WATOTO WANGU EP (03)

  Рет қаралды 135,430

BabaJoan

BabaJoan

Күн бұрын

Пікірлер: 631
@AliciaKahindi
@AliciaKahindi 2 күн бұрын
Mimi leo nimekuwa wa kwanza kutoka Kenya,nipeni hongera zangu.
@lindanekesa-b2b
@lindanekesa-b2b 2 күн бұрын
Baba karobo ww ni baba mwenye busara nipe like kutoka Kenya
@SalumMajorhood
@SalumMajorhood 2 күн бұрын
Karobo hana bahati na mama ake wa kambo kila cku mateso
@madymag6926
@madymag6926 2 күн бұрын
Mama karoo uko na roho mbaya siku zote jameni😢😢😢❤❤❤bt nawakubali kwakazi zenu nzuri sana❤❤❤
@SalomeMideva
@SalomeMideva 2 күн бұрын
Wauuu hongera mm karobo kapatana n mumewe tamu sana❤❤
@LornahJelagat
@LornahJelagat 2 күн бұрын
Wooyeee karobo wangu na mateso.....nakupenda Sana ❤ karobo
@nshimiyimanaalex6467
@nshimiyimanaalex6467 2 күн бұрын
Birakomeye kbs karobo aragowe ntamwana nikinono hhhhhhh kinyarwanda harisi Kigali 🇷🇼 turabakunda cyaneeeee ❤❤❤❤❤❤
@SyombuaMuvengei
@SyombuaMuvengei 2 күн бұрын
Wakenya tupo wawili pia mmi ni mkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 naombeni like na mie🎉🎉🎉🎉
@zachariarono
@zachariarono 2 күн бұрын
Pamoja
@SyombuaMuvengei
@SyombuaMuvengei 2 күн бұрын
@zachariarono shukurani🙏🙏
@Zainabsaid-p2t
@Zainabsaid-p2t 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@salehHassan-rl8bd
@salehHassan-rl8bd 2 күн бұрын
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@MourineIkhoni
@MourineIkhoni 2 күн бұрын
Nko hapa dada🇰🇪🇰🇪
@EmeryIr
@EmeryIr Күн бұрын
Nakufata tan kwa tano kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 mwenye alifulahia nugha yetu ntamwana nikinono aniachiye liké🙏
@Zouzouzoena
@Zouzouzoena Күн бұрын
😂😂😂😂 kumbe baz nikirund kwl respect kabis wanajua kirund
@reaganlufuna5548
@reaganlufuna5548 Күн бұрын
Kazi zako zote zimeturia baba Joan. Keep up the good work 💪💯 Watching you from Zambia Lusaka 🇿🇲
@evelynadagala6716
@evelynadagala6716 2 күн бұрын
Nimetokea Kenya Nairobi naipenda sana movie hii
@CollinsKamone
@CollinsKamone 2 күн бұрын
Hii part mama karobo anaiwakilisha vilivyo Sana nmependa❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@alexandrodieumerci
@alexandrodieumerci 2 күн бұрын
Nimesikia lugha yetu pendwa ya KIRUNDI eti :"Nta mwana n'ikinono" nimefurahi sana,oya BURUNDI 🇧🇮 tunakupenda sana
@maysharaednanuiuubllbln6779
@maysharaednanuiuubllbln6779 4 сағат бұрын
Nawew umeona
@MaryMombo
@MaryMombo 2 күн бұрын
Waliofurahi kumuona chiko na mama cendy kwenye hii movie waeki tick
@ManirakizaFidelite
@ManirakizaFidelite Күн бұрын
À santé baba karobo kwakukumbuka kauli yakwetu nta mwana nikinono warundi piga kelele 😂😂😂😂 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AishaJafari-sh4pe
@AishaJafari-sh4pe 2 күн бұрын
WAOO NUCE JOB MAUA KWA BABA KAROBO JAMNI 😂❤❤❤❤❤
@AmiriKiondo-zk1xy
@AmiriKiondo-zk1xy 2 күн бұрын
🤣🤣🤣siyo NUCE
@AsaaMohd-l5w
@AsaaMohd-l5w Күн бұрын
Mambo yameanza vizuri nafarijika na movie yako nzuri Alwatan
