MPINA - "HAKUNA MIRADI YENYE GHARAMA KUBWA KAMA FORCE ACCOUNT"

  Рет қаралды 4,293

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 14
@anjelistakilale2702
@anjelistakilale2702 Жыл бұрын
Kwa kuyasema haya bila uwoga ni kumsaidia kiongozi mkuu na kulisaidia Taifa kukua kumawazo na kimaamuzi sio kubaki tuu na vijana vijana kila kitu ndio ndio kisa kasema mkubwa nonononono ili tuende mbele lazima tusema ukweli fitna iwe mwiko nadhani mnazijua Ahadi za mwanaChama wa CCM Hongera sana Luhanga kazi nzuri sana. Sema hapendwi na viongozi wabinafsi.
@mlyambisipaul8399
@mlyambisipaul8399 2 жыл бұрын
A leader with vision and mission, congrats JOELSON LUHAGA MPINA. #
@plusabracadabra5166
@plusabracadabra5166 2 жыл бұрын
Kumuelewa huyu Mwamba inahitaji utulivu wa fikra
@anjelistakilale2702
@anjelistakilale2702 Жыл бұрын
kiongozi wa mwenge 2022 amekuunga mkono hongela mh mpina kwa maono yako kuhusu force account
@geneskimaro2892
@geneskimaro2892 2 жыл бұрын
Kwani mradi ukitekelezwa na wakandarasi Serikali inajitoa ? DED/Serikali na wataalam wake lazima wafuatilie utekelezaji wa miradi bila kujali umetekelezwa na nani force account au mkandarasi. Kama tunataka value for money M & E ni muhimu.
@kalungaw.kalunga1038
@kalungaw.kalunga1038 2 жыл бұрын
Force account iko vizuri isipokuwa usimamizi ndio wa halmashauri zetu ndio unachangamoto na watu wa manunuzi force account ndio wameona kichaka cha kupigia pesa
@christianmwashala9760
@christianmwashala9760 2 жыл бұрын
Mpina yupo vizur uyu jamaaaa
@hk_ballers
@hk_ballers 2 жыл бұрын
Mpina ndo moja kati ya wabunge hasa bungeni
@theonewrld
@theonewrld 2 жыл бұрын
Kiukweli tunapaswa kuwa makini sana katika kila jambo tunalolianzisha na haya ni maddhara ya maamuzi ya mtu 1au watu wenye mtanzamo 1.
@jumaalex7707
@jumaalex7707 2 жыл бұрын
Akili kubwa
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 2 жыл бұрын
Harafu sisi mafundi wadogo tuende wap
@kalungaw.kalunga1038
@kalungaw.kalunga1038 2 жыл бұрын
Wakimpa mkandarasi watekelezaji wa mradi ni sisi mafundi na kodi mbona tunalipa kila fedha unayolipwa lazima ikatwe kodi ya huduma
@kefasonmahenga2917
@kefasonmahenga2917 2 жыл бұрын
mmmhhhhhh mm navyoona faida ni nying kuliko hasara....
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 8 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 120 МЛН
"RAIS SAMIA HAJAKIMBILIA URAIS" - MZEE WA UPAKO
4:27
Wasafi Media
Рет қаралды 9 М.
Mpina asimamishwa kuhudhuria vikao 15 vya Bunge
3:51
Mwananchi Digital
Рет қаралды 2,3 М.
How Israel Assassinated  Hezbollah Commander?
8:48
AiTelly
Рет қаралды 2,9 МЛН
FORCE ACCOUNT GENERAL OVERVIEW
21:40
Cairo mwaitete
Рет қаралды 1,6 М.
‘WAJINGA’ WASIJE KUSEMA DIDA AMEROGWA - STEVE NYERERE
5:55
Wasafi Media
Рет қаралды 9 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 8 МЛН