Pazito ni hapa wanampinga Allah kwa kiburi cha roho na ujinga lakini pakujificha na kumkimbia Allah Awana kweli Akili ni neeema kubwa sana ❤sijui kwa Nini awatambui wakati MUDA wa umauti nizingatio kubwa sana juu hakuna tofauti kwa kila binadamu yoyote
@yusuphomary74106 күн бұрын
Asalam alaikum Warrahmatullah wabarakatuh Ustadh Shafii na Ustadh Kimweri tunaomba hii Clip kama inawezekana iongezewe sauti na mada ni nzuri kweli kweli inayohusu MUISLAMU WA KWANZA ni nani. Ahsanteni kwa ushirikiano wenu.