@Seranjoroge9244
@Seranjoroge9244 2 күн бұрын
Wenye wanataka kuwa KZbinrs,fikeni hapà tufuatane❤❤❤
@Zebuu-kp
@Zebuu-kp 2 күн бұрын
Kazi ipo poa kama umependa kazi ya mwamba weka apo alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉
@BintalyB
@BintalyB 2 күн бұрын
Namkubali snaa baba joan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦
@Groly-g8h
@Groly-g8h 2 күн бұрын
❤❤❤❤
@DieudonnéKatandamusonga
@DieudonnéKatandamusonga 2 күн бұрын
Sur toute les chaînes tu y es
@NeemaLisu
@NeemaLisu 2 күн бұрын
Plan B pia tunaiomba
@NajmaAmir-w6v
@NajmaAmir-w6v 2 күн бұрын
Uyo siyo kp jamani
@ElyséNtacobazireguza
@ElyséNtacobazireguza 2 күн бұрын
Tunapenda Movie zenu Burundi lakini Huo Mama karabo anatambia mbaya anaceza Sene za ubaya mimi tukikutana naweza nikakimbia kwajuu YA tabia yake
@ElysonKobelo
@ElysonKobelo 2 күн бұрын
Aisack
@hamisuuhamadi1663
@hamisuuhamadi1663 Күн бұрын
Nimecheka sana sasa mifupa huyo unamkimbia kweli😂😂😂
@OranceVitasimwa
@OranceVitasimwa Күн бұрын
M karobo ana aribu movi kweli
@Gloris-v1b
@Gloris-v1b 2 күн бұрын
Kila move baba karobo bibi n hyu wa roho mbaya tu mmmmh sijapenda
@danielwekesa6655
@danielwekesa6655 Күн бұрын
Wow nimeipenda Sana ina mafunzo mazuri Sana
@AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u
@AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u 2 күн бұрын
Kazi ni ya 🔥🔥 sana kama unakubali weka alama ya like jaman 🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿
@ErnestinaAndréRaúl-d5g
@ErnestinaAndréRaúl-d5g Күн бұрын
Mwenzangu upo 🇲🇿 🇲🇿 sehemu gani? Mimi nipo uilaya ya Nangade
@AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u
@AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u Күн бұрын
Mimi Uilaya ya Palma
@SabrahRamadan
@SabrahRamadan 2 күн бұрын
Tanzania ndo nchi pekee mkate 10000😂😂
@lindauma982
@lindauma982 2 күн бұрын
😂😂😂
@rizikisam6481
@rizikisam6481 2 күн бұрын
😂😂😂
@MrUhakikaTz
@MrUhakikaTz 2 күн бұрын
Hio imeenda 😂😂😂
@Cutte-l3f
@Cutte-l3f Күн бұрын
😂😂😂😂
@MiriumWajey-lr1tq
@MiriumWajey-lr1tq Күн бұрын
Hata wewe ukiibiwa umpate mwiz wako useme hiohio kwel😂
@DeboraLufingo
@DeboraLufingo 2 күн бұрын
Mama karobo uwezi kubadilika from baba yangu kipofu tyu watoto wangu tabia n ile ile 🎉🎉 ❤❤❤
@PeterWambua-x8s
@PeterWambua-x8s 2 күн бұрын
Kwa hakika huyu mama tatu cjui kwa nn kla wakati anamuonea sana karobo alaf ba kalobo pia ana upole mwingi kumbe tatu s mwanake kumzaa
@lawinundu9870
@lawinundu9870 2 күн бұрын
Mama tatu huyu anoroho mbaya sana fundisho kwa watu wenye roho ya hivyo
@EveKaari-r7r
@EveKaari-r7r 2 күн бұрын
😂😂😂Bado kudanga ameleta huku pia
@Frola-ym2nq
@Frola-ym2nq 2 күн бұрын
Jamani tangia Kwa baba yangu kipofu adi Leo hajawahi kunipa like mnaninyanyapaa
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 pole san hhhhh
@PillyEliasa
@PillyEliasa 2 күн бұрын
Hizo like ni chakula 😢
@TabuMsonda
@TabuMsonda 2 күн бұрын
😂😂😂🎉​@@PillyEliasa
