzeni un mbea kwa kweli.kilichiniudhi mm ed ingilia maisha ya huyo binti Mara mjamzito ....nk wapi wanao enjoy umbea huu hayo ni yao
@MeshakiShija-mz5mw16 күн бұрын
Wachambuzi uchwara injinia Hersi saivi anawacheki anawasogeza na anawamwaga mwaaaaa endeleeni kushadadia mipango ya klabu ya yanga mtajioona mpaka akili hamna
@MeshakiShija-mz5mw16 күн бұрын
Na wee Edo mpuuzi sana
@salimusafuko859417 күн бұрын
Nyie wasaf mnafeli kila mnachozungumza anaewafatilia ni mgeni labda mmechezeshwa na hersi mkaingia mkenge kuhubir Mambo msioyajua ovyoo nendeni shule
@user-eu6gl4vs1o17 күн бұрын
Wewe umesema ukweli maisha matamu Tanzania siyo mwanamke
@hassannickson765417 күн бұрын
Hivi wachambuzi wetu Ttz Nini mda mwengine huyu za ndaniii alishasema Aziz ANAONDOKA sasa imekuwaje Tena hapo eee
@Maryc2G18 күн бұрын
Aziz k amebakia kwaajiri ya mapenzi. Mapenzi ya watanzania yamembakiza
@errydeo886517 күн бұрын
Hujaenda shule!
@evansmoshi192318 күн бұрын
Tatizo ni kwamba Aziz sio mchaga angekua mchaga hapo angetumia akili sasa hapo Aziz ametumia mapenzi, nikwamba Aziz aliumbiwa ufukara ndani yake.
@erickmbuya837317 күн бұрын
Wewe utakuwa ni kolo😂
@HappyKitindi17 күн бұрын
Kolo moja la kichaga ww 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 million 35 kwa mwezi ni ndogo?
@RehemaDavid-f2l17 күн бұрын
Hv ww hua unapokea hyo mil.35 kwa mwez? Kama ni hapana,ni Nani kaumbiwa ufukara kati yako na aziz ki?
@mwitaprotus764917 күн бұрын
❤❤❤❤😊love bro ndo cha msingi apa the world 🌎
@Jamesmwakalile16 күн бұрын
Mwache apg kazi aziZ jaman
@ElidaMsigwa-nz2ts13 күн бұрын
Acheni kujadiri mapenzi ya watu yenu yanajdiriwa wapi
@hashimsalum702517 күн бұрын
Metokeo ya uwongo na uzushi, ni aibu, hapa habari zaichezo hapa zimeisha, kilicho baki udaku.
@danyboy57117 күн бұрын
Eti dada yetu ame asisit😅😅😅😅
@user-iz3hs8jl5p18 күн бұрын
yanga baba lao
@ubunifulifestyle349218 күн бұрын
Huyu dada atakuja kuzaa na vibwenzi
@JumaNassor-cj3zy17 күн бұрын
Ili momo kma senge SI jana kasema azizi anaenda simba
@ManzabaySalim17 күн бұрын
Mafala watupu waandishi momo s ulisema mo dewji anamchukua
@AmaniMadata17 күн бұрын
Nyie wachambuzi uchwala waongo sana
@chrisantusnditi867017 күн бұрын
😂😂😂😂Ila wachambuzi wa bongo ni shida.
@azimioalbertongellangella897017 күн бұрын
Eti za ndaaaaaaaani za ndaaan wapi? Uongo mtupuuu😂😂😂😂
@user-zb2mj5nd5g17 күн бұрын
Huyo wazandaaaani leo kawa mdogo kama piliton, wiki iliyopita alileta zandaaani zake kwambwembwe ile mbaya, leo hata bnguvu yakuongea kwambwembwe hana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@HafizAbdallah-n4b17 күн бұрын
yani ww mjinga sana kwann asingesaini simba kwani wako inje ya tanzania
@HadiaMohammed-ec2dn17 күн бұрын
Mna huakika mimba ya mwamba😊
@joshuajohn266817 күн бұрын
Tofautisheni habari za uhakika na mizaha
@JumaSalim-bd1ff17 күн бұрын
Mzee w za ndani uliapa
@fotunatusiMsongole17 күн бұрын
Momo Hana kituuu kichwanii
@RehemaKizeru17 күн бұрын
Kuna watu wanafiki kama wachambuzi
@vivanyboy974317 күн бұрын
ila nyie wahun😂
@bashirukajembe416517 күн бұрын
Ameasst 😂😂😂😂
@josiacharles277817 күн бұрын
Uyu jamaa anaenyoa kiuni muongo kweli Leo unasema mapenzi mara mo, jinga kweli.
@SalimAbdallah-mi1wc18 күн бұрын
Lazima abaki ufungaji Bora umetengezwa Na viongoz😂
@user-mq4yq6rw1w17 күн бұрын
Momo usiwe unaongea pumba
@nehemiahsamsony108517 күн бұрын
Momo hyo siyo sababu Acha ujinga
@user-hy4zb3eg1z17 күн бұрын
Momo ni fala sana
@bilalikisembe501217 күн бұрын
Huyu jamaa muongo sana huyu
@user-eu6gl4vs1o17 күн бұрын
Acha uongo usiwe na uchuro
@user-qo6qv6mc5p17 күн бұрын
Xavi mtupu
@SubiraJohn17 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅
@leonardsr899418 күн бұрын
Kama ulitoa boko unasema tu
@daudimichael733818 күн бұрын
Acha ujinga wewe Momo, hayo mambo binafsi ya mtu unayasema kwenye media?
@juliusjkalela916418 күн бұрын
Acha uongo wewe
@sylvestercameo626318 күн бұрын
Huyu Momo anatuona wajinga sana, eti kabaki kwa sababu ya kulinda mahusiano, hiyo si sababu ya msingi! Mtu anaoa Kenya yeye anaishi Italia na maisha yanaendelea. Acha uongo, momo umezidi sasa.
@AbdulGermany21017 күн бұрын
Sio kulinda mahusiano ana mtoto tayari na huyo mdada,hivi unafuatilia kweli ndugu
@sylvestercameo626317 күн бұрын
@@AbdulGermany210 Kwa hiyo kwa kuwa ana mtoto maana yake haruhusiwi kusajiliwa na timu nyingine yoyote nje ya Tanzania? Basi tutarajie ataomba kusajiliwa uraia wa Tanzania abaki kulea mtoto! Hakuna mantiki.
@edwardmaguluko654118 күн бұрын
HUYU RICARDO MOMO NAE SOMETIMES NI MUONGO SANA YEYE NDIO ALIYESEMA MUHINDI KAWEKA B 3 LEO ANASEMA DADA YETU
@yussufritzy768418 күн бұрын
Chukuwa yote
@HappyKitindi17 күн бұрын
Huyu Momo hovyo kabisa, alisema mo Salah kaweka b3 hahahahahaaaa
@ZachariaCharles-sq8cx17 күн бұрын
Uliisikiliza mpaka mwisho? alisema ameweka B3 ila Azizi alikua kashachelewa