Pole madam huyo mwanaume alikua hovyo kwakweli Tena hana adbu alikua anatumiwa na shetani kabisa au ni ajent pole sana umwombe mungu akupe mume mwema na mstaarabu
@aairraahseif5648Күн бұрын
Hizi ndoa za distance Sio ndoa! Mke yuko Mashariki mume yuko magharibi,matokeo mume au mke hukosa stahimili na kuanza kuchitiana
@speciosermusika2009Күн бұрын
Kweli Yaani we acha tu.
@aairraahseif5648Күн бұрын
Wastara uko sahihi, ndoa zina changamoto,hasa sisi wanaume huwa hatujamaliza ujinga wetu twa kimbilia kuoa,mtu kama hujamaliza ujana bora usiingie ktk Ndoa hasa wenzetu wakristo ndoa zao ni mke 1 tu, sie Islam ruksa 4 wewe na roho yako tu
@GodfreyMolelКүн бұрын
Hatuna akili zimefanana tafadhali huyo nayo si kweli inategemea