@Christophenkulu-o2v
@Christophenkulu-o2v 2 күн бұрын
vraiment 😂😂
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww 2 күн бұрын
Huna nyota😂😂
@DuduBoysSilvester
@DuduBoysSilvester 2 күн бұрын
Fanyeni Chapu Haraf Dakika Chache Ongeza Hata Kidg
@GraceMumbere-q7v
@GraceMumbere-q7v 2 күн бұрын
Kazi nzuri baba Joan huyu mwamba anae ongea mengi kama mbea ana juwa sana kinyama 😍 hasa patronize anavo imba nikama nahisi mustuko kama joka 🐍⚕️ka toka pangoni i say ☺️🥰😍
@PILICHIGILO-fm3yo
@PILICHIGILO-fm3yo 2 күн бұрын
Yaan ww mwanamke haujawahi kuwa na roho nzuri mmmh jamn punguza manyanyaso mweu ww
@EveKaari-r7r
@EveKaari-r7r 2 күн бұрын
😂😂😂na Bado anadanga 😢
@maylucson001
@maylucson001 2 күн бұрын
Na usikute uyo tatu niwa baba mwengine 😂😂😂
@lastwashosh647
@lastwashosh647 2 күн бұрын
Yes c wake
@VailethChimais
@VailethChimais Күн бұрын
ND uhusika Tena akipunguza ataharibu
@RizikiZiki
@RizikiZiki Күн бұрын
Ndo kipaji cake jameni mueleweni ye anapangiwa tu
@rizikisam6481
@rizikisam6481 2 күн бұрын
Mdogo wako kameza chupa la chai 😂😂😂 hawa walioagizwa mjini pamewanogea wamesahau nyumbani 😂😂
@SophiaPaulo-w4i
@SophiaPaulo-w4i 2 күн бұрын
Kaz nzur sana ba karobo mungu abariki Kaz yako
@carolyneliona9866
@carolyneliona9866 2 күн бұрын
Imenoka❤ Kazi nzuri ,pongezi.🎉
@SkeetoSsaa
@SkeetoSsaa 2 күн бұрын
🎉🎉ujawai kutuangusha mzee baba daah nyimbo pambeee
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 2 күн бұрын
Fasheni humu amecheza kama mtu wa maana kabsa, ila kwa baba ang kipofu mmh,
@AmiriKiondo-zk1xy
@AmiriKiondo-zk1xy 2 күн бұрын
🤣🤣
@CollinsKamone
@CollinsKamone 2 күн бұрын
Mama karobo Kwa mara nyengine tena😅😅😅😅
@AaAa-tf7sl
@AaAa-tf7sl 2 күн бұрын
Nimejiongelea kma ww😂😂😂
@olicej7837
@olicej7837 Күн бұрын
​@@AaAa-tf7slmama tatu kwa sasa 😂😂😂😂
@AaAa-tf7sl
@AaAa-tf7sl Күн бұрын
@@olicej7837 😂😂😂ndio mwanzo ako na mtoto wa baba mwengine
@CollinsKamone
@CollinsKamone 5 сағат бұрын
@@AaAa-tf7sl wueee hyu mama ni Moto wakuotea mbali aki anaweza nmempenda Sana pongeza mama Tatum🇰🇪🇰🇪
@israelKongolo-eb6mp
@israelKongolo-eb6mp 2 күн бұрын
Leo wakwanza kutoka congo kama wa congo wenzangu muko pamoja nipeni leke basi
@zachariarono
@zachariarono 2 күн бұрын
Wa kwanza kutoka Kaunti ya Bomet Kenya, Salamu kwa BabaJoan, hii movi ni 🔥 🔥 🔥
@abdillahkiloki6429
@abdillahkiloki6429 Күн бұрын
CHADO MASTER WEWE NI BALAA ZITOOO UMETISHA MNOOO.....HAPA SASA NDIO PAZURIII POLE SANA MISTER MANYONGA WENZAKO KITAMBO TOWN
@Saumu254
@Saumu254 2 күн бұрын
Tatu kafanan kimwil cha mmke had roho mbaya😢😢😢😂
@MohammedMohammed-uz4jn
@MohammedMohammed-uz4jn Күн бұрын
👏👏😔
@HadijaShabani-s2v
@HadijaShabani-s2v Күн бұрын
😂😂😂
@FatumaBakari-c3l
@FatumaBakari-c3l Күн бұрын
😂😂😂umeona
@BothainaBothaina-k6c
@BothainaBothaina-k6c Күн бұрын
Baba karobo wewe ni mwamba hakika kazi zako ni nzuri na zenye baraka mno congratulation🎉🎉 sana❤
@ThadeoZeKing
@ThadeoZeKing 2 күн бұрын
