Wasanii walijumuika pamoja kuenda Kibwezi kumsindikiza Mwenda zake Pretty Mutavi katika county ya Makueni kule Kibwezi. Host by Ali Mchokozi #MayherSoulRestInPeace #ReignhoodMedia #RM
Пікірлер: 19
@kassimomar2163 Жыл бұрын
Ali mchokozy hua naskia sana ukitangaza
@judithomondi17993 жыл бұрын
Go well zari
@lovevivy74593 жыл бұрын
Sudi kazi yuwaiweza,Its so sad losing Pretty, katika sanaa nahisi mtu mkubwa tumempoteza,farewell pretty,RM endeleeni
@user-xw7jv9wn5y Жыл бұрын
Polen sana
@wanjiruwambui87413 жыл бұрын
I can't believe she is gone
@kemalswaleh95273 жыл бұрын
Rest in peace pretty watching 4rom msa kisauni nilikuwa shabiki sana wakipindi chenu cha moyo😭😭😭😭
@claramukai4667 Жыл бұрын
Rest in peace...you were and you will still remain to be my best actress from my county and kamba land😢😢😢
@munirashughuli72243 жыл бұрын
Pole wafiwa Sudi umekua mtangazaji lini😊
@kemalswaleh95273 жыл бұрын
Sudi 😂😂😂😂 vizuri sana mwana habari hongera
@khanjilanato9483 жыл бұрын
Fare thee well our dear departed siz
@saumumresh11983 жыл бұрын
Sudi ulianza lini utangazaji
@salhanilan22633 жыл бұрын
Rest in peace mutave I will never forget you
@leviwanjala15752 жыл бұрын
So sad,, Sudi wapi kikofia lakini? Mtangazaji kweli...,