Hakika tuliisubria kwa hamu sana baba joan🔥
@RukiaMkeenge
@RukiaMkeenge 2 күн бұрын
Baba karobo unabalaa sana unajua vibaya
@ezrakayagambe5926
@ezrakayagambe5926 2 күн бұрын
Nukuli ntamwana nikinono iyindayishimywe
@AkajohnJohn-r8m
@AkajohnJohn-r8m Күн бұрын
Naipenda kazi yko 🎉
@mbukeshimbi1771
@mbukeshimbi1771 2 күн бұрын
appreciate you my brother big up💗💗
@SamuelOnduso
@SamuelOnduso Күн бұрын
Nice, Baba Joan! Very creative. Waiting episode 4
@AghHh-v3f
@AghHh-v3f 2 күн бұрын
Waoooo kiruga ntamwana nikinono 😂😂😂 bro nakupenda sana nakufata sana kutoka 🇧🇮 🇧🇮 ❤❤❤maansha Allah
@Tysonosiemo7
@Tysonosiemo7 Сағат бұрын
KAZI nzuri Baba Joan tena umenicekesha ntamwana nikinono turagukunda Burundi🇧🇮🇧🇮🥰🥰🌹🌹♥️♥️
@FAIZAWESAAMANI
@FAIZAWESAAMANI 2 күн бұрын
Leo nimekua wa Kwanza kutoka Kenya wapi like zangu 🎉
@fredericnkurikiye
@fredericnkurikiye Күн бұрын
Waouh nimefulahi san kusikiya lugha yetu kwakirundi namwana n'ikinono murundi wakwetu gonga link apo😂😂🎉🎉🎉🎉
@hagayinkundimana
@hagayinkundimana 2 күн бұрын
Uyu mama mbone anaroho mbaya kalobo pole sana
@Hozanatz
@Hozanatz 6 сағат бұрын
Baba kalobo naku fwata sana kutoka Congo wewe ni mutu wa busara sana baba kalobo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MartinLazaro-zj6ke
@MartinLazaro-zj6ke Күн бұрын
Maskin ya mungu karobo tokea kwenye baba yangu kipofu mama yake anamchukia sana daaah inasikitisha sana 🔥 hana kazi mbaya b.karobo zote zinavutiaa 💯💯
@ISACKSIMONIERASTO-pn4vr
@ISACKSIMONIERASTO-pn4vr 2 күн бұрын
Wakwanza mie mwaga makopakopa❤❤❤❤❤
@TonnyCharles-ju3hw
@TonnyCharles-ju3hw 2 күн бұрын
We mama tatu nimsenge ujui kuingiza wewe ukatili wako siupendi atakama unaigiza unazidi bana we dada unaboa
@MasauShida
@MasauShida Күн бұрын
Kazi nzuri sana baba Joan🇹🇿
@jenifajeni9951
@jenifajeni9951 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉karobo anaelekea kupona mawumivu natabu ,vyamamake wakambo❤ alhanbulilahi 🎉
@aliceatieno1865
@aliceatieno1865 2 күн бұрын
Movie nzuri sana ❤🎉🎉
@CarolineImbwaga
@CarolineImbwaga Күн бұрын
😊😊😊😊😊❤❤🎉
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 2 күн бұрын
Ma karobo kila sku roho mbaya na mambo ya siri siri nyuma ya lazima.. mtoto halali anateseka wakambo anaenjoy khaa this life ukiskia keen muda zenu kuna watoto wetu ndo hii sasa😂😂😂😂😂 Ila hongereni kazi nzuri
@MaryamRobert-vr1wm
@MaryamRobert-vr1wm 2 күн бұрын
Waoo nimewahi 😂😂 Acha niangalie sasa
@nshimiyimanaalex6467
@nshimiyimanaalex6467 2 күн бұрын
Eeeeee!!!!!!! Kumbe tatu ni mutoto wamwanaume mwingine kweri baba karobo ana kazi kbs murakoze 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@josephinajoachim3552
@josephinajoachim3552 2 күн бұрын
Ulihehe
@GloryTsongo
@GloryTsongo 2 күн бұрын
Wa kwanza njamani kutoka drc nipeni like zangu
@KeristiStel
@KeristiStel 2 күн бұрын
Baba chiko manga'aaa hatarudi huyo😅😅😅😅
@umfahad2609
@umfahad2609 2 күн бұрын
Fashion humu umekua mtu mzur. Nimekupenda bure.
@ZainabuMathias-x6p
@ZainabuMathias-x6p Күн бұрын
Tulio mmiss zujati tukutane tuna kikao chadharula😢😢😢😢
@Utunguwaji
@Utunguwaji Күн бұрын
Nawakubali sana wa Tanzania wenzangu hivyo polepole mtafika wanao wakubali group la kp na zebuu baba Joan na masta kipesile 🎉🎉🎉🎉 tujuae na naomba muwaunge mkono wezetu
@SalmaMakilika
@SalmaMakilika Күн бұрын
Ndioo maana huyo tatu hajafanana nababa kaloboo😂😂kumbe sio baba yakee
@DorcusSaul-wv9rd
@DorcusSaul-wv9rd 2 күн бұрын
Jamani ata kama ni kuzoea karobo nae kapitia mengi sana,, si kule kwa babangu kipofu si huku,,, jamani ata nasikia kuliaa
@SuleimanSwidiq-fj5px
@SuleimanSwidiq-fj5px 2 күн бұрын
A❤❤❤ wakwanza mmm Nip like zangu
@PendoHillary-tj7ul
@PendoHillary-tj7ul Күн бұрын
Ahaaah niligundua tu huyu Tatu huenda ikawa siwa Baba karobo kumbe n kweli karobo ndio mtoto halali 🥰🥰🥰
@NyotaStella-j1b
@NyotaStella-j1b 17 сағат бұрын
Hii ni kali sana
@housseinkalume5473
@housseinkalume5473 2 күн бұрын
🎉🎉🎉 Mimi pia leo nimewahi kabisa kutoka Congo dr
@BintalyB
@BintalyB 2 күн бұрын
Leo nmekuwa wa pili 😢😢naombeni like zangu ata kumi jmn kutokea nianze kuangalia hii movie bdo kupata like ata moja
@Zeekyyy821
@Zeekyyy821 2 күн бұрын
Kazi nzuri sana watching from🇸🇦🇸🇦🇸🇦,,,ila hao wa kijijini SI wote wataishia mjini😂
@RehemaKombe-n3x
@RehemaKombe-n3x Күн бұрын
Kwahiyo mliona kabisa karobo yuwafaa part ya mateso na kunyanyaswa hongera sana karobo unaweza🥰🥰🥰
@JastineWilibard
@JastineWilibard 2 күн бұрын
Kaz zuri baba karobo tupo pamoja mpaka tamat❤❤
@RemtahNanzala-k3k
@RemtahNanzala-k3k 2 күн бұрын
Huyu ndio really wife wa baba joan ama vipi!
@Jackiline-kw3zq
@Jackiline-kw3zq 2 күн бұрын
Kazi nzuri sana nawakuabli sana ❤❤
@SaijaHare
@SaijaHare 2 күн бұрын
Mmmmh chiko pia huku upo 😂🎉🎉🎉
@RamaJames-d2d
@RamaJames-d2d 2 күн бұрын
Wa kwanz mim
@JohariMakinda
@JohariMakinda 2 күн бұрын
Mama karobo ujaacha tu roho mbaya😂😂😂😂😂😂😂
@JameesJuma
@JameesJuma 2 күн бұрын
Baba kalobo mungu awe nawe siku zote za maisha yako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@DokaSwamwel
@DokaSwamwel 2 күн бұрын
Very nice 🎉🎉🎉🎉🎉
@ZulphaMsangi-s9g
@ZulphaMsangi-s9g 20 сағат бұрын
Waaaaah baba karobo kazi nzuri ❤❤❤🎉🎉🎉
@MarygorettiWafula
@MarygorettiWafula 2 күн бұрын
Mama karobo waah hio roho ujaacha
@veronicanekesa2134
@veronicanekesa2134 Күн бұрын
Mungu aibariki kazi zenu mnafanya kazi nzuri sana, hope kuna kitu mnajifunza
@LAZARUSLazarusthemotherschild
@LAZARUSLazarusthemotherschild Күн бұрын
𝐊𝐚𝐳𝐢 𝐧𝐳𝐮𝐫𝐢𝐢𝐢𝐢𝐢𝐢😅😅😅🎉🎉🎉🎉❤
@AliceNiyimbabazi
@AliceNiyimbabazi 2 күн бұрын
Waooo wakwanza
@SimoniFeresian
@SimoniFeresian 2 күн бұрын
We mama punguza roho mbaya kubagua watoto so vzr jaman
@arikibok4735
@arikibok4735 Күн бұрын
Courage ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@BarakaSospeter-cw2wv
@BarakaSospeter-cw2wv 2 күн бұрын
Wa kwanza jaman🎉🎉🎉
@NajmaSaid-sb2lh
@NajmaSaid-sb2lh 2 күн бұрын
Wakwanza leo nafurahi
@SleepyBeachCoast-ku4gk
@SleepyBeachCoast-ku4gk Күн бұрын
Kazi ni nzuri saana aseeh tunasosubilia EP4 kwa hamu weka like yako apa mm wakwanza ❤
@ZeituniKuhowa
@ZeituniKuhowa 19 сағат бұрын
Chiko na huku tena
@narutonaruto4303
@narutonaruto4303 2 күн бұрын
Mashallah mashallah 😊
@AishaRashed-m5o
@AishaRashed-m5o Күн бұрын
Kazi ipo vzr san hongera baba karobo
@ElvisNDUWAYEZU-eq5fc
@ElvisNDUWAYEZU-eq5fc Күн бұрын
Ntamwana n'ikinono 😂😂
@ElizabethWanyama-j3g
@ElizabethWanyama-j3g Күн бұрын
Kalobo mungu aendelee kukuongoza, licha ya kuwapata mama kambo roho chavu
@ElizabethWanyama-j3g
@ElizabethWanyama-j3g Күн бұрын
Pastor wa baba kalobo unaweza,pia bado nakupongesa kazi smart ❤ kutoka 🇰🇪
WATOTO WANGU EP (04) #love 💕
30:09
BabaJoan
Рет қаралды 43 М.
MISSION IMPOSSIBLE [6] SEASON 2
25:12
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 61 М.
The Ultimate Sausage Prank! Watch Their Reactions 😂🌭 #Unexpected
00:17
La La Life Shorts
Рет қаралды 5 МЛН
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 2,3 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 205 МЛН
WATOTO WANGU Episode  1 /love story  💕/ Baba Joan
6:16
Baba Joan Update.
Рет қаралды 4,6 М.
PENZI LA MAMA MKWE episode { 1 } #mamamkwe #directorgozi  #29trending
27:43
WATOTO WANGU Ep (01) #love💕
27:11
BabaJoan
Рет қаралды 285 М.
PLAN B _ Episode 25
45:52
kp wa Aquino
Рет қаралды 84 М.
DUNIA (Ep 19)
21:52
ASMA FILMS
Рет қаралды 141 М.
The Ultimate Sausage Prank! Watch Their Reactions 😂🌭 #Unexpected
00:17
La La Life Shorts
Рет қаралды 5 МЛН